Tabasamu Media Ink
Tabasamu Media Ink
  • 19
  • 38 556
Historia ya Albert Mangwea
Historia ya Albert Mangwea, gwiji wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania
historia yake yakusisimua iliyojaa mafundisho mengi ya muziki na utunzi wa sanaa
zhlédnutí: 52

Video

From Zero to Hero
zhlédnutí 61Před 21 dnem
nilianza uchoraji kama kijana mdogo mwenye ndoto za kuwa mchoraji kimataifa kazi ya uchoraji inataka kujituma na kuwa mbunifu ili kufikia malengo ya kuwa mchoraji mkubwa
Mbinu za Kuwa Dereva Wa Mbio Za Magari Kimataifa
zhlédnutí 44Před 21 dnem
Nilianza mbio za magari kwa changamoto mbali mbali lakini nilitaka kutimiza ndoto zangu kama kijana muona fursa nimeshiriki mbio mbali mbali na kufika kiwango cha juu katika mbio za magari hasa kimataifa sasa nimejikita kutoa elimu ya mbio hizi ili kufanikisha mchezo huu kuwa fursa nchini
No Body Believes on Me
zhlédnutí 44Před 21 dnem
wakati naanza kuchora ilikuwa ni ngumu jamii inayonizunguka kuamini kwamba uchoraji ni kazi kama kazi zingine baada ya muda kwenda na watu wanaonizunguka kuona matunda ya uchoraji sasa jamii imebadilisha mtazamo huo juu yangu zipo picha zinauzwa hela kubwa sana hivyo hii ni fursa kubwa kwa wachoraji
Everything Happen For a Reason, Take Risk
zhlédnutí 148Před 28 dny
karika ulimwengu wa leo wa mapinduzi ya kidijitali biashara ni rahisi kufanyika hasa katika soko huria mfumo huu umewezesha watu wengi kufanikiwa kirahisi na kupata mafanikio mbalimbali kwenye biashara zao ukifanya biashara katika mfumo huu ni rahisi kufanikiwa sana
Skills To be Best Graphics Designer
zhlédnutí 48Před měsícem
Biashara ya utengenezaji wa matangazo ni biashara inayolipa vizuri na iliyoshika kasi katika ulimwengu wa sasa, hakuna biashara bila tangazo hivyo hii ni fursa kwa graphics designer Biashara hii ya matangazo inahitaji kufanya kazi kwa bidii na ubora ili uweze kuaminika katika makampuni na wafanyabishara wanaokuzunguka
Ulemavu Haukukatisha Ndoto Zangu za Biashara
zhlédnutí 237Před měsícem
kuzaliwa mlemavu hakukufanya kukatisha ndoto zangu za kuwa mfanyabiashara mkubwa na mashuhuri Zanzibar haikuwa kazi rahisi kwa familia na watu wanaonizunguka kuamini kama naweza kufanya biashara tena kwa weledi watu wengi wamekuwa na imani potofu juu ya watu wenye ulemavu jambo ambalo linaumiza na kurejesha maendeleo nyuma sasa nimekuwa balozi kwa watu mbalimbali kuaminisha kwamba mlemavu anao ...
Khamisi Ally - Utajiri Ni Kuwa na Nidhamu Ya Fedha
zhlédnutí 63Před měsícem
kwenye biashara nidhamu ya matumizi ya fedha inatakiwa iwe kubwa ili kuepusha biashara kushindwa kukua au kuingia katika wimbi la kufilisika, wafanyabiashara wengi wadogo hawajui namna bora ya kufanya biashara mpya na ikaweza kukuwa kwa haraka na kuleta faida, zipo mbinu mbali mbali za biashara ambazo zikitumika sahihi zinaweza kuleta mafanikio kwenye biashara husika
Kaburi Moja La Posta Lagoma Kuhamishika
zhlédnutí 19KPřed 9 měsíci
katikati mwa jiji la Dar es salaam kuna kaburi moja la ajabu ambalo mpaka sasa watu hawajua kwa uhalisia ni kaburi la nani zaidi ya kuwepo kwa nadharia ni la Sharifu Attas Kaburi hilo liligoma kuhamishika mara baada ya watu kujaribu kulihamisha maeneo ya posta clock tower na kuzua taharuki kwa mashuhuda wa tukio hilo kaburi hilo ni miongoni mwa makaburi yenye historia za kipekee nchi tanzania,s...
Historia ya Kanisa la Anglican Mkunazini
zhlédnutí 1,4KPřed rokem
Historia ya Kanisa la Anglican Mkunazini

Komentáře

  • @user-iw7hl9vs1z
    @user-iw7hl9vs1z Před 2 dny

    Mqambo viherehere sana wacha wanqatwe

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Před 4 dny

    Mwana Habari Jifunze Kazi Sasa Unataka Akwambie Hata Ujamuuliza Anaitwa Nani Na Anajua Vipi Kuusu Ilo Jambo Wewe Unaanza2 Twambie

  • @dottolwinde340
    @dottolwinde340 Před 11 dny

    Yetu macho

  • @luqmanmohammed6661
    @luqmanmohammed6661 Před 12 dny

    ✨ I will always follow onto your foot

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 Před 12 dny

    Bila Shaka uyo mtu alikua mganga was kienyeji izo story za kutungwa tu Kama za yule mama anaedanganya watu analala na nyoka katika mitandao serikali iwachukulie watu hao waongo hatua kali

  • @mikidadiyusufu5666
    @mikidadiyusufu5666 Před 14 dny

    10:31

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa Před 21 dnem

    Mimi mwenyewe nilikua napita sana nilikua sijui mpaka nikaambia na iyo store pia nilipewa na pia nilikua nawaona watoto wa madrasa wakija kudoma Dua

  • @user-ly8cf1fw8q
    @user-ly8cf1fw8q Před 21 dnem

    Mwenyezi Mungu akiamua mtu anae mpenda abaki alipo atabaki alipo hakuna wakumuondoa ila Mola akubali asipo kubali Mtakiona cha mtemakuni Allahu AKBAR Muacheni Alie lala hapo alale hapo ndio mola alipo mtaka alale hadi hatima❤❤❤

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Před 12 dny

      Wewe umejuaje kama Mungu ndiye alifanya hivyo

    • @user-ws8bc1jn7z
      @user-ws8bc1jn7z Před 11 dny

      Nyie wagalatia amna mnachojua dini ni moja tu lslaam

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Před 22 dny

    Yote haifai kuweka utalii wa pesa

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Před 22 dny

    Haifai kuja kuomba unachotaka.ila ni kumuombea aliefariki tu..yasiabudiwe

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Před 19 dny

      Katika Uislam maombi hufanyika kwa njia nne:- 1. Omba kwa Mungu directly. 2. Nenda kwa Mtu unaemdhania ni mwema akuombee. Mitume waliombea watu. 3. Kuomba kwa kutawasuli yaani kuhusisha mazuri uliyofanya au utayoacha 4. Kumuomba Mungu kwa Uchawi, njia hii Mungu yupo karibu zaidi kupokea maombi LAKINI ni HARAM haitakiwi utumie na ataetumia atakuwa mbali na rehema za Mungu. Mungu atuepushie na UCHAWI kufanya na kufanyiwa.

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Před 22 dny

    LIANDIKWE KWA ANAE JUA.NI NANI HUYO NA UTUKUFU WAKE

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Před 22 dny

    Masha Allah sio kila sehemu au pahala la KUCHEZEA

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl Před 22 dny

    Kaburi hilo ni la sayyid Abdul Shakur bin said Al attas huyu ni sharifu nani mwanazuoni mkubwa asili yake ni kutoka hadhramout nchini Yemen Allah swt amrahamu walii huyu pamoja na wanazuoni wote waliotangulia barazakh,

    • @saynabmohammed6263
      @saynabmohammed6263 Před 21 dnem

      Ulijuaje

    • @rukiyamohammed2945
      @rukiyamohammed2945 Před 21 dnem

      Innalillah wainna illah raji'uun, Allah atjaalie mwisho mwema , tuwe watu wema , waumini na wachamungu wema inshaallah

  • @Nassoromohamed-ig7bz
    @Nassoromohamed-ig7bz Před 22 dny

    mwenye kaburi hili jina lake anaitwa abdulshakir said latas hapo palikuwa na makaburi mengi yalihamishwa hili lilishindikana tuseme tunayoyajua tusiyoyajua tuulize

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 Před 22 dny

    HILO NI KABURI LA SHARIF KHATWAS. Hapo kazikwa mjukuu wa Mtume Muhammad (S.A.W) aliyekuwa akiitwa Sharif Khatwas ambaye ndiye aliyekuwa mmiliki wa eneo hilo zama hizo lilipokuwa shamba lake ambalo lilikuwa eneo lote hilo la Stesheni mpaka Posta, maeneo ya Posta alipakana mzee Jumbe Tambaza aliyemiliki kuanzia maeneo ya Ikulu ya Magogoni, Upanga mpaka Muhimbili, na ndiyo maana hata eneo hilo lililopo jirani na hospitali ya Muhimbili linaitwa Tambaza kwa sababu ya huyo mmiliki wake, kizazi cha mzee Tambaza kipo mpaka leo na ni miongoni mwa familia zilizojitoa sana ktk kupigania uhuru wa nchi hii wakishirikiana na Mwalimu Nyerere na wazee wengine wa Dar es Salaam, makaburi ya Tambaza na ule msikiti wa Tambaza pale Upanga ni ya kwao hata shule ya Tambaza imeitwa hivyo kwa heshima ya mzee wao. Baadhi ya maeneo ya Sharifu Khatwasi aliyezikwa kwenye hilo kaburi na maeneo ya Magogoni yalinunuliwa na Sultan Sayyid Majid mtawala wa Zanzibar na eneo kubwa la Afrika Mashariki, alinunua eneo hilo akaasisi jiji hili la Dar es Salaam, akajenga Ikulu ya Magogoni ambayo kwa kipindi hicho ilikuwa ni chuo kikuu kabla ya kubadilishwa matumizi na wavamizi wa koloni la wajerumani, majengo mengine aliyojenga ni pamoja na ikulu yake ndogo iliyokuwa Posta, pia alijenga jengo la hopitali ya Ocean Road ambalo kwa kipindi hicho lilitumika kama hosteli ya wanafunzi wa chuo hicho kilichogeuzwa ikulu na wajerumani. Na hilo sio kaburi pekee eneo hilo la mjini bali yapo makaburi mengine ya wakazi wa eneo hilo ambao ndiyo wenye Dar es Salaam yao, makabari hayo yanapatikana ktk baadhi ya fensi za majengo pale Posta, pia baadhi ya walimu waliokuwa wakifundisha ktk chuo cha magogoni ambacho leo kimekuwa ikulu yetu makaburi yao yapo ndani ya maeneo ya ikulu ya Magogoni na hili la kuwepo kwa makabuli ya walimu hao ndani ya eneo la ikulu hata Ridhiwan Kikwete alishawahi kulizungumzia ktk moja ya hadhara, na pia ili kujua Sharif Khatwasi mwenye kaburi hilo na Mzee Jumbe Tambaza ndiyo waliokuwa wamiliki wa maeneo hayo fatilia mahojiano ya Zuhura Yunus na mmoja wa wajukuu wa mzee Tambaza. Ushauri kwa Baraza kuu la waislam wa Tanzania kupitia Mufti wa Tanzania mliangalie kaburi hilo la Sheikh Sharif Khatwasi kwa kuliboresha na kuliwekea jina lake na historia yake kwa ajili ya vizazi vijavyo, kwani wakati wa uhai wake alifanya mengi makubwa hususan ktk kuzinyoosha nyoyo za wazee wetu na jamii kwa ujumla.

  • @manjoriwakunesa7006
    @manjoriwakunesa7006 Před 24 dny

    Ndani ya ofic ya waziri mkuu magogoni yapo

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Před 25 dny

    Kuna thehebu la wa Hindi hapo wali uziwa hicho kiwanja na mjanja mmoja aliye kuwa Meya wa Jiji walipo gundua wame pigwa katika kulazimisha kiwe halali waka mzika Imamu wao siku ya Jumapili na huyo Meya ambae sasa hivi ni Marehemu ali huzuria mazishi

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 Před 24 dny

      Mbona wengine wanasema hapo kazikwa Sharifu Myemen?Sasa cjui tushike lipi?Ila nimeipenda hii wakome kufukua makaburi ya wenzao

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Před 22 dny

      Rafaeli acha uongo hapo kazikwa mjukuu wa Mtume Muhammad (S.A.W) aliyekuwa akiitwa Sharif Khatwas ambaye ndiye aliyekuwa mmiliki wa eneo hilo zama hizo lilipokuwa shamba lake ambalo lilikuwa eneo lote hilo la Stesheni mpaka Posta, maeneo ya Posta alipakana mzee Jumbe Tambaza aliyemiliki kuanzia maeneo ya Ikulu ya Magogoni, Upanga mpaka Muhimbili, na ndiyo maana hata eneo hilo lililopo jirani na hospitali ya Muhimbili linaitwa Tambaza kwa sababu ya huyo mmiliki wake, kizazi cha mzee Tambaza kipo mpaka leo na ni miongoni mwa familia zilizojitoa sana ktk kupigania uhuru wa nchi hii wakishirikiana na Mwalimu Nyerere na wazee wengine wa Dar es Salaam, makaburi ya Tambaza na ule msikiti wa Tambaza pale Upanga ni ya kwao hata shule ya Tambaza imeitwa hivyo kwa heshima ya mzee wao. Baadhi ya maeneo ya Sharifu Khatwasi aliyezikwa kwenye hilo kaburi na maeneo ya Magogoni yalinunuliwa na Sultan Sayyid Majid mtawala wa Zanzibar na eneo kubwa la Afrika Mashariki, alinunua eneo hilo akaasisi jiji hili la Dar es Salaam, akajenga Ikulu ya Magogoni ambayo kwa kipindi hicho ilikuwa ni chuo kikuu kabla ya kubadilishwa matumizi na wavamizi wa koloni la wajerumani, majengo mengine aliyojenga ni pamoja na ikulu yake ndogo iliyokuwa Posta, pia alijenga jengo la hopitali ya Ocean Road ambalo kwa kipindi hicho lilitumika kama hosteli ya wanafunzi wa chuo hicho kilichogeuzwa ikulu na wajerumani. Na hilo sio kaburi pekee eneo hilo la mjini bali yapo makaburi mengine ya wakazi wa eneo hilo ambao ndiyo wenye Dar es Salaam yao, makabari hayo yanapatikana ktk baadhi ya fensi za majengo pale Posta, pia baadhi ya walimu waliokuwa wakifundisha ktk chuo cha magogoni ambacho leo kimekuwa ikulu yetu makaburi yao yapo ndani ya maeneo ya ikulu ya Magogoni na hili la kuwepo kwa makabuli ya walimu hao ndani ya eneo la ikulu hata Ridhiwan Kikwete alishawahi kulizungumzia ktk moja ya hadhara, na pia ili kujua Sharif Khatwasi mwenye kaburi hilo na Mzee Jumbe Tambaza ndiyo waliokuwa wamiliki wa maeneo hayo fatilia mahojiano ya Zuhura Yunus na mmoja wa wajukuu wa mzee Tambaza.

    • @ismailmshana2828
      @ismailmshana2828 Před 21 dnem

      Hiyo kaburi ikae hapo hapo vizazi na vizazi Karne na Karne atakae jaribu kuivunja Ataona moto na unafiki wao

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 Před 21 dnem

      @@ismailmshana2828 Kabisa

    • @betrandeyakuze808
      @betrandeyakuze808 Před 15 dny

      Allahu-akbar.

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Před 25 dny

    Au hapo chini kuna madini yamefichwa

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l Před 25 dny

    Hapo kuna mapepo

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 Před 18 dny

      Acha ujinga wa kanisani, mapepo mavumbi, upuuzi tu lini mtaji tambua

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme Před 12 dny

      ​@@mohamedsheikh6618 Na ninyi nilini mtaacha kufuga majini wanafiki wakubwa ninyi

  • @Gamba177
    @Gamba177 Před 25 dny

    Al Atas ni Shariff kutoka Yemen

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 Před 25 dny

    Subhanallah Kuomba makaburi ni shirki

    • @froma3732
      @froma3732 Před 23 dny

      Hawaombi kaburi kwa taarifa yako

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 Před 23 dny

      @@froma3732 Nilichokusudia wanamuomba huyo aliopo kaburini, hata akiwa nani itabaki kuwa ni shirki

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Před 22 dny

      Hao wanaenda kumuombea dua na si vinginevyo

    • @zulekhaa6817
      @zulekhaa6817 Před 22 dny

      @@rayisadesigns2646 Lkn wanakiwa watumie njia sahihi, Unatoa salaam n kuwaombea dua waliokaburini kisha unatoka. Hakuna mambo ya vyetezo. Cha kujiuliza mbona makaburi mengjne gawafanyi?

    • @seifseifmohamed7118
      @seifseifmohamed7118 Před 22 dny

      Umelishwa na kuaminishwa maneno na wala ujaulizwa na mada sio shirki au la sasa unaingiza maneno ya shirki yanahusu vip, ulewa ni kinazungumzwa. Wacha pumba na likija suali la hukmu ndio utowe sheria.

  • @NassryMsuya
    @NassryMsuya Před 26 dny

    Broh💪

  • @NassryMsuya
    @NassryMsuya Před 26 dny

    Big up broh🤜🤛

  • @user-rg4wu2tg7x
    @user-rg4wu2tg7x Před 27 dny

    Kama ni kaburi mbona halioneshi kichwa kimeelekea wapi

    • @TabasamuMediaInk
      @TabasamuMediaInk Před 27 dny

      Hayo ni miongoni mwa maajabu yake

    • @froma3732
      @froma3732 Před 23 dny

      Kama wewe ni Mwiilasalamu utajuwa kichwa kipo wapi

    • @user-ky4rb2lg3h
      @user-ky4rb2lg3h Před 22 dny

      Ukijua kibra Iko wapi,basi utajua kichwa kilipo

    • @fatmaahmed8637
      @fatmaahmed8637 Před 22 dny

      Makaburi ya Kiislam kuchwa huelekezwa kibla..na sio kuwa liwe sawa na majumba ya pale ila ni kibla tu

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 Před 18 dny

      Hilo Sio Kaburi Nigari

  • @dhannunimkwama1101
    @dhannunimkwama1101 Před 27 dny

    Okay

  • @sambigaTZA
    @sambigaTZA Před 29 dny

    Big up . Keep it ongoning Brother

  • @user-dr8qn3bd4h
    @user-dr8qn3bd4h Před měsícem

    K wa kufikia malengo

  • @user-dr8qn3bd4h
    @user-dr8qn3bd4h Před měsícem

    Hongera san broh

  • @josephmkunja9808
    @josephmkunja9808 Před měsícem

    Oyaaa shaurii mwenyewe hongera sna hii no yetu sote kubwa sna hii

  • @elbarrey3305
    @elbarrey3305 Před měsícem

    Dr kimwaga himself ww ni mtu wa mana sana 🫡🫡🫡🫡

  • @MamuviEmpire
    @MamuviEmpire Před měsícem

    Hongeren sana . Nmependa hii podcast . Kuanzia idea , host , mgeni , na pia mada ya hapo mezani . Hongeren sana naamini hizi changamoto ndogo z sauti zitatatuka soon

    • @TabasamuMediaInk
      @TabasamuMediaInk Před měsícem

      Shukrani sana, tunaomba uendelee kufatilia hii podcasts kuna mengi mazuri yanakuja 🎙🎧

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Před měsícem

    Uyo freemason tayari washamchukuwa kitambo sana😂😂😂😂😂😂😂

  • @Azizat9
    @Azizat9 Před měsícem

    Proud of him😇 keep it up broh🫡

  • @hajiabdallah3180
    @hajiabdallah3180 Před měsícem

    🔥🔥🔥🔥

  • @drkimwaga9583
    @drkimwaga9583 Před měsícem

    ☄️

  • @naharhaji639
    @naharhaji639 Před měsícem

    Yea sadaqta...muhimu tujitaid kulea watoto wetu vyema maana ndo generations ya baadae

    • @TabasamuMediaInk
      @TabasamuMediaInk Před měsícem

      Ahsante sana kwa maoni yako, tungependa uendelee kutembelea kurasa hii kwa mengi zaidi

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 Před 3 měsíci

    Makarama ya Allah

  • @othmanchande572
    @othmanchande572 Před 8 měsíci

    nakubali chapiizzzx

  • @CholoMbaluku-dv7ie
    @CholoMbaluku-dv7ie Před 8 měsíci

    Pamoja sana chapiiizzzzx

  • @omaryawadhibakalibendella6193

    Nakubali kaka

  • @jumakauli
    @jumakauli Před 8 měsíci

    Sijambo. Hamjambo? HILI ni kaburi la Sharifu (Mtu mwenye karama) mwenye asili ya nchi ya Uajemi (Iran). Marehemu huyu amezikwa hapa katika mwaka 1850+ (Karne ya 19). Jina lake ni ABDUL SATAA SALIM AL ATAS.

    • @TabasamuMediaInk
      @TabasamuMediaInk Před 8 měsíci

      Ahsante sana kwa mchango wako na tunakutakia utazamaji mwema wa chanel hii

    • @Ashreystar8465
      @Ashreystar8465 Před 27 dny

      Ulijuaje km hutudanganyi hapo

    • @user-hs7um1rf8s
      @user-hs7um1rf8s Před 24 dny

      kutoka yemen nasio iran sagaf ni kutoka yemen

    • @user-hs7um1rf8s
      @user-hs7um1rf8s Před 24 dny

      al atas kutoka yemen hadharamut

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 Před 24 dny

      Hii nimeipenda ndio wakome viherehere vya kuvunja makaburi ya wenzao.

  • @user-fm2pw7il4l
    @user-fm2pw7il4l Před 9 měsíci

    Simusema mnaaza mtwala vipi tena mwanza mnamuongopa temboooo😂😂😂😂😂😂😂

    • @TabasamuMediaInk
      @TabasamuMediaInk Před 9 měsíci

      Ahsante kwa maoni Tabasamu Media Ink haifungamani na upande wowote kazi yetu ni kufikisha taarifa tu

  • @kingofs417
    @kingofs417 Před rokem

    Waliuzwa bei gani?

  • @nilarwegasira1933
    @nilarwegasira1933 Před rokem

    Good job, May Allah bless you abundantly

  • @yassirahmed3061
    @yassirahmed3061 Před rokem

    Naomba pia y house of wonder pia

  • @karumehouse720
    @karumehouse720 Před rokem

    Historia nzuri sana