#TBC1

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 08. 2024
  • Tukielekea miaka 60 ya Uhuru, Tazama Uwekeza wa kihistoria wa Meli ya kisasa ya kubeba Gesi uliofanywa na Kampuni ya Mzawa ya Taifa Gesi
    Miongoni mwa Miradi mikubwa itakayozinduliwa na Rais Samia tukiwa tunaelekea kwenye kilele Cha miaka 60 ya Uhuru

Komentáře • 21

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Před 2 lety +1

    Dada mtangazaji uko vizuri sana na unajua kupangilia maswali yako.Ubarikiwe sana

  • @aloycegeorge8367
    @aloycegeorge8367 Před 2 lety

    Uko vizuri Kaka 👏👏👏

  • @sekulaissa4146
    @sekulaissa4146 Před 2 lety +2

    What a move, big step and great launch 🙏💪🙏💪

  • @safinayasini3976
    @safinayasini3976 Před 2 lety +2

    Perfect

  • @harunasango6661
    @harunasango6661 Před 2 lety +1

    Very wonderful

  • @josephandrew3444
    @josephandrew3444 Před 2 lety +2

    Tushushieni bei ya gas imepanda sana mbona viongozi wetu hamsemi ukweli wananchi tunateseka kama wakimbizi kila kitu bei juuuuuuuu

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 Před 2 lety +1

    Mbona mtangazaji
    Utufahamishi vzr
    Hiyo gas inatoka wapi?
    Au ni gas ya tanzania bali meli
    Ndio inasambaza mikoa yenye bahari
    Dar,tanga mtwara hadi visiwani
    Tufafanulie au gas inatoka nje ya Tanzania?

  • @gervaswmigayo386
    @gervaswmigayo386 Před 2 lety +1

    huo ni uongo pesa za serikali hizo,

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 Před 2 lety +1

    Kwani zanzb ni tz?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Před 2 lety

      HAPANA NI 🇰🇪 🤣🤣🤣😍😍

    • @alimakame9215
      @alimakame9215 Před 2 lety +1

      Tunapigwa changatu apo wa Zanzibar wenyewe watu wabara

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 Před 2 lety

    Watanzania tuache uongo Taifa gas

  • @SimbaM2kufu
    @SimbaM2kufu Před 2 lety

    Magufuli angekuwepo asinge ruhusu wageneni ndio waongoze meli, angeajiri timu ndogo kutoka nchi nyingine ya kiafrika kutoa usaidizi sio kampuni ya kihindi.

  • @simulizitanzania2571
    @simulizitanzania2571 Před 2 lety

    Hii Nchi buana! Viongozi walisema Gas ya Mtwara ingeanza kusambazwa majumbani,ila hadi sasa tunawaza kupanua biashara ya ununuzi kutoka Nje..Dah!!

    • @saidinyoni4976
      @saidinyoni4976 Před 2 lety

      Baba kafa hatari tupu mama anaanza kudonoa watoto kila mtu ajitegemee mwenyewe

  • @allysalehal-jaber4822
    @allysalehal-jaber4822 Před 2 lety

    MERI!!!!

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Před 2 lety

    KUBADILISHA RANGI YA MELI SIO MUHIMU SANA KUTUAMBIA WATAZAMAJI JAMBO LA MUHIMU TUNATAKA KUJUWA HI MELI REGISTERED YAKE NI PORT GANI IL TUJUWE ITAPEPERUSHA BENDERA GANI HAPO NYUMA YA MELI NA SIO RANGI YA MELI MBONA HAMKUYA ONGEA HAYO?????

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 Před 2 lety +1

    Hivi Gus ya Mtwara siyo ya kupikia! Mbona inachukuliwa nje wakati tz tunayo?.

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 Před 2 lety +2

    Mimi sikubaliani na huu uwekezaji. Kwa mtazamo wangu huu ni uwezekaji wa watu wachache wanaotumia jina la uzalendo kujipatia faida.
    Tanzania imejaliwa gas nyingi sana. Kwani gas ya songas haiwezi kutumika majumbani?
    Na Kwanini hiyo hela iliyotumika kununua meli isingewekezwa katika kuchakata gesi yetu alafu ikasambazwa nchi nzima kwa bei nafuu zaidi.
    Kama Tanzania bara ikichakata gesi itaiwezesha Tanzania visiwani kupata gasi ya bei rahisi zaidi kwa kupitisha bomba la gesi kutoka bara mpaka visiwani.

    • @bekabakari7394
      @bekabakari7394 Před 2 lety

      Kweli bro
      Ukiangalia hku ulaya
      Russia ndio nchi inayo sambaza
      Gasi ulaya nzima