wimbo huu umekuwa wa maana sana maishani mwangu hakika niliomba na Mungu akasikia,hivi sasa nina ushuhuda maishani mwangu,Mungu wangu nakushukuru kwa kila jambo,Mama Upendo Nkone tunakupenda sana hapa Kenya kila wakati mungu akuzidishie zaidi na zaidi.
Kila ninapo jiona mwenyewe mawazo mengi n kujiona kukwama husikiliza nyimbo zako za nitia moyo mama Nkone Mungu azidi kukupa kibali cha kuifanya kazi yake mamangu nakupenda bure
The only song I wake up to everyday here in Kenya...in fact my neighbour knows it because of me I play it loud with love.... I'm blessed by it. Thank you Nkone
I'm a french woman (also an english learner) but I can't stop listening your songs especially that one when I face difficult situations. Thanks to the subtitles, I could know the meaning of the song. Thank mum Nkone, you inspire me a lot and I desire to meet you one day. May God lift you more and more in your ministry. I love you !
UPENDO NKONE Mama yetu mzuri umebarikiwa sana, endelea kuwa na mizizi Katika KRISTO YESU BWANA WETU NA ROHOMTAKATIFU WAKE ATAZIDI KUKUTUMIA Kwa nyimbo nzuri kama hizi kwetu. I love mamaa wa KRISTO ❤️🌹❤️
I know Jesus you think best for my life kwasababu niko mwanadamu njoo kuna kipindi nakata tama but I believe in you Jesus I know you think best of my life
l enjoy your music here in uganda esp worship .....ts so inspiring n touching makes me feel the presence of the holy spirit....may God continue using you.....l thank God who made me know you....
I love it when i see others testifying of the goodness of the Lord..i know one day He who dwells in heaven will give me a testimony too..dear God, am still expectant of the promised miracle..pliz God..venye ulitendea wengine nami pia nitendee nipate ushuhuda na wimbo mpya❤
KWELI KABISAAAAAA 7 YEARS AGO UNAUZA NYIMBO ZANGU UMEWEKA MTANDAONI UNAVUNA PESA TUU😭😭😭😭😭😭😭.SINA MKATABA NA WEWE WALA SIKUJUIII.WEWE SI NI MWIZI TUU KAMA WENGINE? HAYA.NTAKUPATA TUU MAANA SHERIA ZIPO.SERIKALI YANGU YA TANZANIA ITANISAIDIA.LAZIMA UNILIPE FIDIA TUGAWANE KWA MIAKA ULIYOUZA.ASANTEE.

Aksante sana kwa Nyimbo hii
Nina pata salama moyoni mwangu.
😭😭😭 Mungu nisaidie Baba nakuomba naimani utanijibu
Kila ninapo jiona mwenyewe mawazo mengi n kujiona kukwama husikiliza nyimbo zako za nitia moyo mama Nkone Mungu azidi kukupa kibali cha kuifanya kazi yake mamangu nakupenda bure
Barikiwa naMungu,nyimbozako zanitiya moyo ,wahubiri duniya Nzima,utalipwa usipozimiyamoyo toka Congo ..
Ubarikiwe sana mama umekuwa muimbaji wa tofauti na ni mfano kwa kizazi hiki ubarikiwe sana ❤❤ nakupenda sanaaa
Tarehe 15/02/2023
Yesu Kristo amejibu maombi yangu
The only song I wake up to everyday here in Kenya...in fact my neighbour knows it because of me I play it loud with love.... I'm blessed by it. Thank you Nkone
This song really comforts my soul when am down .It keeps me see God through my difficult situation.
I love the song baada y kusikiliza niliona kweli mungu hutenda
Huu wimbo huwa unaniiunua sanaaaa Mungu azidi kukubariki siku zote.
I dont understand Swahili but am sure this lady is a lady of great faith and inspiration.wish other singers would sing decently like her
Nakupenda mom, naamini Yesu ameshaniona ananishughulikia
Nyīmbo tam San jaman inabaliki sāna, ubalikiwe mam
This is one of the most talented and God sent people. Kila nyimbo inakupea motisha. Thank you.
This song describes my life since childhood ,,, been through alot but wacha mungu aitwe mungu
2024 God bless you mama😢
If there was a song that describes my life it is this it has brought me to tears 😭 thank you mama kwa kunifariji oh Lord
Touching
Keep pressing on in the Lord my sister.
Are okay siz?
I love this song more than any other songs
exactly what am going through but i know God you have heard my cry.
May God see you through babaa🙏🙏🥰
Mwanamama wa pekee katika tasnia ya gospel nchinie Tanzania,wewe na upendo kilahilo mpo kiundanie katika katk utumishi wenu
I'm a french woman (also an english learner) but I can't stop listening your songs especially that one when I face difficult situations. Thanks to the subtitles, I could know the meaning of the song. Thank mum Nkone, you inspire me a lot and I desire to meet you one day. May God lift you more and more in your ministry. I love you !
Nashukuru mungu kwa kupa nyimbo hizi za barika azidi kuwa na wewe ukimtukuza. Baraka!!!
God bless and increase you in his service sister Nkone, I am encouraged to God be the glory forever and ever. Amen
Profond cette chanson que la gloire reviens à notre Dieu
kama kuna wimbo unanihusu bac ni huu nashkr mama nimejikuta natokwa machozi tu ...!ubarikiwe🙏
Nakupenda Sana upendo I love you so much najivunia wewe
Ubarikiwe mama huwa nafarijika sanaa nikisiliza nyimbo zako haswaa ule zip faida
Be blessed Upendo Nkone what a nice song Omba Mungu anasikia
Huu wimbo unanitia moyo na kunifariji pia. Asante Mama Nkone kwa kutumika
God sees all we pass through
Mungu. Akubari. Nyimbo. Zako. Zinanibari sanaa
This song encourages me so much.may God continue using u as his vessel in this ministry
Your song encourage me a lot in life love your song mum especially this song, when im down ihere the song
Yesu pekee yesu yesu yesu by his blood am healed
UPENDO NKONE Mama yetu mzuri umebarikiwa sana, endelea kuwa na mizizi Katika KRISTO YESU BWANA WETU NA ROHOMTAKATIFU WAKE ATAZIDI KUKUTUMIA Kwa nyimbo nzuri kama hizi kwetu. I love mamaa wa KRISTO ❤️🌹❤️
Asantee mungu wew utulizae mioyo yetu
huu wimbo unanibariki .......❤❤❤❤❤
Wao wao wao wao! Naupenda sana huuu wimbo I love you jesus
mungu akuzidishie mtumish!!!
nyimbo zako zinanifariji sana hasa hapo mtetezi wa wanyonge
Nabarikiwa Sana Dada upendo
Im so interested with this song i love u mom may god continue to bless u and ur entire family
One of my favourite. Song
May God bless you, and lift your ministry
I know Jesus you think best for my life kwasababu niko mwanadamu njoo kuna kipindi nakata tama but I believe in you Jesus I know you think best of my life
Eliza thomas-mpende nakumwimbia! barikiwa
Nabalikiwa na huu wimbo
wimboo uu umekuwa baraka kwangu
Asante Sana mama kwa wimbo mzuri hakika nimebarikiwa 🙏🙏🙏, pia mwenyezi MUNGU akubariki Sana,Amina.
Wimbo uu ni ushuda wa maisha yangu hakika mama mungu aku bariki
This song you never lose hope ❤
MUNGU anasikia na anajibu. barikiwa Upendo Nkone MUNGU azidi kukuinua na akupe haja ya moyo wako
ubalikiwe sana mama mung azidi kukupa ujumbe na akupandishe viwanga
Downloa
Download
AMEN
Umejua kunituliza moyo huu wimbo mungu azid kukuinua kwa viwango vya juu mama yangu
Mungu huu mwaka usinipe
Kwakweli nabarikiwa Sana nanyimbo za uyu mama Mungu awatunze 🙏
Nakupenda mnooo Upendo
Mungu nijibu na mm.amina
l enjoy your music here in uganda esp worship .....ts so inspiring n touching makes me feel the presence of the holy spirit....may God continue using you.....l thank God who made me know you....
Happy New year 2023
Hakika nafarijika mama angu upendo kwa nyimbo zako "mwenyez mungu azid kukubarik🙏🙌
Beautiful song ever,,keep on going mtumishi
God truly answers prayers let's depend on him
ASANTENI Watumishi MUNGU Awatunze
Ubarikiwe upendo mama nyimbo inatia moyo
Amina Amina Mungu Akubariki mama kwa wimbo wakutufariji.
Huu wimbo unanifariji na kunitia nguvu sana. Asante Mama Nkone
I love it when i see others testifying of the goodness of the Lord..i know one day He who dwells in heaven will give me a testimony too..dear God, am still expectant of the promised miracle..pliz God..venye ulitendea wengine nami pia nitendee nipate ushuhuda na wimbo mpya❤
Mama mungu akuinue sana,huwa nikisikiliza huu wimbo nabarikiwa sana
Jesus is coming soon 🙏😊
Ubarikiwe💕💕💕💞💞💞💞💝
The Corona confusion God will enable us he is listening.true sister.
C'est frére junior
2023 and i keep on replaying this song more than once a day.
2023 tuko nao pamoja
Wimbo huu wanitia moyo xna
Nabarikiwa sana
Ubarikiwe sana, kweli nilikotoka ni mbali sana
Ubarikiwe sana dada upendo mkone nyimbo zako zinanifariji sana
Wimbo mzuri sana. Mungu akubariki kwa ujumbe huu
Nyimbo zako zinanifariji moyo wangu. Ubarikiwe sana
I love you and your songs, they bring peace
😢😢😢😢😢Ni muda wangu wa kuomba
ubarikiwe sana mama
Nice song madam upendo nkone
Sauti nzuri sana
Ubarikiwe Mama
Glory to god
Nabarikiwa mnoo na huu wimbo🙌
Hv huyu mama Yuko anaimba kweli au anafanya nn jmn
anayefariji ni Yesuuu
Asante Mamangu hakika nimemuona Mungu katika maombi
Amen nimebarikiwa sana na huu wimbo
hello, hii omba album, haipatikani tena kwa mitandao, tutatoa wapi jameni my best so far
Nabarikiwa sana Mungu azidi kukuinua
KWELI KABISAAAAAA 7 YEARS AGO UNAUZA NYIMBO ZANGU UMEWEKA MTANDAONI UNAVUNA PESA TUU😭😭😭😭😭😭😭.SINA MKATABA NA WEWE WALA SIKUJUIII.WEWE SI NI MWIZI TUU KAMA WENGINE? HAYA.NTAKUPATA TUU MAANA SHERIA ZIPO.SERIKALI YANGU YA TANZANIA ITANISAIDIA.LAZIMA UNILIPE FIDIA TUGAWANE KWA MIAKA ULIYOUZA.ASANTEE.
Mama hongera Sana nyimbo zako zinanipa nguvu za kuendelea kusonga mbele Mungu akubariki natama siku uje uibe siku nikiolewa
pole sana. Weka huu wimbo kwa channel yako kwa sababu nauskiza kila siku😢... ni vyema ukifaidika
the best song ever god bless you
mama nikickilisa nyimbo zako nakoka tu
Nakupenda sana kwa uimbaji wakoMungu akubarisana
Ubarikiwe sana na mungu akwende mbele
Amen barikiwa Sana upendo
Barikiwa sana wimbo unaguza
Asante kwa kunitia moyo kupitia wimbo huu sitakataa tamaa
nice one
Ni yesu.
Hakika. Iposiku utavishwa taji ya uzima . maana. Umeponya wengi Kwa kupitia. Nyimbo zako. .
Nice song
God bless you abundantly sis. Upendo Nkone, you're a blessing to me via your inspiring songs.
Josiah Isika amen