Jenifer Kyaka & Hemed Suleiman MKWE 1
Vložit
- čas přidán 4. 10. 2021
- Jenifer Kyaka & Hemed Suleiman
Familia nyingi hukubwa na ugovi baina ya wazazi na wanandoa na watoto wao, ugomvi baina ya wazazi na watoto wao umepelekea kuzuka kwa visa,chuki,na mpasuko mkubwa kuhusishwa na imani potofu na ushirikina. - Krátké a kreslené filmy
Hivi wabongo lini mtakuwa serious kwenye kazi zenu, muvi nzuri sound kelele tupu mara dj mix mara inamute Yan hamkui tu
Movie ni nzur lakn saut za kuongea aisikik tunasikia kinanda ahsante hemed Suleiman na Jenifer kyaka kwa Kaz nzur
Hii movie nliichek 4yrs ago na 2021 nkaitafuta sana xkuiona, leo naiona yasema 1month ago mbna🤷♀️ na part 2 iko ap🥺🥺
Msomaj comment kwanza hii siangalii nasikia hakuna saut😂😂
SASA MBONA NI MZIKI TU SAUTI HAMNA
Wekeni part2 this is one of the best Bongo movie😊naipenda Sana Ila inanilizaga Sana😫
Movie nzuri sana but mume tu tia aibu upande wa sauti,,, bongo rekebisheni sauti bwana!!!
Wale tunao soma comments ndo tuangali moves tujuane
Alaf emed anapenda kuakt na uyu tunu mnapendeza ataivyo nawapnda
Wow beautiful ❤️❤️
Uyu mama jamani ninamupenda saaaaaaaaana mama mkwe wangu ❤nakupenda muno
Hemd wap part 2 nice move
Tunataka sauti ya washiriki sio muziki, imeniboo Ata siangalii tena 😏😏😏😏😏😏
Tunataka sauti ya washiriki
Move inafundisho sana hii jamani aya maisha haya yapo kabisa asanteni sana kwakufundisha jamii
aki amna sauti😊
Tuleteen part 2 bt volume munatuboo iko vzr sna ❤️❤️
Wooooh ❤❤❤🎉🎉
Mbona hakuna sauti? Lkn movie nzuri i❤ it.
Jamaniiii sautiiiyyy tienii tuleteeniiiiiyyyyy,nyenginee akaaaa,,
mnafanya nagnga simuu itoe sautii lakin daa enyway iko sawa move
Movie tokea mwanzo hadi mwisho ni music only!!
Banaeee waboa mpaka basi
Jamanii Anna anatumia huawei
Mbona Hamna sauti.mi nko hapa kuskiza manenos Wala sikuangali movements
Hio hii music yao sijapenda tunataka kusikia maneno
raha ya kuangalia move usikie wanacho ongea ila tunsikia vinanda tyu
Kaz nzur ila saut hakuna
jaman apo to wamearbu lakn move kali
Sijatizma na wala sitazmai tena km Hamna sauti
I hate this muted scenes😢😢😢😢 to make it worst it’s very loud😢😢😢😢😢😢
Dj unazingua kinom bna unazidisha
Alie edit hii movie ananikwaza...watu wa bongo movie mmekariri sound track huko background Yan limuvi linapiga kelele saut znainguliana kwa Haya Huwa hamyaon kabla ya kupost hizi kazi....mnajiharbia wenyew halaf kesho mseme watanzia sio wazalendo hawaangakii movie zenu....mi nmeipenda hii movie ila siangalii nimepoteza mb Zang Bure tu naskia kelele tupu watu wakiongea nyie mnaweka sound track . ....kama hamuez kazi achen kutupistia ujinga ujinga bwana.....
Congratulations
Filamu nzuri nltee party 2
Suleiman uwanga unatoa movie tamu lakini hili iliharibiwa na ,,,sauti hamna ni wimbo
Nimeipenda hiyo
Dahhhhh nilikuwa naitafuta kwa ham Sana hiii
Film nzuri sana kabisa
Mh mna yumba mtuludishie mb zetu
Sauti hamuna, utamu wa movie ni kuskia watu wanasemaje😏😏
Tutumieni hemed sul weiter
Nyinyi watuwangu je vous aimes plus forte
Sautiiiiii hamuna
Mbona sehemu zingine sauti haipo?
Ssa hii movie bila sauti ilkwa na maana gani kuiweka huku tafadhalini launch before ikuwe official ndani ya youtube
Hii movie itakuwa waliiandaa kwaajili ya viziwi na mabubu
😂😂😂😂😂😂😂😂mungu anakuona
By the way mko na shida na voice to your movies, it's almost zote? !!!!
Mmeferi sauti bhana
Wasenge nyie mbona amna sauti sasa mnatuekea muziki
part 2 plz
Futeni hii movie coz sisi twataka kusikia maneno si music. Hata ileti shangwe. Nyie actors musirudi kwa hio studio tena
hii part 1 mushafeli na sauti sijuwi iyo part maana ata sikuimalizia imeniboo sehemu nyingine akuna sauti
Mbona sauti mmekata kata Sana
Asanteni
Movie nzri bt mume boesha sauti
Wbogo mna boo mziki uko juu huskii chochte
Bora niangalie Hollywood zangu
According 2me u guyz think ur the only producing movies online, , coz this is my third complain on ua movie. Am a kenyan bt complaining frm Somalia Kismayu.
kazi mnzuri_jamani_ongereni_washiriki_wote
Mziiki tu sauti hamna
Mwendelezo lini
Hamna ishu kaz mbovu cc hatuna shida ya mzik tunataka tuskie kaz
Mnaweka movie nzuri lkni sauti mbovu.
Saut mmezingua san jmn
Mm sipendi kuangalia sinema bubu nimechoka km hamjarekebisha situpi mb zangu bure
Ovooo bila sauti ndio maana hamwendi mbele
Labda smu zenu znashds mbona saut nikubwa jaman
Part 2 pliiiz
Sio ukubwa wa sauti kuna sehemu sauti hakuna ni kama mabubu.
Nampenda huyu dada hatari
na wewe sijui kaka ou binti mwenye hii channel bongo cinema. jirekebishe bana. movie zako nyingi bana zina ubovu wa sound? ao izi views zetu tuzibebe kwenye channel nyingine?😡😡😡😡
Mnaboa sana
Muvi mzuri lakini sauti hainogi
Kindly guyz simchange hii tabia! !!,,,, movie bila sauti? Hatujasomea sign laguage plz?
Kwakwel movie nzr ila sauti hkn shd nn 7:03
Mbona hamna saut
Bongo rekebishen move nyingi zenu sauti tatizo
Filamu iko sawa lakini sauti
jamani movie nzuri sauti hakuna ,part two basi twataka
Sauti kubwa
Kwakwel movie nzr ila sauti hkn shd nn
Dj unasinguwa
Movie gani ambay Haina sauti
Movie poa but sauti hapo ndio mwatuboesha
Sauti jamani
Sauti sijapenda
Kila mmoja analalamikia sauti hivyo bc sioni haja ya kutazama
Yani mnaboa kweli na misauti yenu, hivi mnakuwa na mtu wa sauti na mnamlipa Kwa ujinga huu
Sauti plz
Mutania film nzuri lakini sauti hakuna
Sasa munaweka miziki ya nn badala yakuweka sauti mnakazana na mamiziki tu
Bien
Siku hizi naona n movie zote hazina sauti
Sauti jaman
Saf san
Jitaidini sauti
Hiyo volume wapi hatimusikiii
Mnaficha nn kwenye saut wakat nyiny ni wasanii wakubwa?
Mbona sisikii chochote ni mziki tu🤔🤔🤔🤔
Ni hatari
sauti mnakwama_ wapi
Movie nzuri lkn miziki mingi hatusikii wanaongea nn
Kwa nini hamna saiti
Sauti inaboa bhana
Kwani hzo sauti mkitoa inakuaje mfyuuuuu