Maisha Ya Aliyekuwa Dereva Wa Mzee Jomo Kenyatta

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 08. 2014
  • Anaona fahari kwa kuwa miongoni mwa wanajeshi wachache mno waliopata fursa ya kuwa dereva wa rais wa kwanza wa jamhuri ya Kenya Mzee Jomo Kenyatta. Japo ni miaka mingi baada ya kustaafu kwake, Martin Munuve Njema mwenye umri wa miaka 76 anakumbuka vyema hali ilivyokuwa alipokuwa dereva wa gari maalum alilotumia Mzee Kenyatta ilipowadia siku kuu ya kitaifa. Mwanahabari wetu Patrick Injendi alimtembelea nyumbani kwake mzee huyo huko Kithimani eneo la Mbooni kaunti ya Makueni ambako alimhoji zaidi kuhusu taarifa inayomhusu.

Komentáře • 137

  • @kahugumuiruri9057
    @kahugumuiruri9057 Před 2 lety +11

    I love his integrity. He chose a course to work with his hands and mind as opposed to an undeserved promotion.

  • @florencemwangi7766
    @florencemwangi7766 Před 2 lety +22

    He deserves a better living style through the government, he should not be neglected

  • @KangsDKN
    @KangsDKN Před 2 lety +8

    This is a wise man, wise decision, hand skills are so important

  • @fredericksaidi3491
    @fredericksaidi3491 Před 4 lety +12

    His family deserves to be humanly remembered!

  • @ngongashadrack1192
    @ngongashadrack1192 Před 2 lety +5

    Mzee is still too strong!

  • @boxingplanet7637
    @boxingplanet7637 Před 5 lety +29

    H.Uhuru saidia dereva wa babako

  • @bonifacemaina6092
    @bonifacemaina6092 Před 2 lety +1

    Hakuna mshahara kubwa wala ndogo(Opportunity come once)... God gave you abilities to utilize ..Ukizubaa shauri yako( But God of another chance..

  • @michaelalando
    @michaelalando Před 2 lety +4

    It's great that Jomo asked him what he needed. He should have said, "a farm" plus that promotion within the forces. He'd have

  • @254alright2
    @254alright2 Před 2 lety +5

    and kenyatta's son is the president, just imagine, alafu we mtu haujaifanyia serikali kitu umekazana kila siku ati unakufia mtu.

  • @kendimutunga
    @kendimutunga Před 2 lety +2

    A man with wisdom

  • @richardmaranga1633
    @richardmaranga1633 Před 3 měsíci

    Wakatu huo pesa ilikuwa ndogo,but labda mzee alipenda Raha kuliko maisha ya baadaye

  • @mercynjagi9692
    @mercynjagi9692 Před 2 lety +1

    Kenyatta's family should not have forgotten about him

  • @justusmutisya8808
    @justusmutisya8808 Před 4 lety +1

    Ngyema my neighbour, a simple mama. Thanks citizen TV.

  • @mathewsaitoti4250
    @mathewsaitoti4250 Před 5 lety +10

    Hon Uhuru msaidie aliyekuwa dereva wa mzee.

  • @lucasmwasi4310
    @lucasmwasi4310 Před 4 lety +8

    Ati asaindiwe kwani wakati huo hakua analipwa, kwambia Uhuru sinjui amuonee huruma haisaindii angeambia jomo Kenyatta.,,,

  • @qaliabdullahi17
    @qaliabdullahi17 Před 2 lety +3

    The government should not forget such meaningful person at any cost, anafaa apatiwe asante ya serikali hata Kama ni kumpatia kazi Kwa vijana wake,

  • @alphoncengugi4515
    @alphoncengugi4515 Před 4 lety +8

    This is Kenya only criminals lives a good life and expensive luxuries to end

  • @alexorango5133
    @alexorango5133 Před 2 lety +2

    Vile angependa kuambia UHURU ako na njaa, hivyo ndio angeambia Kenyatta wakati aliulizwa angependelea apewe nini ndio afurahie kazi yake. Dawa ya njaa ni chakula. Na chakula hutolewa shambani. Angeangukia mashamba ambayo yangemlisha pamoja na vizazi vyake. Hata mkamba mwenye alipeleka Independence Flag Mt. Kenya alienda nyumbani na vumbi.

  • @phidesk6532
    @phidesk6532 Před 4 lety +5

    huyu mzee kama hakusaidika iyo wakati hatawai saidika

  • @gideongathekiamkoloni5043

    I don't know why those who has served Kenyatta's are poor

  • @jontecaros3194
    @jontecaros3194 Před 2 lety +1

    Pole Sana, uhuru najua tu hatasaidia huyu mtu

  • @duncansindani8909
    @duncansindani8909 Před 2 lety +1

    As together as one

  • @aggreyluganolugano649
    @aggreyluganolugano649 Před 2 lety +6

    Why is he poor! While Kenyatta family n relatives are dancing in billions of money n properties

  • @catemutionzuki2761
    @catemutionzuki2761 Před 5 lety +4

    Ata guka yangu alikua mmoja wa huyu but alilia asaidiwe wapi Hadi amekufa akilia usaidizi ni mungu tu

  • @roberttai4694
    @roberttai4694 Před 2 lety +2

    While you guys are complaining of the state of the mzee, remember there are current drivers ,security personnels of VIPs living hand to mouth despite the changing times.

  • @stevenjenga506
    @stevenjenga506 Před 2 lety +1

    Someone should connect this driver to president kenyatta

  • @janemburu7921
    @janemburu7921 Před 6 lety +3

    i know he will win because he is very. good with he's work be strong Uhuru. don't worry

    • @tommboya9768
      @tommboya9768 Před 5 lety

      jane Mburu @mmetuibia sana na hamna aibu ya kuongea upuzi

  • @kirakurawachege1250
    @kirakurawachege1250 Před 2 lety +4

    The comments on this group show how little knowledge of the fight for independence, the Mau Mau and other freedom fighters in this country we have...

  • @HubasaFamily254
    @HubasaFamily254 Před 2 lety +1

    Maisha ni tricky walai.....baada ya hiyo yote bado maisha imemnyorosha hivi?!

  • @victormaina7400
    @victormaina7400 Před 5 lety +1

    Old but young

  • @aliaden5512
    @aliaden5512 Před 2 lety +3

    Pole mzee wakikuyu niwagumu kwa pesa jaribu ruto anaeza toa kitu

  • @mikemunda
    @mikemunda Před 2 lety

    Leaders in ukambani should boost this wise man yuko humble.

  • @geraldmaingi509
    @geraldmaingi509 Před 2 lety +1

    Head of states, avoid same by rewarding those who carry your life in their hands. Eg. Cooks, drivers, bodyguards etc. It has been noted with a lot of concern that you even use them to root the wealth you have living them a pepper.

  • @anthonyngocihkisilu2973

    The man should have asked for a plot or land....coz he was already a professional driver

  • @sierrakamau1510
    @sierrakamau1510 Před 5 lety +3

    The government of Kenya completely forgets loyal dutiful people who have contributed to it's history! SHAME ☹️

    • @joshuamwanzia8986
      @joshuamwanzia8986 Před 5 lety +1

      Sure , but the issue here is connections to reach the right people

  • @abdullahiabdi5855
    @abdullahiabdi5855 Před 5 lety +1

    2 H:excellence plz assist de above fmr driver

  • @janewarimu134
    @janewarimu134 Před 4 lety +2

    Waoo long live baba

  • @josephmusembih6041
    @josephmusembih6041 Před 5 lety +4

    HE DESERVES RECOGNATION HAKI

  • @martinkiberenge4405
    @martinkiberenge4405 Před 4 lety +4

    Am sorry to ask,kwani hawa watu hawakuwa wanalipwa,coz anakaa kama hajawai enda kazi,anyway ukambani ni moto

  • @shabanalphonice7771
    @shabanalphonice7771 Před 2 lety +1

    Still strong

  • @jackjanet5970
    @jackjanet5970 Před 4 lety +6

    Na kwasababu alikua analipwa kwanini hakusave pesa zake ajitengenezee maisha,wacheni tuache kubebecha watu mizigo and this is a lesson no matter who you are woking for save your money for your old days.kila mtu ako na mashida zake.

    • @amosngugi5566
      @amosngugi5566 Před 4 lety

      Ata mimi najiuliza hawa ni watu wenye wanaishi maisha si yao

  • @suleimanabdullahi3190
    @suleimanabdullahi3190 Před 5 lety +5

    In Kenya,people will step on your head to get to the top,while there,all the head that were stepped on will have no meaning.

  • @metalcrusher8474
    @metalcrusher8474 Před 4 lety

    Mbona abebe Kenyatta halafu aishi maisha ya kuhangaika namna hii? Hata choo ni ya matope. Isipokuwa mungu amempea afya na utajiri wa rohoni.

  • @husnisunkar8477
    @husnisunkar8477 Před 6 lety +3

    uyu mzee aangaliwe vizuri alibeba rais wa kenya

  • @danzelmajor1296
    @danzelmajor1296 Před 2 lety +1

    How faster is he in using his appropriate wishes and alacrities of being an epitome of class

    • @bonfacechegewarui4149
      @bonfacechegewarui4149 Před 2 lety

      The proposed formulae on 2 third gender rule with rotational presidential post is now available in youtube from ordinary mwananchi to access go to,, bonface chege warui

  • @kanakekareko7725
    @kanakekareko7725 Před 4 lety +1

    Kazee

  • @edwinkipngetichtum9010
    @edwinkipngetichtum9010 Před 4 lety +1

    The Workers of the Family 👪 Mzee Jomo Kenyatta Should Leave A Better Life.. 🤔 🤔

  • @maghanawakamau3596
    @maghanawakamau3596 Před 4 lety +1

    Ako na haki,apewe haki yake

  • @johnnyagandwiga2779
    @johnnyagandwiga2779 Před 4 lety +1

    Aki please try to connect him with uhuru, even the sister for kibaki surely media help.

  • @osmoohvictor573
    @osmoohvictor573 Před 2 lety

    I did good work

  • @paulwainaina8230
    @paulwainaina8230 Před 2 lety

    Serikali isandie mzee

  • @raelahrayanraynah6256
    @raelahrayanraynah6256 Před 4 lety +1

    Uhuru help huyu mzee , if you know you know

  • @afandehassan1
    @afandehassan1 Před 2 lety

    Wapi Atwoli badala atetee watu kama hawa Yeye ni Ruto tu... Shenzi Sana

  • @lucymwangi9844
    @lucymwangi9844 Před 2 lety

    Na ifikie rais ukikumbuka watoto wake pia mimi Nina mmoja msichana graduate.anataka kazi

  • @yunicewanjiku3566
    @yunicewanjiku3566 Před 7 lety +8

    uhuru ni mtu ako na Mungu ndani yake atakusaidia

  • @rajabmusa8949
    @rajabmusa8949 Před 2 lety

    Allah knows

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 Před 4 lety

    Okoa huyu mzee prezo

  • @janemburu7921
    @janemburu7921 Před 6 lety +6

    I am praying for Uhuru to win .god bless uhuru I wish you long live and good health.

  • @tondaaugustine4541
    @tondaaugustine4541 Před 4 lety +3

    mzee alichagua asaidiwe kufunzwa umekaniki.....mimi ningekua yeye ningeambia rais Jomo nipee cheo na mshahara iongezwe ama angeomba shamba kubwa

    • @directorgeneral9503
      @directorgeneral9503 Před 3 lety +1

      I'm really sad for What he asked!! Somebody anapata opportunity to talk with the president and given a chance to ask anything and fail to ask the right thing! nowonder that's the reason he his suffering he made wrong choice! Opportunity comes once.

    • @kaytwok2345
      @kaytwok2345 Před 2 lety

      By those year kitu kama shamba ama madaraka aikua ya maana sana...mzee kuchangua kufunza u mechanic ilikua jambo la maana......mistake akujipanga in future

  • @samsonwarui7407
    @samsonwarui7407 Před 5 lety +3

    this was 2014 so far did he managed kufikia president uhuru... we now in 2019

  • @stephennganga1623
    @stephennganga1623 Před 4 lety +1

    Wah but he tried

  • @wamugimohammed3848
    @wamugimohammed3848 Před 2 lety

    Kwa kweli Rais UHURU Najuwa atamsaidia hii habari akiipata! Yule mzee we Taita aliye tuwa wembo we TAIFA alimjengea nyumba nzuri tu sana na kila kitu kwa nyumba,😃😃😃

  • @lukenexuz106
    @lukenexuz106 Před 5 lety +2

    This mzee uhuru must help him one of the shujaaa of Kenya

  • @irenekerubo9791
    @irenekerubo9791 Před 2 lety

    Ajengewe hao poa

  • @kibaopipa3474
    @kibaopipa3474 Před 6 lety +3

    IMAGINE DRIVER WA PRESIDENT
    SO SAD

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 Před 5 lety

    Sasa Wakenya mbona mnashindwa saidia huyu mzee , angalieni life anayoishi na life ya wadosi huko Nairobi
    Very Sad
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @rojahdaudi9306
      @rojahdaudi9306 Před 3 lety +2

      Unajuwa kinachoendelea na aliyekuwa dereva wa Nyerere ?

    • @directorgeneral9503
      @directorgeneral9503 Před 3 lety

      Mko na kimbelembele Sana na Mambo ya kenya mind your own business in Tz..

    • @aliaden5512
      @aliaden5512 Před 2 lety

      Alisaidiwa akishindwa, kusaidika

  • @simonwainaina7360
    @simonwainaina7360 Před 5 lety +7

    kwani hakuwa ana save pesa zake??

    • @joshuamwanzia8986
      @joshuamwanzia8986 Před 5 lety +1

      Babu had a big family so the dependency Ratio was indeed high

    • @suzeemnati8356
      @suzeemnati8356 Před 5 lety

      Amesema salary yao hiyo time ilikua chini kuliko wafanyi kazi wengine sio kama siku hizi so hageweza coz ya family

  • @patrickmugambi1176
    @patrickmugambi1176 Před 5 lety +2

    Did the the guy meet prezo uhuru?

  • @irenekerubo9791
    @irenekerubo9791 Před 2 lety

    Watu kama hao wasaidiwe

  • @asilclub
    @asilclub Před 2 lety

    عمل سائقا للرئيس الكيني جومو كينياتا

  • @eliudmathu1575
    @eliudmathu1575 Před 5 lety +2

    ety mechanic badala ya promotion kweli ww n mkaba

  • @marionmammy833
    @marionmammy833 Před 5 lety

    😄😄😄😄😄😄😄

  • @stephenkamitha5932
    @stephenkamitha5932 Před 4 lety

    Uhuru najua unamjua huyu guka msaidie

  • @ginton_254
    @ginton_254 Před 2 lety

    Yani unaulizwa wataka kua nini unasema mechanic👨‍🔧👨‍🔧👨‍🔧👨‍🔧👨‍🔧👨‍🔧 mkamba ni mkamba tu bana

    • @wambuageoffrey9321
      @wambuageoffrey9321 Před 2 lety

      Hauna akili wewe....ungesema promotion without an idea

    • @kaytwok2345
      @kaytwok2345 Před 2 lety +1

      Ata wewe chenye utamani sana kua iko siku kitkua akina maana....hii ni 1964 unadhani mechanic kenya ungemtoa wapi?????...he was a wise man

  • @bensonondieki3607
    @bensonondieki3607 Před 2 lety

    Raila is the cause of trouble

  • @catherinegitau9053
    @catherinegitau9053 Před rokem

    Hii family ya Kenyataa is a very mean and selfish family hata mama yao Dio the worst she's never helped anyone....hata kwa matanga yeye huenda na kuni Moja na mia Moja.. shame

  • @zahrahabib3177
    @zahrahabib3177 Před 4 lety

    Kenyans yu are celebrating mashujaa's day na mashujaa wenyewe yu are not helping them, what's the meaning of that

  • @mohamedaminah3448
    @mohamedaminah3448 Před 2 lety

    MUNGU WANGU ,. HUYU MZEE ANASTAHILI KUSAIDIWA HAKI.

  • @josphatmakokha5016
    @josphatmakokha5016 Před 2 lety

    Mkamba ni mkamba tu

  • @stevengitau2437
    @stevengitau2437 Před 6 lety +5

    Mkamba na mjaluo wako sawa kwa upuzi promotion na mechanic zinakujia wapi😃😃😃😃

  • @josephgicharu7206
    @josephgicharu7206 Před 2 lety

    President wetu saindia mzee alie kuwa ndereva wa baba yako

  • @mandenno.8460
    @mandenno.8460 Před 4 lety +1

    Na Githeri man akatunukiwa.

  • @francismuiruri9064
    @francismuiruri9064 Před 5 lety +2

    Wakamba hawazeekangi aki.

    • @joshuamwanzia8986
      @joshuamwanzia8986 Před 5 lety

      But atleast he is kind Babu to me

    • @mikeshikhaya2397
      @mikeshikhaya2397 Před 5 lety

      C ivo..any person who happens to undergo millitary training they live strong even during their old age

    • @joshuamwanzia8986
      @joshuamwanzia8986 Před 5 lety

      @@mikeshikhaya2397 when was that and when is today, at time lets be somehow realistic

    • @mikeshikhaya2397
      @mikeshikhaya2397 Před 5 lety

      @Joshua mwanzia
      Am not looking at tym neither am I looking at wen exactly yr it was.. Here am talking of his general fittness Bro hé gained during his training and while in thé millitary camp

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 Před 5 lety

      Francis Muiruri kama wapare

  • @jontecaros3194
    @jontecaros3194 Před 2 lety +1

    Uhuru can never help anyone

  • @bonfacechegewarui4149
    @bonfacechegewarui4149 Před 2 lety

    The proposed formulae on 2 third gender rule with rotational presidential post is now available in youtube from ordinary mwananchi to access go to,, bonface chege warui

  • @kevohwapipelinetransami4351

    Uhuru ni mpole atakusaidia