Kemikali za sumu zinavyoathiri wachimbaji wa madini Tanzania

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 09. 2024
  • Kwa mujibu wa Shirika la Kazi Duniani (ILO), wakati uchimbaji madini unaajiri karibu 1% ya nguvu kazi duniani, sekta hiyo inasababisha 8% ya ajali zinazoleta vifo.
    Hata hivyo watu wengi wanapata madhara ya kiafya ya muda mrefu kutokana na kazi yao ya uchimbaji madini katika maisha yao ya baadaye wakati mwingine hurithisha hadi kwa vizazi vijavyo.
    Aboubakar Famau alitembelea mgodi wa dhahabu Kusini Magharibi mwa Tanzania ambapo wachimbaji wadogo hukimbilia dhahabu licha ya hatari kwa afya zao.
    #bbcswahili #tanzania #ilo

Komentáře • 5

  • @user-hi4zd7ko1z
    @user-hi4zd7ko1z Před 2 měsíci

    Mungu awasaidie jmn wanajituma san kutafta mungu awafanyie wepesi nivzur mwajili kuwek msimamiz wa afya n usalam ili kuepusha hatar kwa wafany kaz

  • @user-hi4zd7ko1z
    @user-hi4zd7ko1z Před 2 měsíci

    Wafanyakaz wapewe vifaa vya usalama ili kulinda afya zao na kuwaepusha na hatar za kifo na ulemavu mfano kuna kelele sana kuna hatar ya kupata ttzo la masikio sab y hizo mashine wapewe ear protection kuna hatar nying

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Před 2 lety +2

    Uko siendi kama kuna hatal kwa kias icho

    • @martinymaryogo8753
      @martinymaryogo8753 Před 2 lety +2

      Daaaaah hpa nlkuwa naangalia wap mgodi mpya upo niende lkn nmepata uoga maan daaah

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 Před 2 lety

    Tatizo viongozi wanajua kukusanya mapato serikali haina msaada wowote