Nilikuwa najizuiq kucomment lakini nimeshindwa naomba niwaonyeshe tofauti ya marketing kutoka kwa masai modern farm owner na anayezungumza kutoka virutubisho vya kauda MARKETING its something else🎉🎉🎉🎉
Tafadhali naomba kupewa namna ya kufika ktk shamba lenu kuona kazi nzuri mnayoifanya ili na mimi nikaanzishe ufugaji huko kwetu. Mungu aibariki sana hii kazi.
Kuhusu mtaji wakuanzia Tumetishwa sana yani 5m haitoshi na hata ukiwa na 10m uwe tayari umeshaweka miundombinu yote imekamilika kwa mfano mabanda,maji na vitu vingine muhimu... daaah ufugaji tena kwasisi vijana tusio na mtaji mkubwa ni mgumu sana
Nilikuwa najizuiq kucomment lakini nimeshindwa naomba niwaonyeshe tofauti ya marketing kutoka kwa masai modern farm owner na anayezungumza kutoka virutubisho vya kauda MARKETING its something else🎉🎉🎉🎉
Hongera sana Masai kwa somo zuri kweli nimenufaika ubarikiwe sana sana
Ubarikiwe sana
Tafadhali naomba kupewa namna ya kufika ktk shamba lenu kuona kazi nzuri mnayoifanya ili na mimi nikaanzishe ufugaji huko kwetu.
Mungu aibariki sana hii kazi.
Asante kwa kipindi kizuri..nimegielimisha kweli..pokea salamu tuko Kenya
Kazi nzur
Kazi nzuri kaka niko kenya, niko njiani naomba kupata ngurue hati kenya.
Gostei muito, a vossa criação.
Asante sana ITV nmejifunza mengi
😂😂😂😂ety nguruwe anavifaranga😂😂😂😂
Nimependa
Wow Amazing
Ndugu mfugaji,naomba kuuliza kuusu chakula cha nguruwe,,
Mtangazaji jaman, wacha aelezee
Namba kuuliza kama unaanza kufuga NGURUWE unatakiwa uwe na badget ya shingapo
nipo mbeya mnanisaidiaje kupata elimu zaid
Mje Tanga pia
thanks for sharing
Mufungue branch Burundi. Tunaitaji chakura bola cha mifugo
Niko Kenya nakutazama, Mimi pia ni Mkulima mdogo wa ngurruwe
Nguruwe (au wanyama wowote) hawalimwi, ila wanafugwa. Kwa hiyo wewe ni mfugaji na si mkulima.
Hahaha hapo ni lugha gongana. Wao Kenya wanasemaga mkulima wa nguruwe
Nimekukubali
TUNDUMA
kufuga mifugo ni furusa
Weka namba ya sm ili tuweze kupata elimu zaidi
Utuwezeshe kupata pure breed ili tufanye uzalishaji
Mnauza wenye mimba?cross ,,am from Kenya!
Kuhusu mtaji wakuanzia Tumetishwa sana yani 5m haitoshi na hata ukiwa na 10m uwe tayari umeshaweka miundombinu yote imekamilika kwa mfano mabanda,maji na vitu vingine muhimu... daaah ufugaji tena kwasisi vijana tusio na mtaji mkubwa ni mgumu sana
Achana nae huyu anataka awe peke yake mchoyo huyu
Usikate tamaa unaweza Jenga banda la kawaida nakununua vitoto viwili tu nakuanza ufugaji utaboresha ukianza kuuza
Fanya unachokiweza mkuu, sio lazima uige kunya kwa tembo
Natamani kujua bei jamani
Huyu masai ataki mfuge😂 aiwezekan anakatisha tamaa hivi yaan M 5 anasema km mtaji mdogo atukushauli ufuge mh
Je nikitumia cayodice nitaweka madini mengine?
Huyu mtangazaji anarukaruka maswali
Mna patikana wap mim na fuga hawa wakawaida hawa tembei kabsaa awo juro beigani miezi miwili
Bei zikoje vitoto
Je kitoto Cha nguruwe ni Bei gani
tunaomba .namba zenu
Vipi Mbeya tunawapataje?
Naomba mfungue branch musoma tupate chakula na mbegu hizo
Huyu jamaa hajui kujieleza. Sijui anatuficha Nini hata afunguki
Mnaweza kumpelekea TRA maana tz shida nyingi. Mtangazaji ni kama hajui anachotaka
Hi bro. Masai bei ya kutokana na Aina ya nguruwe ni SHS. Ngapi Kwa nguruwe mmoja
Nimefurahishwa sana na kipindi hiki,naomba kujua kinarushwa siku gani na saa ngapi?
Interviewer is boooooring
Si utulie tusikilizeee 😡
Watangazaji wa certificate hawa 😏
Naomba kuuliza kuna sababu gani ya kuwa puguza mikia ikawa midogo hivyo?
Wakue haraka mkuu, ni kama unavyomnyonyoa kuku manyoya.
Naomba no ya grp la wasap