YAKOBO BY WARNING BELLS MINISTERS NAKURU || BEST SDA SONGS || OFFICIAL VIDEO

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 16. 11. 2020
  • YAKOBO
    1.Yakobo alipofika kwa Labani akaulizwa mshahara wake utakuwa nini akimtumikia, Yakobo akampenda Raheli akasema nitakutumikia miaka Saba kwa kumpata binti wako mdogo Raheli ewe Labani.
    Wakati mwingi Bwana Mungu hutubadilishia mikono, ni vyema kukubali matokeo kwani chaguo lake ndio bora zaidi, na tujifunze kuheshimu Mungu na jina lake litukuzwe)2
    2.Mara ngapi tumepuuza mibaraka hata ombi letu likijibiwa bado twalalama chaguo lake Mungu? Yakobo alimdharau Leah-Bwana Mungu naye akafungua tumbo lake, bali chaguo lake Yakobo Raheli hangeweza zaa.
    Audio by #Sifatunestudios @sifatunestudios
    #Yakobo
    Copy right - Warning Bells Ministers - 2020

Komentáře • 50