Kuna chief mmoja huku tabora anasumbua watu sanaa ni familia ya fundikilia anaishi itetemia nnje kidogo ya mji anasumbua sana wananchi anawanyang'anya aridhiyao anawabomolea nyumba zao anasema ardhi yooote ya itetemia niyake kwahio mtu anaeishi hapa ajue kua hapa si maliake anasumbua wazee wetu ambao wamezaliwa hapo na sasa nivikongwe huyu jamaa hafai kabisa anaitwa msagata ngulati fundikira hafai hafai hafai wananchi wamempeleka hadi kwa DC lakini huyu jamaa nikiburi sana hakufika huko muheshimiwa lukuvi ingilia kati uwakombowe wananchi wanafukuzwa kwenye makazi yao,
Tukiwafuata,na kuwasikiliza wazee wetu tutabarikiwa n mungu. n nchi itakiwa aman asnt.
kaizkazi chief ndo kazi zetu machifu kuleta aman kwa wananchiiiiiii.....asanye sanaaaaaa
Hongela machifu kwa kulinda amani mbeya.
Mungu akubarik Babu maana unapenda aman
Bwana asipolinda mji walindao wakesha bule
Awa ndio wario turea wasafwa juu
Juuuuu zaid
Asante Chifu,tunataka Amani
Spin
Mwaka 1206 😂😂😂😂 mumemskia katibu wa ccm anasema mgogoro ulianza 1206
mungu pekee nyie niwanadam to
Machifu chawa.wasenge hawa wanatupsnga
Walinde haki ndo tunda la amani chifu
Safi chifu wetu
Ndaga fijo naloli...............Hahahahaaaaaaa
Huyu katumwa muongo alisikia wapi? Rais Wa Tanzania anapelekwa mahakamani??? Hiki sio kipindi cha kuwa na machief
usalama upo kwa yesu tu
Izo nywele tu kiboko chief
1206 daaa
Mzee umewaonya vijana vizuri
Hivi chifu lazima uwe na nywele chafu za rasta. Yaani utishetishe hivi?
mzee hii Kichwa chako INA nn hayo ni manyoya au we no msukule
Chifu uko juu
Turieni babu kasema
Chifu wa Kidigitali. anampaka Rasta! duuuh!!!
Umewini babu
Chifu chifu siasa sasa hyo afu na uchawi pia huo
Safi sana
Uyo ndio Tramp wa Ituha
Babu uyooo
Pamoja wakubwa
ahahaaa yangaa yaangaa bubu wani
Mmh hahaaa nacheka mm
jamani Baba yangu buyo
Huyo chifu anyone nyure basi zime kaa Kama mizizi
wazee wa mji hao ni wakuu wa kila kitu lkn zamani sio sasa.ila kwasasa ni RAIA tuu tawala za machief hamna
Boyaaa
Mzee nimekupenda kichwa chako kwa umri wako inapendeza
Nanni anaweza kunipatia unywele mmoja Wa huyu Mzee maana in Dill.
Asante sana wazee wa mkoa wa mbeya ,
Valena Komba utajili Wa utamaduni Wa waafrika ni wazee! Asanteni wazee wetu
Babu Eee kanyoeeee
Wachawi Haoo
Tokeni hapo na uchawi wenu, kwani wewe ni Rusifer hizo nywele
Chifuuu ilikuwa zamani xio xaxaa
unalinda usalama na police nao wafanye kazi gan
Safiiiii chifuuuuuu!
Babu Utafikili Umetoka kuzimu
Chief ameongea pumba tupu, sheria iko wapi?
Hii picha ya kweli
hamna kitu
Kuongea kama mwanri vile, muovuu, mwizii
Ha ha ha haaaa
ukiona wana wapakazia juwa muko kisiasa
sasa huyu nichifu au Bobmaale wanakuwa hivi kumbe
Acha zako ww kanyoe kwanza
Michano Michano hahahaha hahahaha akanyoe?
Akikuroga useme hooo chief mkorof
CCM ccm ccm ccmzoyeeeeeee
chadema hamna jipya
mama weeeee, cjawahi muona chief.
nelwens nelwens hata mi ndo namwona leo
mtoto tatizo hahaha
Nenda ukanyoe kwanza
Kuna chief mmoja huku tabora anasumbua watu sanaa ni familia ya fundikilia anaishi itetemia nnje kidogo ya mji anasumbua sana wananchi anawanyang'anya aridhiyao anawabomolea nyumba zao anasema ardhi yooote ya itetemia niyake kwahio mtu anaeishi hapa ajue kua hapa si maliake anasumbua wazee wetu ambao wamezaliwa hapo na sasa nivikongwe huyu jamaa hafai kabisa anaitwa msagata ngulati fundikira hafai hafai hafai wananchi wamempeleka hadi kwa DC lakini huyu jamaa nikiburi sana hakufika huko muheshimiwa lukuvi ingilia kati uwakombowe wananchi wanafukuzwa kwenye makazi yao,
Abdu Babu pigeni huyo pumbavu
Hivi ukawa imeishia wp daaah kweli naamini upinzani una tamaa yamadalaka
chifu gani huyu anaongea kiswahili
wajifunze adabu kwanza then watatia aioli uwezi mtusi mtu anaeonhoza nchi yako nani sawana mzazi sheria umechukua mkondo
huyu mzee hafai
wewe uko ki ssm unakosea
Kuna amani gani kama hamna haki??? Wewe lilia haki ndipo itakuwa raisi kuihubiri aman. Vinginevyo huu ni unafki mtupu.
duuuh... kumbe ndo walivyo
daaaaaa huyu mzee nikwere hizo Rast au katani
upo juu mzee mwashinga,, baba yangu wa nguvu, mungu akulinde.
Mbona kama chafuu??? Hahaaa
Janeth Mwakingili san bab
Unalinda usalama na nini na jembe shoka rungu Banga Mzee wewe unatumika vibaya na wanyanganyi ushachukua chako unapotosha
machifuu walikuwa zaman co Sasa ukanyoe Na hyo minywele km msukuleee
gladis msuya walikuwa zaman kwenu njoo mbeya ulete za kuleta utafurah na shoo
Paul Shija hao hawana mashiko sikuhziii
Unaongea upo wap kuwa na adabu