Wasifu wa Uhuru

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 29. 03. 2013
  • Hatimaye uchaguzi uliokuwa wenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya kenya chini ya katiba mpya umefika kikomo na Uhuru Kenyatta ndiye rais wa nne wa Jamhuri ya Kenya. Lakini je, ni vipi mwanaye rais wa kwanza wa Kenya Jommo Kenyatta aliweza kujiimarisha kisiasa hadi kufikia upeo wa uongozi wa kisiasa nchini? Ripota wetu Alex Kubasu anatujuza kuhusu maisha ya kisiasa ya Uhuru Kenyatta.

Komentáře • 37