DC GAIRO WATOLEANA MANENO NA MBUNGE SHABIBY MBELE YA NAIBU WAZIRI

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 08. 2019

Komentáře • 58

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 Před 5 měsíci +1

    MH shabiby mungu akufanyie wepesi kwa kila jambo

  • @fortunatafelician5625
    @fortunatafelician5625 Před rokem +3

    Handeni wamefurah kuondolewa kwa huyu Dc

  • @lowasamollel9852
    @lowasamollel9852 Před 4 lety +8

    Mwanamke kakomaaa,duuuh

  • @bilalikombo1932
    @bilalikombo1932 Před 4 lety +8

    Mbunge wetu yupo makini xana

  • @KhojaNasri
    @KhojaNasri Před 3 lety +5

    Huyu sister anaonekana ni mtu wa kujishoo usister Doo mwingi kuliko kazi

  • @rutakihama3523
    @rutakihama3523 Před 2 lety +2

    Utakumbukwa sanaa Mh Kanyasu

  • @African511
    @African511 Před 2 lety +6

    Shabib una akili mingi sana,yaan unatembea na ukwel halisi

  • @musason1680
    @musason1680 Před 2 lety +4

    Hivi viwanawake vilivyokomaa vikipata madaraka huwa vnakua vya hovyo sana

  • @tareqhilal6750
    @tareqhilal6750 Před 4 lety +11

    Teuzi zizingatie watu makini sio kila mtu awe DC

  • @samsonkatigiri2344
    @samsonkatigiri2344 Před 7 měsíci +1

    Unamkamataje wakati kakwambia kashinda kesi,hawa viongozi wengine hata busara kidogo tu hawana,wao ni kufoka foka tu,msitu wangu niombe kibari duhhh hizi ndio sheria kandamizi,itakuja hata nyumba unajenga uombe na kibali cha kuhamia😂😂😂😂

  • @leahjames4415
    @leahjames4415 Před 4 lety +7

    Nakupenda Mbunge wetu

  • @kudraahmad6003
    @kudraahmad6003 Před 4 lety +4

    Kwel DC anaongea bila utaratibu

  • @alexsimon5576
    @alexsimon5576 Před 3 lety +3

    Mbunge anaongea kwa utaratibu,aache amalize aafu uingize hoja yako ya kwenda eneo la tukio,sio kumdaka juu kwa juu kama mlevi

  • @salehemfuchu368
    @salehemfuchu368 Před 4 lety +8

    Mbunge embu kunywa Pepsi max

    • @sharifuamuri4638
      @sharifuamuri4638 Před rokem

      Kaninogea shabib alivyomjibu kishujaa ilo li DC asema misijui nimecheka kamjibu kijeuli kamjua hakuna kitu uyo DC anabishana naboss tena aliochagulia nawananchi nasi kuteuliwa kama yeye izi teuzi mungu ndo anaejua ma DC wamejaa muula wa 6 wamama samia kila wilaya DC mwanamke asilimia kubwa ma DC niwanawake tz

  • @sumayahfathi9413
    @sumayahfathi9413 Před 4 lety +3

    Huyo mwanamke hafai kabisa kuongoza Kwanzaa kuongea hajui hana hekma pili yuko jeuri mnooo

  • @olenyghosho7008
    @olenyghosho7008 Před 2 lety +2

    hakuna serekali hapa,ni wapigaji tu

  • @user-bs6vq6ro8l
    @user-bs6vq6ro8l Před 10 měsíci +1

    Sawa wazili hao ndyo wanaokata miti

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 Před 4 lety +2

    Haya mambo ya Arusha

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 Před 4 lety +3

    Huyu DC hafai, hana hekima.

  • @raphaeltmasudi5295
    @raphaeltmasudi5295 Před rokem +1

    Namba 30 hii

  • @ezradastan4167
    @ezradastan4167 Před 2 lety +1

    Ngoja kwanza, huyu dada ni DC???? Au basi

  • @zuhurambonde6959
    @zuhurambonde6959 Před 4 lety +1

    Yaani wanawake tukiwa viongozi ni shiida

  • @kostamhogofela6335
    @kostamhogofela6335 Před 2 lety +2

    Huyu Dc panashida mahali

  • @Ndaizee
    @Ndaizee Před rokem +1

    Huyu DC au CD?

  • @bonifaciokisali8770
    @bonifaciokisali8770 Před rokem +1

    Anajiinua

  • @eliahiluka830
    @eliahiluka830 Před 2 lety +1

    Wanawake wakipewa uongozi shida sana

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Před 4 lety +1

    Dc anakua mcharuko namna hii

  • @shabantelack5716
    @shabantelack5716 Před 2 lety

    Uyo dada wa wapi!?

  • @mohammedbakhresa3823
    @mohammedbakhresa3823 Před 2 lety +1

    Ukikata kibali bila mti

  • @babayao3791
    @babayao3791 Před 4 lety +1

    dc kama dc 😂 😂 😂

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 Před 4 lety +2

    Wote mnaongea na kutoa maamuzi kama sio viongozi unafikili kulopoka ndo kutatua matatizo ya wanchi acheni upumbavu nyinyi wote .

  • @chrithicksambo2480
    @chrithicksambo2480 Před 4 lety +1

    Msitutisha nasema msitutisha

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 Před 4 lety +1

    Safi dc

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 Před 4 lety +1

    Mh pes

  • @SHELYnaitakiasimbaushndipointB

    Uyo mama anapaniki nini atulie tu

  • @masharubundevu3765
    @masharubundevu3765 Před 4 lety +2

    Hata kura mdoivoivo mnaiba mnaona mnavoazirika malipobni
    hphp duniani

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 Před 4 lety +1

    N

  • @godfreylubumbila1095
    @godfreylubumbila1095 Před 4 lety +2

    OK

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 Před 4 lety +2

    Huyu mama kiboko ya majeuri

  • @athumansuphian5891
    @athumansuphian5891 Před 2 lety +1

    Dc yuko sahihi yeye ametaka akaonyeshwe hzo nyumba zilizo chomwa moto shida iko wapi nayeye ndie mwenyekiti wa usalama wilaya nn shida msilete siasa kwenye ukweli ukubwa wake uko palepale na pesa zake Dc yuko sahihi

    • @kwazulu5240
      @kwazulu5240 Před 2 lety

      Mubunge anajiheshimu ila DC mshamba wa TV anajua ana rekodiwa. Ana payuka payuka.

  • @godfreyelkarim2586
    @godfreyelkarim2586 Před 4 lety +1

    Katika vitu ambavyo sitavifanya ni pamoja na kumiliki mabas then niwe mbunge

  • @sharifuamuli4519
    @sharifuamuli4519 Před 4 lety +1

    Wewe dada uyu shabib nibilionea mweshimu pia kakuzidi umri nakila kitu nibaba ako mbona dc haujitambui ww dada unabishana vipi nauyo

  • @peteradamu4081
    @peteradamu4081 Před rokem

    Acha hzo pigo ww wenye mashamba watalipaje miti Kwan wameikata.acha bax kunyanyasa wananchi kwasababu ww ni kionhoz ndo uyumie madaraka yako kipumbavu

  • @sharifuamuli4519
    @sharifuamuli4519 Před 4 lety +2

    Madc wengine uchwara wanaboa kama nini eti anabishana nabilionea tena inawezekana anaweza ata kukuzaa unapenda mabishano ambayo hayana msingi wwte

    • @diganyeckphilip4651
      @diganyeckphilip4651 Před 4 lety

      Huyu inaonekana ni mkorofi mana Huyu DC niliona clip akibishana na madiwani pamoja na mwenyekiti wa ccm wilaya ya Gairo

    • @diganyeckphilip4651
      @diganyeckphilip4651 Před 4 lety

      Tena kujibizana Kama anavyofanya hapo kwa lugha ambayo cyo ya kiuongozi kabisa

  • @christophermlaponi534
    @christophermlaponi534 Před 4 lety +1

    Hapo ni siasa tu, yaani mbunge unaambiwa tugeuze ili ukatuonyeshe hizo nyumba zilizo chomwa moto kulingana na madai yako unagwaya !!
    Huyo ndiyo Siriel Nchembe !

  • @rahelmasiga1503
    @rahelmasiga1503 Před 4 lety +3

    Huyo DC ameolewa? Hajui hata kuongea na mkubwa wake

    • @saidsalum9560
      @saidsalum9560 Před 4 lety +1

      Shida DC anatoka hapo Gairo na aligombea ubunge kura za maoni akapigwa so hapo ana wivu kwa mbunge