JEMEDARI AMPINGA MGUNDA KUPEWA TIMU!! ORUMA AMKUBALI FREDY!! HUU SASA NDO UCHAMBUZI...

Sdílet
Vložit

Komentáře • 11

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 Před 24 dny

    Jemedari kaanza uchawi tena😂😂😂😂😂😂😂

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 Před 24 dny

    Simba inatakiwa kubadilishwa na kuwa club ya cricket. Ndiyo hobby ya mfadhili wao. Sio mpira wa miguu.

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 Před 24 dny

    Wamesahau simba queen waliskuwa vizuri wakiwa na nani😂😂😂

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu Před 23 dny

    Timu apewe ibenge,na asajili wachezajisita Bora anaowataka yeye.

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Před 18 dny

    Kocha atafutwe ingependeza aje ibenge mugunda awe kocha msaidizi

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 Před 25 dny +1

    Simba walirudi kwenye factory settings.

  • @danielbenard9053
    @danielbenard9053 Před 25 dny +1

    Hii redio hamna kitu

  • @danielbenard9053
    @danielbenard9053 Před 25 dny +1

    Redio hii bure kabisa

    • @lucymsheshi5871
      @lucymsheshi5871 Před 24 dny

      Imekabiziwa wahuni ambao hawajui taaluma na miiko ya uandishi habari

  • @dstaroficial
    @dstaroficial Před 25 dny

    Mabadiliko yapo

  • @nasseralshaibani6995
    @nasseralshaibani6995 Před 25 dny +1

    I totally agree with jemedari mgunda sio level ya simba