Mashallah kazi Zuri.san kumbe Jiji mapacha Tena ya kufanana San hatariiii tukifanya mchezo ss wanawake tukiwa wote na Hawa mapacha tuweni makin Bora mm nibaki na mabuti wangu mm karibu omani mabuti wangu
Movi zuri san kama mvua ya usiku jaman usichelewe bas kutoa mwendelezo hila nakupend unvyoyowa like kwa wadau wako mumgu akuweke na mm nataka kuigiza lakn nisalimy mabuti lazz
Aka kadada kajude mumpe nyani gwegwe asitusumbulie dube wetu ntamfumua 😂😂😂😂😊
Amna baya wanangu
Waaah hii noma sana Alafu ww Dubu nakupenda bure kitoka kenya😂❤🎉🎉🎉
🙏🥰🥰
😂😂😂😂 Nyani ngwengwe na udugu wake mganga mmetisha wanangu
MUDA WA NYANI NGWENGWE KUFA KWA NGOMA 😅😂😂😂 Alafuu nyieeee😢😢😂😂
Very good Dub kwa kazi nzur unayo ifanya sisi ni from buja Burundi🇧🇮
🙏🙏
Aky mmeweza hii movie safi sana.ila mnachelewa sana❤❤❤
🙏🥰
Wow nice movie much love from kenya 🇰🇪 musitucheleweshe tena
🙏🥰
Wa kwanza leo kama mnamwamini dubu mpeeni mau yake🎉🎉🎉🎉❤❤❤
🥰
@@OfficialDubu_tz lançar agora eu Sto mal de história 😢😢😢😢
Mashallah kazi Zuri.san kumbe Jiji mapacha Tena ya kufanana San hatariiii tukifanya mchezo ss wanawake tukiwa wote na Hawa mapacha tuweni makin Bora mm nibaki na mabuti wangu mm karibu omani mabuti wangu
Kazi nikazi watu wapambane sana
Nyan ngwengwe unanipaga raha sana 🙌🏻😂😂😂😂😂 mwenyez Mungu azid kuibariki kaz ya mikono yenu❤🙏🏻
Amiin Inshaallah 🤲
Haaaa haaaaa haaaaa nmefrah kumuona midabangulo kua ndio baba dube wa ujananji😂😂😂
🤣🙏
Wow❤❤❤, nilikuwa naisubiri Kwa hamu ahsanten🔥🔥🔥🔥🔥🔥.
🙏🙏
Kazi nzur,big up
Hongera Sana Team Dubu Nawapenda Sana 😢😢❤❤❤ From Burund 🇧🇮♥️♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹
🙏🥰🥰
Always for Nyani Ngwengwe 😅
Nimependa kuwaona kina kalista❤❤❤
🙏🥰
Wa kwanza kutoka Kenya nipeni like zangu🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri saf sana nakubali
🙏
Mmmmh kumbe mukumba njo alimuibaga mtoto madkini pole sana mm dubu
🙏🥰
Kaz nzuri udugu wetu tunasubiri ya sita kwa hamu❤❤❤😊😊
🙏🥰
Kazi nzuri ❤❤. Nawakubal sana.😅
🥰
Duuh chombo inaenda kunoga sas
Utunzi mwingine bhana MTU anawaza ana mimba ikatoka akaolewa na akapata watoto wengine ila nguo hajabadilisha 😂😂😂😂😂
😂😂😂htr lkn ndo tunafatilia
Dubu vipi za kazi Yani uko moto moto 🔥🔥🔥❤😂 saluty sana From Mozambique 🇲🇿
🙏🤝
Wewe ni fimbo courage 🎉🎉🎉🎉
🙏🙏
Nimemuona Khalist Midambanguro a.k.a Kiboko ya wadada wenye tamaa
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 Mungu akubariki kaka unatupa raha
🙏🥰
@@OfficialDubu_tzbro mashallah ungekua umemuoa hajra mwanamke mzuri sana mashallah atulia sana
Kaka dube pongezi sana
Aisee mbona madogo sijawaona leo huwa napenda uongeaji wao dah
Nakubali nilkuwa nasubr kwa hamu sana asante sana kaka pia nimekuwa wa kwanza like hapo sasa 🎉🎉🎉
Nzuri sana ila mnachelewa sana kutoa kazi
Asante San dubu ,,,,kaz nzur n Allah akujaalie Kila her ktk kaz zko
Amiin Inshaallah 🙏
Afu wew Nyani Ngwengwe yani umetisha sn Pia Na Mganga Amapiano hakika Na wakubali sn,Maana Dubu yeye ndo Teacher Heshima Kwake ✌️💪
Sanaaa Dubu Nakubali
Nimefulahi kumuona Khalist na Huyo mwenzake wa Lasi
🙏🙏
Leo nimebahatika sana
Nyani ngwengwe umekutana na chuma
Yaani ni tamu sn jamni pongezini 🥳🥳🥳🥳😘
🙏🥰🥰
Kazi nzuri ajabu
🙏🥰
Mnachelewa sana sijui ni ramadhani nyani ngwegwe🎉🎉🎉❤❤❤penda sana
🙏🥰
Safi sana🎉🎉🎉🎉
🙏
Kazi mzur
🙏
Bro sahivi hii muvi huwa naisubiria hii muvi hadi leo imetoka nimemshukulu Mungu
Big up kazi nzuri
🙏🙏
Mbona kalist midabangulo ajaonekana vizuri
Wakwanza .miye jamen
Dubu asante sana na tunakupenda sana uzidi kubarikiwa
🙏🥰🥰
Ila #elly stam kijana wa buza ni muhuni popote😅😅😅 ila khalist midabangulo nae pia yupo😂😂
🙏🤝
Wa kwanza Leo nipeni like zangu
Mm leo wakwanza
Kazi nzuri team dubu
🙏🙏
Nilikuwa naisubiri kwa hamu sana kaz nzur Allah akufanyie wepesi ktk kaz zako
🙏🙏
Hii film kali jamani inachekesha pia 😂😂😂 mastar watupu
🙏🙏
Udugu film zako nzuli sana napenda haswa huwezi Amini kua naziangaliaga malambilimbili ebu usiwe unazikawiza bs ❤❤❤
🙏🥰
Biti zuri sanaa
Pia story nzuri n uigizaji kaka
🙏🙏🙏
Udugu Wangu Mganga Like Kwa Nyani Ngwengw
Alafu wewe
Alafuuu weweeee😂😂😂❤
😂😂😂
Kubafuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Show yenu hukuw tamu ever...congratulations my people, from Kenya @mt Kenya region @
🙏🙏
Nakukubali sana mwanangu hujawahi kuniangusha
🙏🤝
Kumbe kijana mibadanguro ndio kauawa na mwanae😢😂😂😂😂
Nzur ila mnachelewesha sana
Mv nzuri sana 💞💞
🙏🥰
❤️❤️❤️❤️love kipenzi chingy nimependa Kaz
🙏🥰
Mzee wa midabangula😂
🙏
Wow hii ni kali kabisa bro hongera 🎉🎉❤
🙏🥰🥰
Ino movie tamu mpka ua stamani hiishe natakama episode Moja inakuwa 1hr 30min😂😂😂😂 dubu tuongezee dakika kitu kiko fire 🔥🔥🔥 mbaya nakukubali broo
🙏🙏
Da sjakomenti skungingi hadi nimejionea vivu dubuu soon nakuja kwa mume wangu nyani gwegwe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣
Weee ngwengwe umepigaje apo😂😂😂🎉🎉🎉God job my brother Dubu na team yako❤❤❤
🙏🙏
Kazi nzuri sana dubu ❤❤❤❤
🙏🥰
Hongeren sana
🙏
😂😂i love you nyani ngwengwe nawaona nawaona😂😂😂
🤣😛
mnachelewesha sana jamn duh msifanye hivyo ila nawapenda sana❤🎉
🙏🥰
😅😅😅😅pale bien😅😅😅😅
Much love from 254❤❤❤kazi nzuri sana nyani gwengwe sura langu ntalieka wp alafu ww
😛
Kuazia leo simuamini kibonge yoyote 😂😂😂
Nakukubar sana dub
Nyani ngwengwe alafu wewe😅😅🇲🇿👍👍
Wazee nimechelew sana ila Wacha nikoment Kwa mchaw wa kizazi kiby nyaningwengwe rastaman ww huogop😮😮😂😂
Khalist mzee wa midabanguro kazingua hii muv hayuko serious kabisa
Mzee Wa midabhangulo Ndani 😂😂
🙏
Final nimemjua Diba ongera sana Dubu. 🎉🎉🎉
🙏🙏
Wow amazing bravo 👏 👏 👏 I love this movie bravo 🎉🎉🎉🎉🎉
🙏🙏
Jamniiii nimechelewaaa kumuona mchaw wa kizaz kipyaaaaaa😂😂😂
🤣🤣🤝
Leo me ndo wa kwanza na omba like zangu❤
Movi zuri san kama mvua ya usiku jaman usichelewe bas kutoa mwendelezo hila nakupend unvyoyowa like kwa wadau wako mumgu akuweke na mm nataka kuigiza lakn nisalimy mabuti lazz
🙏🙏
Wakwanza Leo naomben like
Dubu udugu wangu kazi nzuri sana mungu akutangulie katika KAZI zako
Shukrani sana na wewe pia🙏🥰
Huu ndio muda wangu wakupta madem😂😂😂😂alafu wewee❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
😛
Kazi safi dube❤❤❤❤
🙏🥰
Kaz nzur sana
🙏🥰
Wooow so amazing aki I love you guys watching from Kenya but na miss sana mtumishi moto 😂😂😂mdomo koma😂😂
🤣🙏
Dubu umeweza sana
ila dubu mwachelewa alaf time mwaeka kidogo nae😊....
Kaka dube pongezi kwako🎉❤❤
🙏🥰
Jamn Dubu unanibalik kwakwel na kz Ako nzuli💪💪
🙏🥰🥰
😅😅😅jaman ww muda wangu huu😅😅
Siku ya tisaa Leo, duu broo waangalie kina kicheche na clam wanavofanya asieee tunasubir Sana aisss
Daaa Mnisamehe sana ila kuna mambo tunayapitia hasa sisi ambao bado hatujawa wakubwa ndio maana tunashindwa kuwahi ila hatupendi kuchelewa🙏
Una chelewa sana mim apa naongea nyani ngwengwe nguruman bafeto afu wewe 😅😅😅
🤣🤝
Mashallah ❤❤🎉nyani ngwengwe
🥰🥰
Like zake boy wetu kwa kazi yake sekunde ya 45
Akiri nyingi sanaa🔥🔥
🙏🙏🙏
Ahsante sana dube
🙏🙏
Ahsanten saaaaan ,,ep ya 6 kw ham saaaana
🙏🤝
Jamani dubu mnachelewa sana kutoa episode
🙏🥰