ila tuache utani Mnatutesa sisi Mashabiki zenu et 3 Week tunagoja Ep 1 msitufanyie Ivyo Jamani daaa ...tunawaomba Ata Baada Ya week tyu mtuwekee CZcams et ....ila nawakubaliiii KinYama👊🔥🔥🔥🙏
Nawaelewa sana. Movie kali ila sema inatoka kwa machale. Nilikua nomba kama inawezekana mtoe utaratibu watu tuinunur. Wekeni namba tunalipia au mtengeze group la whatsap watu tujoin tulipie movie zenu. Aio kama hibi mnatuweka wiki mbili, tatu tunasubiri ep 1. Mpk inagikia watu tunasahau ipoishia.
Asikwambie mtu. Ni bonge la series ebe. Ni promo tu mazee. Lakini ni bonhe la series haijawahi tokea. Ukianzia katikati halafu ukaja ukasimulia tulikoanzia unaweza kudhan are two different stories. Bonhe la utundu, bonhe la utunzi, bonhe la ubunifu. Anayebisha mh.....
Sema mnatuchelewesha sana mnatunyima uhondo from dom
Kazi nzuri shida mnacherewa kutoa
Kikosiiiiiiiiiiiiih!!!
Yaaani nimecheka sana kusikia anakupenda sana!!!
Moto unazidi kuwa mkari❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
MASTER G ANAJUA SANAAAAAA KUIGIZA✊✊✊✊✊
Nakubali family
Yaan my brother mdachi haendan na hii tabia ni mpoleee mno😂😂😂 NASHANGAA humu alivyo na roho mbay
Mpo vzur nasubirig kwa hamu sana episode zenu
mnachelewa sana kutoa episodes inapunguza uzuri wa series
Kaka benroyal mbona mpo kimya sana kiasi kwamba movie inakaa mda mrefu sana msitusubilishe mashabiki kiasi hicho.
Nitamwimbia bwana shetani ashangae ❤❤❤ nawakubali yaani mnavo cherewa kureta mwendelezo mnatukana sitim
Wanangu kikosi....father g....mpenzi kasi...na wote mnajua kikosi noma dady ❤❤❤
Wela welaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaa Miamba imerudi tena ila mnafanya tuwamiss sana an jaman tunaomba Muwe munajalibu kuwah💪💪💪💪💪
waze haya sasa ndo mambo nawakubali sana mike from kenya
Jaman iyo movie ni kali kinyama nyama, Ila tatizo inachukuw mdaa sana, I'm waiting for the next part.
"JINA" Ni
bonge kitu asee and iko unique
Benroyal mnazingua jaman jitahidini kuwahi mashabiki zenu mnatuangushaaaaaaa😔
Nilikuwa nasubiri matriyo ya mtuuuuuuuuu sanaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 here from Mozambique 🇲🇿 boy from Tanzania 🇹🇿 pamoj Sana
I love you Tim mtuuuu. Nawapenda Sanaa. Jamani. Kutoka kibelegee
Tumesubiri saana asee ✊
Mko vizuli sana Ben team sema mnakawia sana jamani mwezi mzima pls angalau siku nne nne jamani❤❤❤ nawapenda sana🎉
Mamb ni motoo🔥🔥🔥 nakubali San kikosi ila msitucheleweshee ❤❤
Nakubali sana kazi nzuri,ila jitahidini kuwahi muda wa kuachia hizo kazi , maana zinachelewa sana, From Mozambique
Nimeisubili Kwa muda murefu sana
Master G ndo mfano wa wale jamaa zetu wanao tukubali sana na wenye True Love kwa wana..Appreciate sana 🤞
Uko sahih kbs
Nikwel kabasa nampenda joyc
Kadogo lakini katam🎉❤
❤kazi nzuri sna
Oya hakuna kufake humu, wali unabebwa kwenye Rambo 😂😂🙌🏽
😂😅 Sana family
Nawakubali sana Wanangu ❤❤ sema tunawa miss sana
Nimefurahishwa sana baraka I love than them
ila tuache utani Mnatutesa sisi Mashabiki zenu et 3 Week tunagoja Ep 1 msitufanyie Ivyo Jamani daaa ...tunawaomba Ata Baada Ya week tyu mtuwekee CZcams et ....ila nawakubaliiii KinYama👊🔥🔥🔥🙏
zimenonaaa 3 mia tano karibuni sanaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣.mmeiskia au n mm 2
Nisinge penda abel unijue mimi ni nani! 😢😢😢
Nawaelewa sana. Movie kali ila sema inatoka kwa machale. Nilikua nomba kama inawezekana mtoe utaratibu watu tuinunur. Wekeni namba tunalipia au mtengeze group la whatsap watu tujoin tulipie movie zenu. Aio kama hibi mnatuweka wiki mbili, tatu tunasubiri ep 1. Mpk inagikia watu tunasahau ipoishia.
Kikosi umetisha sana 😂😂 mtu wangu ila kweli mungu ndio kilakitu
Daa mmetusubilisha sanaaa nyie wat asaiv mtuwaishie jmn c mnajua tunavyowapenda eee🥰🥰🥰
Nakubal wazèe igdimaa
Kazi safi sana ❤❤
Naona picha ndio imeanza sasa utamu sana big up sana jamaa
Fimbo ❤❤
Safi sana, nyinyi wote ni WATU..mnatisha kila episode ❤❤❤❤
Asikwambie mtu. Ni bonge la series ebe. Ni promo tu mazee. Lakini ni bonhe la series haijawahi tokea. Ukianzia katikati halafu ukaja ukasimulia tulikoanzia unaweza kudhan are two different stories. Bonhe la utundu, bonhe la utunzi, bonhe la ubunifu. Anayebisha mh.....
Kikosiiii❤❤
Niliisubiri sna hki❤❤
Mtu .mbeya all the bst❤❤🎉🎉🎉🎉
Hapa sasa ndo picha linaanza kama movie inavyojitambulisha jina 🔥🔥🔥🔥
Duuuh kaz nzuri
Mbanga name anajua sanaaa asee ndo my favorite actor
🔥🔥🔥🔥fire fire fire kazi safii Fam❤
Master G na kikosi mmetisha sana aisee, from Germany 🇧🇪
Pamoja family
Daah nawakubal sana mnaweza sana
Niliwamiss sana jamaniii likes zangu plz
Atujui changamoto mlizonazo ila inachelewa sana
This is love from Moçambique 🇲🇿😊
Atua kubwa sana hii tuendlee kusapot kaz za nyumbn
Motoooooo✈️✈️✈️💥💥💥
Mtuu 👽👽👽
Master G 😂😂
fuegoooo🔥🔥🔥🔥
Aiseee bg up kwenu nyote mnajua mpaka mnajua tena
ila mnakaa sana wazèe dah
Yaleo Kali saana
Shida moja wanetu zinachwelewa kutoka
Hakika hii movie ni 🔥 asante washiliki ila tunaomba muwe mnatuwahishia miendelezo❤❤
Aki baraka nakupenda bure kaka unanifuraisha sana ❤❤
nawakubar sana mkuuu ila mnatucheleweshea hadi tunasahau
Mbeya tunaweza san
Wanangu mnaringa sana n Jina yenu ad mnakera.mnatoa kw manati ad bac
Mnazingua saana mna chelewa saana kuachia maise
Yaani kyejo 😅😅
Nakubali sana kaka😅😅
Asanten xana tumesubili xana❤❤❤❤
Mtu thanks for coming guys I love you so much
Naelewaga sana kaz zenu ni 🔥🔥🔥🔥
Mbeya to the top🔥🔥
🙏🏻🙏🏻
Mtuuu mtuuu❤
next please 🙏
Mambo 🔥🔥🔥🔥
Mhhhhh mmetisha sana
Master Gee...amina sana😂😂😂
❤nimeisubiri sana jamani 🎉✨☀️💯
Tatizo mnachelewesha sana
🇹🇿🇹🇿naiwapenda sana 🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Ogeraa sanaa ✊🏻✊🏻🔥🔥
🔥🔥 always good appreciate we still waiting for another one
😅😅😅😅😅 iko ndn
Naombe mauwa yangu jmn 🙏
jina🔥🔥🔥
Kazi nzuri lkni mnakarisha sans
😅😅😅😅mm nichome niambie siz ukweli
Mbeya city is on top
🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Mnachelewa sana aisee
❤❤❤❤❤wa kwanza jamn
Mnachelewa kutoa movie wakuuu
Mna chelewesha sana jamani
Mimi wa kwanza 🔥🔥🔥🔥🔥
,🔥🔥🔥🔥
🎉🎉mmechelewa sana
Naona bintu biko bye ✌️ 😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤ ni Akili 🇺🇸
Daah ninyi ni wakal sana Saloot kwako Drct BEN
Wazee wekeni vitu nawakubali sana .Watuuuuuuu