Mbarikiwa video kutoka studio Tenzi no 12 Roho wa mbinguni

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 9. 09. 2024
  • Baada ya channel ya Mbarikiwa mwakipesile ya youtube kufungwa, sasa unaweza kuzipata video zake za zamani kwa kupitia channel zifuatazo.
    1. Alex Tewele ... / @pastorstz
    2. Zawadi blandine ... / @zawadiblandine
    3. Helbeth Mlelwa ... / @helbethmlelwa
    Mahubiri ya sasa ya Mbarikiwa Mwakipesile yanarushwa kupitia channel ya Kikosi kazi cha injili ... / @mbarikiwa_mwakipesile
    Pia ibada zinarushwa live (mubashara) katika mtandao wa facebook. Ingia facebook na tafuta mbarikiwa mwakipesile au bonyeza maandishi haya / salome.mwampeta.5
    KWA KILA CHANNEL ILIYOANDIKWA HAPO JUU. NI VYEMA KAMA UTASUBSCRIBE ILI UWEZE KUPATA TAARIFA ZAIDI.
    NEEMA YA KRISTO YESU, IWE PAMOJA NAWE. AMEN

Komentáře • 37