Mtume Mkuu na Nabii Josephat Mwingira wa Kanisa la EPHATA Tanzania na mdau wa Chama cha Biblia.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 18. 01. 2024
  • Mtume Mkuu na Nabii Josephat Mwingira wa Kanisa la EPHATA Tanzania na mdau wa Chama cha Biblia cha Tanzania. Awaomba Watanzania wote na wenye mapenzi mema kuungana na Chama cha Biblia cha Tanzania, kuchangia pesa kwa ajili ya uchapaji wa Maandiko Matakatifu (BIBLIA) kwa ajili ya watoto, ili wakue katika maadili mema.
    JE! UNGEPENDA KUCHANGIA BIBLIA MOJA AU ZAIDI? BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUMPATIA MTOTO, MFUNGWA NA KIJANA NENO LA MUNGU (BIBLIA).
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la BIBLE A MONTH CLUB kwa kubonyeza link hii:-
    BST01-Tsh 2,000 au zaidi kwa Mwezi
    chat.whatsapp.com/HucZFOaP8zB...
    BST02 -Tsh 5,000 au zaidi kwa Mwezi
    chat.whatsapp.com/CyU3dCdd8uA...
    BST03-Tsh 10,000 au zaidi kwa Mwezi
    chat.whatsapp.com/EQ40F0nj2jh...
    BST04-Tsh 50,000 au zaidi kwa Mwezi
    chat.whatsapp.com/LVJrKSIWcY6...
    Unaweza kutuchangia kupitia tovuti yetu membership.tanzanian.bible/
    Ama unaweza kutuma sadaka yako ya upendo kupitia:- Kwa namba ya kampuni 890890; na Jina ni The Bible Society of Tanzania Baada ya Kulipa,
    Tafadhali tupigie kwenye namba hii au tuma ujumbe mfupi kwenye namba +255 765 530 892
    Na pia unaweza kulipa kupitia namba hii ya +255 765 530 892 Jina ni The Bible Society of Tanzania.
    Asante sana kwa kukienzi kukiombea na kukichangia Chama cha Biblia cha Tanzania. Mwenyezi Mungu na akubariki sana.

Komentáře • 5

  • @user-tm3jl4yx9f
    @user-tm3jl4yx9f Před měsícem

    Ameen

  • @josejoh
    @josejoh Před 22 dny

    Amen

  • @user-ln2cg9rg1g
    @user-ln2cg9rg1g Před měsícem

    Amen Baba barikiwa

  • @user-yo5km5kx5h
    @user-yo5km5kx5h Před měsícem

    Yes kutoa ni kupanda mbegu nzuri kwa Mungu na Mungu ndio anazidi kukubaliki

  • @AnthonyEdward-xe6rj
    @AnthonyEdward-xe6rj Před měsícem

    Ni kweli mtumishi hapo ni vema na ndio njia ya kufikia kunako balaka za rohoni na mwilini pia ubalikiwe kwa wazo Zuri ww ni baba