28 New Towers being constructed at Kawe Dar Es Salaam Tanzania 2024

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 09. 2024

Komentáře • 48

  • @Kim19onlinetv
    @Kim19onlinetv Před 5 měsíci +8

    Nowadays our leaders are very close to do extraordinary things thanks to mama samia fou your hard work

  • @ezmexplores
    @ezmexplores Před 5 měsíci +9

    Nzuri sana
    Congratulations Bertin

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 Před 5 měsíci +3

    Wahoo am sure this was my request and u did it, many thanks to u bro

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 Před 5 měsíci +5

    😂why should somebody say it is abandoned,while u can crystal clear hear and see people working?😂..We better agree that Tanzania is becoming a Hub of Africa

    • @Ntsako27
      @Ntsako27 Před 5 měsíci

      No it is nowhere near the top ten in Africa and it's only second in East Africa.

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 Před 5 měsíci +5

    Waongeze barabara kawe foleni zitaongezeka sana

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Před 5 měsíci +2

      Kabisa

    • @bazilmwakajila2923
      @bazilmwakajila2923 Před 5 měsíci

      Barabara ya Mwai Kibaki itapanuliwa nadhani wameiweka kwenye mradi wa DMDP awamu ya pili.Na ya mbezi chini kutoka roundabout ya kawe nayo pia. Hizo barabara mbili zina magari mengi sana kwa sbb maeneo hayo wanakaa watu wenye uwezo sasa ukijumlisha na hiyo miradi pamoja na sports and culture arena ambayo itajengwa pale ililipo kanisa la Mwamposa Tanganyika packers itakua balaa bila kupanua barabara.Na hii itaenda pia kujengwa flyover pale Morroco.

  • @MeenaHassan-fd9vv
    @MeenaHassan-fd9vv Před 5 měsíci +8

    Mimi nipo Durban kwazulu natal, Tanzania lmebadilika mazingira ni mazuri kidogo tofauti saaana na miaka ya nyuma yaani baada ya jpm au ujio wa jpm kuwa rais Tanzania ikaanza kubadilika r.l.p jpm wetu mzalendo

    • @bazilmwakajila2923
      @bazilmwakajila2923 Před 5 měsíci +2

      Nadhani Tanzania kwasasa tumepata Rais ambaye ni pro-business ever.Huo mradi mmoja wa Kawe 711 ulikwama kipindi cha Magufuli tangu mwaka 2017 kln sasa kaufufua.Ingekua kama ule wa Dege eco village kigamboni.Nadhani kama plans tunazoelezwa zitafanyika Dar basi utakua mji tofauti sana miaka si mingi ijayo.

  • @user-kw3yb2sh3s
    @user-kw3yb2sh3s Před 5 měsíci +7

    Huwa nashawishika mno kuangalia video zako hata niwe katika mazingira gani. Kwanza image ya video ni nzuri, pili maelezo yako yanamfanya mtu yoyote kuelewa kile anachoangalia na tatu ni maeneo ambayo watu wengi huwa hawafikiri kufika, ila wewe unafika na kutuletea hapa tuangalie.
    Ndio maana wengi walioanza kama wewe wameishia njiani. Hongera sana.

  • @jahashinuri7102
    @jahashinuri7102 Před 5 měsíci +2

    The projects should be put mainly in dodoma and to some extent mwanza to decentralize the country

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Před 5 měsíci +4

      There are a lot of such projects in Dodoma. I will explore them when I visit Dodoma

  • @bazilmwakajila2923
    @bazilmwakajila2923 Před 5 měsíci +1

    Nice video.

  • @user-lc5gr4hl2y
    @user-lc5gr4hl2y Před 5 měsíci +1

    Hongera sanaa brooo....

  • @ryanbraganza9312
    @ryanbraganza9312 Před 5 měsíci +1

    Wasn’t this project abandoned for many yrs? And now they’re just starting it again

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Před 5 měsíci +2

      Construction is going on

    • @allymngwaya2831
      @allymngwaya2831 Před 5 měsíci

      It's a new project

    • @bakarijumakupaza4351
      @bakarijumakupaza4351 Před 5 měsíci

      What you mean abandoned for many years? This project started on 23 December 2022!! Please explain me what’s the meaning of ABANDONED.

    • @bazilmwakajila2923
      @bazilmwakajila2923 Před 5 měsíci

      It seems you are confusing these projects. There are two different projects being undertaken in the same area.The one that stalled for over 7 yrs is called Kawe 711 which is facing the ocean on its rear view.Magufuli era complicated it,but now construction is revamped. Another project is the Samia housing scheme which consists of 10 apartment blocks just adjacent Kawe 711.

  • @theodoltheophil7858
    @theodoltheophil7858 Před 2 měsíci

    Huu mradi ndio ule wa 7 eleven au ni tofauti???

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Před 5 měsíci +2

    Kaka unajitahidi

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube Před 5 měsíci +1

    This area looks like it's abandoned

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Před 5 měsíci +1

      Construction is going on

    • @bakarijumakupaza4351
      @bakarijumakupaza4351 Před 5 měsíci

      Labda huijui maana ya abandoned!! Hivi December 22 mwaka 2022 mpaka leo mwanzoni mwa 2024 yako hivyo. Haya hio KUTELEKEZWA ilichukua muda gani?

  • @pascojm6816
    @pascojm6816 Před 5 měsíci +1

    Haya majengo ni ya muda sana

  • @shortverses1604
    @shortverses1604 Před 5 měsíci

    Usidanganye watu bana hizo nyumba zipo hivyohivyo abandoned kila siku zinaonekana kama zinajengwa karibia 5yrs now.

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Před 5 měsíci +2

      Nadhani ni vyema utembelee mwenyew. Ukashuhudie ujenzi ukiendelea.

    • @bazilmwakajila2923
      @bazilmwakajila2923 Před 5 měsíci +1

      Fuatilia taarifa zinatolewa mara kwa mara na NHC. Nyumba za Kawe 711 zilisimama toka mwaka 2017 lakini mwaka huu ujenzi umerejea.Na za Samia housing scheme ujenzi haujasimama toka umeanza.

    • @bakarijumakupaza4351
      @bakarijumakupaza4351 Před 5 měsíci

      December 23 mwaka 2022 zilianzishwa na nyumba zinaonekana leo hivyo wewe unasema ABANDONED? Unaijua maana ya abandoned?

  • @bazilmwakajila2923
    @bazilmwakajila2923 Před 5 měsíci

    Bertin ulipita kwenye nyumba ya rais mstaafu JK aliyojengewa na serikali nyumba ya huo mradi mkubwa wa Kawe 711 kuna jamaa alikua anafagia nje.Askari hawakukuzingua kuchukua video?Na hiyo lami ya barabara ilijengwa mahsusi kuelekea kwake pengine isingekuwepo kama sio nyumba yake kujengwa hapo.

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  Před 5 měsíci

      Oh! Sikujua..lakin camera yangu ni ndogo sana labda hawakuelewa. Wangeniita au ningejua ningefuta hiyo section ya video.

    • @bazilmwakajila2923
      @bazilmwakajila2923 Před 5 měsíci

      @@explorewithbertin Siyo ishu.Kwasababu kama ingekua si ruhusa kupiga picha maeneo hayo wangeweka kibao.

  • @tanzaniantraveller
    @tanzaniantraveller Před 5 měsíci +4

    Just imagine the amount of money that's going to be spent until the end of the construction 🏗️