🔴

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 04. 2024
  • 🔴#Live: KIMEUMANA! KAULI NZITO za MAKONDA ARUSHA - MAPEMA TU ATISHIA KUMTUMBUA MTUMISHI WA ARDHI...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 33

  • @GideonChengelela
    @GideonChengelela Před 2 měsíci +2

    MUNGU AKUBARIKI SANA MH. RC MAKONDA!!! TUNAKUOMBEA MUNGU AKULINDE, AKUPE KIBALI MBELE YA WANA ARUSHA WOTE, AKUONGOZE KWA KILA HATUA UNAYOIENDEA, AKUPE MAONO ZAIDI KWA AJILI YA MAENDELEO YA ARUSHA NA NCHI KWA UJUMLA!!!

  • @evelynemlingwa191
    @evelynemlingwa191 Před 2 měsíci +3

    Mungu akutangulie baba mdogo makonda piga kazi

    • @FadhiliMesha-pd2th
      @FadhiliMesha-pd2th Před měsícem

      naomba namba ya simu ya makonda nina shida naye yeyote aliyonayo

  • @LizzyAnney
    @LizzyAnney Před 2 měsíci +1

    Hongeraaa sana makonda piga kazi

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 Před 2 měsíci +1

    Hongereni sana Arusha. Makonda ni chapakazi. Mpeni ushirikiano mkaone matunda. Mikoani kwingine wengi wanaona bahati wanaarusha mliyoipata. Baba mungu amani yako itawale hapo Arusha

  • @kondoatown8765
    @kondoatown8765 Před 2 měsíci +4

    Kumbe yule mdogo wke GSM anasingizia eh!! Kumbe hujamuonea , huwezi kuwa unaongea kauli nzuri kma hizi afu atokee mtu anadai ulimuonea yule ni muongo aisee !! Kbsaa piga kazi Makonda tumbua watu hasa.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před 2 měsíci +1

    Makonda❤❤❤👍👍🙏🙏🙏

  • @ThomasfrancisMvella
    @ThomasfrancisMvella Před měsícem

    Popote utakapokuepo, utakapopelekwa , hata ucpochafuliwa kabsa...uwe tu mtaani nacshughuri nyingine...tutakufuata na kukufuatilia,,,,na kukuunga mkono hata kwa maombi tu, kama menhine yapo nje ya uwezo wetu....may sprit of jpm b becide u,,and fight 4u wherever its....una kitu bro...i hv the vision 4u....kutokana na siasa unazozifanya,,,n lazma tu watu waovu hawatataka ufike mbali kwenye nafas za uongoz,,,,ila someday u will sit at the top BRO...KEEP IT UP!! MAY GOD PROTECT U ..

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn Před měsícem

    Ahaaaaaaaaaa makonda wee hatari sana kaka

  • @mkubwa2769
    @mkubwa2769 Před 2 měsíci +2

    Makonda oyee chapa kazi kiongozi nakukubali sanaaaa

  • @deodartngaiza6664
    @deodartngaiza6664 Před 2 měsíci

    Hongera sana Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 Před měsícem +1

    Hivi wateuliwa wote walioapishwa juzi kwenye kuripot walipokelewa hivi au ni kiumbe hiki tu.

  • @ezekieljacob5795
    @ezekieljacob5795 Před 2 měsíci

    Nani kasikia Rais mpya duuuu !!!!! Masalaaa.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Před měsícem

    MAKONDA hoyeeee tunkuhitaji URAIS MWAKA. 2025Mh MAKONDA tetea wanyonge tuna Imani kabisa na. Wew,

  • @andrew29468
    @andrew29468 Před 2 měsíci

    Piga kazi Makonda na hongera

  • @likeleshungu9159
    @likeleshungu9159 Před 2 měsíci +1

    Hizo skendo nyingine ukiweka pembeni mi Makonda namkubali saana

  • @oliviahill7891
    @oliviahill7891 Před 2 měsíci

    👏👏👏👏🇹🇿

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před 2 měsíci

    Kuwajibika kwa misingi ya chama kuendane na katiba,na sheria za nchi ili kusiwepo na chuki,visasi,na ubabe kwa wananchi wote bila kujali tofauti za itikadi zao,vyama vyao,na maoni ya kila mtu yaheshimiwe kulingana na katiba ya nchi huru...kazi iendelee kwa manufaa ya wote

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza Před měsícem

    Machawa mnawasikia

  • @user-rk9gr9yf3i
    @user-rk9gr9yf3i Před 2 měsíci

    Tanzania kuna maraisi watatu rais Samia Suluhu Khassan rais Husseni Ali Mwinyi rais Makonda habari ya Tanzania ni makonda

  • @wilibaldmallya7156
    @wilibaldmallya7156 Před 2 měsíci

    Lakini huyu siyo yule asotakiwa USA?Kwa hiyo ARS tutaunganishwa kuwekewa vikwazo na USA?

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před 2 měsíci +1

    Hahahah uhamiaji,castom,na polisi wamezidi mno kutafuna sasa watakula majani na kujiwekezea kwa jasho halali. Makonda hoyeee...kazi iendelee kuwamulika...!

  • @wilibaldmallya7156
    @wilibaldmallya7156 Před 2 měsíci

    Mbona siwaoni viongozi wa baadhi ya dini?

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před 2 měsíci

    Kuanzia tar.08/April mpaka tar.08/July kila afisa ardhi aliyevuna na kujikusanyia asiyopanda,kuonea wananchi,kuvuruga mipaka, na ulaji wote ajiandae kujibu na kuwajibika kwa RC, na akibainika atapike vyote viwe vya umma(Mkoa)bila upendeleo,ikibidi aende kilimo anga sawia na vibaka na wezi wengine...

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před 2 měsíci

    Kwa maombi ya viongozi wote wa dini,na ikawe hivyo kwa mapenzi ya Mungu, Ni wakati sasa wa kukimbia kwa watendaji wote wa serikali (Mkoa)kutekeleza yote yanayowapasa ili kuwahudumia wananchi wa itikadi zote kwa haki chini ya RC Mpya wa Mkoa,ili amuwakilishe mh.Rais kwa uaminifu na nidhamu... migogoro yote,na madai yote halali iishe kwa Amani.

  • @marklekasango9300
    @marklekasango9300 Před 2 měsíci

    Mtangazaji unazingua

  • @aziza9093
    @aziza9093 Před 2 měsíci +1

    Funyakazi usiogope mtu

  • @lutegomakoyeluhahula361
    @lutegomakoyeluhahula361 Před 2 měsíci

    Mtangazaji mbona unaingilia matangazo? Unawashwa au vpi?.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před 2 měsíci

    Mh.Mrisho Gambo, RC mstaafu na Mbunge jimbo la Arusha mjn upoo?umesikia jinsi ilani ya chama inavyotekelezwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi bila uonevu,ubabe,na upendeleo wa kiitikadi na kukandamiza vyama mbadala vilivyopo kisheria?!. Makonda hoyeee...Mh.Rais hoyeee...kazi iendelee tujue panapovuja

  • @RuandaDimoso
    @RuandaDimoso Před 2 měsíci

    Uchawa ukitumika kutumia mfumo wakusifia sifia hatutofika , kwanza tutambue mteule kufanyakazi nijukumu lake sio hisani ,muache ushamba