Ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) nchini Tanzania

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 19. 01. 2023
  • Kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) nchini Tanzania ni jambo linalongojewa kwa hamu na watanzania pamoja na nchi jirani zitakazonufaika na ujenzi wake. #kurunzi

Komentáře • 13

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 Před rokem +2

    Kaz ya jpm bila kupepesa

  • @luganomwaipaja-bj6qz
    @luganomwaipaja-bj6qz Před rokem

    Hehehe mtanzania mwenzangu anaongea akiwa amekata tamaaa. Watz msijatishwe tamaaa na wakenya yaani hata mkiwazidi Bado wataendelea kuboast kuwa wao ni Bora kuliko ninyi. Watu kama halo ni kuwaacha waendelee kujitapa

  • @magorymara5515
    @magorymara5515 Před rokem

    Hiv hayo mabehewa ya SGR yaliyoletwa na kuwekwa kanda yakisubili ujenzi uishe walikusudia nini ama ndo wale watoa chao mapema walitaka yaje ili wakigundulika kuwa walipiga yawe teyari yalishafika haina jinsi

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu7337 Před rokem

    Kutoka Dar hadi Isaka ni 976km

  • @salehsimba5306
    @salehsimba5306 Před rokem

    Reli imekuwa kama inaumwa kila siku inatembelewa tu. Ata hayo mabehewa nayo dah!!! Tumpongeze Mzee wetu Magufuli kwa malengo mema na taifa lake.

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 Před rokem

    HATUTALETA WAWEKEZAJI KUISIMAMIA SGR? NA UMEME WA NYERERE HATUHITAJI WAWEKEZAJI KUUZIA NCHI ZA JIRANI? NA GAS JE...? LIPI TWAWEZA KUSIMAMIA BILA WAWEKEZAJI? NMB BENKI PEKEE YA TAIFA TZ HATUKUIUZIA WAWEKEZAJI? RIP JPM.

  • @abuubakarjabu7118
    @abuubakarjabu7118 Před rokem

    Lkn raia wana njaa

  • @nicholaschanga3
    @nicholaschanga3 Před rokem

    Km 722 tokea Dar hadi Isaka Mwanza, ? What kind of journalism is this

  • @kashinjematongo7254
    @kashinjematongo7254 Před rokem

    Fei toto