MUME wa DIVA Afunguka MAZITO "Simtaki Tena/NIMETUKANWA SANA/KUDHALILISHWA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 13. 03. 2024
  • Kwa mara ya Kwanza Mume wa DIVA amefunguka mazito aliyoyapitia kwenye Ndoa yake. Shekh Abdulrazak amesema kuwa sasa imetosha na hataki tena maana ametukanwa, kudhalilishwa na DIVA
    ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram rickmediatz...
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
    #Diva #MumewaDiva
  • Zábava

Komentáře • 104

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 Před 3 měsíci +22

    Huyu alikuwa kuna kitu anataka kwa diva limwanaume la kuramba ramba midomo c mume 🥱kwanza ni kweli unadharaulika sanaaa na umalaya wako na wanawake cc cjui tukoje

    • @aminajuma1156
      @aminajuma1156 Před 3 měsíci

      Kweli kabisa

    • @cdeleo9336
      @cdeleo9336 Před 3 měsíci

      Anamtingisha na diva anavyolazimisha hii ndoa yatamkuta makubwa

    • @Official83640
      @Official83640 Před 3 měsíci +2

      Hivi ujiulizi nani alimtaka mwenzie au, Diva ndy aliyemtaka huyu angekuwa huyu ndy kamtaka Diva basi Diva angeolewa kwa mahari aliyoitaka lkn kwakuwa yy ndy aliyeitaka ndoa fasta na ndy kaolewa kirahisi tu Diva sifa zinamponza mno maana hakuna alichokosa kuambiwa kuhusu mganga ila alimkingia kifua sasa acha yamkute si ajui kubalance shobo

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat Před 3 měsíci +1

      Tapeli

    • @ninaseleman5738
      @ninaseleman5738 Před 3 měsíci

      😂😂😂midomo nimechek

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 Před 3 měsíci +11

    Ila tujifunze kuyaweka mambo yetu private Kwa kweli ..🇰🇪🇰🇪

  • @user-yb1mv2nx6m
    @user-yb1mv2nx6m Před 3 měsíci +4

    Kweli kabisa mimi mwenyewe ni mwanamke ila diva kazidi kaingia mpaka kwa wazazi kama kweli mungu awasaidie wote mpate watu sahihi

    • @zainabufeka87
      @zainabufeka87 Před 3 měsíci

      Diva kazid hatakama mwanaume nimalaya ila anmdhalilisha sana huyu kaka mambo yandani kuyatowa nje mwanamke kafundwa kweli

    • @monirangerera7155
      @monirangerera7155 Před 3 měsíci

      Sana mwanaume kama umemchoka Kwa umaraya usije Instagram kutangaza kutoa Siri za ndani mpaka wakwe unawaingiza yule mke wa manara haji rubyna mbona aliachana na haji manara kimnya kimnya bila maneno Wala skendo umemchoka mtu basi sasa nani Leo atamuowa diva hatolewa mwanaume ataofia atatowa Siri za ndani mwanaume ajuwi kutomba sema huyu anamboro kubwa na anatomba hatari​@@zainabufeka87

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 Před 3 měsíci +5

    Umeachwa kwa tabia zako mbovu

  • @neemawekab2306
    @neemawekab2306 Před 3 měsíci +3

    People are judging this guy but kwenye ndoa mke na mume kila mtu ana kuwaga na mabaya yake na mazuri yake y’all don’t know why they tired of each other 😊

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 Před 3 měsíci

      Kabisa dadangu , kwanza huyu kaka amevumilia Sana kwa hio misifa ya huyo bibi kizee na roporopo za mitandao Kila siku, hata iweje hakuna mwanaume anaeweza kuvumilia hayo mambo anayofanya mwanamke wako

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Před 3 měsíci +2

    kuishi na Diva ni kazi

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 Před 3 měsíci +7

    Umuendani na diva tafuta mtoto wakiislam aliejistir upate amani

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 Před 3 měsíci

      Yeye mwenyewe anafuatilia maadili ya kiislam au maneno mengi tu mdomo mwanaume kama mwanamke kwa kuongea.

  • @user-qr6rr3vl7d
    @user-qr6rr3vl7d Před 3 měsíci +4

    Dogo aliona kumwagwa n mwanamke haijawahi kutokea aliumia sana ile siku diva alivyotangaza amtaki akajishsha diva akrd saiv kamuacha yey😅kaja mbio kutangaza yeye😂😂😂 et amtak diva nyie mapenz haya 😂😂😂

  • @MedYahya-jm5pu
    @MedYahya-jm5pu Před 3 měsíci +3

    Yaan wew utakumbuka kitonga kwa diva alikupenda sana ukamuona fala sasa huamini kama kakuacha .

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 Před 3 měsíci +1

      Bibi huyo , huyu ni mdogo Hana hata wasiwasi aumbuke kwani diva ndo alimzaa na kumkuza mpaka hapo alipo mfyuuuu 😊😊

    • @verenabusanda4044
      @verenabusanda4044 Před 3 měsíci +1

      Diva alikua anatumia fame yake kwenye maisha private..Kila kitu chake alikiweka Kwa mtandao,hio ndio shida...haimaanishi Ndoa za wengine hazina shida ila ni Kwamba wameweka private...Hana jeuri ya kumuacha huyu kaka,sema tu huyu kaka amemchoka na yeye...

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Před 3 měsíci +1

    Huyu kaka wa mjini ajifanya akili kweli diva uamuwe hatari utaingi choo kiumbe utapeli kweli ajifanya wema kumbe bongo movie kabisa

  • @user-ve1xm7gn9y
    @user-ve1xm7gn9y Před 3 měsíci +1

    Diamond Platnumz anarogwa hadi State House... Harmonize kumuchezea kaa Doli mbele ya Samia 😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @user-up1py2tk9x
    @user-up1py2tk9x Před 3 měsíci +1

    Mwangu Kama umeachana.nayule mwanamke mshukuru MUNGU. Oamke bora

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l Před 3 měsíci +5

    Kama ni kwelo bora muachane tu

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n Před 3 měsíci

    SHEKHE Ana saut nzuri😂😂😂😂 hapo wanawake wamejpanga kumuwinda kumbe... Yy mwenyewe KAWAJAZAAA. WANAWAKE SISI

  • @neemawekab2306
    @neemawekab2306 Před 3 měsíci +1

    Ndoa za kwenye mitandao apana kweli 😢

  • @Agath45
    @Agath45 Před 3 měsíci +4

    Ama kweli tabia ya mtu haipo kwenye uso

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Před 3 měsíci +1

    Huyu si alitufunza ku ramba nanasi vipi tena

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 Před 3 měsíci +1

    Unapenda mtandao ukuze jina

  • @BettyUrio
    @BettyUrio Před 3 měsíci +1

    Vua pete yake.wewe hata kwenye kuongea tu unaonekana hujatulia kabisa.leave our diva alone.

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o Před 3 měsíci +1

    Ila kiukweli ni viema ivi mmeachana ,hakuna ndoa za mitandaoni , tafuta mke muenye kujistir

  • @jakylinedeogratias7597
    @jakylinedeogratias7597 Před 3 měsíci +1

    Ndoa dei😂

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 Před 3 měsíci +1

    Laiti hayo unayoyaongea ndiyo ungekuwa unayaishi ungekuwa bonge la mme.Ila wewe ni mchafuzi mkubwa wa wanawake

  • @righitkileo
    @righitkileo Před 3 měsíci +1

    Tujifunze tu kuwa mambo yako ya private si yakuyaanika anika humu. Aisee hawa watu hawana busara kabisa .pe,pe,pe nyinqi pyuuuuii

  • @najatkibwago2630
    @najatkibwago2630 Před 3 měsíci

    Ndoa inachangamoto sana ila diva c mtu sahihi kwake

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Před 3 měsíci +1

    Tumekuchoka ww mganga 😂😂😂 tuavhie diva wetu

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t Před 3 měsíci +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂keshakivuta mbk kimerefuka leo hamtak Tena!!!!!shikamoo ndoa😂😂😂😂

    • @user-id8ys3lg5d
      @user-id8ys3lg5d Před 3 měsíci

      Kakivuta kinini hicho my 😂😂😂❤❤❤

  • @neemawekab2306
    @neemawekab2306 Před 3 měsíci

    Ndoa ina mengi kweli

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 Před 3 měsíci +4

    Hv ww mtangazaji wamjua shekhe kweli ww ? Huyu ni shekhe ? Ebu acha kuchafua jina la watu bhn

  • @Naju645
    @Naju645 Před 3 měsíci +2

    Huyu sio shekhe huyu nimganga

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 Před 3 měsíci +1

    Kwenda huko ulifuata kiki kwa Diva 😂😂😂

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k Před 3 měsíci

    Huyu kenge acha tu atukanue pia nikicheche wakuchezea wanawake n kulelewa kibenteni asiye kua haya janadume ovyo mrudie mkeo w kwnza upate amani 😏au uzidi kudalilishua

  • @NassorTwahiru-kf8fo
    @NassorTwahiru-kf8fo Před 3 měsíci +4

    Kiukweli kbsa muhun kapanick,ss wanaume tupo hivi kuna mwanamke flan unakuwa humuelew sana ila anakupa uhakika flan wa maisha,kwa mfano ukipata ttzo la kifedha unajua kbs yupo wa kumkimbilia fasta na atasolve kwa sbb unajua anakuelewa,ss siku akichoka na kusepa huwa tunachngnyikiwa sio kwa sbb unampenda sana au ni mzur sana but je utampata nani ambae atakuwa ng'ombe wako wa kumswaga unavytk, inawezkana ukawa na pisi kaliiii lkn zisiwe km yule flan

  • @lilianlwila7516
    @lilianlwila7516 Před 3 měsíci

    Kumekucha

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 Před 3 měsíci +1

    Mbona Bado una pete ya ndoa

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Před 3 měsíci

    Umetukanwa kwakuwa hujitambui hujitambui

  • @Naju645
    @Naju645 Před 3 měsíci

    Mlikutana akili 😅😅

  • @salimmbarak618
    @salimmbarak618 Před 3 měsíci

    Jamaa anaongea fact ukiachilia mambo nayule mjinga

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 Před 3 měsíci

    Bado hujatukanwa muongo weweunamtumia Mungu kwa unafiki wako. Jitu zima halina akili uongo ni kama chakula kwako. Diva alirogwa kukubali wewe.

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Před 3 měsíci +1

    Sasa tumwelewe Nan au Nan mwema Nan mbaya

    • @user-vd8du8fo8r
      @user-vd8du8fo8r Před 3 měsíci

      😂😂😂😂😂usilolijua litakusumbua ko tuyaache

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat Před 3 měsíci +1

    Siumeola tena diva hataki tena tapeli

    • @najatkibwago2630
      @najatkibwago2630 Před 3 měsíci

      Diva mwenyewe tapeli
      Mtu anasura nyingi hata hajulikani

  • @JulianaMushi-nq3kc
    @JulianaMushi-nq3kc Před 3 měsíci +4

    hivi sas hivi wabongo tumekuwa waarabu wote nimebaki mimi tu kila mtu sas hivi ni mweupe kaa warabu 😃

    • @mwanaishaabubakar5013
      @mwanaishaabubakar5013 Před 3 měsíci

      So what!?

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk Před 3 měsíci

      Angalia vifpundo vya miguu vyeusi tiiii

    • @godfreysudi7264
      @godfreysudi7264 Před 3 měsíci

      Huyu ana asiri ya weupe jmn

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 Před 3 měsíci +2

      Huyu ni mweupe , penye ukweli tumtetee babake shombe wa Mombasa tunaijua familia yake hapa Arusha ..

    • @user-dx6dm6lh1i
      @user-dx6dm6lh1i Před 3 měsíci +2

      Mweupe hyu ameshawahi kukaa znz snaaa miaka pale ni mweupe hasa.

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 Před 3 měsíci

    Mara sitaki kuongea mara unaongea mmh tuamini kipi?

  • @essymbula6708
    @essymbula6708 Před 3 měsíci +1

    A big liar😢😢

  • @user-cw6rf7vf7y
    @user-cw6rf7vf7y Před 3 měsíci

    Mm n mwanamke lkn diva cyo mke kbsa anautoto mwingi pia luxury nying

  • @munamuna4621
    @munamuna4621 Před 3 měsíci +1

    😅😅😅😅😅😅😅umemchezeaaa leo umtakiii shikamooo ndoa

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 Před 3 měsíci +2

      Mwana mke mwenyewe chenga bwana

    • @MohamedMkota
      @MohamedMkota Před 3 měsíci +3

      Ww abduli siulisema juzi tu kwamba mwanamke anatakiwa mshindilio mzr ss mbn ww tena unakimbia mwnyw

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow Před 3 měsíci

      😂😂 Diva anakichaa Cha ndoa anatakiwa atolewe na kichaa mwenzie​@@MohamedMkota

    • @rukiauwonde7062
      @rukiauwonde7062 Před 3 měsíci

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂​@@MohamedMkota

  • @vero57
    @vero57 Před 3 měsíci +3

    Huyu sindiyo alisema atampa mimba diva ????

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s Před 3 měsíci

    Ulipambana moyo umefika mwisho😂

  • @sakinajuma4208
    @sakinajuma4208 Před 3 měsíci

    Lakini we mzuri

  • @carolineanthony1095
    @carolineanthony1095 Před 3 měsíci

    mbona bado anapete

  • @Mundi-oz7os
    @Mundi-oz7os Před 3 měsíci

    Baadhi ya watu tunaokutana naoni wenda wazimu hawatibiki hawarekebiki wala hawawezi kuishi na mtu yeyote popote hata uwape kitu gani.

  • @Official83640
    @Official83640 Před 3 měsíci

    Kumekucha mazamwamwa wamepona uchizi huku🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @queenlinda255
    @queenlinda255 Před 3 měsíci

    Anamiaka 32 mdogo kweli

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Před 3 měsíci

    Pumbavu wewe muhuni

  • @sadamaguu9611
    @sadamaguu9611 Před 3 měsíci

    Muoeee zuchuuuu