KUMBE TRY AGAIN NA MANGUNGU HAWANA SHIDA,SHIDA IPO KWA MO DEWJI!!BANGO LA YANGA LINAUMIZA

Sdílet
Vložit

Komentáře • 35

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp Před měsícem

    Jamani mna uvivu wa akili mo ndo shida tatizo simba

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Před měsícem

    Hata viongozi nao pia ni shida

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Před měsícem

    Kweli kaka mo atuachie tim yetu

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Před měsícem

    Sasa kwanini hawa viongozi wasiseme ukweli jamani ili tujue moja huyu muhindi nimfilisi kwenye simba yetu

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp Před měsícem

    Na muunga mkono mwenda mo atoke,

  • @briantafari9224
    @briantafari9224 Před měsícem

    Mzee uko sawa kabsaaa

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 Před měsícem +1

    Tajiri kanunua timu harafu anapata hasara. Kwanini asijitoe aachie wengine?

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 Před měsícem +1

    Tanzania imebaki timu moja. Simba itashuka daraja mwakani.

  • @yummaskitchen6167
    @yummaskitchen6167 Před měsícem

    Uko sahihi coach

  • @Mary-fs4mc
    @Mary-fs4mc Před měsícem

    Eti wachezaji wote wasimba ni ndaza😂😂😂 mweee ,huyu baba

  • @swaleherashidimayunga4891
    @swaleherashidimayunga4891 Před měsícem

    Shekh mwenda mungu akujaalie niko na wewe ila kikubwa mabadiliko yakamilike na moo asipewe hata hisa moja tuzinunue wenyewe tuu kisha timu isonge mbele

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 Před měsícem

    Mwekezaji siyo sahihi angejaribu kuwekeza kwenye cricket.

  • @husseinmpuruti1372
    @husseinmpuruti1372 Před měsícem

    Brother mwenda upo sawa sema upo sahihi jama hana wa chezaji wa viwango wa levo ya simba 😂

  • @JobnManase-gh2fp
    @JobnManase-gh2fp Před měsícem

    Heko mwenda wape elimu

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Před měsícem

    Mo angepata hasara angeachia timu yetu' timu inangiza fedha

  • @janatamoe3466
    @janatamoe3466 Před měsícem

    Mo sio mkweli, muongo muongo

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l Před měsícem

    TATIZO MO KASHAINUNUA TIMU YENU MIAKA MITANO ILIYOPITA??

  • @joackimumalya7138
    @joackimumalya7138 Před měsícem

    Yule anatubetia kilasiku

  • @user-lb6my9qs5c
    @user-lb6my9qs5c Před měsícem

    Mmehamia Kwa tajiri sasa

  • @husseinmpuruti1372
    @husseinmpuruti1372 Před měsícem

    Kweli mo hakuna k2 kila siku nauliza club gani ya mpira mhindi yupo? Halafu simba kwa nini hatujifunzi? Ndugu take na mo kasim deuji mwaka 93 kombe lupo uwanjani fainal alicho kifanya leo mnampokea mdogo wake😂 kwa nini wahindi kwenye tim hakuna mafanikio yule alikuwa yanga aliingia wanaa yanga walikuta walikaribia kuuzwa 😂 mhindi na mpira wapi na wapi? Wanasimba amkeni 😅

  • @joelzebedayo4350
    @joelzebedayo4350 Před měsícem

    Lakini Kigwangala alisema mapema kabisa kuwa huyu mo hawezi kuipeleka hii timu popote

  • @HamisRashid-xl4mn
    @HamisRashid-xl4mn Před měsícem

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @amangeza9623
    @amangeza9623 Před měsícem

    Laana ya kilomoni inawatafuna. Wakati kilomoni anaongea mulimwambia atakufa ataicha simba.

    • @user-ct4jp1ux1z
      @user-ct4jp1ux1z Před měsícem

      Kweli walimtukana sana mzee Kilomoni na Bi hindu (RIP). Sasa wameelewa

  • @user-tb4gh1sm9k
    @user-tb4gh1sm9k Před 29 dny

    Mzee mwenda wanna simba watakutukana bure maana wengi wao wana vichwa vya kichawa wanaamini MO DEWIJI ataleta mafanikio makubwa simba kiukweli naungana na wewe Mzee mwenda kuwa tatizo la simba ni MO DEWIJI simba haita kuja kupata mafsnikio km MO DEWIJI akiwepo simba sio rahisi kupata mafsnikio ishu kubwa MO DEWIJI ni m,babaishaji hana nia ya kuipa simba mafanikio akina mangungu tunawaonea tuu

    • @user-tb4gh1sm9k
      @user-tb4gh1sm9k Před 29 dny

      Nakukubali sana Mzee mwenda tuta mkumbuka MZEE WETU KILOMONI

    • @user-tb4gh1sm9k
      @user-tb4gh1sm9k Před 29 dny

      MZEE WETU KILOMONI ALISEMA WANA SIMBA MO DEWIJI NAMJUA HANA LOLOTE NI MSANII HATA TUFIKISHA POPOTE MO DEWIJI YUPO SIMBA KIBASHARA SIO KUIPA SIMBA Mafanikio

    • @user-tb4gh1sm9k
      @user-tb4gh1sm9k Před 29 dny

      Kwa MO DEWIJI uwekezaji akuna tutasema sana na bado ilipo mina unakuja wanasimba kwa MO DEWIJI tutasema uku tunatambaa na kulia MO DEWIJI atakapo tuliza wanasimba

  • @emmanuelmwandumbya9624
    @emmanuelmwandumbya9624 Před měsícem

    Kwanini viongozi wa Simba hawataki kuwajibika? Kuna nini nyuma ya pazia? A.F.L. walitoa bilioni 7 za usajili, hivi zilipotelea wapi?

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 Před měsícem

      Muwekezaji kasema anapata hasara faida hakuna

  • @jobmoffat7844
    @jobmoffat7844 Před měsícem

    Utopolo wewe.

  • @athmanimkangara9290
    @athmanimkangara9290 Před měsícem

    Ulianza na
    Wachezaji
    Mangumgu
    Try Again
    Sasa
    Mwekezaji
    Daah!!