ALLY KAMWE "AHMED ALLY ANGEKUSIKILIZA MNARA WA 5G /NILIMPA HELA DJ APIGE KANYAGA NA WAMEYATIMBA.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 5. 11. 2023
  • Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe ametema Cheche zake baada ya kumfunga Mtani wao Simba SC Goli 5-1,Kwenye Mchezo wa Novemba 5,2023 wa Ligi kuu ya NBC,uliopigwa Dimba la Benjamin Mkapa.
    Aidha Ally Kamwe ametupa kijembe kwa Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally baada ya kuona post zake mitandaoni.
  • Sport

Komentáře • 233

  • @dullamuso6955
    @dullamuso6955 Před 6 měsíci +15

    Semaji LETU Vimba yaan hadi WASEME 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 Před 6 měsíci +16

    ALLY KAMWE ULIWAONYA MAKOLOO AU ULIMUONYA AHMED ALLY ASIPELEKE TIMU KIWANJANI LAKINI UBISHI WAO MAKOLOO ULIWAPOZA WAKAPIGWA NA KITU 5G

  • @rebmannminja3671
    @rebmannminja3671 Před 6 měsíci +8

    Juzi wakati kapombe anaongea na wanahabari alionesha ku_panic na akasema "tumeandaliwa kisaikolojia" ina maana walishaona kipigo kikubwa.

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 Před 6 měsíci +3

    Nilikuwa nangoja Ally Kamwe umshushue Ahmed Ally kwamba amekuiga alichofanya ni kibadili sentence tu nimependa sana ulivomshushua maana nilingoja kwa hamu nikasema Ally Kamwe mbona hamjibu muigaji??nimefurahi sana umenifurahisha sanaaaaaa 🎉🎉🎉🎉

  • @kharidymkele5284
    @kharidymkele5284 Před 6 měsíci +11

    Ila jeni na Ali jaman 🎉❤

  • @cryptoroyaltour
    @cryptoroyaltour Před 6 měsíci +5

    Mpenja Tv mnalipa vizuri, mtangazi amenona kweli kweli tangu atue Mpenja tv

  • @kulwahassan6485
    @kulwahassan6485 Před 6 měsíci +11

    😅😅😅nimecheka sana hapo kwa macha

  • @katushabedotto2883
    @katushabedotto2883 Před 6 měsíci +4

    Semaji la 5g chukua 🎉🎉🎉🎉🌹🌺🌹🌺🌹🌺🌺🌸🌷🌷🌸yako Sasa hivi tunasalimiana 🖐️🖐️🖐️🖐️💚💚💛💪

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 Před 6 měsíci +16

    Kamwe na Jane ni duo moja hatareeh sanah wanaelewana sana sanah.

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 Před 6 měsíci +15

    Watoto wng napendaga sn Allah akuzidishieni Kheir huu yeni Inshaallah

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 Před 6 měsíci +16

    Nimecheka sana, semaji kanichekesha hadi machozi... Eti birian la shughuli kila mmoja lazima aonje ... Pacome kalipitia pilau la umma! Hii nimeipenda ...!

    • @user-zb2mj5nd5g
      @user-zb2mj5nd5g Před 6 měsíci

      🤣🤣🤣🤣🤣hata mimi hapo ndo aliponivunja mbavu Ally

    • @SadahKarunde
      @SadahKarunde Před 6 měsíci +1

      Ila ally kamwe we kiboko ndo maana baba ako kakublok aliogopa hizi kero umewakeraa hadi rahaaaa

  • @NiaNayna-lp9cu
    @NiaNayna-lp9cu Před 6 měsíci +2

    Wee Ally wewe mungu anakuona 💚💛💚💛💚💛🌿🍀💐💐

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 Před 6 měsíci +6

    Kweli msemaji wao ni wa ovyo kweli,kwa maneno hayo hata nani lazima ukasirike.

  • @buberwarugaiganisa5190
    @buberwarugaiganisa5190 Před 6 měsíci +7

    Mmetisha xtori vile, kumbe watu wako kazini.

  • @fordxvi
    @fordxvi Před 6 měsíci +1

    Ally Kamwe; Unsung Hero

  • @jozackmisanya1516
    @jozackmisanya1516 Před 6 měsíci +15

    hongeleni mpenja picha ipo clear sana big up

  • @Sssqw12Aaaq-ck8up
    @Sssqw12Aaaq-ck8up Před 6 měsíci +12

    Kweli atimae akatupa mpila chini hahaha 😢😢😢 Bado awasema

  • @kasimkassam9565
    @kasimkassam9565 Před 6 měsíci +9

    We mdada ulimwambiya 5G itapanda akabisha 😅

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Před 6 měsíci +3

    Yanga raha Sana❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Před 6 měsíci +5

    Biti shayo una voice mashallah 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @julianasimon5518
    @julianasimon5518 Před 6 měsíci +4

    Jane huwa anenjoy sana akimhoji alikamwe na anakuwa huru na anapoint za kuuliza, huwa napenda sana na sikosi mna kabond fran hivi❤

  • @myrah26
    @myrah26 Před 6 měsíci +16

    Unanipa raha jaman ally kamwe .mimi leo salam hakuna saut mkono 5gp❤

  • @alimanyeko1386
    @alimanyeko1386 Před 6 měsíci +8

    Ally kamwe ww unakipaj chakuongea hongera san una acha tulinge na yanga yetu mungu akueke myaka mia

  • @sospeterchonya856
    @sospeterchonya856 Před 6 měsíci +16

    Ali kamwe kijana ww unautulivu sana endelea ivoivo akili nying kichwani co midomo mirefu yanga rahaaaa

  • @azizasaid7660
    @azizasaid7660 Před 6 měsíci +10

    Ila alikamwe anakera sana kwamba pilau la umma😂😂😂😂😂

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek Před 6 měsíci

    Mshono haushoneki sbb mgonjwa ana matatizo zaidi.
    Asante kjn Ally Kamwe kwa uchambuzi fasaha,Narudia K/koo,Ilala,Dar pia Jamhr ya Tz shwariiiiiii,mambo bul bul.
    Wana kulitafuta,wana kulipata.
    Na bdo,puchu puchu kwa Namungo !!!

  • @amp1952
    @amp1952 Před 6 měsíci +7

    Timu ya Simba (wachezaji na benchi ya ufundi) wakiendelea kuamini tambo za kitoto za msemaji wao, mashabiki na wachambuzi uchwara, haitafanya vizuri kwenye kundi lao la "CAF Championship"

    • @elipidhugotesha1909
      @elipidhugotesha1909 Před 6 měsíci +1

      Kundi hapa linahusu nini apa masuala ya 5G tu
      Masuala ya malundi inshallah.mambo ya baadae

  • @abuujureyjkhaniykhaniy9645
    @abuujureyjkhaniykhaniy9645 Před 6 měsíci +11

    DAAAA WATUACHA HOIII SEMAJIIIII PILAUU AKALIPITIAAAAA 😂😂😂😂😂😂

  • @free2tree
    @free2tree Před 6 měsíci +1

    Ally Kamwe noma sana....umewakomesha makolo, demu anaekuhoji aliposkia ma5 kwenye mvua halafu bado kidog tu.....iwe sita pkt 2 akasema duh! amewaza mbali sanaaaaaa ka emotions flan hv amazing nahis kataman angekuwa yeye ndie makolo aenjoy hizo 5 -:) manake kono la nyani sio mchezooo ujue.

  • @Wallacenyusi3326
    @Wallacenyusi3326 Před 6 měsíci +24

    Ally Kamwe, your the man. You are not like others spokespersons who say things before they think . Keep doing the great job please sir . We are with you .

  • @eliupendo3205
    @eliupendo3205 Před 6 měsíci +7

    🤣🤣ila semaji bhana kwakweli tunainjoi

  • @longinuskomba9887
    @longinuskomba9887 Před 6 měsíci +4

    Ally eeeeeeeeehhhh, oa huyo mnaendana..!

  • @mikeraphael957
    @mikeraphael957 Před 6 měsíci +31

    I like this lady she is very talented n she knows how to start conversations!! I wanna meet her n appreciate her work

  • @JoycePius-em9ki
    @JoycePius-em9ki Před 6 měsíci +1

    Yanga raha sana🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️

  • @user-xl7lk4qk7p
    @user-xl7lk4qk7p Před 6 měsíci +4

    Hapo nikweli kbs kibu anajisahau kuwa yeye ni mfanya biashara

  • @user-ld2ur7xf3n
    @user-ld2ur7xf3n Před 6 měsíci +5

    Tff ni uchafu wanaharbu ligi kwa kufever baadh ya tim ni ujinga

  • @AMwamzola
    @AMwamzola Před 6 měsíci +3

    Ninafuraha mpaka sitaki kucoment bwana ally

  • @DanielSinavangi
    @DanielSinavangi Před 6 měsíci +9

    😄😄😄😄😄👆Ally punguza kuwakera watu.kwani bado tunakuhitaji Sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️

    • @seraphinalameck1731
      @seraphinalameck1731 Před 6 měsíci

      mwache ajimwage ni haki yake

    • @mhojamsafiri2273
      @mhojamsafiri2273 Před 6 měsíci

      Na uzuri sa Aly halopoki onyo na sauti yake iko vizuri na anaongea vitu vinavyoeleweka lkn yule mbana pua anachekacheka ovyo tu kama shoga

  • @gidionmulungu-lt1yg
    @gidionmulungu-lt1yg Před 6 měsíci +4

    Refa kule bunju awe Ahmed ally,Kamisaa mangungu

  • @neemamollel6972
    @neemamollel6972 Před 6 měsíci +2

    Wamshukuru refa hakuongeza hata dakika tulitamani 6 ila kocha hapo alitukosea

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 Před 6 měsíci +10

    Dogo 5G uliwaambia mapema ila ni wavivu kuelewa kwa saabu wanajiamini eti wana derby na mechi kutoka Misri hawajui kuwa hata walala hoi wanawaibia matajiri wake zao?

  • @cleophasmkungu623
    @cleophasmkungu623 Před 6 měsíci +1

    Huhuuu! Yaani unatoa raha sana Ally, Bunju kuna mafisi😂😂😂

  • @user-nh6nu7kv1b
    @user-nh6nu7kv1b Před 6 měsíci +5

    Wawasogezee mechi yao hata Nov mwakan watajua wenyewe

  • @harounmohammed3732
    @harounmohammed3732 Před 6 měsíci

    mambo matano na standard ya utani.. hongera sana semaji..

  • @mahmoudhomar9137
    @mahmoudhomar9137 Před 6 měsíci +2

    Siku ya jana ilikua ni jumapili tarehe simba mwezi wa kumi na moja 2023 ha ha ha

  • @peterchrizostom7337
    @peterchrizostom7337 Před 6 měsíci

    Lkini ally kamwe anakupenda nawewe unampenda maana naonaga hisia kwenye macho yenu❤

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 Před 6 měsíci +4

    Sasa yanajirudia Yale yale ya miaka ambayo watakuwa na viporo 8 sasa hivyo ndio vitawapa ubingwaa🙈🙈😅😅😅😅😅

  • @user-fm5zm2hs6d
    @user-fm5zm2hs6d Před 6 měsíci

    Ally upo vizuri ki mazungumzo unafanya msikilizaji apende kukusikiliza zaidi na zaidi.Unashajiisha.

  • @patrickndizeye2190
    @patrickndizeye2190 Před 6 měsíci +10

    Wape habari🎉😂🎉

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 Před 6 měsíci +5

    Hujaangalia vizuri @alikamwe ile touch ilibita tobo la nyuma kama kelbu, then ikapita la mbele kama kofi na kwenda kwa manula.kama chupi,

  • @user-vs7gs2xq4c
    @user-vs7gs2xq4c Před 6 měsíci +1

    Hii imeeenda 💚💛💚

  • @chingaa918
    @chingaa918 Před 6 měsíci +5

    ww ali ww unajua kukela 😂😂😂💚💛💛💛💛

  • @rebiammwilike7171
    @rebiammwilike7171 Před 6 měsíci +8

    Ali kamwe vimba vimba mwamba wangu

  • @sofiajumaa4538
    @sofiajumaa4538 Před 6 měsíci +5

    Where, which, when 🤣🤣 ally wewee 🙌🏼

  • @chongorekevin
    @chongorekevin Před 6 měsíci +5

    Ila alikamwa 😅😅😅ni kiboko

  • @khamismapema
    @khamismapema Před 6 měsíci +2

    Dada Jeni naomba ukamfate yule dogo suda nae namsikie furaha yake kama tunamuona vp uliopokeaje mnafa wa 5G

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 Před 6 měsíci +7

    😂😂😂😂alikamwe anajua sana

  • @tungaraza7794
    @tungaraza7794 Před 6 měsíci

    HV AHMED ALLY HAJAHOJIWA SEHEMU YEYOTE AU YULE MSIMBE WAO K-MZIWANDA

  • @kijanisaini5688
    @kijanisaini5688 Před 6 měsíci +2

    Raha sana

  • @fitinakisamuhagakisamuhaga693
    @fitinakisamuhagakisamuhaga693 Před 6 měsíci +48

    Tuliposema kunaupangwaji matokeo nawanaofanya hivyo ni TFF wenyewe wanataka kulazimisha simba mbovu iwe bingwa sasa sijui itakuwa ligi namba ngapi kwa ubora maana shida nikwamba mpira wetu tumeuweka live kwahiyo karia anaenda kututia aibu asipoangalia na shirikisho lake kisa mapenzi yake kwa simba

    • @EsterMendrad-gr3rg
      @EsterMendrad-gr3rg Před 6 měsíci +2

      Haa yanga mbele daima mwiko

    • @ProsparSamwely
      @ProsparSamwely Před 6 měsíci +1

      🎉

    • @lumistarboy8499
      @lumistarboy8499 Před 6 měsíci +2

      Ali Kamwe mpuuz sana et kijana kakimbiq mloganzila dozi kaenda Taifa kakutana na mikuki 😂😂😂

    • @rogersiddy
      @rogersiddy Před 6 měsíci +1

      Ilo sio laubishi lilijionyesha wazi wazi kbs alianza na Ngao amepambana akafanikiwa timu yake ikaibuka na ushindi kwa penalt za mchongo akatengeneza mechi ya ngao kuwa ligi yeye ndo Raisi wa kwanza ngao ya Jamii kuifanya kama ligi timu nyiiingi yaan jamaa hajielewi aisee sijawahi kuona ngao ya jamii imegeuka kuwa kama ligi 🤣🤣🤣🤣

    • @charlesmseti4345
      @charlesmseti4345 Před 6 měsíci

      ​@@rogersiddy❤❤❤❤❤❤

  • @somoemwalimusomoemwalimu7566

    Ali mjina Sana Yan anaelezea taratibu kwa uzuuuuuriii kabsa 😂😂😂 penda Sana semaji❤❤❤

  • @fistonmakopa598
    @fistonmakopa598 Před 6 měsíci +5

    😂😂😂😂😁😁Yanga tamu

  • @user-ks4oq4tr3i
    @user-ks4oq4tr3i Před 6 měsíci +1

    Mpira ni vita hivyo Kinga ni muhimu sana Kwa semaji la Yanga. Kinga ya kwanza ni yeye kupunguza matembezi yasiyo sababu pili awe na makamanda.

  • @shufaaissa7065
    @shufaaissa7065 Před 6 měsíci +22

    Twapongeza uongozi wetu kwa uongozi mzuri

  • @patrickimran2645
    @patrickimran2645 Před 6 měsíci +3

    kama mimi ndio naamuka

  • @alisteusarchard3656
    @alisteusarchard3656 Před 6 měsíci +7

    Haly kamwe ni matatizo, ukienda uwanjani unakutana na wachezaji, ukija nje unakutana na priva na kamwe

  • @user-qy5qw1jv4s
    @user-qy5qw1jv4s Před 6 měsíci +6

    Yaani nimecheka kwa sauti na haya maongezi,eti kamwambie yanga watatuuwa afu naye eti nimechoka siendi mie duuh😂😂😂😂

  • @PedadMiyombo-pc8gc
    @PedadMiyombo-pc8gc Před 6 měsíci +2

    Ali pusha wako nami namuitaji namimi shabalax😅😅

  • @user-mh5fm4cw7o
    @user-mh5fm4cw7o Před 6 měsíci +4

    Ally Kameez ujue unawakeraaa mokoro😂😂😂😂

  • @magrethshishwa5481
    @magrethshishwa5481 Před 6 měsíci +4

    Semaji letu pambeeee linajua kukeraaaaaaaaaaa😂😂😂😂

  • @assumedprivacy3940
    @assumedprivacy3940 Před 6 měsíci +4

    Ally hana huruma tee hee 🤣

  • @JacoboMjungu-ql8fj
    @JacoboMjungu-ql8fj Před 6 měsíci +1

    Duh! Mwamba wapunguzie mkando maana we unawkanda na maji barid wakati wametoka kujifunua

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Před 6 měsíci +1

    ksmwe nimekuerewa kuriko yure ws simba ajui kitu

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 Před 6 měsíci +2

    Nimecheka sana

  • @carolinambalamwezi4216
    @carolinambalamwezi4216 Před 6 měsíci

    Walikesha wakilinda uwanja lakini mnara ukasoma five G hapo ndoo wanapoumia

  • @daudkhatib-qn5tr
    @daudkhatib-qn5tr Před 6 měsíci +2

    Dogo mmoja kagawa biriani ikesha akasema kuwa kama kuna mwana yanga amekula biriani yao atatapika tarehe tano hatimaee kilichomkuta kala unyooyaaaaaa

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami3854 Před 6 měsíci

    Kamweeee uyooo tambaa babaaaa

  • @mwanjaaseif5229
    @mwanjaaseif5229 Před 6 měsíci

    Ali Kumbe ulisambaza kicheko cha Semaji la CAF 😂😂😂

  • @DaudiMagoga
    @DaudiMagoga Před 6 měsíci

    Daa kwa yanga hii bs simba wajitafute sn,ona hadi wabunge wanapiga kelele na kusahau wananchi wa kipungunguni mashariki

  • @wardakangezi6942
    @wardakangezi6942 Před 6 měsíci +2

    Wakeleeee❤

  • @user-jb5ug1on8x
    @user-jb5ug1on8x Před 6 měsíci

    Naipenda yanga Ali kamwa uko bowa

  • @dukeboe6525
    @dukeboe6525 Před 6 měsíci +3

    Sema ally kamwe anakera bhn😂

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 Před 6 měsíci +1

    uzur nikwamba kamwe anakumbukumb nzur kuhus matukio ya msemaji wa simba alaf yanamjia wakat sahihi yale matukio

  • @lightnessmsangi3148
    @lightnessmsangi3148 Před 6 měsíci

    Ila Ally Kamwe,
    Hapana jamaniiii

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu Před 6 měsíci

    Ally kamwe ulisema ukija kulipa kisasi kwa simba kuwafunga goli 5 ndo utaowa sas fanya uowe sas tupate wifi

  • @lightnessabdallah2340
    @lightnessabdallah2340 Před 6 měsíci

    Jmn nimechelewa kuangalia intwev hii aki nimecheka ww Ally Kamwe😂😂😂😂😂😂

  • @uswegesimbeye383
    @uswegesimbeye383 Před 6 měsíci

    Et nmechoka bas kuwa wew captain

  • @rosenaphilip4353
    @rosenaphilip4353 Před 6 měsíci

    Eti sema LAAAAAH kiti asije akakasirika😅😅😅😅😅😅😅

  • @cleophasmkungu623
    @cleophasmkungu623 Před 6 měsíci

    Ila Ally Kamwe bana, eti tobo watu wawili. Tubwii tubwii😛😛

  • @nelsonmatambo
    @nelsonmatambo Před 6 měsíci

    Yangaaaaa

  • @raynittu4599
    @raynittu4599 Před 6 měsíci +9

    Naisikia game ya Simba vs Azam imerushwa Hadi January,badala ya Tarehe 28 November.😂😂😂 ili wajipange.😅😅😅.

  • @tabithakasake8492
    @tabithakasake8492 Před 6 měsíci +2

    😂😂😂😂😂 nakupenda bure

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 Před 6 měsíci

    Shabananksiiiiii

  • @justusmukurasi4383
    @justusmukurasi4383 Před 6 měsíci +1

    Tumekuelewa Kamwe

  • @BarakajumaJumamadirisha
    @BarakajumaJumamadirisha Před 3 měsíci

    hatali ogopa yanga noma

  • @ericron6115
    @ericron6115 Před 6 měsíci

    Dada ulisomea wapi uandishi habari? Ukp professional kwakweli

  • @makayasamwel1049
    @makayasamwel1049 Před 6 měsíci +3

    Wameyatimba kwelii wz n kwamba walilia😢😢😢😢 Ally unawakera😂😂😂❤

  • @rizmarkabraham3921
    @rizmarkabraham3921 Před 6 měsíci

    Wewe mtt unatufanya tufurahi sana😂😂😂😂

  • @simonjm7616
    @simonjm7616 Před 6 měsíci +2

    Dada n mnafki huyu😅😅😅😅

  • @Baro007
    @Baro007 Před 6 měsíci +1

    Naona kama bado hawajasema hiviii