UJUE UWANJA WA KIMATAIFA WA NYERERE| VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA SAFARI.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 28. 04. 2022

Komentáře • 103

  • @Witnessvlog
    @Witnessvlog  Před rokem +3

    Habari. Nikuombe usubscribe ili usipitwe
    Angalia video ya namna ya kuchek in kwa kutumia mashine
    czcams.com/video/xlakeZ0dXvU/video.html

    • @silvanfelicianmvungi271
      @silvanfelicianmvungi271 Před rokem +1

      @witnessvlog kwhy bila cheti cha covid hauwez kusafiri?na je!unaruhusiw kupanda na vyakula kwa ajili ya kula ndan ya ndege?

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem +1

      @@silvanfelicianmvungi271 Sasa hivi unaruhisiwa kusafiri bila cheti cha Covid. Sio lazima tena na muhimu tena. Snacks unabeba

    • @happyelias3225
      @happyelias3225 Před 11 měsíci

      Sorry madam mm naomba nipate no Yako for private questions

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před 11 měsíci

      Nitafute facebook @witness vlog

  • @ahazimzebo9086
    @ahazimzebo9086 Před 10 měsíci

    Hongera

  • @halimaally23
    @halimaally23 Před 7 měsíci +3

    Siku nikisafiri sina haja yakuuliza mtu mana maelezo yamejitosheleza kabisa

  • @yohanasiminzile2096
    @yohanasiminzile2096 Před 8 měsíci +1

    Obeja sana mayu umenikumbusaha safari za masafa marefu ubarikiwe sana sana👍

  • @georgerapemo1812
    @georgerapemo1812 Před 2 lety +1

    Extremely informative

  • @vitymteysemere4777
    @vitymteysemere4777 Před rokem +1

    Hongera sana dada umenifurahisha

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem +1

      Asante sana mpendwa. Naomba sapoti kwa kusubscribe.

  • @jumaswalehe907
    @jumaswalehe907 Před rokem +2

    Nimependa

  • @Simply_ammy
    @Simply_ammy Před rokem +2

    Thank you Witness for the nice and detailed video ❤

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem +1

      Your welcome. Thank you for watching

  • @Witnessvlog
    @Witnessvlog  Před 2 lety +4

    Habari wapendwa, asante sana kwa kuchukua muda wako kwa kuangalia video hii.
    Naomba sapoti yako kwa kusubcribe, nimegundua watu wengi wana angalia video na wanasahau kusubcribe.
    Kusubcribe kwako kutanipa nguvu zaidi ya kutengeneza video nyingi. Asante sana

    • @salumally2734
      @salumally2734 Před rokem +1

      Dada witness

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem

      Habari kaka

    • @salumally2734
      @salumally2734 Před rokem

      Salama tuu

    • @salumally2734
      @salumally2734 Před rokem

      sorry nilikua naomba kuuliza

    • @salumally2734
      @salumally2734 Před rokem

      Nataka ku visit Dubai kwa 1 month visa..... Mwezi huu mwishon na nimeshakata ticket online kwny kampun ya Emirates ila nimekata ticket ya one way je naweza kuzuiliwa safari kama ticket yangu haina return date??

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 Před rokem

    😂😂😂😂😂😂🙌 witness bhana eti maembe jmni ila poa tu hakuna kilichoharibika sis we love you😘

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem

      😀😀😀😀Yani nabebaga vitu haswaa. Love you

  • @marymboje2486
    @marymboje2486 Před 2 lety +3

    Thank you witty🥰🙏

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před 2 lety +1

      My pleasure dear, i hope you liked it

    • @marymboje2486
      @marymboje2486 Před 2 lety

      @@Witnessvlog yeah nmeipenda sis na nmejifunza

  • @moana4987
    @moana4987 Před 2 lety +1

    Unaongea vizuri na nimekuelewa mno,hongera mpz

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před 2 lety

      Asante sana sana dear, usisahau kusubscribe

    • @moana4987
      @moana4987 Před 2 lety

      Nimeshafanya ivo mumy

  • @zyagimstafa
    @zyagimstafa Před 2 lety

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jasiri aachi Asili..nimecheka sana asee

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před 2 lety

      😂😂😂😂😂😂acha tu ndugu yangu

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA Před 10 měsíci +1

    😂😂😂 eeeh adi dagaaaa kweli tumetoka mbali😂😂😂

  • @luciajulius6274
    @luciajulius6274 Před rokem +1

    Dear God on day its me and soon i will be in airplain 🙏🙏

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem

      Amen. Dreams do come true
      Hang on there

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA Před 10 měsíci +1

    Wengine washamba sie

  • @ausonjeremiah6246
    @ausonjeremiah6246 Před rokem +1

    Asante sana Be blessed nimejifunza kitu kwakweli

  • @moshirajabu5148
    @moshirajabu5148 Před 2 lety +2

    tupo pamoja dada

  • @dorismjema8006
    @dorismjema8006 Před 2 lety +1

    Sitakua mshamba ,when time comes.Thank you Witness ila hapo kwenye kupunguza vitu umewaza maembe yako,na dagaa huwezi acha

  • @halimaally23
    @halimaally23 Před rokem +1

    Usisahau kuturecodia Amsterdam Airport

  • @camillahamis1069
    @camillahamis1069 Před rokem +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka na dagaa juu muha wewe hapana

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem +1

      😂😂Acha mwenzangu na zimeisha wiki iliyopita mnitumie tena😂. Vyakula huku vina boa kidogo. Angalau unabeba vya home vikusukume

  • @mariamdimosso621
    @mariamdimosso621 Před rokem +1

    Unga wa ngano mzuri nunua kwenye maduka ya Watailand

  • @Swedishmumy
    @Swedishmumy Před rokem +1

    Nilikuwa sijaona Hii video Daa wit Ukaamua kubeba na maende 😂😂 ila maisha ya Nje ya nchi uwa tunamis Vitu vya Nyumban Jaman Mimi nakumbuka first Day nasafir nilikuwa napenda grand malt san nimebeba carton nzima viungo vyote nilibeba, unga wa muogo 😂😂
    Afu sasa Kilo zikazid walichukua vitu vingi ( Nivea, izi zilizid mil 100 perfume ) malta na vingine. Yan ach tu. Moving out of Your Confort zone Una experince vitu Mingi

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem +1

      😂😂😂😂eeh cartoon zima lazima vizidi kwakweli. Siku hizi mimi napata exta luggage kwasabab ni member wa KLM. Acha tu nilivofika huku this time moyo una waka nataka Mirinda nyeusi😂. Utaipata wapi?
      Ni kazi sana

    • @Swedishmumy
      @Swedishmumy Před rokem +1

      @@Witnessvlog hahaha Afu sasa vitu bei uwa kuna watu wanauz bidhaa za nyumban dagaa, Mlenda unakaushwa ila bei yake Mhh ukiwa huku Utakula First Food Paka ukome.

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem

      Sana yani dear

    • @blandinamrusha-pj2ro
      @blandinamrusha-pj2ro Před 6 měsíci +1

      Ni sawa vya home ni vitamu soon am coming Germany

    • @blandinamrusha-pj2ro
      @blandinamrusha-pj2ro Před 6 měsíci

      ​@@WitnessvlogBora tumeona nawaza ntakaposafiri mwenyewe Germany 😢

  • @camillahamis1069
    @camillahamis1069 Před rokem +1

    Sasa hyo mizigo unaacha tu hapohapo wanakwambia au 🤣🤣

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem +1

      Hapana kwakweli😂.Nilienda na ndugu yangu alirudi nayo nyumbani

  • @halimaally23
    @halimaally23 Před rokem +1

    Miongoni mwa video zilizonishawishi ku subscribe this channel ni hii naipendaga sana xichoki kuangalia

  • @camillahamis1069
    @camillahamis1069 Před rokem +1

    Kumbe muha Kama mie

  • @ghaosalsalum
    @ghaosalsalum Před 9 měsíci +1

    Da witty uje uandae video inayoonesha jinsi ya kuomba ticket ya ndege kwenye google flight naona inachanganya sana.

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA Před 10 měsíci +1

    Lete video kama hzi kama sstr witness

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před 10 měsíci

      I will bro. I am glad you liked it

  • @camillahamis1069
    @camillahamis1069 Před rokem +1

    Dada hapo kwenye kuacha mabegi ndio umeniacha njia panda🤣🤣🤣🤣

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem +1

      😂😂Hawakua na huruma nilipunguza vitu ilibidi

    • @camillahamis1069
      @camillahamis1069 Před rokem +1

      @@Witnessvlog baada ya week 2 naenda Denmark yani sijawahi kusafir kwenda nnje me naona ntachekesha watu aki hapo , naomba kujua tu pale ukishapima mabegi nmeelewa Sasa mabegi unaacha hapohapo au unatoka nalo kupanda nalo Hadi katika lifti kwenda juu au

    • @camillahamis1069
      @camillahamis1069 Před rokem

      Yani ukipima mabegi na ushachukua ticket yako begi unaliacha katika mashine ya kupimia na mm naenda kupanda lift kwenda juu au

  • @ghaosalsalum
    @ghaosalsalum Před 9 měsíci +1

    Kama computer ipo kwenye begi jee na ushapeki? Lazima uitoe

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před 9 měsíci

      Eeh lazima uitoe for checking in

    • @ghaosalsalum
      @ghaosalsalum Před 9 měsíci

      Mana nlitaka nikujakuondoka nitie mpaka masufuria vijiko

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před 9 měsíci

      @ghaosalsalum 😂😂😂😂😂😂alooooo

  • @halimaally23
    @halimaally23 Před 8 měsíci +1

    Nilichoshindwa nikuizoe hii video kila siku naona ni mpya kwangu

  • @halimaally23
    @halimaally23 Před rokem +1

    Bora nijikumbushie tu mana dalili ya video mpya siioni hiyo likizo naiiishe jamani

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem +2

      I love you Halima. Your support is higly appreciated.

  • @user-gv4rn8ec2e
    @user-gv4rn8ec2e Před 6 měsíci

    Vp kama una mzgo wa laptop na cm utahitaj kulipa pesa kutoa pesa?

  • @halimaally23
    @halimaally23 Před rokem

    Hapo kwenye kupunguza maembe jamani huwa nacheka sana , ila ulichoka maskini

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem

      🤣🤣Hii video umeingalia mara nyingi sana.
      Sana yani nilifika na embe chache sana

    • @halimaally23
      @halimaally23 Před rokem

      @@Witnessvlog naipenda sana halafu hata siichoki

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem

      Aw😍

  • @bigboys016
    @bigboys016 Před rokem +1

    Waletwaye ni ndagala,yani wewe hahaha ulitisha sana

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem

      Ye chambu ndo leka see😂 . Ndatwaye kila nkitu

    • @bigboys016
      @bigboys016 Před rokem

      @@Witnessvlog yani wewe,shumbe chane

  • @herrielymahir2493
    @herrielymahir2493 Před rokem

    Mwanza dar nauli shngp???

    • @Witnessvlog
      @Witnessvlog  Před rokem +1

      Inategemeana na ndege na muda wa kukata ticket. Tembelea website ya airtanzania na Precision kwa maelezo zaid

    • @herrielymahir2493
      @herrielymahir2493 Před rokem

      Ohh ok but VP kuhusu Kwa tusiona NIDA usafiri wa mikoani pia mpaka niwe na NIDA???