RASMI SIMBA WATANGAZA USAJILI MPYA WA WACHEZAJI 7 NA KOCHA MKUU NABI/MO ATHIBITISHA HILO

Sdílet
Vložit

Komentáře • 128

  • @EmmanuelNzingula-ig2sp
    @EmmanuelNzingula-ig2sp Před měsícem +10

    Hiz taarifa ziwe za kwelii tu mkitudanganya mungu anawaonaa !!

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 Před měsícem +7

    Jamani kama hayo ni ya kweli basi wanatosha. Ila bado Kiungo mkabaji.

  • @DebbyGecho
    @DebbyGecho Před 12 dny +1

    ❤SIMBA

  • @sangaelly8548
    @sangaelly8548 Před měsícem +4

    Simba Mungu anawaona mkitudanganya

  • @JozeeDanizi
    @JozeeDanizi Před 28 dny +1

    Simba nitimu kubwa Tena tunaipenda sana lakin mnatukera sana viongozi was Simba Kwa uongowenu saabu hamjaanza leo kutuendesha endeleeni kutuendesha sana nahuo uongo wenu mngetujua mioyonni mweti tunavyo umia mngejiuzuru bila kuambiwa maana tumewachoka

  • @EdwardarphonsekizimguluEdwarda

    Yani ikiwa iko hivi namini kikombe msimu hujao wekundu wa msimbazi wana chukuwa❤ love you simbaa

  • @hassanshemzigwa8008
    @hassanshemzigwa8008 Před měsícem +2

    Hapa hakuna kitu kama ndio yo tutaendelea kuwa watumwa wa utopolo sioni kwa Nini tunasajili wachezaji wachovu kama hao

  • @timothymollel5565
    @timothymollel5565 Před 7 dny

    Mkitudanganya mtatuudhi Sana Sisi wapenzi na Masha Oki WA simba

  • @JoshuaMadeni
    @JoshuaMadeni Před 4 dny

    Tufik mahal tuwe wakwel.👍

  • @barakajustusbj3372
    @barakajustusbj3372 Před měsícem +3

    Wawathamini hata waliopo niwazur ninamna yakuwtambua hata Hao wazur niwap Leo hatukupata matokeo kwasababu wasumbufu wali kuwa wawili chasambi Edwin barua fikilia kama chama micison kibu saido+chasambi naedwin fuled Hamna

  • @SarafinaAbeli
    @SarafinaAbeli Před 16 dny +1

    Mkitudanganya mtakera sanaa

  • @AbdushakuruAthuman
    @AbdushakuruAthuman Před 4 dny

    Mseme kweli maana mwatudanganya kila msimu

  • @Jkm237
    @Jkm237 Před měsícem +1

    Simba bado hawana macho ya kuona wachezaji wazuri

  • @sadockchubwa
    @sadockchubwa Před 28 dny +1

    Jaman kuwen wazi ifike hatua mumuogope Mungu kwa kauli zenu

  • @user-jm8qz7yp6r
    @user-jm8qz7yp6r Před měsícem +4

    Kama kweli tutaona

  • @ChandeMbaujika
    @ChandeMbaujika Před měsícem +1

    Mda umefika wa kuaza kudanganywa Kama atujui Kat ya ao walio orozeshwa atu dirisha la usajiri litafunguliwa na adi linafungwa atuta waona sisi viongozi wamezoea kuchukua wachezaji wa bovu

  • @AndrewSangwapo
    @AndrewSangwapo Před měsícem

    Kama hayo ni ya kweli Simba tutakuwa vizuri sana na mashabiki wengi watarudi maana tumepoteana sana

  • @jumamnimbo902
    @jumamnimbo902 Před měsícem +2

    uongo wa kutufariji maumivu ni makubwa hii haisaidii

  • @AssengaAssengaErneus
    @AssengaAssengaErneus Před 7 dny

    5:45 ikiwa hivyo itakuwa vzr

  • @EnosCharles
    @EnosCharles Před 10 dny

    Naiwe hivyo❤❤

  • @RamazaneissaTupukute
    @RamazaneissaTupukute Před 23 dny +1

    Duuuuuuuu! Jaman jaman jamaaan Kula chuma hiyoooo wanasimba tutakula lasta hizoo

  • @SanguyaDaudi
    @SanguyaDaudi Před 26 dny +1

    Hebu punguzeni uongo Yani mnazidi tu kutudanganya tu halafu mnazidi kuongeza wazee

  • @frankrenatus2610
    @frankrenatus2610 Před 29 dny

    Simba nguvu moja

  • @DanielPius-go2rd
    @DanielPius-go2rd Před 28 dny +1

    hayo ni ya kweli au tetesi

  • @SaidSokela
    @SaidSokela Před dnem

    tarifa za Simba zareo 1:08

  • @user-br9kq3nv5b
    @user-br9kq3nv5b Před 8 dny

    Hivi haya mnayoyasema ni yakweli msidanganye mashabiki

  • @AirvannyFrance-db6rl
    @AirvannyFrance-db6rl Před měsícem +2

    Tunawakaribisha wote tunatumaini .mungu akijaria

  • @doiuioo-nm3bc
    @doiuioo-nm3bc Před měsícem +1

    Manen hayo Kwan ni mara ngapi mnatundanganyaga❤

  • @AssengaAssengaErneus
    @AssengaAssengaErneus Před 7 dny

    Daaah mi hata siwaamini hawa

  • @Justina-jg6dy
    @Justina-jg6dy Před 26 dny +1

    Jamani mungusaidia yawe yakweli😮

  • @LeonardDaudi-cv4gr
    @LeonardDaudi-cv4gr Před 2 dny

    Hatali.kama.ni.kweli

  • @Babubangalyusa
    @Babubangalyusa Před měsícem

    Shida ya wongoz wasimba niwaongo huwawanapost HIVo wachezaji mwisho wasku wanawaleta wakina jobe nawakina Fredi wamichongo Simba tumesha wazoea Kwa wango

  • @user-tk1cc3ol9y
    @user-tk1cc3ol9y Před 9 dny

    Acha ujingaa bs brother

  • @IgnasGwerino
    @IgnasGwerino Před měsícem

    Kwann simba huwa wanaongea sana mpk tunashindwa kuamini lipi la kweli kama lile la mazoki yaani ni aibu tupu

  • @MwanahamisiAbdi
    @MwanahamisiAbdi Před 7 dny

    Yakweli.hayoooo

  • @JamesAbel-jy1jx
    @JamesAbel-jy1jx Před měsícem

    Bdo tunarudi kulekule Simba inahutaji wachezaji wakubwa zaid ya haoo hi club n kubwa kwa sasaa wengi wao ni majina tupuu,viongizi mbn wanakosa vision ya mbaliii

  • @networkeryuzzo09
    @networkeryuzzo09 Před 26 dny

    Mbn wachezaji wengi wametokA humu humu NBC league hapa bongo.... Na sijaona sms tishio

  • @mohammedgulamali8849
    @mohammedgulamali8849 Před měsícem

    Sawa inonga. Chama. Kapombe. Kibu. Saido. Manula. Wacha wa ondoke. Hawo walikwa wana hujumu Simba.

  • @MsigarilaMsigalira
    @MsigarilaMsigalira Před měsícem +1

    Ila lipoti yenu iwe naukweli make musiwe munatudanganya kama kweli munlo tuwambia mungu anawaona kla mulisemalo

  • @shahmajaliwa1996
    @shahmajaliwa1996 Před měsícem

    Tukamwambia waziri wa habari awafatilie mmekuoa waongo sana mnaharibu tasnia ya habari

  • @AfisaMpango
    @AfisaMpango Před měsícem +1

    Jaman Kama ndoivy bad kiung .mkabaji

  • @MagrethWawaWawa
    @MagrethWawaWawa Před 22 dny

    Hizo taarifa ziwe za ukweli bac jaman

  • @user-cv9qg5nq8c
    @user-cv9qg5nq8c Před měsícem

    Tumeridhia kama ni kweli napongeza. Mfadhili wetu simba

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 Před měsícem

    Azamu Watamtoa Fei kwenda Simba kwa mkopo kwa miaka miwili.

  • @VeronicaVicent-uk5qh
    @VeronicaVicent-uk5qh Před měsícem

    Iwe kweli kati ya hao ila sio juma shabani jamn mmh

  • @HaidaliMapanje
    @HaidaliMapanje Před 23 dny

    Ngoja tuone kama kweli

  • @IbrahimPetroMollel
    @IbrahimPetroMollel Před měsícem

    Kama ni kweli sawa kiungo Mkabaji atafutwe tena

  • @JoyceDavid-pf8rh
    @JoyceDavid-pf8rh Před měsícem

    Ya kweli hayo?

  • @SamMlokole
    @SamMlokole Před 23 dny

    Hiv nikweli au ndo munaturusha2

  • @AmosiMalema
    @AmosiMalema Před 27 dny

    🎉mungu nimwema ita kuwatu

  • @lorelore2930
    @lorelore2930 Před měsícem

    Sajilin hata messi yanga bado hatujaamua kumpa mtu hili kombe tukiamua tutawapa wala musijisumbue kusajili

  • @ElishaElikana
    @ElishaElikana Před 28 dny

    Wasije wa wakayajabhaga tena simba kwenye kusajil

  • @AllyChinga-fc7rz
    @AllyChinga-fc7rz Před 25 dny +1

    Vyoteee mfanye lakin mgunda awemkuuu

  • @user-ik7zi5rx3w
    @user-ik7zi5rx3w Před měsícem

    Kama kwer msimu ujao tunarudisha hesima yetu wanasimba

  • @MussaMnama
    @MussaMnama Před 8 dny

    Ayo yakweri au mnatuta moyo wanasimbatu

  • @MusaCostantine
    @MusaCostantine Před 20 dny

    Nikweli au munatudanganya

  • @IbrahimumsuyaKadrani-sb7hf
    @IbrahimumsuyaKadrani-sb7hf Před měsícem

    Mutuletee hao watu kweli maana munatuahidigi alafu mwisho wa siku wanapitaga hivi

  • @salilamaigah1401
    @salilamaigah1401 Před měsícem

    Hakuna jipya. Hiyo ni fikis Tu. Mbona hao wachezaji ni wakawaida Sana.

  • @CorlinNorbeth
    @CorlinNorbeth Před 17 dny

    Ikiwa hivooo itakuwa unyama xana

  • @JOTACEJARUBES
    @JOTACEJARUBES Před 22 dny

    Asant Simba Kwa maandaliz yenu mazr

  • @AssengaAssengaErneus
    @AssengaAssengaErneus Před 7 dny

    Tunaomba iwe kwel siyo maneno

  • @josephsimbeye-zi8nh
    @josephsimbeye-zi8nh Před 6 dny

    Nikweli Yan watupag taarif za kwel

  • @Lenard-lc3js
    @Lenard-lc3js Před 28 dny

    Mmh Kwa fei hapoo Kuna uhakika kwel

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah Před měsícem

    hayo.ni.maneno.sio.ya.kweli

  • @AbdushakuruAthuman
    @AbdushakuruAthuman Před 4 dny

    Msiwe mnasema uongo aise

  • @Changajunior
    @Changajunior Před měsícem

    Ninakupenda Sana Tena Sana Ila uongozi sieielewi

  • @SadnosRabieth
    @SadnosRabieth Před 24 dny

    Acheni uongo

  • @MERYLUHANGA
    @MERYLUHANGA Před 22 dny

    Simba tumekuja kivingine dube woyooooo

  • @GozbethAlex
    @GozbethAlex Před měsícem

    2:30

  • @Sospeterdonald
    @Sospeterdonald Před 17 dny

    tunawambia usajir mwaka huu msivulunde jamani

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Před měsícem

    MMEANZA UONGO WENU HUWA MNASEMA HIVYOHIVYO NI USAJILI WA MAJINA TUU

  • @BarakaPatrick-qe6se
    @BarakaPatrick-qe6se Před měsícem

    me najua huu ni uongoo labda mpaka mwbaduke aseme

  • @ShijaUzia
    @ShijaUzia Před 27 dny

    Usiwe usajili wamaneno iwe kweli tu.

  • @user-rh5rf6kw4n
    @user-rh5rf6kw4n Před měsícem

    Wanasimba tuache uongo mama uongo si dili

  • @BakariAyubu-zo1dz
    @BakariAyubu-zo1dz Před 9 dny

    Jama wazee hatuwataki

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah Před měsícem

    Kama.ni.kweli.mo.simamie.mwenyewe.usajili

  • @DalaliMaloba-yv9hu
    @DalaliMaloba-yv9hu Před 7 dny

    Kama kwel mwaka ujao makombe yot yet

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza Před měsícem

    Huyo Fei toto Hana jipya kabisa huko Azam Bora aende tu

  • @lameckyohana1101
    @lameckyohana1101 Před měsícem

    Shida yenu niwaongo mno namnatukwaza mno wanasimba

  • @abdallahmesso7732
    @abdallahmesso7732 Před měsícem

    Were ulicheza nae wapi hadi kujua ni mchovu Jamani hawa Jamaa safari kwa huo uongo

  • @YakoboSimif
    @YakoboSimif Před 29 dny

    🎉

  • @AdaaJabi
    @AdaaJabi Před 26 dny

    Simba tumebakia storitu bhan

  • @user-fl7jl7vk3n
    @user-fl7jl7vk3n Před měsícem

    Hapa inatosha tunasubiria Kwa hamu

  • @NDUWIMANAIsaac-th7py
    @NDUWIMANAIsaac-th7py Před 24 dny

    Safisana kamasisi washabiki tumekubari ira misi poteze makubariano

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah Před měsícem

    haya.maneno.mnayo.sema.ni.ya.kweli.

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah Před měsícem

    kama.ni.kweli.tutaona

  • @barakanicholaus-wx6nu
    @barakanicholaus-wx6nu Před 17 dny

    Kama mnatudanganya ole wenu

  • @GozbethAlex
    @GozbethAlex Před měsícem

    kiungo wa kati n
    a namba 2 bado

  • @user-jk3kh1wm7n
    @user-jk3kh1wm7n Před 18 dny

    Achen ujinga sisi siyo watoto wajisemee wenyewe mbwa sakisasa nyie

  • @AyubuZakayo-sq9mo
    @AyubuZakayo-sq9mo Před měsícem

    Tumchukue akamimko na kiple jaman

  • @HusenShukran
    @HusenShukran Před měsícem

    Nikweli hizo taarifa au

  • @IssaAbdallah-rt2sh
    @IssaAbdallah-rt2sh Před měsícem

    Sioni jina la lameki.lawi.mchezaji.wa.ndani beki kisiki

  • @MisanaMathias
    @MisanaMathias Před 26 dny

    Kama nikwel itakuw unyam

  • @user-rf6ig4gc8y
    @user-rf6ig4gc8y Před měsícem

    Bado kiungo itakuwa fureshi

  • @JamesChisomo
    @JamesChisomo Před 15 dny

    Nikweri

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 Před měsícem +1

    Mpeni mgunda ukocha mkuuu wewe muhindi wacha kuchukua makocha wabovu

    • @OmaryAmony
      @OmaryAmony Před měsícem

      Ww wachezaji huna usseme makocha wabovu kaka

  • @AmosiMalema
    @AmosiMalema Před 27 dny

    Ivi hiki kitu ni kweri?

  • @IbrahimPetroMollel
    @IbrahimPetroMollel Před měsícem

    Tutaona tusiandikie mate wakati wino ipo

  • @RamazaneissaTupukute
    @RamazaneissaTupukute Před 23 dny

    Umbea tu eeeeeeeeee