Lissu na Ndugai WAKUBALIANA: "Nchi ITAPIGWA MNADA"

Sdílet
Vložit

Komentáře • 53

  • @charlesstanslaus371
    @charlesstanslaus371 Před 18 dny +7

    Wana Chama, Mashabiki na wapenzi wa CHADEMA wahauriwe, na muwahimize wakajiandishe kwenye Daftari la wapiga kura ili CHADEMA ijihakikishie ushindi.

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg Před 17 dny +3

    Mzoga haukosi inzi,kama wewe ccm itakuchoma sana maana watu wamechoka mpk watoto wadogo,hawana la kumjibu kwakua mkweli,.lisu oyeeeee

  • @user-mm6nx4jp2m
    @user-mm6nx4jp2m Před 18 dny +5

    We lisu unaelimisha na unavichekesho hongera

  • @ngamugamahonzelosanga3316

    Katiba mpya ni lazima halikwepeki

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff Před 17 dny +3

    Mh, iyo ni spana tosha tunaojitambua tunaelimika na tunakuelewa vyema...

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 Před 17 dny +1

    Kwa hili mm ccm feki na muunga mkono lissu kbs mungu akulinde hili kbs ❤

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Před 18 dny +3

    Waafrica tulipewa akili tofauti na watu weupe kwani mwalaabu hawezi kukuuzia hata jangwa stakuambia nina kazi nayo ila mweusi toka ukoloni walikuja wakaoewa kila kitu sijui nini!!!!!?

  • @tumainielimwakiyambe6801
    @tumainielimwakiyambe6801 Před 17 dny +3

    Acha aendelee kutuelimisha ss ww ambaye Anakudanganya basi acha kumsikiliza

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds Před 18 dny +8

    Watanzania tuamke tudai katiba mpya kweli hii katiba ya sasa ingekuwa huru Rais anauwezo gani wamkumtowa kiongozi wa muhimili mwingine ulio huru

  • @ronaldowilson8165
    @ronaldowilson8165 Před 17 dny +4

    Lisu umesahau kusema kuwa yanga ni bingwa

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 Před 17 dny +3

    Wana CCM Nani kawalaani? Mpango mzima ni✌️chadema ni chama yenye uchungu na nchi yake.siyo hawa madalali ya nchi yetu eti nani Kama Mama mpigadili na waarabu ktk taifa letu ila Zanzibar hapana.

    • @hamicpina1151
      @hamicpina1151 Před 17 dny

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Zanzibar ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️

  • @uziasinkamba7380
    @uziasinkamba7380 Před 17 dny +1

    Kaka mbona magufuli alipowazuwia wakina bariki kwenye mikayaba ya hovyo ulikuwa upande wa majizi ya ndani na nje sikuelewagi......Watiemoyo wanaofanya vizuri utajijengea kuaminiwa na waTz.chunguza kwasasa Tz wana akili sana siyo maneno .VITENDO.

  • @drpeter3760
    @drpeter3760 Před 17 dny +2

    Fact.

  • @yassinm69
    @yassinm69 Před 14 dny

    Tengeneza sera ,acha kuongea upuuzi

  • @georgemtewele7656
    @georgemtewele7656 Před 17 dny +1

    Ni kuondoa Vyama vingi, no choice making,, dili la mabepari duniani ni vyama vingi,, NDIYO maana huwezi sikia ujinga huu china na kwingine, hata mkipata biblia Au Quran kwa Ubepari huu unao tumia vyama kutugawa bado sana,, makundi kwao ndo dili, hakuna serikali yenye nguvu mbele ya mabeberu,, wamo kwenye siasa.

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Před 14 dny

    Lisu komedi tu hana jipya

  • @munirdaya9135
    @munirdaya9135 Před 17 dny

    Petty. The country is doing well and progress is being recognized internationally.

  • @zachariamalley7076
    @zachariamalley7076 Před 17 dny +1

    Wenye uovu ndani ya mioyo huwa na vichws vya hila na kushikamana ktk hila zao lakini hawapendani kwa kuwa wanajuana ktk anga zao za uovu wa mioyo. Tuwe na mioyo ya kupenda unyoofu, kuwa na akili yenye kupenda kuutenda mema kwa ajili ya wengine, akili nzuri hutokana na moyo mzuri na kuna mawasikiano kati ya moyo na akili zetu. Ukiona ndimi zenye wongo na hila nyingi, ni kielelezo cha moyo mbaya na unafiki wa mshikamano ktk maovu. Tujihadhari na aina hizi za watu ni hatari kuliko ukoma. Kuweni macho wanajifanya kuwa na mema lakini hawajawahi tenda na kunena njema kwa ajili wengine ktk maisha Yao, ila kuhubiri Chuki. Hawana maono ya kimaendeleo na maelewano kati ya watu, ulishawahi kusikia maneno aina hii ktk mahubiri Yao?

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 Před 17 dny

    Hapo sasa Mzee lisu unaona nikwa nini Rais wetu j.p Magufuli alikuwa hawapendi hao watu Weupe njo hayo sasa Inchi tayari imeisha pingwa Mnanda kisha na kukosa Akili ya Askofu Gwajima kama nikujitama nisha kila akisema tu anasema Hivi Maman Samia suluhu hoyeeeee yani Gwajima simpendi kwa Maana ni Askofu Mnafki

  • @petsmore9955
    @petsmore9955 Před 17 dny

    Asante kamanda!

  • @Ba63828
    @Ba63828 Před 18 dny

    Vihoja vya Lisu

  • @AlfredAlfred-yd2mg
    @AlfredAlfred-yd2mg Před 17 dny

    Wee umeona muungano up sawa?

  • @LaureanKajugusi
    @LaureanKajugusi Před 17 dny

    Andamaneni lakini dawa ili ikolee, rudisheni wanenu toka ughaibuni, siyo tuuliwe peke yetu! Likishindikana hilo, ng'o hamtupati bro.

  • @FARIDAALLUTE-tv2gf
    @FARIDAALLUTE-tv2gf Před 17 dny

    tutawaonyesha tuu majizi ya uchaguzi mafisiem

  • @SadikKhamis
    @SadikKhamis Před 17 dny +1

    Lisu na ndugai wapatana baada ya uhasimu wa muda mrefu

  • @peterlove4g869
    @peterlove4g869 Před 17 dny

    Wajinga nyie Magufuri alipambania nchi hamkuliona mlimtukana na kumuita majina yote mabaya sasa wacha watunyoshe kwa pamoja

  • @user-ig3bu6lb5i
    @user-ig3bu6lb5i Před 17 dny

    Utasema sana.tena sana.

  • @SuleimanChief
    @SuleimanChief Před 17 dny +1

    Hawa wabongo wanamatatizo. Wao wako Zanzibar tokea 1964 wanakereka kwa Mama Samia. Hawa ni wabinafsi. Bora kila mtu aburure lake. Haina maana kelele za siku zote

    • @fahadabdalla8194
      @fahadabdalla8194 Před 17 dny

      Ss wazanzibar ndio wajinga maana tunaona na hatukemei Ila wenzetu wanaakili wanaona na wanaondoa kwa mikono Yao Ila ss tunaviruka

  • @user-ig3bu6lb5i
    @user-ig3bu6lb5i Před 17 dny

    Yote unataka urais.acha maneno.je wewe pesa utazitoa wapi?kama hautakopa

    • @FARIDAALLUTE-tv2gf
      @FARIDAALLUTE-tv2gf Před 17 dny

      tumbo la kuhara limepoa? au bado uharo unakusumbua?

    • @fahadabdalla8194
      @fahadabdalla8194 Před 17 dny

      Haina haja tanganyika kukopa maana madini mungu amekupeni kukuepusheni kukopa ovyo lakini bado munawaacha viongozi uchwara wanakopa ovyo tu

    • @geofreykasinda1895
      @geofreykasinda1895 Před 17 dny

      Huyo ni wakili jamani sio kwambia ajasoma , ni wakili sasa unahoji anapata wapi hela

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 Před 17 dny

    acheni uongo nchi kukopa haikuanza leo. spika alitaka urais akashindwa

  • @binismail2029
    @binismail2029 Před 18 dny +1

    Acheni Uongo. Fanyeni Siasa msidanganye wenye akili

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk Před 17 dny +2

      Mfano upo kwako huna akili sawa!

    • @jumbeojaso5767
      @jumbeojaso5767 Před 17 dny +1

      Heri ya mjinga kuliko mpumbavu, mpumbavu hajui kwamba hana akili na hatafakari kabla ya kuandika ujumbe

    • @MzeewaslowHusseinAndrew
      @MzeewaslowHusseinAndrew Před 17 dny

      Wewe ndio mjinga nambar moja.

    • @charleslukumai7875
      @charleslukumai7875 Před 17 dny

      Uongo ni upi hapo? Spika hakufukuzwa kihuni? Katiba ilifuatwa? Acha upunguwani usije ukaeleweka huna ubongo.

    • @minazsaid2470
      @minazsaid2470 Před 17 dny +1

      Watanzania amkeni CCM haitakupelekeni popote mtaendelea kuwa maskin mpka lini

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Před 17 dny +1

    Nchi haiwezi pigwa mnada. Nchi ina dhamana zakutosha. Na kukopa lazima kuna miradi mikubwa haiwezi kujengwa bila mikopo.
    Hata nyie mkipewa nchi mtakopa tu.
    Hata mbowe ana miradi yake na uwa anakopa kuendesha biashara zake.

    • @fahadabdalla8194
      @fahadabdalla8194 Před 17 dny

      Sio kweli mungu hapendi kukopa ovyo ndo mana akaweka tanganyika madini na reselemali nyengine ili musiwe omba omba Nani kasema lazima kukopa uo ni uongo

  • @abednego3876
    @abednego3876 Před 17 dny

    Huyu mbwaaaaa kbs kuma kbs mnafk

  • @Gelenya-ne2ip
    @Gelenya-ne2ip Před 17 dny

    Porojo za ajabu!

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm Před 17 dny

    Mungu tutunzie huyu tundu lissu atuokoee kutoka kwa wakoloni Weusi ccm

  • @petsmore9955
    @petsmore9955 Před 17 dny

    We ni kuku uliyefungwa kamba. Hutaki kufunguliwa kutokana na elimu yako ndogo.akili butu kabisa tena mtindi. Aidha wewe ni lichawa au lipumbavu fulani lisilojielewa! Aibu kabisa! Elimu yako ya msingi kama unayo hakusaidii lofote maana hata uelewa wako uko chini ya wastani! Wajinga ndo waliwao ! Pole sana!

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm Před 17 dny

    Mungu tutunzie huyu tundu lissu atuokoee kutoka kwa wakoloni Weusi ccm

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qm Před 17 dny

    Mungu tutunzie huyu tundu lissu atuokoee kutoka kwa wakoloni Weusi ccm

  • @petsmore9955
    @petsmore9955 Před 17 dny

    We ni kuku uliyefungwa kamba. Hutaki kufunguliwa kutokana na elimu yako ndogo.akili butu kabisa tena mtindi. Aidha wewe ni lichawa au lipumbavu fulani lisilojielewa! Aibu kabisa! Elimu yako ya msingi kama unayo hakusaidii lofote maana hata uelewa wako uko chini ya wastani! Wajinga ndo waliwao ! Pole sana!

    • @johngerald4677
      @johngerald4677 Před 16 dny

      Toa hoja

    • @petsmore9955
      @petsmore9955 Před 16 dny

      @@johngerald4677 ina maana kuwa hujasikia hizo hoja zinazotolewa na watu wasomi wenye ueledi? Ndo maana nasema -" SHULE" mzee!!! VIPI wewe? Amka umelala! Sikiliza hao wanaume wakiongea utaelewa!