Rammy:Sababu Ya kuachana Na POSH QUEEN/Aibu/Ananipigia Simu

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 05. 2024
  • Rammy:Sababu Ya kuachana Na POSH QUEEN/Aibu/Ananipigia Simu
  • Zábava

Komentáře • 118

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 Před měsícem +16

    Yuko na sjda mashaa-Allah

  • @technicalanalysis8124
    @technicalanalysis8124 Před 15 dny +1

    i like his personallity..he seemz like a respectful person,,watching from kenya

  • @lilyanmongi1075
    @lilyanmongi1075 Před měsícem +13

    Rammy ame2lia sana c m2 wa kujickia ingekuwa mwingine ni rubani kila cku angekuwa anajicfu. Hongera sana Rammy

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 Před 19 dny

      Rubani ni kazi km kazi nyengine. Na inachosha na ngumu saana. Sbb ratiba zako za maisha zinakua ngumu. Mimi wtt wng wawili ni marubani. Lkn tupo kawaida tu. Kuringa ni tabia. Sio sbb ya kazi.

  • @tabysareva586
    @tabysareva586 Před měsícem +34

    Kwa kweli unapendeza sana na urubani,,, Allah akufanyie wepesi kaka

  • @smprotz
    @smprotz Před měsícem +18

    Rammy ana UTULIVU WA AKILI kuliko wabongo WA Kawaida. Hongera

  • @godfreykeita9804
    @godfreykeita9804 Před měsícem +19

    9:38 is what you're looking for

  • @mfungonishauri4234
    @mfungonishauri4234 Před měsícem +11

    Rudi tima anakumiss sana

  • @brehimakeita7597
    @brehimakeita7597 Před měsícem +12

    ❤❤❤❤njo uwendeleze tamthiliya tumekumisi sana ata tesa anateseka
    Kukukosa

  • @user-yb6wh1bk9d
    @user-yb6wh1bk9d Před měsícem +4

    Lamiki nampenda huyu anavyo mkumbuka mungu mpole Kuna siku utakumbuka nilikutuma unitilie maji ktk chupa unatoka mswalani mwanamboka yaani kuangalia ni yy lkn chaajabu hajaonesha pozy kujiona et msanii maarufu nakupenda Bure tabiya zako endelea kufanya ibada lamiki

  • @officialzuuh4638
    @officialzuuh4638 Před 26 dny

    Ila watanzania mnamaswali sana adi kuyajua maisha ya mtu ya ndani nyoooooooo

  • @user-pw2sw1sk1b
    @user-pw2sw1sk1b Před měsícem +1

    Rammy mzuri jamani daaaaaa😂😂😂❤❤❤❤🎉mashallah

  • @veronicahlusekelo5205
    @veronicahlusekelo5205 Před měsícem +3

    Rammy anapenda mashepu jman mashalla

  • @Ally-rg8sk
    @Ally-rg8sk Před měsícem +7

    I love this Somali boy

    • @fatushanne5917
      @fatushanne5917 Před 7 dny

      😂😂😂😂😂 huyu sio msomli abaaahwass acha kujidanganya 😂😂😂😂

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Před měsícem +7

    KUMBE HUJAKUFA??? WENZIO WANAJUA TAYARI UKO😊😊,,(huba)

  • @EverlyneSamuel
    @EverlyneSamuel Před měsícem +4

    Tumekumiss sanaa Wana Huba

  • @user-bc3lh5ss6c
    @user-bc3lh5ss6c Před měsícem +3

    Ayeee Rammy❤❤❤

  • @GoldenchipsChips
    @GoldenchipsChips Před měsícem +6

    😂😂dada maswali yako bwana ..ila hongera na ubarikiwe juhudi za kua mtangazaji mzuri zaidi

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 Před 2 dny

    Huyu kweli kawa mature mwanaume alieshika pesa msomi mzuri haangalii shape

  • @winygidarossa9472
    @winygidarossa9472 Před měsícem +4

    Kwanini unamhoji hivo

  • @user-zi4iz2vs7q
    @user-zi4iz2vs7q Před 26 dny

    Jamniiii twakupendaa mno rudi huba..alaf unavyoongea kweny huba kw upole kumb hata live n mpole😅❤

  • @NurathyKassim
    @NurathyKassim Před měsícem

    Mashallah ❤️❤️

  • @tabysareva586
    @tabysareva586 Před měsícem +7

    Masha Allah Rammy

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 Před měsícem +7

    Yan mtangazaji unam bembeleza Rammy khaaa.. kama ushapenda ivi😂😂

  • @user-iz2dw8rp2i
    @user-iz2dw8rp2i Před měsícem +3

    Kaka umekuwa kweli mwanamke au mwanaume sio sura au muonekano

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Před měsícem +10

    Uyu mkaka anafanana Sana na baba mtoto wng ..Yan Hadi maringo ...aanaringa uyu mtu...ila ananifurahisha anaswali..Kila la heri kaka

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 Před měsícem +2

      Kanumba anafanana nae pia

    • @user-kg9kt2pd1k
      @user-kg9kt2pd1k Před měsícem

      Umsomali swala ni lazima

    • @elizabethkisogole34
      @elizabethkisogole34 Před měsícem

      Mwanamke mwenzangu unatuyia aibu, Mume jafananishwi na Mwanaume yoyote mwingine, kwalugja nyingine umemtamani na kuhakikishia Mwanaume yoyote mwenye utulivu WA akili akiona hii post yako akiwemo na hiyo Mumeo umekosea sanaaa

    • @user-fk1io4yp3j
      @user-fk1io4yp3j Před 26 dny

      ​@@elizabethkisogole34😂😂😂

    • @user-lj3ht3wm7x
      @user-lj3ht3wm7x Před 18 dny

      Aca kujishauwa we mu dada nyooo 😅

  • @ruwhy
    @ruwhy Před měsícem +17

    Rammy napenda interviews zake anajibu kwa akili na ametulia sana

  • @naillanassor2589
    @naillanassor2589 Před měsícem

    Duuu wewe kaka kweliii una akili ya maishaavya baadaeee hongereee

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 Před měsícem +1

    Dini yuajua kazi yke

  • @issahamis9898
    @issahamis9898 Před měsícem +1

    Devi ss ambayo hatuna mali basi tusiolewe na vijana wenye ela

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 Před 26 dny +3

    rammy anapenda wanawake wenye maumbo, tukianza kwa masogange, poshy queen af tuje kwa mnyarwanda.

  • @veronicahlusekelo5205
    @veronicahlusekelo5205 Před měsícem

    Kwani kwenye meno kaweka nn?

  • @marryofficial9143
    @marryofficial9143 Před měsícem +2

    Ila mwandishi sijampenda kakaa kinafkii sana mtuu unawez ata ukamnasa kibao😮anatk mtuu alopoke vby ila rammy kampatia😂🎉

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 Před měsícem +1

    Dini safi😂🎉🎉

  • @raphleen4430
    @raphleen4430 Před 29 dny +1

    Muandishi mbona km wamuattack sana rammy hvyo khaaah😂😂😂

  • @richdivah2562
    @richdivah2562 Před měsícem +1

    Fedheha tenah jmn

  • @user-du4yg5cj3v
    @user-du4yg5cj3v Před 21 dnem +1

    Nimetok kicheko et no koment

  • @neemammbaga227
    @neemammbaga227 Před měsícem +1

    Basi angekua tid ungeskia microphone 🎤 😂😂

  • @PriscaThomas-zo6dl
    @PriscaThomas-zo6dl Před 18 dny

    Kweli jamani tumemmisi sana auponi tu jamani Tessa anaumwa na utamuua Mama yako Tessa jamani tumekumis ni ninakukubari , ila kila la heri kaika kazi za mikono yako na Mwenyezi Mungu akuzidishie Baraka na Moyo wa uruma kwa wahitaji. Kaka Lameki Big up Bro

  • @walengamwamaua-ws6io
    @walengamwamaua-ws6io Před 24 dny

    Ni msomalia

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz Před měsícem

    Tantee rammy❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 bure

  • @manrakizagervais4418
    @manrakizagervais4418 Před měsícem +4

    Devi tunagukumbuka kwahuba

  • @user-jh5px2xl8u
    @user-jh5px2xl8u Před měsícem

    Vua mawani kaka 😅😅😅

  • @user-ku6nv7ph3c
    @user-ku6nv7ph3c Před 29 dny

    Daah rud

  • @jacklyneesendi1263
    @jacklyneesendi1263 Před měsícem +1

    Dave ulipona😅

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 Před měsícem

    👍🏼👌

  • @user-il4yk3sh3s
    @user-il4yk3sh3s Před měsícem +3

    Rudi kwa huba Dave.

  • @aisharajimbo6784
    @aisharajimbo6784 Před 14 dny

    Huku dubai kuna mtoto anaitwa Rammy wazazi wake ni Lebanese

  • @adelaidamufumbo8352
    @adelaidamufumbo8352 Před 13 dny

    Wanaume wa hivi huwa wanadharau sn.

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Před měsícem +1

    Hongera sn sn umejua kujibu vzr km.ww ni wachacha mnooooo malezi mazuri umepata na din pia inachangia

  • @utambevilla2054
    @utambevilla2054 Před 26 dny

    Kuma kwel uyu jamaa unasema hupend kuweka habar za maisha yako mitandaon. Kwaiyo izo habar za ww na posh unazoziongelea kila siku mtandaon Sio habar zako? Acha misifa ya kisenge boya ww

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 Před měsícem

    Rammy mnyamwez jaman

  • @salmakashau-ib9fq
    @salmakashau-ib9fq Před měsícem +8

    Rammy anapenda wanaake wenye shape

    • @ElizaYanga
      @ElizaYanga Před měsícem +2

      Haswa si unamkumbuka marehemu masogange

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 Před měsícem +1

      Anaasili ya kisomali, si unajua wanawake wa kisomali wengi wanamishepu! Hiyo ni hulka yao😊😊​@@ElizaYanga

    • @hadijamgambo-jn7kg
      @hadijamgambo-jn7kg Před měsícem +1

      Lkn Yanamkost mashepu

    • @jacksonmsendo3478
      @jacksonmsendo3478 Před měsícem

      Sio msomali ni muethiopia​@@nantaembanusurupia5674

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 Před měsícem

      ​@@ElizaYangaametok na masogange pia

  • @user-st8hd9iq4o
    @user-st8hd9iq4o Před 25 dny +1

    Mbna Kama kapaka wanja jmni hyu kaka

  • @ferdaedward8373
    @ferdaedward8373 Před 21 dnem

    Unahekima sanakijana

  • @walengamwamaua-ws6io
    @walengamwamaua-ws6io Před 24 dny

    Nilivyo muhelewa kwa sasa anatafuta mke kwao wawe na pesa, sio mwonekano wa mtu

  • @user-nm8ym6iq7n
    @user-nm8ym6iq7n Před měsícem +1

    Kama huyo dem wake ni mrwanda basi amtafute Ay master atamuelekeza tabia za warwanda zilivo na atamwambia mke wa Ay sasa hv yuko wapi

  • @KadasoMadaha
    @KadasoMadaha Před měsícem

    Kwenye huba tumekumisi

  • @NoelaLangandey
    @NoelaLangandey Před měsícem

    Devi Rudi haraka kwenye huba tunakumiss

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Před měsícem +2

    Huyu sio ndio Davie ndugu yake Roy kamkimbia haonekani anaumwa sijui au alishapotea mazima harudi

  • @elizabethmukeba2528
    @elizabethmukeba2528 Před 13 dny

    Hakika Ramy mengine yawe siri yako na famillia yako na tunaendelea kukuombea nyinyi rubani na wasafiri hekima na busara itumike kwa kujibu

  • @TheAliya99
    @TheAliya99 Před měsícem +3

    ASPECTIC??? that’s not a word, jamani ongeeni tu kiswahili 😢

  • @nassormohammed246
    @nassormohammed246 Před měsícem +5

    Kama unapenda shepu au muonekano wa mwanamke basi huwezi kudumu kwenye hayo mahusiano

  • @jouswemwandiga5730
    @jouswemwandiga5730 Před měsícem +3

    Sisi jobless tuolewe na nani

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Před měsícem

    Kumbe muislam huyu?

  • @chimamilion
    @chimamilion Před měsícem +1

    Uyi bro kafanana nayule mzee wamitutu kwa askar cjui nipost kule yule amza

  • @vashtyburge3998
    @vashtyburge3998 Před 28 dny

    Mtangaxaji rudi shule. Hilo swali la mtu kumlinganisha mpenzi wake wa zamani na wa sasa limekuondolea heshima ya taaluma yako. Siku nyingine muwe mnaangalia interwiew za wa waandishi wasomi, hata wa nje ya nchi kama vile BBC, Aljazeera nk. Jaribu kujifunza na kupanua mawazo. Amekushushua vizuri. Mtu yeyote anayejiheshimu hawezi kujibu hilo swali.

  • @Rahma25474
    @Rahma25474 Před měsícem

    Duh huyu mtangazaji amesomea kweli?....how comes unauliza mtu vitu za kijinga ivi😂😂😂😂....

  • @kimah9855
    @kimah9855 Před měsícem +9

    Rammy anadamu ya wasomali

    • @fatmasayid8895
      @fatmasayid8895 Před měsícem +3

      Ni msomali kabisa

    • @user-fx7ig1uy6t
      @user-fx7ig1uy6t Před měsícem

      Anaonekana anakisirani Fulani hvi

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 Před měsícem +1

      Ni msomali Kuna interview alisema walikuja Tanzania na mamaake walikimbia vita Somalia na mama yake alikuwa Ana mimba yake yaan akamzalia Tanzania

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 Před měsícem

      ​@@user-fx7ig1uy6tjudgmental fella 😮😮 punguza

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 Před měsícem +3

      Huyo msomali hasa

  • @user-mh4ix7it7e
    @user-mh4ix7it7e Před měsícem

    Yani uache mwanaume mzuri ivi alafu uende Kwa hermo ama labda uyu Kaka Hana hela😮😮 mana anaonekana yuko xw kila kitu cjui mbm kaachika

  • @user-du4yg5cj3v
    @user-du4yg5cj3v Před 21 dnem

    Nimetok kicheko et no koment