Marioo & Alikiba - Love Song (Audio)

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 26. 07. 2023
  • Out now: africori.to/lovesong
    Subscribe: @MariooOfficialMusic
    ‘The Kid You Know Deluxe' out now: africori.to/thekidyouknowdeluxe
    Follow Marioo:
    / marioo_tz
    / marioo_bad
    / tz_marioo
    open.spotify.com/artist/4ZTqT...
    / artist .
    / thisismarioo
    More from Marioo:
    Tomorrow - • Marioo - Tomorrow ( Of...
    Lonely (ft. Abbah) - • Marioo & Abbah - Lonel...
    Dear Ex - • Marioo - Dear Ex (Off...
    Naogopa (ft. Harmonize) - • Marioo & Harmonize - N...
    Mi Amor (ft. Jovial) - • Marioo x Jovial - Mi A...
    #marioo #lovesong #alikiba
  • Hudba

Komentáře • 2,8K

  • @farajiwanted8257
    @farajiwanted8257 Před 10 měsíci +75

    Ngoma Kali Sana 👊👊👊👊
    Kama Unaamini Kuwa Huu Wimbo Unaenda Kuwa Trending Namba Moja Muda Sio Mrefu Gonga Like Mfululu 😎

  • @leeskillz3734
    @leeskillz3734 Před 10 měsíci +210

    Mbona hii combination imekuwa nzuri wafanye watoe hata albamu ya pamoja kama na wew unapenda watoe albamu gonga like kubwa😮

  • @swallowbae
    @swallowbae Před 10 měsíci +66

    Let be honest, Diamond Platinumz killed the bongo music but Marioo came and resurrected it! Give Marioo his flowers 🌺🌹

    • @sallysalim147
      @sallysalim147 Před 10 měsíci +3

      💕💕👑👑👑he's a young king and alikiba is the elder 🤩👌

    • @youngkobe1584
      @youngkobe1584 Před 10 měsíci +2

      Utter nonsense

  • @kondwanimwangobora7696
    @kondwanimwangobora7696 Před 10 měsíci +11

    The chemistry between King Kiba and Marioo is Unmatched ,they always deliver 🔥🔥🔥🔥🙌

  • @user-mv1ds6ok8n
    @user-mv1ds6ok8n Před 10 měsíci +267

    Ila Alikiba 🎉🎉🎉 Wanao kubali kua Kifaransa ni lugha namba moja yenye ladha nzuri inayo toa matamshi matam ya nyimbo za Mapenzi wagonge like hapa

  • @rasheedmbutilo6119
    @rasheedmbutilo6119 Před 10 měsíci +42

    Hii ngoma ni kali mpaka inaniumiza kuwa taratibu usikilize huu mzigo mtakuja kunishukuru
    Gonga like za kiba-mario

  • @DomingosMarcosMarcos-zg4sy
    @DomingosMarcosMarcos-zg4sy Před 10 měsíci +32

    Boa música ❤ obrigado pela boa música, curtindo de 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @princeclassic7103
    @princeclassic7103 Před 10 měsíci +6

    It's verse 1 ya Mariooo for me 🔥🔥💪 .... Above all producer Lex we ni mnyamaaaaaaaaaaaaaaa.... Kuna sound Fulani special kwa hii beat.... Yenye imeintroduce beat🔥🔥🔥 big up tu sanaa 💪💪💪💪

  • @jadouhuru
    @jadouhuru Před 10 měsíci +91

    Ndagukunda je t'aime❤ gonga like kama umusikiya kiba akiimba Kirundi n french

  • @user-gi1fi7hl3j
    @user-gi1fi7hl3j Před 10 měsíci +62

    Mumeuwa king na mario nda gukunda kiba hatali sana Burundi🇧🇮💯❤️

  • @user-bf5ub6ou4x
    @user-bf5ub6ou4x Před 10 měsíci +2

    Ndagukunda, je t,aime big up Alikiba🔥🔥🔥nawa miss pamoja na lolilo😍from buja

  • @BakarinassaBakarinassa-rt6et
    @BakarinassaBakarinassa-rt6et Před 10 měsíci +2

    Dah nimesikia mziki mtamuuu kinoma sio makelele hawa wajomba ni noma sanana ndio wasanii wa 🇹🇿 sio wakimbizi wa 🇳🇬 Big up 👆

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 Před 10 měsíci +7

    Ivi nyie watanzania mnajua Alikiba akiamua kuimba muziki seriously. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @michoomicharazotv39
    @michoomicharazotv39 Před 10 měsíci +542

    Mtu wa Kwanza naombeni likes zangu

  • @farajiabdallah7438
    @farajiabdallah7438 Před 10 měsíci +19

    Never disappointed this two kings in every beat💥💥

  • @mosesmhaiki
    @mosesmhaiki Před 10 měsíci +10

    Melody, Rythems, Puch, Voice, Beats, lines arrangements are all killing lovers zone and made a day with great happiness.....Be blessed brothers for sure you made it..🎧🎧🎧

  • @livingstonking9818
    @livingstonking9818 Před 10 měsíci +12

    ni mwendo wa back to back mario ft alikiba l miss you ❤❤ alikiba ft mario sumu 🇹🇿🇹🇿 mario ft alikiba love song naombeni like zao 💯💯💯

  • @Chida
    @Chida Před 10 měsíci +54

    Wote wanaopenda muziki mzuri twende apa na LIKE za good music🎶 ❤❤❤

  • @rockeym4411
    @rockeym4411 Před 10 měsíci +2

    Chemistry imekubali🔥🔥🔥

  • @charlesdino1890
    @charlesdino1890 Před 10 měsíci +6

    Sumu and now this alikiba and marioo teaching us and the rest follow in line am proud of my East African brothers ❤

  • @geophreyjohn5328
    @geophreyjohn5328 Před 10 měsíci +49

    Kama umekubalii mario kweny hizii ngoma ndy zakee wekaa like za kutosha kwa ajilii yakeee #TOTOBADIE❤

  • @abigailsonogho3929
    @abigailsonogho3929 Před 10 měsíci +93

    Namapenda Muziki wa Tanzanie toka congo DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naombeni like jamani

  • @user-es3mv3xy4m
    @user-es3mv3xy4m Před 10 měsíci +2

    Dah mmefanya vizuri tunaitaji musicians kama marioo na aliiii in industry🎉

  • @user-wq1kx6sw4g
    @user-wq1kx6sw4g Před 10 měsíci +1

    Ako ndagukunda niko kavyitsa warundi tujuane🎉❤

  • @dr_donye
    @dr_donye Před 10 měsíci +31

    Hii migoma mfululu combination imekwenda unyama mwingi sana 🔥🔥🔥
    Sema huyu Kingkiba 👑💪sauti zake hatari sana mwisho nikahisi wimbo wote kaimba marioo💪💪💪

  • @MIZUKAMEDIA
    @MIZUKAMEDIA Před 10 měsíci +43

    Hawa ni waandishi wawili ninaowapa heshima sana na naona wamerudi kuiheshimisha bongo fleva tena, big up my brothers bravo👊🏽💯

  • @kingsleyboerz
    @kingsleyboerz Před 10 měsíci +4

    These two are taking over the TZ music industry.
    This is a masterpiece.
    Ali Kiba namkubali 👌🏾

  • @NEVILLEPASCAL
    @NEVILLEPASCAL Před 10 měsíci +16

    Mariooo is always something else on this love vibes

  • @dr_donye
    @dr_donye Před 10 měsíci +438

    Kama umeona unyama alio ufanya Kingkiba 👑 kwenye sauti naomba like 5 tano🙏

  • @dogobk7796
    @dogobk7796 Před 10 měsíci +400

    If you are one of the people who are proud to be African, you believe that Africa has talent and you support good music, please don't leave without your like.

  • @harrismalone5455
    @harrismalone5455 Před 10 měsíci +2

    Sema tuache utan@Alikiba ni Melody ya tz🇹🇿 anajua kuchezesha sounds yoyote🔥🔥hii ndo maan halisi ya chiiii na yeeeah👀

  • @user-uf5mz8ez8t
    @user-uf5mz8ez8t Před 10 měsíci

    No janjajanja no ungaunga mwana ni checheee gonga LIKE KUBWA MORE THAN MILLION TIMES....SIIIICHOKI HATA IWE MWAKA MZIMA NGOMA HII TU INANITOSHA

  • @christitle5762
    @christitle5762 Před 10 měsíci +43

    Alikiba na Mario ni Ronaldo na Messi Yani hii nyimbo lazma iwaingie mpka upande wa pili🔥🔥🔥 hivi ni vichwa Yan naomba wazid kushikna nakutoa nyimbo yenye imebeba utamu wa royco ndani kma hii Yan 🔥🔥🔥🔥

    • @omarylugusha
      @omarylugusha Před 10 měsíci +1

      Umemaliza vyote huu ni Moto WA kuotea mbaliii🎉🎉🎉

    • @maziwalele7488
      @maziwalele7488 Před 10 měsíci +1

      Wacha King KIBA achome Huo msitu Simba anajigamba nayo💪💪💪.
      Mwambie askize iyo awache kutusbua ety yatapita,Kwa KIBA ndo yaja Sasa❤❤

    • @khadija5761
      @khadija5761 Před 10 měsíci +1

      🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 Před 10 měsíci +1

    King Kiba anyday anytime ❤️🎼🔥🔥🔥🔥🔥... it's a Banger 🥶🔥🔥🔥🔥

  • @RulebyJaz
    @RulebyJaz Před 10 měsíci +11

    This combo they never disappoints us🌹🙌

  • @ginimbifamily3995
    @ginimbifamily3995 Před 10 měsíci +139

    Good Music 🎶 🎵 👌
    Good Melody 👍
    Good Emotion 👍
    Good vibe ✨️ 😌
    Kama umekubaliana na mimi gonga Like hapo

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 Před 10 měsíci +12

    Hii combination ifike mwisho basi maana kunapoelekea hatutosikia wasanii wengine 🤣🤣🤣
    Alikiba mtu mbadi
    Marioo totobadi
    🙌🙌🙌🔥🔥🔥

  • @pickfordjustin3432
    @pickfordjustin3432 Před 10 měsíci +1

    Eti NDAGUKUNDA.. Ali Kiba Mburundi wa Rumonge kwetu

  • @Icon_Rex
    @Icon_Rex Před 10 měsíci +1

    Upewe maua yako kk nyimbo kali ksenge 🔥‼️🙌🏽

  • @chipkiztz
    @chipkiztz Před 10 měsíci +19

    Hawa mafundi wa music wameamua huu mwaka..naomben like zangu jaman

  • @Agape_jr
    @Agape_jr Před 10 měsíci +8

    Yeah babah,,,,,,ONLY KING 👑👑 OF BONGO WE KNOW IN KENYA

  • @kpthemaster4916
    @kpthemaster4916 Před 10 měsíci +2

    Kuna uwezekano mkubwa wa Marioo kuja kurithi MIKOBA ya king kiba...Tena ikiwa zaidi..

  • @maziwalele7488
    @maziwalele7488 Před 10 měsíci

    King KIBA💪💪💪...
    Lipua tz mbaka Simba bandia atoke mafichoni🙄..👏👍🤝👌👌👌.
    ....Love the song my King 👼

  • @baysadam235
    @baysadam235 Před 10 měsíci +13

    Kula chuma iki hapa. Nawakubari sanaaa kaka zangu from Moz🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. Před 10 měsíci +8

    Baad na king kiba wakishiriki wimbo huwaga ni mkali sana... Je nani anakubalia hili 💯💯💯💯💯💯💯❣️

  • @shaddydadi6612
    @shaddydadi6612 Před 10 měsíci +4

    sending love from Kenya. 🇰🇪🇰🇪

  • @rahmahermes3149
    @rahmahermes3149 Před 10 měsíci +1

    I l(r)aaaavu youuuuu watanzania wotee😂. Aki watanzania tunajua kukandamiza hizi r na l ila ndio hivyo muziki wetu, kivyetu vyetu. Mario unajua sana na hilo beat ni amazing. Bora umetumpumzisha na ma amapiano. Keep giving us hits

  • @foxbwoy6250
    @foxbwoy6250 Před 10 měsíci +60

    #Ndagukunda 😅😅😅😅❤❤❤ burundi na rwanda tujuane hapa na likes❤❤

  • @onestartz
    @onestartz Před 10 měsíci +13

    Magoma Kama haya nayapendaga saaana😂😂😂😂 MARIOO, ALIKIBA pamoja na produce LEXVANNY👏👏👏🔥🔥🔥🙌🙌🎉🎉

  • @ismailmenk8188
    @ismailmenk8188 Před 10 měsíci

    We Omari&Alikiba tambueni Dini yetu haitaki mziki mujue tu huko munakojitafutia riziki musiewe munatafuta ktk njia ambazo Mungu katukataza Mungu atujalie tuweze kuimbia maasi na kwenda kwenye haki.

  • @Shortscityint
    @Shortscityint Před 10 měsíci +1

    Representing 254 Hapa. Sauti nyoroooro🎉🇰🇪

  • @bonfacebonafide7220
    @bonfacebonafide7220 Před 10 měsíci +14

    Marioo Na King 😭😭 mnaimba sana 🔥
    nilikuwa nasikiliza SUMU mko hapa tena 😭

  • @chumanimusic7744
    @chumanimusic7744 Před 10 měsíci +8

    Aiseeee this chemistry nooma saaana walai ALIKIBA & MARIOO THE BEST DUO🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @PascalBarakaeliya-dj9it
    @PascalBarakaeliya-dj9it Před 10 měsíci +1

    Maunyama mwingi kinoma huu mwaka hatupoi team kiba

  • @user-ch8mt1mq1k
    @user-ch8mt1mq1k Před 10 měsíci +1

    Ni nouma san marioo nyoko nyie 💥🔥🔥🔥🔥🔥✍️🔞

  • @livingstonking9818
    @livingstonking9818 Před 10 měsíci +10

    Mziki mzuri hakuna kucop wa kupest mario ft alikiba love song unyamwezi mwingi❤❤💯💯💯🔥🔥🔥🇹🇿

  • @Whoisthismantalking
    @Whoisthismantalking Před 10 měsíci +9

    Haya mabo yenu ya kutengeneza ushabiki na uteam kwenye mziki mtakuja kuua mziki mzuri. Alikiba na marioo wametoa nyimbo nzuri tu ya sumu, Dimond nae akatoa ya kwake na jux, cha ajabu dimondi akaanzisha makelele kibao ili nyimbo yake na jux isikike ya ali na marioo izime.
    Itafika kipindi ali hatokuwepo, pengine atakufa; hapo sasa ndio watu wataanza kusikiliza nyimbo zake na kugundua namna alivyokuwa na juhudi kutunga nyimbo nzuri. Muda huo mtu husika hayupo na hamuwezi kupata tungo zake. Na si kwa Alikiba pekee hata Marioo na mtu mwingine yeyote anaye fanya mziki mzuri.
    Dimond kaharibu sana mziki wa bongo, kajitengenezea mazingira ya kuwa mwanamziki mkubwa alafu anafanya kila aina za fitina kuwa haribia wengine wanao jaribu kujitafutia ugali wao.
    Zamani kulikuwa na wasanii wengi na kila mtu anapendwa, hakukua na msanii mkubwa kuliko wengine ila kila mmoja alikua msanii mkubwa na alipata riziki yake.
    Utamsikia mr blue, mandojo na domo kaya, alikiba, chidi benzi nk.
    Wote hao walienda na kila mtu aliteka kijiji.
    Leo hii dimond anataka yeye tu ndio abakie kuwa msanii, wakati fleva zake zinachosha na watu wanataka kuskiliza vitu tofauti tofauti.
    Ana fanya kila mbinu kuwashusha wenzie, akifika kwenye tuzo za kimataifa anajikuta yupo mwenyewe anaanza kujitiisha huruma kwamba najikutaga nipo peke yangu.
    Aache ushamba, watu wa namna hii ndio amabao wakifa wanaua na mziki kwa sababu hawakutaka wengine waonekane. Ina maana na yeye akifa watu wata ondoa focus kwenye mziki wa bongo.

    • @hafsahamadi1631
      @hafsahamadi1631 Před 10 měsíci

      Upewe mauwa yako umeongea fact tupu hapa duh..

  • @talumefalson1076
    @talumefalson1076 Před 10 měsíci

    Wanao fuatilia comments jaman mm nimechelewa naomba like tu
    Mana ngoma imeenda shule na melody kali

  • @princekade1
    @princekade1 Před 10 měsíci +1

    Marioo & alikiba best musician ever keep it up that way @diamond you need to grow up dogo bibi yah mtu sumu

  • @Waytozanzibar
    @Waytozanzibar Před 10 měsíci +79

    Hizi melody ziko fire 🔥 Hatari na nusu hii.. Piga like kama wewe unanikubali hii collaboration 💯🔥🔥💯 Karibuni sana ZANZIBAR muje mufanye utalii wa 🌊🌊🌊

    • @taanimedia6489
      @taanimedia6489 Před 10 měsíci +2

      kumbe upo mzeee hehehe team kiba wewe banaa nimekujua

    • @omarylugusha
      @omarylugusha Před 10 měsíci

      Team mziki mzuri team bahariaa team utaliii🔥🔥🔥

  • @husseinissa4642
    @husseinissa4642 Před 10 měsíci +5

    Ndagukunda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🔥🔥🔥nimeipenda kirugaa
    Team Mario and kiba
    Tujuane kua Like zetu

  • @frizzy6766
    @frizzy6766 Před 10 měsíci

    Ba ndagukunda mko wapi nawangine wote kiba anatuita 🥰🥰

  • @mwakibibiaman593
    @mwakibibiaman593 Před 10 měsíci

    Marioo fundi Ila Alikiba n masterclasses..wew angalia hiyo bridge wameimba maneno sawa Ila Kiba daaah

  • @mohammedally9466
    @mohammedally9466 Před 10 měsíci +124

    I'm so mesmerised by Ali Kiba on how he mixes languages in his songs. This shows how artfully he his. This one touches different part of our hearts. A good one. 🤗🤗

  • @jacksonmalole7769
    @jacksonmalole7769 Před 10 měsíci +14

    Mizigo kama hii ndo inatupa nguvu mashabiki zenu kuvimba mtaani❤️🔥🔥🔥

  • @takuste254
    @takuste254 Před 10 měsíci +8

    Marioo never disappoints. Nice piece alikiba ❤

  • @enjobw5682
    @enjobw5682 Před 10 měsíci +1

    Waoooooow wimbo wangu pendwa sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @boysondeniclous614
    @boysondeniclous614 Před 10 měsíci +12

    Kila mmoja ameitendea kazi sehemu yake, uandishi, vocals and everything 🔥🔥🔥

  • @jacksonandai7254
    @jacksonandai7254 Před 10 měsíci +109

    Marioo is the specialist and lyrical blender of 🔥🔥🔥bongo vibes...
    Kazi Safi mariokiba🥰

  • @dorothytillya8895
    @dorothytillya8895 Před 10 měsíci +1

    Uwiiii Mtoto wa Mzee MANENO Goma linaniingiza kwenye fillings kinoma jamani hapo anapoingia mtu mzima King ndio kabisaaa. Uwiii DUNIA niachie MOYO wangu.

  • @MukamusoniHawa-cj2yc
    @MukamusoniHawa-cj2yc Před 10 měsíci

    Uweeeeeh hapa mikono nainua!mariooo skuhizi mapenzi ya paula yanamtessa mpaka inspiration yakuimba inakua siku kwa siku👌💞💞💞hummmm

  • @hbmutevu
    @hbmutevu Před 10 měsíci +11

    Shout from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪..great minds think alike...noma sana

  • @emmanuelmakupe9462
    @emmanuelmakupe9462 Před 10 měsíci +11

    The king's of bongo ndo Hawa sasa,ngoma tamu sana

  • @issahthabity0
    @issahthabity0 Před 10 měsíci +1

    Familia kabisa sema tofauti yao na mm bado chafu pozi
    Ngoma kali sana❤song

  • @joshuamutunga9045
    @joshuamutunga9045 Před 10 měsíci

    Mistari ya kuwakunda marioo keshanipa.....much love this is 2023

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 Před 10 měsíci +22

    Mziki mzuri 🎧❤️ uwa ujifichi yani kama unakubalina mimi like apa

  • @slowdns3694
    @slowdns3694 Před 10 měsíci +151

    We need more musicians like Alikiba and Marioo in the music industry

  • @Obarolatz-to8bo
    @Obarolatz-to8bo Před 9 měsíci +1

    Sijawai kuacha kukusikilza bro your so talented unajua na fahamu hauwezi kureply my comment ila utaona tu your my favourite arts in tz one day tutafanya kazi bro am Obarola🇹🇿 na me ni mwanamziki pia japo sijapata support bado ila na imani ni tafika tu ipo cku kila ni kitaka kukata tamaa huwa na sikiliza ila nyimbo yako ya my life inanipa nguvu ya küzidi kupambania ndoto zangu.👍

  • @jackyrichmk1311
    @jackyrichmk1311 Před 10 měsíci

    Haki hii song ni 🔥🔥🔥Mzee wa lovey dovey king kiba kamaliza,,,mmetisha🔥🔥

  • @MichaelMwakibolwa
    @MichaelMwakibolwa Před 10 měsíci +30

    Likes Kwa King 👑 kiba na Marioo Tafadhali!!!

  • @dnewztz
    @dnewztz Před 10 měsíci +335

    Marioo and Alikiba are most wanted
    Because they kill every beat

    • @narlynorva4654
      @narlynorva4654 Před 10 měsíci +3

      Most wanted ya nyoko

    • @yussbreezy918
      @yussbreezy918 Před 10 měsíci +3

      Sure😄

    • @dnewztz
      @dnewztz Před 10 měsíci +4

      @@narlynorva4654 unaumia Ukiwa wapi Miomba!??

    • @Lulubyamung
      @Lulubyamung Před 10 měsíci +1

      Akuna Ngoma hapo Aina. Maana au utamu Hata kidogo Tuli tenge meya Mawe kumbe Mandazi tu😅😅😅

    • @barakadaprince3742
      @barakadaprince3742 Před 10 měsíci +2

      ​@@Lulubyamungpunuza jealous ufanikiwe bro

  • @Icon_Rex
    @Icon_Rex Před 10 měsíci +1

    Another banger hamtoi hata halftime 🪫😂😂🙌🏽💔

  • @yusuphmkomwa3427
    @yusuphmkomwa3427 Před 10 měsíci

    Hii ndo maana ya bongo fleva nyimbo kalii kinoma. Respect Marioooooo🎧🎧

  • @farajamaendafreza
    @farajamaendafreza Před 10 měsíci +13

    From Congo 🇨🇩 nakubali sana hii ngoma 🤜🤛💪💪💪

  • @amour0072
    @amour0072 Před 10 měsíci +13

    FROM JULY TO JANUARY (number 1 Trending) 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 🦁🦁🦁🦁toujour LIKOLO 🙏🙏🙏

  • @nilobantuchick
    @nilobantuchick Před 10 měsíci

    BAD!!! 2023 it's your year! Love from 🇰🇪 ! my house is filled with your amazing voice ! My kids love you! ❤❤❤

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx Před 10 měsíci +1

    Kiba Na Bad Amjawah Kufany Kitu Kibaya Hat Mara Moja Lazim Hii Iwachome Wasopenda King Music And Mtoto Bad

  • @user-dp5sn3st2d
    @user-dp5sn3st2d Před 10 měsíci +8

    Wasani ninawo wakubali tanzaniya nzima marioo na alikiba respect 🙏🙏🙏❤️❤️

  • @Ellythegreat-cl5jv
    @Ellythegreat-cl5jv Před 10 měsíci +38

    Bad & kiba Never disappoint 💫🤞🏿

  • @Icon_Rex
    @Icon_Rex Před 10 měsíci +1

    Bado most trending tu kk😂😂🔥

  • @Icon_Rex
    @Icon_Rex Před 10 měsíci +1

    Mixing Abbah hajawah feli 😂😂🫶🏽‼️

  • @user-kz1jb2nc9t
    @user-kz1jb2nc9t Před 10 měsíci +25

    Kama uko kama mmi umerudia zaidi ya mara tano like 👍 hapa

  • @IssaSaid-eh3jj
    @IssaSaid-eh3jj Před 10 měsíci +115

    Hii chemistry ya Omary&Ally iko powa sana wakiamua kufanya bongo fleva amapiano itapotea wana tone nzuri za kuenjoy waimbapo,sema tu kwenye hii ngoma Omary angepita mwenyew ingekuwa kizazi sana 💥

  • @hutheinplat5881
    @hutheinplat5881 Před 9 měsíci

    Dah hii nyimbo angeimba Marioo peke ake ingekuwa nzuri sana verse ya alikiba ndo amefanya nyimbo nzima imekuwa yakawaida

  • @callicevallice7383
    @callicevallice7383 Před 10 měsíci +297

    Someone please remind our Tanzanians brother that we South Africans love their tunes 🔥🙌🏿

  • @piusmureri4811
    @piusmureri4811 Před 10 měsíci +1

    A best Combination Ever💯💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sattoflavour9344
    @sattoflavour9344 Před 10 měsíci +19

    Leo nimekuwa wa kwanza jamani naombeni likes zang 🔥🔥

  • @user-xh9di7fu4g
    @user-xh9di7fu4g Před 10 měsíci +6

    melodies 🥰💯
    king & marioo kazi safi sana
    from kenya with love
    hi itakuwa special kwa mpenz wangu

  • @msodokidasilva6739
    @msodokidasilva6739 Před 10 měsíci +2

    Marioo muimbaji bora wa muda wote sasa hiv 👉 button

  • @ChrisantEmanuely27
    @ChrisantEmanuely27 Před 10 měsíci

    Prince wa Bongo freva nakubali Sana
    King ni mmoja tu