ALLY KAMWE: AMWAGA MCHELE WOTE "AZIZ KI ANATAKA KUCHEZA NA DUBE| YANGA IJAYO NI YA UBINGWA WA CAF".

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 13. 06. 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
  • Sport

Komentáře • 24

  • @KevinPhilberth
    @KevinPhilberth Před 4 dny +3

    Qbr saana bravo bravo

  • @baltasartemu2153
    @baltasartemu2153 Před 3 dny +3

    Mkuu nitalipa ada zangu lakini naomba kadi yangu niliyolipia ....Tupo pamoja na nina hamu ya kuchangia.

  • @AbuuSaidi-wx3xf
    @AbuuSaidi-wx3xf Před 3 dny +2

    Wambie ukwwli hao waandishi wa habar

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 Před 3 dny +2

    Hapana Tena hapana.tumeona mappato na matumizi jaribuni kuondoa baadhi ya vitu.huyo mchezaji Guenda akawa Sio vile na mwakani tukaagana nae.sawa mtani?

  • @OmariShukia
    @OmariShukia Před 4 dny +2

    Ali kamwe upo vzr sn

  • @MichaelPasipanofu-oc4uv
    @MichaelPasipanofu-oc4uv Před 4 dny +8

    Ally kamwe huyo mjinga aliye toa povu ni mjinga anaejifanya anaujua mpira kuliko waliouanzisha mpira Duniani naye ni Jemedari

    • @user-js3ro1dr2i
      @user-js3ro1dr2i Před 3 dny +1

      Wewe unaumwa ukapimwe sio ally kamwe

    • @bryangeofrey928
      @bryangeofrey928 Před 3 dny

      Kaongee wew acha makasiriko ya kike…ally kamwe ni mtu na nusu..umeombwa usikilize au shobo zako

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Před 3 dny +1

      ​@@user-js3ro1dr2i😂😂😂 uandishi wa jamaa ... Alo m tag hapo ni bi kitarumbeta 😅😅 sio mwenyekiti wa wasemaji

  • @yusufukombo6807
    @yusufukombo6807 Před 3 dny +1

    Msemaji na Mwandishi mwenye weledi kuliko wote hakika unawapa Elimu

  • @user-vd8fx7cq7e
    @user-vd8fx7cq7e Před 4 dny +4

    Leo wamwanzo mm

  • @BenjaminiMbiaji
    @BenjaminiMbiaji Před 3 dny +2

    Nakukubal semaji la kimataifa unaongea fact ume2lia

  • @user-js3ro1dr2i
    @user-js3ro1dr2i Před 3 dny +1

    Wewe una matatizo ya hali sio ally kamwe

  • @BlessingsMwenibungu
    @BlessingsMwenibungu Před 4 dny +4

    M Niko malawi nawomba niwunge kwenye group ra wap ra yanga

  • @herbertbavuma7228
    @herbertbavuma7228 Před 3 dny

    Mm nadhani ungemjibu mwandishi then kama afsa habari uje na mpango site tuone namna ya kuongeza mapato mafanikio ya yanga msije yatumia kutusimangia.
    Mjumbe mmoja alitoa malalamiko kuko na watu wamechangia mfumo hauwasomi,wengine wamelipa kadi hamna hayo mbona mwarobaini hamtafti,mnatusimanga tu.

  • @maxwellmarko7007
    @maxwellmarko7007 Před 3 dny

    Wangepelka t timu B uko na wacheza ambao hawapt nafasi wakaonyeshe t

  • @user-wb8nm1wv7j
    @user-wb8nm1wv7j Před 3 dny

    Ali kamwe anajua anachokiongea lla wewe unashida brother

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Před 3 dny

    Mnaaanza kulilis Ada sasa

  • @user-kp7em6zt1g
    @user-kp7em6zt1g Před 2 dny

    Ally kamwe usitake kumpa presha mchezaji ikawa km ya skudu kuwa nitro

  • @PatrickBaganda
    @PatrickBaganda Před 3 dny

    Mkoa kagera wilaya Bukoba tawiletu la yanga mlango umefungwa mdawote izoada tunalipiawapi??

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 Před 3 dny

    Yule ana jina jipya mjini anaitwa shoga jipya

  • @user-mz2mr4ib2o
    @user-mz2mr4ib2o Před 3 dny

    Kamwe leta vitu

  • @filbertntibasiga8093
    @filbertntibasiga8093 Před 3 dny

    Mm Niko tanga kadi naipataje