Highlights | Wydad AC 2-1 Mamelodi Sundowns | AFL Finals 1-leg 05/11/2023

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 4. 11. 2023
  • AFL FINALS 1st LEG: Wydad Casablanca imeanza vema fainali baada ya kuitandika Mamelodi Sundowns mabao 2-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza kwenye fainali ya African Football League, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Mohamed V, nchini Morocco.
    Wafungaji kwenye mchezo huu ni Rivaldo Coetzee aliyejifunga dakika ya 41', Abdelmounaim Boutouil aliyeichomolea Wydad dakika ya 73 na goli la ushindi limetoka kwa Anas Serrhat dakika ya 78.
  • Sport

Komentáře • 31

  • @user-gp6es8nd9e
    @user-gp6es8nd9e Před 6 měsíci +1

    Speed ​​will confuse Sundaws... Wydad's experience outside the field is great... and Wydad can change the result however it wants ❤❤❤

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 Před 2 měsíci +2

    Kwa yanga ni avyowajua, wakiamia jambo lao wanaweza. Wachezaji waingie na spirit ya kupambana mpaka jasho la mwisho na kufanya jambo.

  • @_danone_jamed
    @_danone_jamed Před měsícem

    هُنا إتهى كل شيئ

  • @user-lb8gz5pt3u
    @user-lb8gz5pt3u Před 2 měsíci +1

    Wanafungika sana

  • @AgathaNdalichako
    @AgathaNdalichako Před 2 měsíci +1

    Bona wa kawaida sana

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 Před 2 měsíci +1

    Hii tar. 5.11.2023 kumbe yanga nao walikuwa wanacheza na mtu wao hapa.😂😂😂

  • @Deephonce
    @Deephonce Před 2 měsíci +8

    Lakini jamani wanaupiga mwingi sana ila wana wachezaji wamamelod asilimia%80 mamelod awana wachezaji wengi wene uwezo binafsi ivyo base yanga bado ina chance zidi ya mamelod#########

  • @AshmilyJafary
    @AshmilyJafary Před 2 měsíci +1

    wanawezekan watani

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 Před 2 měsíci +1

    Ili yanga ishinde, ijifnze kutumia Kona, freekicks na counterattack...
    Lakin pia lazima wacheze tough game ktkati

    • @Its_jozeeeh
      @Its_jozeeeh Před 2 měsíci

      Kabsa maan nmeona mamelodi wanafunguka sana

  • @laurencemethord
    @laurencemethord Před 2 měsíci +2

    2xubilie kexho bwana mungu alixha paanga nan atacheza nuxu fainali

  • @user-gb1jq9zz1j
    @user-gb1jq9zz1j Před 2 měsíci +1

    We unaesema niwakaida utafrah jmosi atamkija na majini mia

  • @oswardlonginoosward9832
    @oswardlonginoosward9832 Před 2 měsíci

    Mamelod watafungwa nyingi Kwa mkapa

  • @mwitawambura8920
    @mwitawambura8920 Před 6 měsíci +1

    Mbona zakwetu bongo amuweki dakika nyingi hiv

  • @williamnkonoki2232
    @williamnkonoki2232 Před 2 měsíci

    Ni wakawaida sana yanga msiogope jina

  • @RahimuMohamedi-bt7ex
    @RahimuMohamedi-bt7ex Před 2 měsíci

    Hamn anapgwa mamerod

  • @AllyJofrey-mg6ri
    @AllyJofrey-mg6ri Před 2 měsíci +3

    Mbn mamelod wakawaida sanah 😂😂

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu Před 2 měsíci

    Hawa mamelodi mbona wanafungika tu

  • @esterkayenzi1847
    @esterkayenzi1847 Před 2 měsíci

    inawezekana j mos kufa jitu kwamkapa 3

  • @user-gb1jq9zz1j
    @user-gb1jq9zz1j Před 2 měsíci

    Yanga wazee wa majini mbona jmosi atar.

  • @FrolahRimo-cm3tu
    @FrolahRimo-cm3tu Před 2 měsíci +1

    Kwakiwango hiki kwayanga mnara utasoma

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 Před 2 měsíci +1

    Jaman baada ya kupangwa na mamelod nmekuja kuchek hapa mech zao je mnanipa asilimia ngap kushinda mwananch???

    • @NicksonKway
      @NicksonKway Před 2 měsíci

      Wewe kama mimi tu broh,
      Imebidi nije nijiridhishe😂

    • @BasuleBasule
      @BasuleBasule Před 2 měsíci

      Tupo pamoja

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda Před 2 měsíci

      Lazima mchapike hamna namna mechi hii sio gezo cha kujipma asilimia ngapi kwa mamelod

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda Před 2 měsíci

      @@davidkomba4241 Ila Tanzania hususani machizi wa jangwani pkee ndio wana amini wanamtoa Mamelody

    • @ndivhuhosiaga6296
      @ndivhuhosiaga6296 Před 2 měsíci

      Yanga 0 sundown's 6

  • @willymwasakyeni4393
    @willymwasakyeni4393 Před 2 měsíci

    Hawa kumbe wanapitika