It's your time Brother achia mawe we unarap vizuri tunasikia mashairi una aidia mpya kila siku hiphop sio kujigamba Bali ni kuburudisha na kuelimisha nakufuatilia mno I like it kazi nzuri video simple ila inaeleweka beat Kali foby kaua coras Kali respect kaka
Leo asubuhi nlikua bado cjaickiliza hii nyimbo nlikua nawaza siku nimtongoze customer care kama utani my favourite songwriter umeonyesha how is done na imenishangaz kiukwel ckutegemea all in all nakuombea ufike mbali sana bro!! Una kipaji kikubwa sana
tulio angaria zaid ya mara tatu hii nyimbo tukutane hapa
Mm mara nyingi
@@emmanuellykessy4290 mm
..
.poasana
😂
Noma sanaaaa 😂
Tupo sanaaa
Hata zaidi ya mara kumi nitakuwepo tuu
Nyimbo kubwa sana enye ubunifu wa hali yajuu piga like kama unaani mawenge ni goat 🐐
P. Mawengwe we noma let me say you are best like kama na mwamini P
Hatari
Ila Foby nakuvulia kofia maana kwangu you are the of my best singers
@@jastinarts colours hatari
Ngoma moto p mawenge
Hee Foby melody noma
Naombeni likes zangu, mwamba kauaaaaaa
P mc you are always the best much love from Kenya
Ngoma kali sana! Bonge la idea, yaan unaweza hisi idea za kuimba mapenzi zishaisha lakini kumbe bado zipo. Big up P Mawenge🫡🫡🫡🫡🫡
Oyaah nyie uyu mawenge froo yake inaeleweka ebu tujuane Kwa like hii comment #mawengeeee
P MAWENGE his my favorite rapper this nowadays , he deliver what the people wants❤️❤️❤️ more love my brother🇰🇪From
Fzz😮😮
Kiwalani standup ❤😂😂🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🏃🏾♂️ am from kiwalani Chadema DAIMA SOKO 🙌🏾
Aliepita Kwenye Chorus anaunyama mwingii piaa 🔥🔥
Unyama flan ka da prince
Foby
Foby huyooo
Ni munoma
FOBY_WA KUTAM
OGOPA JINA LINAITWA FOBY ,MMEUA SANA HUMUUUUU
gud song indeed
Mamaeeee aiseee P mawenge inabid aangaliwe sana sio mtu wakawaida......Foby umeua sana chorus aiseee
🔥🔥🔥CUSTOMER CARE🔥🔥🔥CREATIVITY 100% , 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿IZZA BANGER
Mawenge idea zako zinanirusha nyuma sana...zile story zetu za bongo dar ea salaam...
Mi nasema huyu ni master of ideas Big Up Bro
P MAWENGE THE LEGEND ALL THE WAY FROM KENYA🇰🇪🇰🇪 TO T.Z🎉
Huyu Director Kaumiza sana humu 🔥🔥🔥
P kama P
P ni noma sana Story imetulia comedy kidogo
Mawenge uko na maubunifu sana kaka daaaaaaaahhh Bado group Admini siichoki halafu unanichosha na hiiii kaka
Wengeeeeeee🔥🔥🔥
Tisha saan mwamba
Ni kwikwi
Sijawai kuwa na shaka na jumbe zako kweny muzki, good idea ❤❤❤❤
Kiwalani finest ✊! Umefanya kama haufanyi tena brother ⚽🥂!
Big up wenge Kenya twakupa high class
Skuiz na muelewa sna huu jamaa💥💥
Labda ni masuala ya mtandao 🔥🔥🔥🔥 kanasa customer care
Umejua mwanangu we ni noma na nusu
Daaah nilikuwa nafikiria niiplay au dsaah p uko gud sana broo maweengeeeeeee
Break dance naziona kama ulivyotuahidi😂😂
Msanii wangu bora sana huyu jamaa 🙌🙌🙌🙌
Mmeua sanaaaaa,ila Foby ni talent kubwa mnoooo
unyaaaaaamaaaaaa achia mzee
Ubunifuu wa kiwango Cha juuuuuu sana😀😃
P ni 🔥🔥🔥
Mawenge Kenya 🇰🇪 tunakukubali sanaa🔥🔥🔥🔥
Daah nimerudia mara nying sana ni nomaaaaaaa
dude... cheza umu umu... ndo pesa ilipo..🔥
47 umetisha mkali👊
Oioi Mzee Mawenge Mbona hujamalizia nini kikafuata baada ya bibie kukutext fanya session ya pili mzee umetuacha solemba man........NGOMA YA MOTO 🔥
Nyimbo nzuri sn 🌹🌹🌹🌹
@@user-bb3nw1tj4n asante sana
Ubunifu wa hali ya juu, wasanii wengi hawaimbi ngoma za kueleweka wameishiwa mashahili. Jamaa yupo vzr sana P
nimeisubilia kwa kitamboo 💯 sijawai kukupinga mkali 🎤
This is your time P achilia Mawe kama haya, Storyline on Top, Video is dope Chorus jamaa kaifanyia justice
Ngoma moja hatari sana,mwamba anajua hatari🎼🎼
P mawenge,the best MC,mwanangu unajua sana
We maweng dunia nyngne unajua music p1 xana
Hiii nyimbo siichoki nasikiliza kabisa
The best Rapper In East & Central Africa.
Achia kaka
Mwanangu io story noma sna,we mkaly sna mwanangu..💪
Wengeeeee❤❤❤
Wa kwanza mm naombeni like zangu
Weenge mtu mbad kbsa nakubari bro 🔥🔥🔥🔥
It's your time Brother achia mawe we unarap vizuri tunasikia mashairi una aidia mpya kila siku hiphop sio kujigamba Bali ni kuburudisha na kuelimisha nakufuatilia mno I like it kazi nzuri video simple ila inaeleweka beat Kali foby kaua coras Kali respect kaka
Jamaa akili kubwa sana
Hiki Kibao Nimekuwa nikiwazia video kama hii 🥳🥳🥳🥳💥💯💯💪💪
Wengeeeeee 🔥🔥
Nakubali sana mwamba 🤜🤛
Boss wa Marapa kila siku utabaki kuwa mkali 🙌🙌🙌
Wengeeeeeeeeeeeee nakukubali mpka nawazaga lini ntainjoy show yako jukwaani
Huyu jamaa nimeanza kumuekewa 😂😂😂 anastory nzuri sana 🤣🤣🤣
Mawenge 💥💥💥💥
mawenge you kill it
Hii ni more than fire inanikumbusha ngoma ya fid Q na matonya ngoma inaitwa USINIKUBALI HARAKA
P mawenge unajua sana aisee duuh🔥🔥🔥🔥🔥
🙌🙌🙌 #Pmawenge Ur The Best Story Teller... 🎧🎤🎶📻🎥📺🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥💥💥
Uyujamaa atali sana💥💥💥✊✊
Best song mwaka 2023 hadi sasa cjui huko mbele kama kuna nyimbo itaikuta hii ngoma michano amazing creativity the best
Wewe pi mawenge mnyama sana aiseee customers care atimae kawa wifi yetuuu 😂😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Unajua bro paka unaboa 1 day tafanya kazi na ww bro amini hivo
hv ndio utakuwa unaua kila siku bonge la songi na huyo fobby kaua
Mie namuitaga mungu wa michano 😁😁
Nakubali p mawenge huna kazimbovu 🔥
Mawenge ni noma sana
Goma limefikia mbaliiii trending safi kabisa
Kumbe tunaweza kuwatongoza hao wahudum
malafyaleeeeeee......ulikanunu mwaisa...rap is all about creativity and this one is dope i salute you brother
P hujawahi niangusha.... Najiuzaga bila majibu hizo idea huwa unazpataje❤
Video Kali brother mkubwa p mawengeeeeeee p the mc kiwalani bom bom .ndo nyumban # Godmale tz hapa
I like your ideal of customer care
Leo asubuhi nlikua bado cjaickiliza hii nyimbo nlikua nawaza siku nimtongoze customer care kama utani my favourite songwriter umeonyesha how is done na imenishangaz kiukwel ckutegemea all in all nakuombea ufike mbali sana bro!! Una kipaji kikubwa sana
Bomba la ngoma. Yaani mabomba la ngoma nimekubali asee. P mawenge umeua. Nimekubali asee
MUNGU Kashaibless ngoma yetu ♥️😛🙏
@P.Mawenge we ni Noma aseee ......nyimbo nimeielewa nairudia mara ya 4
Mwana unajua sana story telling
mawenge
Huu Wimbo nilisikia siku moja nilihangaika kuutafuta ila leo nimepata jamn Nzur sana
😃 asante
Since day 1 bless mawenge
From tiktok nikakujia kuangalia vizuri ❤❤
Hahahaa asanteee
Wengee🔥🔥
Oyaa hii collabo kali sana yaan kila mmoja amesimama vizuri kwenye kipande chake hasa foby umeua👉👉😂😂😂🤣🤣
Mawenge🙌
@@vincentcharles4385 💥💥💥🤗🤗
Muda wakushika hela nyingi unazidi kuushika vema.
Sina Shaka na uwezo wako since day one Pacha. Respect 🤳🏾🤝🏾🙌🏾💥
Bonge la idea..bonge la ngoma🔥🔥🔥
Bonge la ngoma Kaka nakukubali sana hi namba
Ugari wa customer care inaonekana ulikua mtaaam sana
Watatu kucomment so nipeni like zangu 😅😅
Bonge la idea boy chunya tunakukubali sana👊 mitaa ya lunduno🙌
💥💥💥💥 bonge mboja chupa kaka wewe nimfalme 👑 wahi game👐
P umeua mwanangu unique idea... Am your big fan bro. Thumb up guys ✊👍
Adam ruvuma tunduru kak p mawenge umeuwa mwaka wako huu
One of my favorite track kwenye sim na matukio EP