Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 01. 2021
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
    Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
    Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
    ‪CZcams Link bit.ly/CZcamsSalamaNa
    Muda si mrefu iliopita nilirudi nyuma kidogo kwenye kumbukumbu ya mawasiliano ya kwanza kabisa kati yangu na moja wa wasaidizi wake Mheshimiwa Jakaya Mrisho wa Kikwete na hiyo ilinirudisha nyuma mpaka mwezi wa tatu mwaka 2020. Kama mtu mwengine yoyote hii ilikua ndoto tu ambayo kwa Rehema na Baraka za Allah ilibidi itimie. Kwa Baraka zake hizo mimi na wenzangu tunashkuru sana sana kwa kuweza kulikamilisha hili.
    Shukran za dhati ziende kwa Doris Mollel ambaye kwa msaada wa Sadam ‘Almando’ Sanare alinimbia Doris anaweza akatu unganisha na mmoja wa wasaidizi wake ili tuweze kuona kama tunaweza pata hii nafasi, na kama ujuavyo, mengine yote yamebaki kuwa historia tu tena, maana yametimia.
    Mimi kama wewe tu, shabiki nambari moja wa Jakaya Mrisho Kikwete na kukutana naye, kukaa naye chini na kuweza kumuuliza maswali tuliyokua tumeyaandaa (kwa muongozo wao) ilikua raha isiyoelezeka. Mzee charming, mwenye roho nzuri na muelewa kabisa. Mengine yalofuata baada ya hapo ndo ambayo utayaona au kuyaskiliza katika maongezi yetu haya. Mengi yalikua ni juu ya yeye alivyokua na uelewa wake kwenye mambo mengi. I wish tungeweza kuongea nae kuhusu masuala meeengi zaidi kuhusu kiila kitu ila ki ukweli hii inatosha kwa sasa na Mungu atajaalia tutakutana naye tena siku nyengine In Shaa Allah.
    Mheshimiwa JK aliongea nasi kuhusu Wazazi wake, elimu, uelewa wake wa mambo, yeye kuwa mwanajeshi. Jinsi alivyokutana na Mama Salma. Historia ya nyuma kidogo kuhusu mapenzi na jinsi Marehemu Mzee wake alivyomtaftia mke na kuzaliwa kwa mtoto wake wa kwanza ambaye ni Ridhwan. Kuhusu kitabu chake, mapenzi yake na basketball na muziki. Pia Kobe Bryant na mapenzi kwa wajukuu zake.
    Kama ilivyo kawaida yetu, yangu matumaini utapata kadhaa humu ya kukufunza jambo. Na napenda kuchukua nafasi hii kumshkuru kila mtu ambaye alisaidia hilo kutimia na zaidi team yangu yote ya ‘YahStoneTown’ ambayo ilifanya kazi iliyotukuka kukamilisha hili.
    Nikutakie Kheri ya mwaka mpya na kila lenye Kheri nawe.
    Enjoy.
    Love,
    Salama.
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz
  • Zábava

Komentáře • 938

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 Před 3 lety +175

    Best interview in 2021 Kama umependa like apa tufurai pamoja

    • @prophetsjeremiah1063
      @prophetsjeremiah1063 Před 3 lety +1

      Beloved, I don't know you in person but God know you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (TWINS ALIVE FOUNDATION) in Rivers state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348157404923) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you in Jesus name.

    • @ludovicshirima1793
      @ludovicshirima1793 Před měsícem +1

      Safiii namkubali Sana kikwete hyu mzee anajua kujieleza tumpe heshima yake nafatilia sana mengi kuhusu legend hyu🔥

  • @liverpoolvsrangers2273
    @liverpoolvsrangers2273 Před 3 lety +29

    The best president ever jk wa msoga tunakupenda Sana mh rais mstaafu uishi Sana mzee wetu tukikuona tunapata faraja watanzania

  • @salehsimba5306
    @salehsimba5306 Před 3 lety +58

    Kila ninapomuona mzee Jakaya najivunia utu, unyenyekevu, heshima, upole, usikivu, wa sisi Wakwere.

    • @prophetsjeremiah1063
      @prophetsjeremiah1063 Před 3 lety

      Beloved, I don't know you in person but God know you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (TWINS ALIVE FOUNDATION) in Rivers state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348157404923) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you in Jesus name.

  • @KidotiTwiga
    @KidotiTwiga Před 3 lety +79

    Tunaompenda baba JK gonga like

  • @abdallahrashid1182
    @abdallahrashid1182 Před 3 lety +105

    Salama is very talented, the way anavyoongea na muheshimiwa ni kama binti anaongea na babaake, her facial expression and the way she is enjoying the moment with mr. President! It is lovely! She is my star

  • @mrsmbaga6082
    @mrsmbaga6082 Před 3 lety +79

    Heshima kubwa sana kwa my favorite pressident ww ni raisi wa dunia hizo interview wanafanya wakina obama

    • @psychtoday7732
      @psychtoday7732 Před 3 lety

      Jinsi ya kumlea mtoto na afyaExtra czcams.com/video/PY8aLdvh0CQ/video.html

  • @salumhamisi6706
    @salumhamisi6706 Před 3 lety +23

    Mbunge wangu wa muda wote wa Chalinze, Rais wangu Mstaafu na the best of the best, Mzee wangu na ninaye jifunza mambo mengi kwake. Mungu akujaalie ukamiishe kitabu chako ili tupate mambo yote ulopitia. Itakuwa bonge la kitabu

  • @abubakarihamissi4178
    @abubakarihamissi4178 Před 3 lety +14

    raisi wangu bora kabisa kuwahi kumuona very humble, mtu mwenye moyo safi na roho kunjufu mwenyezi mungu akuhifadhi raisi wa watu.

  • @swahiliwithantiZita
    @swahiliwithantiZita Před 3 lety +174

    Hii customer service is extraordinarrrrry yani tumeletewa JK mezani...guys, let's send more tip!

    • @mymussept3662
      @mymussept3662 Před 3 lety

      czcams.com/video/XUVR261lcZY/video.html

    • @lazaromtui1355
      @lazaromtui1355 Před 3 lety +3

      Alafu kuna washenzi wamepress 👎. Watz tuna mdudu kichwani

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 Před 3 lety +1

      @@lazaromtui1355 hawajielewi hao wanaopress

  • @medardkihekaabel2601
    @medardkihekaabel2601 Před 3 lety +161

    Kama unamkubali JK weka likes zako hapa tuone...

    • @prophetsjeremiah1063
      @prophetsjeremiah1063 Před 3 lety

      Beloved, I don't know you in person but God know you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (TWINS ALIVE FOUNDATION) in Rivers state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348157404923) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you in Jesus name.

  • @jaafarjacka9272
    @jaafarjacka9272 Před 3 lety +159

    Daahh huyu mzee ALLAH amuhifadhi ampe afya njema ampe mwisho mwema na amsaameh makosa yake...JK mtu mwenye moyo wa kustahimili

  • @asanatimrisho1816
    @asanatimrisho1816 Před 3 lety +34

    Nampenda huyu baba jamanii Allah amlinde

  • @mrsmbaga6082
    @mrsmbaga6082 Před 3 lety +59

    Raisi asiye ogopa kuhojiwa raisi mwenye kujitambua mcheshi daaah mic u our father

    • @J4UPro
      @J4UPro Před 3 lety

      Mmmh hapa unamaana yake siyo!

    • @captendunga1392
      @captendunga1392 Před 3 lety +1

      Kwani huyo ni rais?? Au unataka kujenga hoja... nishajua unachotaka kumaanisha ni kwamba hata MAGUFULI akiachia kiti ruksa kufanyiwa intervew.

    • @anahna6788
      @anahna6788 Před 3 lety

      @@captendunga1392 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @chiefmahucha6847
      @chiefmahucha6847 Před 3 lety

      Nionyeshe interview aliofanyiwa Kikwete akiwa Madarakani...!
      Acheni mbwembwe..!

    • @alistairelias536
      @alistairelias536 Před 3 lety

      @@chiefmahucha6847 Zipo sana! Fanya usearch CZcams utaona.

  • @bobrudala3784
    @bobrudala3784 Před 3 lety +9

    Nimefurahia sana historia nzuri ya kiongozi wetu Mungu azidi kumpa maisha marefu na afya njema,hongera zake dada Salama kwa kipindi kizuri

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 Před 3 lety +77

    One of the best presidents ever in our country's history. His humbleness, decency, dignity and character are unbelievable!

    • @mikemrosso5679
      @mikemrosso5679 Před 3 lety +1

      Trueeee

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 Před 3 lety +5

      Leo hii kwavile hayupo tena madarakani dah! Watanzania sisi sijui mchawi wetu nani, maana karika maraisi ambae ameshambuliwa na wanasiasa dah! Mh! Kikwete anaongoza maisikini alipewa majima kibao mpaka wengine wakafikia kumuita raisi wa wanawake maana ndio waliomkubali nahapa nanukuu maneno ya zito kagwe bungeni aliwahi kusema raisi gani kazi kucheka cheka tu na kula bata raisi kila kukicha ulaya hana muda na mambo ya ndani ya nchi, ni ubaridhifu wa fedha za watanzania, na akatoa mpaka kiasi cha fedha zinazotumika raisi anaposafiri na group lake na akasema tunahitaji raisi mkali asiecheka na mtu na hatutaki raisi kila kukicha ulaya hata akiumwa na mafua ulaya, sasa amekuja kinyozi ananyoa kwa msumeno, na anafuata walichotaka wanasiasa ila leo hao hao wanamsifia Kikwete, wakati kinyozi kipicha kwanza amemaliza miaka 5 hatapanda ndege kwenda ulaya na ameumwa ametibiwa hapa na hata mke wake amelazwa bongo sio ulaya mpaka amepona.

    • @jorampaulo7008
      @jorampaulo7008 Před 3 lety +2

      @@davidcurtis8556 jiulize kwanini wasisifiwe hao wengine?.kubali tuu kikwete is the best,kwangu Mimi namwita baba kumpa heshima stahiki

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 Před 3 lety

      @@jorampaulo7008 huo ndio mtazamo wako kwa namna nilivyolelewa nilifundishwa niheshimu mtazamo wa mtu, pili soma japo mistari mitatu tu utanielewa nini namaanisha, hata huyu aliopo madarakani akitoka atasifiwa na kuambiwa hakuna mzalendo kama yeye.

    • @psychtoday7732
      @psychtoday7732 Před 3 lety

      Jinsi ya kumlea mtoto na afyaExtra czcams.com/video/PY8aLdvh0CQ/video.html

  • @nicholausmaganza6192
    @nicholausmaganza6192 Před 3 lety +24

    Jk ni mcheshi Sana...m2 wa kufurahi, naenjoy sana kila nikitazama mahojiano yake, mungu azidi kumbariki na kheri juu yake

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 Před 3 lety +31

    Jmn kusem kwel mpenzi wa Mungu huyu mzee napenda sana anavyoongea natamani asiache kuongea......but Salama hongera sana🙏🙏

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 Před 3 lety +50

    Baba yetu kipenzi 🇹🇿❤️✅

  • @chidiberbatov3613
    @chidiberbatov3613 Před 3 lety +8

    Ukiskia wahenga ndio hao watu wa pwani wana maneno yenye busara kubwa ndani yake...like kwa rais wetu mstaafu

  • @nassororamadhani6353
    @nassororamadhani6353 Před 3 lety +11

    Jamani like zenu mimi ndo mara yangu ya kwanza kukoment kwa sababu hii ndio interview bora sio tu ya mwaka 2021 bari ya miaka 20 iliyopita na ijayo

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 Před 3 lety +3

    Dada usiwasahau Mzee Mwinyi, Mama Maria Nyerere, mama Fatma Karume na mama Ana Mkapa nk kuwapa kipindi kama hiki. Ni raha kuwasikiliza hawa wazee wetu. Tuwaenzi. Hongera sana.

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 Před 3 lety +3

    Baba yetu kipenzi m.mumgu akumpe umri mrefu na swalih na akusameh madhambi yako ameen.

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 Před 3 lety +40

    Hii niliisubiri kwa hamu kubwa sasa acha niangalie kwa amani ❤

  • @bongeone
    @bongeone Před 3 lety +11

    Salama unahitaji heshima kubwa sana ktk tasnia ya utangazaji,mungu akuongoze...hii ni kubwa kuliko
    #JakayaKikwete💪

  • @ramadhanmohamed8851
    @ramadhanmohamed8851 Před 3 lety +25

    Hii nimeipenda salama your the best ww ni mwisho kwa kweli hakuna kama wewe

  • @loveadventure1957
    @loveadventure1957 Před 3 lety +29

    🥰much LOVE to our old president❤

  • @fredydonald1610
    @fredydonald1610 Před 3 lety +50

    Wewe kama unatak upepo kwenye nyumba ya makuti kajenge yako uishi... Hahaa we miss you hon JK

  • @advocatekarama4917
    @advocatekarama4917 Před 3 lety +62

    He’s humble and charming 🇹🇿❤️

    • @prophetsjeremiah1063
      @prophetsjeremiah1063 Před 3 lety

      Beloved, I don't know you in person but God know you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (TWINS ALIVE FOUNDATION) in Rivers state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348157404923) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you in Jesus name.

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz Před 3 lety +4

    Sijawahi ku comment kwa chanel hii..
    It may take a lot to Express how I feel, but for few words (Thank you so much Guys, Mungu awabarikie team yote kwa kazi nzuri)..
    Si kwamba kutoku comment huko kwingine haina maana kwamba sijapenda kazi zenu, uwa nazipenda, Leo nilipoona hii nimezidiwa mahaba...hongereni salama na Team nzima..

  • @avancavan4240
    @avancavan4240 Před 3 lety +20

    And another good thing about my favorite president he is a good narrator
    LIVE LONG MR PRESIDENT

  • @editherkigabo9541
    @editherkigabo9541 Před 3 lety +54

    Hakika hii ndo interview ya kufungulia mwaka2021

    • @psychtoday7732
      @psychtoday7732 Před 3 lety

      Jinsi ya kumlea mtoto na afyaExtra czcams.com/video/PY8aLdvh0CQ/video.html

  • @mtoto_wa_Mfalme12
    @mtoto_wa_Mfalme12 Před 3 lety +13

    Salama hii interview umetutendea haki KABISA!

  • @rithapaschal8141
    @rithapaschal8141 Před 3 lety +3

    Mwenyezi MUNGU akutunze baba yetu tunakupenda ,tunakukumbuka sana kwenye uongozi wako thabiti na wenye huruma kwetu

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 Před 3 lety +23

    A symbol for Democracy....In Tanzania and Africa....

    • @psychtoday7732
      @psychtoday7732 Před 3 lety

      Jinsi ya kumlea mtoto na afyaExtra czcams.com/video/PY8aLdvh0CQ/video.html

  • @khamissaid1156
    @khamissaid1156 Před 3 lety +2

    Hawa wazee wamefanya kazi kubwa sana nchi hii,tunapaswa kuwapenda ,kuwathamini ,kuwaheshimu, na tuwaombee mwisho mwema .

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 Před 3 lety +78

    Daah...dadaangu Salama hongera sana kwa kutuletea Mh. JK.

  • @lovemusicnoreen9185
    @lovemusicnoreen9185 Před 3 lety +12

    Uko sahihi MH. JK SIO ZAMANI WALA SASA TATIZO NI COMPATIBILITY . Your very right !

  • @leonardinabalenzi4005
    @leonardinabalenzi4005 Před 3 lety +3

    JK kama JK. Tunakutakia maisha marefu uendelee kutulea kama mmojawapo wa wazazi wa taifa letu. Feeling blessed

  • @abdallahrashid1182
    @abdallahrashid1182 Před 3 lety +13

    Respect to Our lovely President, respect to Salama jebir!

  • @kapendalubowa534
    @kapendalubowa534 Před 3 lety +9

    Watu wanaomshangilia Meko kuwa anafanya kazi kuliko Marais wote hao hao ndo naona wanakoment kummiss JK.Na kumuombea maisha Marefu kwa busara zake na uongozi wake uliotukuka, Watanzania tunapenda nini??!! Asante Sana Salama, Binafsi Viongozi Bora wa nchi hii Baada Ya Nyerere Ni Kikwete.

  • @naslee1010
    @naslee1010 Před 3 lety +11

    Dada yanagu #salama nakubali unacho kifanya hadi #mrjakaya duh! hii #kubwa kuliko🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @BenjaminFMosha
    @BenjaminFMosha Před 3 lety +21

    Kazi nzuri salama unajua kuhoji haumkatishi mgeni big up

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 Před 3 lety +37

    Nampenda sana JK wallah... My all time favorite person 😍 JK

    • @prophetsjeremiah1063
      @prophetsjeremiah1063 Před 3 lety

      Beloved, I don't know you in person but God know you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (TWINS ALIVE FOUNDATION) in Rivers state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348157404923) tell him I sent you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you in Jesus name.

    • @omanimujsa9756
      @omanimujsa9756 Před 3 lety

      😁😁😁😁😁😁

  • @haikaruwakrekamoo49
    @haikaruwakrekamoo49 Před 3 lety +29

    Jk a very good definition of a leader,so friendly,if I were to select again I will still choose you.

  • @omariamiri5556
    @omariamiri5556 Před 3 lety +7

    Miss you JK wallah Allah akupe afya bora na maisha marefu yenye baraka ndani yake

  • @ellieayamba5299
    @ellieayamba5299 Před 3 lety +60

    yoooooo.....
    salaaaamaaaaa
    you brought us J.K....
    Nimeshangilia kama naangalia mechi ya simba na Yanga...
    Love him😍

  • @TemuTV
    @TemuTV Před 3 lety +49

    Wat a Big Move On podcast Ohh I can't believe ni yeyeee Mr President. I love this game congratulations salama kubwaaa sana hii

  • @jrsingham
    @jrsingham Před 3 lety +25

    Daah kumb hata president alikuwa hataki shule duuh chama la utoro tumepata mwenyekiti 🤣🤣

  • @Winstonfying
    @Winstonfying Před 3 lety +14

    Safi sana, heshima kwako Mzee JK, nimefurahi kumuona hapa 👏🙏

  • @twalibuchilumbe7751
    @twalibuchilumbe7751 Před 3 lety +14

    Kumbe zile doji za xkonga tumepita na mapresd

  • @msokeentertainment5720
    @msokeentertainment5720 Před 3 lety +6

    Aliyemaliza adi Mwisho Kama mm 👍

  • @mabulamayunga4938
    @mabulamayunga4938 Před 3 lety +20

    Wisely man, politely man & strong politician

  • @melkizedecknicodemus7020
    @melkizedecknicodemus7020 Před 3 lety +87

    Hii video inaenda kua trending mapema sanaa, Hongera sana salamaaa🔥🔥🔥

    • @mudymudy9989
      @mudymudy9989 Před 3 lety +3

      Duu yni kikwete mungu aendelee kumlinda jmani na mtangazaj salama jabir

    • @mymussept3662
      @mymussept3662 Před 3 lety

      czcams.com/video/XUVR261lcZY/video.html

  • @siyamyovela4356
    @siyamyovela4356 Před 3 lety +2

    Baba yetu Mungu akutunze saana was Tanzania tubakupenda saana

  • @davidnchoji
    @davidnchoji Před 3 lety +9

    Salama wewe ni mkali sana, nimependa sana jinsi unavouliza maswali, Nakupenda sana.

  • @ramadhanimohamedisheshe7073

    JK THE SECOND ALLAH AMPE UMRI MREFU HUYU MZEE....

  • @adidjakhalfani2661
    @adidjakhalfani2661 Před 3 lety +5

    Nimekuja apa sababu ya kikwete Allah akupe umri mrefuuuu🤲🤲

  • @cheupemwanga3326
    @cheupemwanga3326 Před 3 lety +2

    Nakupenda sana JK

  • @SWAHILINATION
    @SWAHILINATION Před 3 lety +15

    Very humble man 🙏🏾
    Asante Salama kwa interview tumejifunza mengi

  • @mtemi
    @mtemi Před 3 lety +14

    Aisee hongera mno Salama. This is huge. Nakupea zawadi ya subscription mamangu

  • @genovevakilawe3018
    @genovevakilawe3018 Před 3 lety +11

    Nakukumbuka sana baba yetu JK

  • @edwardobreymarunda496
    @edwardobreymarunda496 Před 3 lety +52

    We miss you JK..
    Thank you Salama

  • @jacksonmtumishi2157
    @jacksonmtumishi2157 Před 3 lety +2

    Mungu wa hajabu sana Jk , Umenikumbusha mbali sana . uliyoyapitia mengi Mzee nimeyapitia Dah !!!

  • @chumayahaya9095
    @chumayahaya9095 Před 3 lety +4

    Wemzee umepitia mengi ndyomana mjanja sana unaelewa sana mtaa our former President Dr jakaya mrisho kikwete

  • @sultantany6091
    @sultantany6091 Před 3 lety +39

    Salama nilikuona jana ivi ulikua unashabikia azam ama mlandege? Alaf hongera kwa kumpata huyo mzee jk

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 Před 2 lety +1

    Nampenda Sana huyu babajamani.I wish nikutane naye sikumoja.ntafurahi Sana. Nimcheshi,halingi,mzuri,tabasamu tamu.Mungu akulinde baba.

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Před 3 lety +2

    Jk Mungu azidi kukujalia afya njema ili uzidi kutufundisha mambo mengi ya mazuri katika huu ulimwengu nimependa Sana mahojiano haya. 🙏🙏

  • @barakachalres9316
    @barakachalres9316 Před 3 lety +16

    Waoooooooooooh leo coment ya 7 asante sana dada Salama kwa kutuletea mtu mashuhuli na kipenzi cha watu kama huyu

  • @morganmunis6501
    @morganmunis6501 Před 3 lety +11

    The legendary himself! JK

  • @robertsemaganga9168
    @robertsemaganga9168 Před 3 lety +2

    Mh yupo huru sana . i like it

  • @abdallahsaidi2942
    @abdallahsaidi2942 Před 3 lety +2

    Safi sana

  • @davidnchoji
    @davidnchoji Před 3 lety +8

    Salama wewe ni mkali sana, nimependa sana jinsi unavouliza maswali, Nakuoenda sana.

  • @kanyika14kanyika16
    @kanyika14kanyika16 Před 3 lety +8

    Jamani muheshimiwa anazungumza vizuri 😍😍 we still missing you 😙😙

  • @jackmeshack
    @jackmeshack Před 3 lety +18

    Najaribu kumtafsiri JK. Mtu ambae hajioni, hajisikii, anajua utu. Nashangaa hawa wasiopenda kujadiliana na jamii

    • @dizzboss7526
      @dizzboss7526 Před 3 lety +1

      Hao wengine usiwaulize acha kabisa

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 Před 3 lety +1

      Akikusikia dr ulimboka atakudharau sana

    • @danielalphonce1653
      @danielalphonce1653 Před 3 lety

      😂😂😂😂😂😂 kina nani hao hawataki kujadiliana na jamii? Sema upole wake ndo ulifanya akafeli kwenye utawala wake.

    • @hammylove1268
      @hammylove1268 Před 3 lety

      @@danielalphonce1653 usichokijua ni kwamba kila rais anatekeleza ilani ya chama alipoishia kikwete ilikuwa lazima aishie hapo vitu vinafanywa kwa utaratibu maalumu acha kuropoka au mpaka afe ndio mtamsifia?

    • @danielalphonce1653
      @danielalphonce1653 Před 3 lety

      @@hammylove1268 we unaelewa nini? Kikwete kafeli na ukweli lazima aambiwe, mwenzie sa'iv anapata shida na lawama kwa sababu yake. Mambo mengi angechukua hatua kama mkuu wa nchi wala Magufuli asingepata tabu ya kuliongoza Taifa...we yaelekea umesahau zama za JK...
      - waziri akiboronga anaombwa kujiuzulu tena kwa lugha ya kubembeleza. Any way tumuache apumzike, hata tukiongea sana haitasaidia lakini bora aelewe yeye ni Rais KIVURUGE aliivuruga nchi..

  • @khadeejaalmahri6217
    @khadeejaalmahri6217 Před 3 lety +2

    Mash Allah big up mstaafu wetu mungu akupe Maisha marefu hizi ndio ndoa alizotuusia mtumie wetu s aw hongera baba mungu amekupa mafanikio ya dunia na akhera inshalla

  • @abdallahomari9860
    @abdallahomari9860 Před 3 lety +10

    Ikulu Kam ikulu sasa. Msooooooogggaaaaaa. Mojaaaa JK Master

  • @cathberttomitho3761
    @cathberttomitho3761 Před 3 lety +34

    Interview nzuri sana. I like the courage

  • @emmanuelmohammed1294
    @emmanuelmohammed1294 Před 3 lety +3

    Nampenda Sana Rais Jakaya, my best role model

  • @sniperislam4547
    @sniperislam4547 Před 3 lety +1

    Nice interview
    Nyumba zamn ndo 120 duh

  • @kingchavala
    @kingchavala Před 3 lety +10

    Hongera sana Salama! Umeweza!💪
    Hii Nimeipenda! Haya mambo ya kijamii tu tunahitaji kuyasikia wakati mwingine! Na leo Nimejua kuwa Mimi na JK wote tumesoma Tanga School😅

  • @allankiluvia4860
    @allankiluvia4860 Před 3 lety +81

    Jk the adorable political figure.

  • @bahatisichone6182
    @bahatisichone6182 Před 3 lety +2

    nampenda sana huyu mzee

  • @gaspamwalukasa5900
    @gaspamwalukasa5900 Před 3 lety +2

    Angekua harmonize apa tungekoma na kingeleza mzee anajua kingeleza lakin atumii

  • @erickmsaki9519
    @erickmsaki9519 Před 3 lety +32

    Best president TZ ever had...

  • @quarantine325
    @quarantine325 Před 3 lety +13

    Jk the man of the people ❤️

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 Před 3 lety +14

    Nilikuwa naisubir Alhamdullilah imewadia love C* salama 😍😍

  • @osmandemebele3335
    @osmandemebele3335 Před 3 lety +13

    Kikwete rais pendwa sna tz alafu mfasaha sna mashallah

    • @augustinoshigela6329
      @augustinoshigela6329 Před 3 lety

      Mbona hujawah msifia akiwa Rais,,,,wabongo wanafiki sana,,,,wacha tuisome,,,,mzee Magu kaza baba watu walizoea kupigakupiga hahahahah

    • @georgedaniel3911
      @georgedaniel3911 Před 3 lety

      @@augustinoshigela6329 wanafiki sana walishawai kusema alikua anacheka cheka, ndoo maana mafisadi wengi,acha Magufuri apige kazi.

    • @maridhiamsemo6012
      @maridhiamsemo6012 Před 3 lety

      Mwenyezi mungu akulinde Baba kwa hekima zako

  • @mwanaidhassan229
    @mwanaidhassan229 Před 3 lety +34

    Rais mu handsome africa nzima ❤️😁🇹🇿

  • @jamilahathumani4222
    @jamilahathumani4222 Před 3 lety +2

    Rais wetu uyo yupo simpo sana,, Mungu akusimamie kwakila jambo JK

  • @onlytecna9498
    @onlytecna9498 Před 3 lety +26

    Kama unaona utapata upepoo kwenye Nyumba ya makuti nenda kajenge ya kwako 😹😹 Daah I love my Mh JK

  • @lucasmwinuka3838
    @lucasmwinuka3838 Před 3 lety +3

    Our father jk we love you

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 Před 3 lety +6

    Mzee wangu Mwenyez Mungu akupe kla la kher na miaka mingi. Iwesh urudie urais

  • @bkmuba2079
    @bkmuba2079 Před 3 lety +2

    Tuta kukumbuka Sana baba yetu mwenye busara

  • @yussuphsultan1400
    @yussuphsultan1400 Před 3 lety +2

    Great Salama...kumkaribisha huyu Mkuu wetu.... I've learned a lot!!!!

  • @jaalabenterprises6744
    @jaalabenterprises6744 Před 3 lety +7

    Ahsante sana kwa kushare nasi.

  • @trifainanjalika9643
    @trifainanjalika9643 Před 3 lety +3

    Dah jaman mrx prezda penda sana wew jaman we missed u jaman

  • @user-sk1yd4pw1v
    @user-sk1yd4pw1v Před 2 měsíci

    Watanzania wengi wamegubikwa na unafiki apa kwa kuwa mko kwenye media mnaanza mungu akuweke mungu akunze mkitoka apo mnakaa mitaani mara rimonti ipo msoga akuna naye msadiki kukoment Kutoka moyoni mh shimiwa raisi mstafu raia wako tumekosa misimamo Kutokana na Hari zetu kiuchumi😢😢

  • @estarkapinga6126
    @estarkapinga6126 Před 3 lety +15

    Nampenda Sanaa mh kikwete mungu aendelee kukutunzia wew

  • @irenediemond368
    @irenediemond368 Před 3 lety +4

    Yaaani nampenda huyu Baba jamani mungu akuweke mzee wetu

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 Před 3 lety +11

    Nimecherewa lkn ngoja nitizame japo muda umeenda nakupenda sn salama 🤗😍