NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI. dinuzeno. +255625954315 (jipatie ziko 8 VIDEOS).
Vložit
- čas přidán 31. 10. 2018
- Jipatie nyimbo za tenzi zipatazo nane kwa pamoja, nyimbo hizi ni za video. Karibu sana.
Subscribe to this channel for more videos.
• TENZI ZA ROHONI NA KUA...
#TenzizaRohoni
Ubarikiwe sana mtumish kwa huduma
Haleluya nimebarikiwa Sana, kaka dinu na dada Mary mbarikiwe sana
Ukisikia Tenzi za rohoni ndizo hizi sasa I love this songs
Hakika Mungu amekupa mbavu yako iliosahihi,Mtumainini Mungu mtafika mbali sana kiuduma zaidi.
Nina iman moyoni mwangu maombi yangu mungu asikia
Kijito cha utakaso ni dhambi kuosho humo,Mungu akubariki sana hasa kwemye kipindi hiki lazima kusifu bwana
Amina sana usifiwe msalaba lisifiwe kaburi linalozidi yote
From Kenya, I like how these spouse sing in all humility... May the LORD uphold His anointing in your Ministry..... Blessed by all your songs
Mungu awabariki sana
Izi nyimbo zinanigusa sana ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Barikiwa mtumishi Mungu asikie toka mbinguni machozi yetu
When I listened to this I filled with holy spirit thanks to God, God bless you all
Tis songs are so called...BLESSINGS
duuh nakuelewa sana zeno nakumbukumba tulivyokuwa field nkunja tandahimba
Nyimbo zabariki kweli
am blessed by the praises n worship. may God give you more strength, more grace, & more revelation.
Oooh tuonane milele, tuonane bandalin kule 🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana mtumish wa Mungu mm ni mpenz wa tenzi pia nmejifunza merod mbalimbali za tenz kupitia uimbaji wako
Hakika yesu ni rafiki waukweli wakati wa shida na wakati wa raha, Amen.
Umeimba vizuri sana sauti inaendana na wimbo yaani hadi raha