Nguvu ya kuishi maisha ya ushindi baada ya kuokoka imo katika kinywa changu.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 17. 02. 2024
  • Maandiko: Wafilipi 4 : 13, Zaburi 108 : 13, Mithali 18 : 20 - 21
    Usukani ndani ya gari yangu hauna kazi yoyote kama dereva hayumo ndani ya gari.Usukani unamtaka dereva, na dereva akiwemo ndani ya gari, akaendesha na kugonga watu au gari kwenda kusikotakiwa wa kwanza wa kulaumiwa ni dereva na siyo usukani. Yakobo 3 : 1 - 10.
    Sasa tunapookoka na kujazwa na Roho Mtakatifu; eneo la mawazo tunayoyawaza daima ndilo linakuwa dereva wa maisha yetu na ushindi wetu na mafanikio yetu yote; na ulimi wetu ( kinywa / midomo ) yetu inakuwa ndio usukani wa maisha yetu; wa
    kulaumiwa daima katika hawa wawili (yaani mawazo na ulimi) wakati wote ni mawazo na siyo ulimi kwa sababu ulimi (mdomo) hunena wakati wote yale yaliyojaa moyoni. Mathayo 12 : 34 - 37, Luka. 6 : 43 - 45

Komentáře • 6

  • @memorymakweta8253
    @memorymakweta8253 Před 4 měsíci

    Amina

  • @Jackline-ki7zl
    @Jackline-ki7zl Před 4 měsíci

    Amen .injili tamu .barikiwa Baba na BWANA YESU KRISTO ALIE hai

  • @darcasgodfrey8082
    @darcasgodfrey8082 Před 4 měsíci

    Ubarikiwe na KRISTO Mtumishi

  • @Sindato-xy3xu
    @Sindato-xy3xu Před 4 měsíci

    Amen sana mtumishi wa mungu abariki

  • @Jackline-ki7zl
    @Jackline-ki7zl Před 4 měsíci

    BABA :samahani Sana lakini nasukumwa ndani yangu kusema hivi ...hao wamama kama wameshindwa kumueshimu MUNGU kwakuacha mapambo ya yezebeli basi wafunike vichwa vyao wakija nyumba ya MUNGU wamueshimu MUNGU na kumtii...amina