WAKULIMA,WAFANYABIASHARA MORO KUANDAMANA KWA AMANI WALIA NA TOZO ZA GETINI UNATUUMIZA,TUNAKOSA MAZAO

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 07. 2024

Komentáře • 13

  • @FabianiNguvumali
    @FabianiNguvumali Před 21 dnem

    Mazala yakupenda chama kimoja balabal mbvu amsemi

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Před 21 dnem +1

    serekali achaneni na tozo za mazao,ni kero mno!!

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k Před 21 dnem

    Andamaneni kudai haki zenu,pesa nyingi zinaenda mifukoni mwa watu,lakini msii ngize itikadi ,za vyama visiasa katika hili. Hiyo mtaikosa

  • @darajalakidatukilomgi2362

    Kero zenu zimeshasikika maandamano ya Nini?

  • @mussajohn7397
    @mussajohn7397 Před 21 dnem

    dummm.

  • @darajalakidatukilomgi2362

    Maandamano mngefanya wakati wasukuma wanaua Ndugu zetu wapitishe ngombe zao

  • @darajalakidatukilomgi2362

    Acheni kutumika vibaya na Chadema mbona kwao Moshi hawaandamani? Wapogoro mnatumika vibaya

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 Před 21 dnem

    Bandari , ngorongoro misitu , nk vimeuzwa, nchi inajiendesha kwa kodi ambazo magufuli alizitoa alisema chini yatanimoja hulipikodi lakin tangu samia aingie umeme juu ,kilagunia linalipa yani tumeludi msoga , katiba ndochanzo chahayayote,