Usikate Tamaa Kwenye Kitu Unachokiamini.Najua Leo Itakuwa Ngumu, Kesho itakuwa Mbaya zaidi.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 07. 2024
  • Usikate tamaa kwenye kitu unachokiamini , Najua leo itakuwa ngumu, kesho itakuwa mbaya zaidi ila usikate tamaa. Moja kati ya changamoto niliyokutana nayo kuanza kujisikia kukata tamaa, ni hali ambayo unamkuta yoyote yule. Na hi indo sababu kubwa nyingine ya wengi wetu kushidnwa kufikia malengo tunayojiwekea.Kukata tamaa, kuacha na kushindwa kuendelea.Baadhi yetu kubadilisha lengo na mipango. Na si kwasababu ndoto au malengo hayawezi kufanya kazi ila ni kushindwa kuvumilia zaidi mbaka kuona matokeo.Nini unaweza kufanya kutoka tamaa?Kamwe usikate tamaa katika maisha yako ndio somo ninalokuletea leo baada ya kuona watu wengi sana wanakata tamaa maishani na mambo ambayo wao wenyewe waliyaanzisha na sasa wanataka kuyaacha kwasababu tu wamekutana na matatizo yanayowapelekea wao kuona hakuna njia nyingine ya ya kutafuta utatuzi isipokua kuachana kabisa na mambo hayo. Kufeli sio kinyume cha kufanikiwa lakini kufeli ni hitaji muhimu sana la kufanikiwa. Wote wenye mafanikio wanakiri jambo hili kwamba bila kupitia matatizo fulani katika maisha yao huenda wasingekuwa hapo walipo leo. Napenda kutoa wito na hamasa kwa wanaojisikia kukata tamaa katika mambo yao, tafadhali jitahidi sana uendelee na somo hili linatoa kujua ni namna gani unaweza jiokoa toka kwenye jamba hili ya kukata tamaa. Kumbuka usikate tamaa
    Timecodes
    Hook 0:00
    Bumper 0:41
    Intro 0:48
    Mafanikio Ni Safari 2:03
    Kumbuka Kwanini Ulianza 4:04
    Focus Kwenye Mambo Chanya 6:30
    Kila Kitu Kinachokua Muda 8:14
    Kufeli,Vikwazo, Changamoto havizuiliki 10:22
    Outro 11:20
    🔴TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine) 👉 • TABIA 10 NZURI ZA KUFA...
    🏆Lengo Langu 🏆"Ni kushare na wewe Masomo chanya juu ya mambo mbalimbali katika Maisha na kuhakikisha tunakuwa sehemu ya mafanikio yako"
    🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 afripods.africa
    Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi. 🔴Nifuate IG- / gonline_pos. .
    BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385
    ..............................................................................................................
    🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
    ⚡JINSI YA KUTIMIZA MALENGO MWAKA 2020:Kanuni 3 lazima uzifuate kama unataka timiza malengo/ndoto yako👉 • JINSI YA KUTIMIZA MALE...
    ⚡REVIEW MWAKA 2021 ILI KUWA BORA/VIZURI 2022👉 • REVIEW MWAKA 2021 ILI ...
    ⚡MBINU ZA KUONGEZA WATEJA KATIKA BIASHARA YAKO👉 • MBINU ZA KUONGEZA WATE...
    ⚡SABABU 6 KWANINI KUFELI NI VIZURI KWA MAFANIKIO YAKO 👉 • SABABU 6 KWANINI KUFEL...
    ⚡ TATIZO LANGU NI AIBU NASHINDWA KUKUTANA NA KUCHANGAMANA NA WATU (SOCIAL ANXIETY)| Zahir Gomelo 👉 • TATIZO LANGU NI AIBU N...
    ⚡Kila Kijana Anatakiwa KUSIKIA Hii/CHAGUA MARAFIKI SAHIHI KATIKA MAISHA 👉 • Kila Kijana Anatakiwa ...
    ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 • TABIA 3 ZA MAFANIKIO Z...
    ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 / 4vinlngo3q
    ⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉 • TABIA 10 NZURI ZA KUFA...
    ⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 • SIRI 5 ZA MAFANIKIO KW...
    ⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉 • ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZ...
    ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉 • GUNDUA KUSUDIO LAKO KA...
    ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 • HATUA 5 ZA KUUSHINDA ...
    ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 • JINSI NINAVYOSAVE 50% ...
    #usikatetamaa #Timizamalengo #Nevergiveup

Komentáře • 9