Mwanaume na mwanamke 'wakwama' wakila uroda Bungoma

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 09. 2024
  • Polisi huko chewele eneo bunge la kabuchai katika kaunti ya bungoma walikabiliwa na wakati mgumu kuukabili umati uliotaka kuwaangamiza watu wawili waliofumaniwa wakila uroda katika danguro moja mjini chwele.
    Inadaiwa wawili hao walifumaniwa baada ya mumewe mshukiwa kushiriki ushirikina uliosababisha jembe likwame topeni kwa saa kadhaa.
    Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
    Follow @ntvkenya on Twitter.
    Like our page on Facebook: NTV Kenya.
    Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya
    Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

Komentáře • 235