Huwezi choka kumsikiliza Rc Agrey Mwanri. Nimesha sikiliza hii clip zaidi ya mara 5. Na sitachoka kurudia kusikiliza. Hongera sana Mheshimiwa mkuu wa mkoa
Nataman tu skku moja nikutane na Mh. Magufuli walau nimshike mkono wa kumpongeza. Mungu akulinde Rais wangu na vibaraka wrote na wasokupenda wote no wachawi
@@suzansuzanei1143 hapana yupo Ila kwa Sasa sio mkuu wa mkoa ,alitaka kugombea ubunge akashindwa kwa kura Moja.Kwahiyo Kwa Sasa ni barozii wa zao la pamba na Mwinjilist Kanisa Fran hivi la tabora
Agrey Mwaniri kagombeee tunatamani kukuona Bungeni kwa Mara nyingine bado unafaa kuisaidia nchi Nadhani kusitafishwa kwako kuna maana plz do it Dad I love so much natamani kuwa kama wewe
Kiukweli katika speech zilizobamba na zitabamba miaka nenda rudi ni hii.. Mwanri ana uwezo mkubwa mno Tena sana wa ku capture mindset & attention za watu. Magu mwenyewe hapo anasaluti 😆
East Africa will never have a President like this. Whoever instigated Rais. John Pombe Magufuli's death, his or he's 10 generations will only see trouble. Rest well my hero
Aggry Mwandry, ni mfano wa viongozi shupavu wanajua Kucheza na opportunities. Kiukweli raisi amefanya kazi kubwa na mkuu wa mkoa huyu ni mfano wa kuigwa Kwa kweli... Hongereni Sana viongozi wa nchi
Sukuma ndani natamani nahuku🇧🇮🇧🇮nione mvi Kama yamzee wa Toronto tabora magufuri wewe nijembe dunia nzima Mimi Ni MURUNDi nikionana nawee face to face nakupa Laki mbili atakama wewe nimweshimiwa kwasababu wewe nijembe dunia nzima 🙏🙏🙏ww Ni number ☝️✔️✔️✔️✔️✔️✔️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊👊💪👊🏋️🏋️🏆🏆🏆 wabongo mungu awape Nini? 👊👊
Hii ndio video ya kwanza kuangalia na kuvutiwa kwa huyu mkuu. Toka hio siku ilibidi nitafute kumjua zaidi. Mtu wa ajabu sana. Namfuatilia sana, watu wa tizedi nawaomba mpeni huyu kiti aongoze nchi.
Kama umerud tena kuangalia gonga like hapa!!!!
Tupo
Nipo hapa
Huyu mzeee ni mashine ya kazi.. kama umeangalia hapa 2024. Baada ya kum miss magufuli wetu.. 🤝
Jamn wanaotamn arudi Kazin Rc Agrey plz like hapa😂😂😂
Mimi😂😂
Ndio unaposhangaa hii nchi yetu,mtu kama mwanri eti yupo nje ya mfumo
Alistafu mdatu@@hassanhancha1413
Baada ya magufuri kufa huyu jamaa alikataa mambo ya siasa sasa hivi ni mtu wa kanisan
Nani ameangalia hii baada ya Dr Magufuli kutangulia mbele za haki, like tujuane.
Mimi hapa
Mimi nipo hapa Leo tarehe 5 may
Yani nakumbuka mbali sana
Naungana nawe leo tarehe 12 May, namiss mzee wa Toronto kama navyomiss sana JPM!!!
Mm hapa leo tarehe 13 may tena kwa kilio km amefariki Leo
Huyu mzee nampenda kwa sababu hana shida nawanasiasa anachapa kazi mungu amubaliki
Naitazama paka keleo 28/3/2021 Niachie like yako
Mimi hadi Leo hii
Mimi naiangalia leo pia
Huwezi choka kumsikiliza Rc Agrey Mwanri. Nimesha sikiliza hii clip zaidi ya mara 5. Na sitachoka kurudia kusikiliza. Hongera sana Mheshimiwa mkuu wa mkoa
Nisije nikakukosea adabu mkuu! Hebu nipeni like jamani maana nimecheka sana!
jamaa ni kichwa sana japo unaweza dhania kuwa ni comedian but lina akili nyingi sana na liko very brilliant kwenye kaz
Toronto ya Tanzania. Big up Mh Rais kwakumteua huyu mzee. Tuletee huyu mzee hapa Manyara.
Hahaha unataka aje mamyara ndugu
Aiseee akuje kweli
kabisa. huyu mzee ni mchapakazi
Toronto I have to be there.
Kweli amletee manyara
Mimi namkubali sana Mzee wa Toronto, mchapakazi mwanzo mwisho alafu yupo makini, kumuongopea ni ngumu mno
Rais John magufulini ebu mlete huyo mkuu wa mkoa Rukwa ,mkoa huu umezubaa sana ,auchangamshe huyo mzee wa Toronto Ni kiboko
I am from kenya but yes he is doing great Tabora is growing
Duuu mkuu wangu huyu huwa ananibariki sana. yaani hata kama amekasirika utacheka tu. Barikiwa mzee wa Toronto.
Hebu nikuulize unaishi Tabora hebu niambie kuzurije
Sijuwi kwanini hajapewa ajila mmm
mzee wa vituko Mungu ampe maisha marefu
Nataman tu skku moja nikutane na Mh. Magufuli walau nimshike mkono wa kumpongeza. Mungu akulinde Rais wangu na vibaraka wrote na wasokupenda wote no wachawi
Mh mkuu Mungu azidi kukuinuwa katika viwango vikubwa zaidi
Good intelligence of a such leader💪
Mwanri anaongea balaaaaaaaa duuuuu full comedy
Comedy lakini kwa vitendo ni balaaa
SuKuma ndaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...... I Love ToroNto💝💝🇹🇿💝💝
Tulifurahi sana enzi zenu jamani, ila ndo mapenzi ya Mungu
Amefariki kwani huyu mkuu wa mkoa
@@suzansuzanei1143 hapana yupo Ila kwa Sasa sio mkuu wa mkoa ,alitaka kugombea ubunge akashindwa kwa kura Moja.Kwahiyo Kwa Sasa ni barozii wa zao la pamba na Mwinjilist Kanisa Fran hivi la tabora
Yupo hai
Yupo hai
Yaani saa hizi tungekuwa kama Ulaya😢
Big up sana mwanri👏👏👏
Hongera sana mh. Mwanri kwa hotuba fupi na nzuri.
Sijui kwa nn walimpa uaraisi Samia SULUHU sibora wangempa Huyu mzee wa Toronto yupo vizur Mashallah
Yaani sikipendi hicho kimama
Nchi yetu ingeendelea sanaaaa
@@salmaalimusa6809 haaahahahahaha
@@daudinassibu743 tucheke tufurahi ndg
@@salmaalimusa6809 ndo lais na sio rais haaaaha
Briliant and exellent speech.
Magufili he was my hero RIP
Agrey Mwaniri kagombeee tunatamani kukuona Bungeni kwa Mara nyingine bado unafaa kuisaidia nchi Nadhani kusitafishwa kwako kuna maana plz do it Dad I love so much natamani kuwa kama wewe
Wangp Wana Amin manwali ndo kiboko ya maguful
Huyu anae hadi anavotoka madarakani aisee
@@atikombogolo2356 umeonaee
Jacklin amani me hpa
@@dhahajongo9049 kweli
Hiii
Safiiii Mzee Wang nakukubaliiii kinyamaaaa
Kiukweli katika speech zilizobamba na zitabamba miaka nenda rudi ni hii.. Mwanri ana uwezo mkubwa mno Tena sana wa ku capture mindset & attention za watu. Magu mwenyewe hapo anasaluti 😆
East Africa will never have a President like this. Whoever instigated Rais. John Pombe Magufuli's death, his or he's 10 generations will only see trouble. Rest well my hero
Covid killed him for his obtuseness
Nampenda sana huyu mzee
Absolutely true,! He did a great job in Tabora .
RC huyu nilikuw namuelewaga sana hata cjui wamempeleka wap
Dah kama unastres zinaisha zote hongera baba unakipaji cha kufurahisha na kuongea 😂😂😂😂😂😂😂😂
Katika wakuu wa mikoa ambao huwa na furahishwa na kazi zake ni huyu wa tabora kiukweli anapiga kazi vizuri sana
Aggry Mwandry, ni mfano wa viongozi shupavu wanajua Kucheza na opportunities. Kiukweli raisi amefanya kazi kubwa na mkuu wa mkoa huyu ni mfano wa kuigwa Kwa kweli... Hongereni Sana viongozi wa nchi
TORONTO'S PEOPLE MPO...🔥🔥😂😂
JaxBoy TV safi sana mkuu
😂😂 tupo brother
The best speech I never heard
09¹
Nakuheshimu sana mzee upo vizur sana
This guy is just so smart. 🇰🇪
Wangap wanangalia had sasa video hii tujuane
8/7/2021
28/7/2021
Upo vzr ktk kuwasilisha mzee
Tanzania you have a real visionary leader.The real sukuma ndani
Rais Mama Samia mpe huyu jamaa Mkoa mmoja tufurahi.
Mzee wangu Mungu akuweke sanaaa
Yaan Mzee Unaongea Kama Unatafuna Halua Tamu Isiyokwisha utamu
Atafanyaje sasa wakati MC kamwambianana dakika 3
@@otmarykiowi4132 hahahahhaaaaaa
Daaah kwa kweli @Otmary
😂Nampenda sana huyu Mzee wa Toronto huwaga ananifuraisha mpaka natokwa na machozi ya furaha, Good job Mzee Mwanri
Mzee wa Sukuma ndani🤣🤣
upele umempata mkunaji....nahamia torontooo
😂😂
Naomba rais amrete morogoro uyu mkuu wa mkoa
samson samson nicee
Moro she afanye
Namupendaaaa Sana ningependaaa au mkuu wangu wa mkowaa wangu yuko vizurii Sana duuhuu h
Much love from Kenya 🇰🇪 ❤
Woyoooo Jaman karibuni sana Torontooo, nakupenda bure Agrey
Nakupongeza sana mwanri kanyaga mafuta hivyo hivyo .
Vizuri😍😍nimependa sana
Magufuli simama😭
Chacha mambo
Hahahaha umetisha mzee wa Toronto huwa nakukubali sana.
😂😂😂😂 mwanri sijui anakuaga amepata mvinyo kidogo manake anafurahisha. R.I.P mkuu Magufuli
JMP flesh air of Tanzanian politics....mpaka raha...
safiiiiii
huyu jamaa atahusika kwenye kampeini kumsaidia mkuu... yuko vizur xn wana tbr tusiame
nahamia Toronto...lol
Jamani morogoro lini mamikoa yote naona kama mamizigotu sijuikunaninitu jamani
Nkbl
Dahaaaa nampenda sana Mzee wa torontooo
Heheheeee!! Kama umemwelewa mkuu wa mkoa wa taboraa kama mimi gonga like🤣🤣🤣
Hiyo speed ya kuongea utafkiri umesetiwaa au ulipita studio nini? Endeleaaa kusuquma ndani wahalifu
Umeonaee hamezi matee
🤣🤣🤣🤣😂
Na sio maneno tu anaongea kwa speed with numbers
MZEE WA SUKUMA NDANI OYEEEEEEE
Unazingua sasa
*dah uyu jamaa ni noma anaongea faster kama kameza wasafi studio*🔥🔥🔥🔥🔥
Cruzzy MsomaliTM SIHA tunakusubiria mbuge wetu
Motherland ❤
Mzeeee was sukuma ndani😄😄😄😄😄😄🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💥💥💥💥💥💥kura yangu nakupa bure kabisa. Unapiga kazi sana.
I love you mwandy uko vzr mnooooo Hawa ndiyo viongozi waliotuachia historian bhanaaaa
Hongera sana Mhe RC tabora uko vizuri wewe ni shujaaa hata prezident anakujua kuwa wewe ni shujaa tunaiombea kila raheli Toroto
Itifaki imezingatiwa. Protocols observed 🇰🇪
mungu anakuona Mzee wa sukuma ndani
Sukuma ndani natamani nahuku🇧🇮🇧🇮nione mvi Kama yamzee wa Toronto tabora magufuri wewe nijembe dunia nzima Mimi Ni MURUNDi nikionana nawee face to face nakupa Laki mbili atakama wewe nimweshimiwa kwasababu wewe nijembe dunia nzima 🙏🙏🙏ww Ni number ☝️✔️✔️✔️✔️✔️✔️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊👊💪👊🏋️🏋️🏆🏆🏆 wabongo mungu awape Nini? 👊👊
Anaesema ni comed apite kulr anatiririka vzr mnoo hongera mzee
Mimi nakuombea uwe mhubili wa injili safi sana
Wazo zuri sana
Imetimia
Naomba mungu anijalie mume wa Toronto nikapaone
Toronto mpya hyo
This guy is an eloquent and gifted orator!
One of the best orator very smart
Dah, Mambo yetu ni bambam🤣🤣 likes nyingi kwa Mzee wa Sukuma ndani tafadhari........
Mhhhh!!!! Hahaahasss sukuma ndaniiiiiiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ongera Sana mkuu
Live long Mzee wa Toronto!
Safi sana
Mzee mungu Akutunze Amina
Huyu jamaa ni shida anaongea fluently kama mchina
Aiseee ardhi inafukuliwa hadi inalia!
Sisi wa Toronto tupo swafi. Maisha ni motooo
Hapo imebidi magu acheke tuuu😂😂😂🤣🤣🤣
Safi Sana huwa nikusikiliza lazima nitabasam
Am kenyan and am moving to Tanzania..bambam
Njoo ukione cha mtema kuni
@@albertjames6845 utadu?
Very nice
daaah.. uyu jamaa n atareeeee sana.. aya toronto tujuane apo wazee
Nakukumbuka sn Rais wangu duh pumzika kwa aman.
Best ever !!
hyo Toronto vepe...ntaenda niioneee
Kwanza anavyo ongea t ana jiamini na kile anacho kisema nikiongozi wa maana sana huyu mzee ni mchapa kazi hakika
4 sure rais wetu anastahili sifa jpm is the first among the best.
Haswaaaaaàaa
Saradini
I lv you bab aggrey mwanri hkik tutakumic kwnn umestaafu jaman
Nampongeza🎤🎤🎤🎤🎤🎤
Salut to you mheshimiwa
Hii ndio video ya kwanza kuangalia na kuvutiwa kwa huyu mkuu. Toka hio siku ilibidi nitafute kumjua zaidi. Mtu wa ajabu sana. Namfuatilia sana, watu wa tizedi nawaomba mpeni huyu kiti aongoze nchi.
Enzi hizo kulikuwa na mbwembwe na vicheko kwenye uongozi Mungu awabariki
Huyu anafaa kuwa mwana Habari wa Ikulu maana anaweza.
Gud saana
Mange Gervas
Toronto 🔥🔥🔥🔥🔥😆😆😆
Tanzania in love
Mwanri umetisha rais mwenyew imebid acheke
Daaah hakika serikali ya magufuli ilichangamka sana
13hrs ulikuwepo mzee ....dah tunamis ving sana awamu ya 5
heee sasa mbona shilole amehama arudi nyumban kumenoga