Mwili wa Cheruiyot Kirui wapatikana mita chache kutoka kilele cha Mlima Everest

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 22. 05. 2024
  • Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Komentáře • 26

  • @judysabina
    @judysabina Před 29 dny +5

    Hawa watu wanaajua kabisa hathari za Mt Everest lakini kwa sababu ya hizo thousands of dollars wanaamua kurisk maisha yao; mbona wanamjaribu Mungu kwa njia hii jamani😢🤔. Ona sasa yaliyo mkuta kijana 😮kwani hawajiulizi ni kwa nini Mungu alifanya Mt Everest uwe na huo urefu ??????🤔 Wakati mwingine ni vizuri kujua faida na hasara ya jambo before uamue uamuzi wako.milima haiwatafuti ni wao wenyewe wanatafuta milima

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg Před 23 dny +4

    Kuna mambo huwezi kuona kwa macho ya nyama kuna cults watu hujoin na kuweka maagano ya hatma za maisha yao .so kuba risks watu huwaga wanafanya wakijua fknal results ni nni😢😢

  • @patrickndichu3905
    @patrickndichu3905 Před měsícem +4

    Kifo kilimani sawa na kifo kisimani.😭😭😭😭

  • @DjRudeboy254
    @DjRudeboy254 Před měsícem +4

    RIP its sad dying while enjoying your hobby

  • @derrick_munayi
    @derrick_munayi Před měsícem +7

    It's very sad 😢... But tuambiane ukweli hapa hii mambo ya wazungu tuachie wazungu let's stick to our norm which is mbio, condolences to the family.

  • @ritahmutheumuia1604
    @ritahmutheumuia1604 Před měsícem +7

    This is sad may his soul rest in peace . 2:40 Always respect the mountain. Mt Everest has been known to even take out veteran seasoned climbers. This mountain is very unpredictable. 😢

  • @niominiomi3334
    @niominiomi3334 Před měsícem +1

    Pole sana

  • @mathekarichard1382
    @mathekarichard1382 Před 22 dny +1

    Haya nsawa

  • @Sharonchemutai-tx3zp
    @Sharonchemutai-tx3zp Před měsícem

    My heart felt condolences to my science teacher Mr kenduiywo😢😢😢😢..Rute ne Tala cheruiyot...makiwa kwa familia

  • @paulinemusa8823
    @paulinemusa8823 Před měsícem +2

    Risk takers😮

  • @annthuo7264
    @annthuo7264 Před 29 dny +1

    His name was meant for athletics not mountain climbers.

  • @Zighandment
    @Zighandment Před 22 dny +1

    RIP but as for me this was suicide and pre meditation

  • @jamesvmusic2677
    @jamesvmusic2677 Před měsícem

    😢😢

  • @abdelmiharbi3837
    @abdelmiharbi3837 Před měsícem +2

    Tusiige tabia za wazungu jameni... Msiba Wa kujitakia hamna kilio ama pole

  • @peterkariuki9073
    @peterkariuki9073 Před měsícem +3

    Sad indeed. Heri asingeenda. Tamaa iliua fisi.

  • @SiroFits
    @SiroFits Před měsícem +1

    Nice tribute

  • @ebbysoinani
    @ebbysoinani Před měsícem +3

    He died doing what he loves..may his soul rest in peace🙏🏾

  • @johnosebe1316
    @johnosebe1316 Před měsícem +3

    Sasa alienda kupanda miima uko nepal na anajua watu wanakufa uko every year

  • @wasafihngesh254
    @wasafihngesh254 Před 23 dny

    There is no heroic death 2:46

  • @selinanjoroge9592
    @selinanjoroge9592 Před 20 dny

    Wazimu

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 Před 24 dny

    Maybe alikufa Kwa njaa rest in peace

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Před 20 dny

    Kama huwezi kupanda Mlima Killimanjaro huwezi panda Evarist

  • @gmwash6659
    @gmwash6659 Před 15 dny

    Lazima mungetaja musa

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 Před 24 dny

    Hii mwili haiezi tolewa Kwa kutumia ndege ama ni risky pia

  • @user-sj8ck1bk1d
    @user-sj8ck1bk1d Před měsícem +3

    Kwa Raha Zake

  • @kibetking7129
    @kibetking7129 Před měsícem

    Pole sana