VUNJA BEI AVUNJA UKIMYA KUHUSU NIFFER KWA MARA YA KWANZA / AFUNGUKA KUMSAMEHE
Vložit
- čas přidán 14. 12. 2022
- VUNJA BEI AVUNJA UKIMYA KUHUSU NIFFER KWA MARA YA KWANZA / AFUNGUKA KUMSAMEHE
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Zábava
Huyu kaka hata hajisikii kabisa masha Allha 😘🔥
Uzuri wa jamaa ajisikii kabisa kabisa.yuko kawaida sana.mungu akuongoze mkaka
Kama ni kweli mhe joketi amezalia hapa, salute kwake👮♀️.. Jamaa kapoa we muache adange ila Umejua kuchagua🤓🤓
Love you vunja bei🥰
Huyu jamaa ni genius sana
Yaani huyu vunja bei yuko vizur sana yaani kapoa hana kelele anajibu kutokana na maswali anayoulizwa wala hajimwambafai yupo kama muha wa kigoma!
Kaka uyu ni genius sanaaa i love youuu
This is so intelligent I appreciate so much
Wema ame ingiya kwenye familiya na ku unganisha watu
Ndo sifa ya mwanamke 😍😘
Saaafi saana Fred amemkubali Chimama👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🥰😍😍😍
lla vujabei bhana 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌 ana kicheko cha KIBOSS sana 👌👌❤️❤️❤️❤️
Ni boss ndio pesa anayo ana xhida gn
Saana yaan hatumii nguvu😅😅
@@salomewandya7257 👌🤣
Rich and humble 🙏🏽♥️ thats why he keeps growing.
I like it
Good
Bos kama bos ...vizur sana
Kajibu kisomi sanaaa.woow
Asante kutuletea duka zuri.
👍👍👍👍
Binafsi namkubali sana Fred , nataman uwe tuu joket uache yote Kwan maisha ndo haya haya tuu kaa bana na DC wetu mm napenda mkiwa pamoja
Kheee Matunda ashakua yule dada jamani nyie mapenzi haya 😂😂😂🙌🏻
Very gentle nakupataje Fred nipate ushaur wa kibiashara
Mmmm
Very intelligent man
"Ninatakiwa niwe kwenye kushukuru" we vunjabei😍😍😍
👏👏👏
Hili jamaa linaonekana lina madigrii kwa sana
nakukubari mwamba
Nakukubali sana kibiashara Kaka ww na mond mnajua kupambana
😡😡😡😡😡😡
Mashem noma sana
👍🙌📌
Fred 💎💎💎💎
Sawa fred
🤣🤣🤣 mashem Shem🙌🙌
🤣🤣 as a team wamesamehewa
Nkajua Mikono ya alliya imeshika mic🤣
kusamehe ni jambo zuri
Msomi ni msomi tu fredy huwa hakwep swali anajibu nicee
Tyrese
Vunjabei na niffa Tena situmekubaliana fungal mwaka harmonize na kajala 🤣
Angekuwa kaka yangu huyu ningechota sana madini kwake
Tunajivunia natunashukuru Mungu kwakweli
umazaliwa kupambana na kumcha Mungu na kupata mahalifa acha ushoga
Tuache unafiki this man ni zaidi ya mo kwa vijana wanaotafuta maisha ana madini kwa entrepreneur
@@ramamrutu4914 hujakosea kk wenye chuki hawaelew
Yaaaani pesa haina kelele
Jamaa yuko simple sana
Mtangazaji sauti kali sana
Mpk anakera
Mashemshem😂😂😂😂🙌
Huyu kaka ana akili sanà
Huyu mwamba ninahamu Sana kuonana naye ili angalau nipate hata Kijiko kimoja cha Madini ya upambanaji hasa kutafuta pesa. VUNJA BEI
Ahhh
Utafirwa wewe
Jiamini umezaliwa kushinda ..kumcha Mungu ni chanzo chamahalifa
Nenda kidimbwi utamkuta
Sema jamaa yupo sirious iv ayupo kweny chama kweli cha freemason mana mmmmh 😁🙆♂️🤭
Nataman siku moja uwe Rais wa Tanzania kaka yaan husikii wala nin 🥰🥰
acha ujinga wewe 😂
Nitaacha nikikua🤣🤣🤣🤣🤣
mpambano uendelee🤣🤣🤣🤣
kaka njoo kwenye beti kaka kama una bahati ya kushinda maana mikeka huku so poa yan njoo utupe tips
Ccm ni Yanga achana nao afu huendani nao ishi na Chadema bro
Mawazo yaki kolo tuu
Ok vunjabei
As a group😂😂 wamesamehewa
Wote kwa pamoja kwa umoja wao wamepata msamaha
😂😂😂😂😂
Vunja bei ana akili kubwa
Uzuri wetu wakinga tunasambaza upendo hatunaga vinyongo
Hivi na king msukuma nae si ni dokta eee
Sisi tunasapoti had mwisho
Mtangazaji anamikono yakike kweli😁
Wewe nae mchunguzi😂😂😂😂😂
@@rukaiya86 🤣🤣🤣🤣
😀😀😀
🤣🤣🤣🤣 kwakwer
😀😀😀😀😀😀
Mbona hajaongea vibaya,,Tunda amemtukana bure huyu kaka
👊👊👊👊👊
Huyu mwamba namkubali sana
Sasa kama hapo amejichubuwa huko mwonza alikuwaje
😀😀
Mwanaume gani anakuwa na mikono ya kike hivi?
Mapenzi ya MITANDAONI,NINYAUNGO KABISAAA! Mnawaharibu saana VIJANA WA LEO HIZO zenu ni FILM sio mspenzi 👀
🥴🥴
Whozu ni ndugu wa Fred Vunjabei? Wa kuzaliwa tumbo Moja? Maana Whozu hiyo rangi ya ngozi sijui ndiyo ya mama au Baba.
Hapana ni mdogo wake frank knows
Whozu n mdg wa rafiki yk vunja Bei apo anaitwa Frank kwons
Hawana undugu
hahaha no whozu anakaka yake nae ni mfanya biashara mkubwa na nimarafiki wakubwa na fred so whozu anamuita fred kaka kupitia kaka yake huyo wa damu
😝
Nilishawai kumuona muwembe yanga huyu fred na team yake ya to much money wakikwenye gari sema namkubali sana
Mzawadie nduku bas 😁
🤣🤣🤣
Vunjabei si mtu wa madrama ila mnamlazimisha kuwa mtu wa madrama kwa kuokota umbea kwake...ila ni mtu anaeweza kuwakabili waandishi wa habari kwa majibu yake ya mkato
Bonge la interview
mtu msomi hutamjua tu hata anavyoongea.
Mwinjaku jeevsio mdomo😂😂😂😂
Kwakweli hata anavyoandika tu utamjua huyu sio msomi
najiuliza watu walio toka kimaisha kwanini wanakimbilia Chama cha mapinduzi nasivyama vingine? jibu nimepata nalo ni moja tu (ubinafsi
Bado hujapata jibu n kuwa karb na watu wenye nguvu ili kulinda mali zao
@@musason1680 jibu ni hilo... watanzania wana ubinafsi sana kwamba kwasababu wao tayari wameshatoka kimaishana, basi wanaona hakuna sababu ya kuwasemea watanzania wengine wenye hari ya chini ambao ni wengi.ndomana kila mtu akitoboa jambo la kwanza ni kulipia kadi ya ccm
Ubinafsi si Sana. Kikubwa wanajitengenezea ulinzi wa mambo yao. Ukiwa chama pinzani, ni rahisi kupotea ktk kila utachokifanya.
Ramadhan hii watu wanakimbilia kule ndo kwenye usalama wa biashara hadi mali zao maana viongozi na watu wanyazifa za juu ni rahisi kuwasiliana nao endapo mtu utapata changamoto.
Sweety heart Fredi nakupenda sana sauti muonekano wako rangi yako lakini sura mmhhhhhhh no comment huna kabisa ila mengine ilove it
Ukitaka sura utakesha sana
@@safiyatheonlything7848 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Kama sura umba wako
@@jazeerajuma5014oyanimesema sura sijasema mbaya wala nzuri kwani shida ipowapi
Kinacholiwa ni chini sio uso mi naona sawa tu jamani au vipi wadau
Angalia mikono yake amejichubuwa
Langi yapesa hiyo 👌😍
Duh.... Sasa kajichubua na usoni mweusi😂
Hujui nyamaza
Kajichubuaje mikono sura asijichubue wabongo bana khaaa
Tafuta pesa acha shobo .kujichubua pia ni dalili ya utajiri .bila pesa huwezi
Good
Good