Mazungumzo na mfanyibiashara wa ulimbwende wa singo Zeinab Bashir

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 11. 05. 2024
  • Jumbe za kuenzi na kusherehekea michango muhimu ya akina mama zinaendelea kumiminika hata hivyo bado wanawake wengi wanakabiliwa na changamoto nyingi. Zeinab Bashir ambaye ni mfanyibiashara wa ulimbwende wa singo ameeleza idadi kubwa ya wanawake ambao hawana ngozi laini hawajiamini na inakuwa vigumu kupigania nafasi mbalimbali katika jamii. Katika makala yetu ya kila jumapili ya mwanamke na uongozi, Zeinab Bashir ndiye mgeni wetu ambaye anatumia sanaa yake kumdekeza mwanamke ambaye anakabiliwa na changamoto nyingi katika jamii kwa kulainisha ngozi zao na bidhaa za asili ya kipwani

Komentáře •