ViwandanaBiashara
ViwandanaBiashara
  • 317
  • 57 460

Video

Mhe.Dkt.Jafo AZITEMBELEA TAASISI NA MASHIRIKA YALIYO CHINI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
zhlédnutí 11Před 14 dny
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Dkt. Selemani Jafo (Mb) atembelea Taasisi na Mashirika yaliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara.
WAZIRI JAFO AWASHUKIA NDC KIMKAKATI ZAIDI
zhlédnutí 402Před 21 dnem
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo ameliagiza Shirika la Taifa Maendeleo (NDC) kuhakikisha miradi yote ya kimkakati na kielelezo ikiwemo mradi wa chuma wa Maganga Matitu unaotarajiwa kuanza hive karibuni.
WAZIRI JAFO AELEZEA FAIDA ZA SERA YA TAIFA YA BIASHARA 2003 TOLEO LA 2023
zhlédnutí 66Před 28 dny
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Selemani Jafo akiongea na waandishi wa Habari juu ya Sera Mpya ya Biashara.
WAZIRI JAFO AKIELEZEA UMUHIMU NA MALENGO YA SERA MPYA YA BIASHARA
zhlédnutí 55Před 28 dny
Waziri Jafo ameelezea umuhimu na malengo ya Sera Mpya ya Biashara 2003 toleo la 2023
MAONESHO YA SABASABA 2024
zhlédnutí 13Před měsícem
Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024 yawanufaisha wananchi.
MAONESHO YA SABASABA 2024
zhlédnutí 23Před měsícem
Sabasaba ya 2024 imekuwa ya kipekee zaidi.
WAZIRI JAFO AWAJIBU WANANCHI WA TUNDUMA
zhlédnutí 106Před měsícem
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo ameelezea Mipango na mikakati ya kutatua changamoto za Wafanyabiashara wa Tunduma.
MAONESHO YA SABASABA YARAHISISHA UTOAJI WA HUDUMA
zhlédnutí 5Před měsícem
Maonesho ya Sabasaba yanavyoendelea kurahisisha huduma ya Biashara
MAADHIMISHO YA KITAIFA YA KUDHIBITI BIDHAA BANDIA DUNIANI
zhlédnutí 16Před měsícem
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe ashiriki maadhimisho ya Kitaifa ya kudhibiti bidhaa bandia duniani.
Balozi.Dkt. John Simbachawene na Ujumbe wa Kamati ya Kitaifa ya uwezeshaji Biashara -Kagera
zhlédnutí 68Před měsícem
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi Dkt. John Simbachawene pamoja na Ujumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Uwezeshaji Biashara wametembelea vita vya Kabanga, Rusumo, Mutukula na Bandari ya Bukoba.
TANZANIA NA MAREKANI ZADHAMIRIA KUKUZA BIASHARA
zhlédnutí 57Před 2 měsíci
TANZANIA NA MAREKANI ZADHAMIRIA KUKUZA BIASHARA
WAFANYABIASHARA WAMESHAURIWA KUWA WAAMINIFU NA WAADILIFU ILI KULINDA IMANI KWA WATEJA
zhlédnutí 96Před 3 měsíci
WAFANYABIASHARA WAMESHAURIWA KUWA WAAMINIFU NA WAADILIFU ILI KULINDA IMANI KWA WATEJA
IDARA ZOTE ZA BIASHARA NCHINI ZIHAKIKISHE ZINATOA TAARIFA ZA UZALISHAJI WA BIDHAA NA MASOKO
zhlédnutí 26Před 3 měsíci
IDARA ZOTE ZA BIASHARA NCHINI ZIHAKIKISHE ZINATOA TAARIFA ZA UZALISHAJI WA BIDHAA NA MASOKO
WIZARA IMEFANIKISHA UPATIKANAJI WA MASOKO YA BIDHAA ZA VIWANDANI, KILIMO NA MIFUGO
zhlédnutí 17Před 3 měsíci
WIZARA IMEFANIKISHA UPATIKANAJI WA MASOKO YA BIDHAA ZA VIWANDANI, KILIMO NA MIFUGO
VIPAUMBELE VYA BAJETI NA MAOMBI YA FEDHA MWAKA 2024/2025
zhlédnutí 73Před 3 měsíci
VIPAUMBELE VYA BAJETI NA MAOMBI YA FEDHA MWAKA 2024/2025
TAZAMA KIWANDA CHA PILI AFRIKA KINACHOZALISHA SARUJI NYEUPE NA CHA KWANZA UKANDA WA JANGWA LA SAHARA
zhlédnutí 258Před 3 měsíci
TAZAMA KIWANDA CHA PILI AFRIKA KINACHOZALISHA SARUJI NYEUPE NA CHA KWANZA UKANDA WA JANGWA LA SAHARA
NAIBU WAZIRI AHUDHURIA KONGAMANO LA BARAZA LA WAFANYABIASHARA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI...
zhlédnutí 26Před 3 měsíci
NAIBU WAZIRI AHUDHURIA KONGAMANO LA BARAZA LA WAFANYABIASHARA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI...
Bidhaa bandia kuendelea kudhibitiwa
zhlédnutí 41Před 3 měsíci
Bidhaa bandia kuendelea kudhibitiwa
Mfumo wa pamoja wa ukusanyaji tozo kuanzishwa ili kurahisisha ufanyaji biashara
zhlédnutí 97Před 3 měsíci
Mfumo wa pamoja wa ukusanyaji tozo kuanzishwa ili kurahisisha ufanyaji biashara
WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO KUJADILI FURSA NA CHANGAMOTO..
zhlédnutí 1,2KPřed 3 měsíci
WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO KUJADILI FURSA NA CHANGAMOTO..
Tanzania inao uwezo wa kuzalisha nondo na mabati yenye ubora kwa soko la ndani na nje
zhlédnutí 206Před 7 měsíci
Tanzania inao uwezo wa kuzalisha nondo na mabati yenye ubora kwa soko la ndani na nje
Tanzania inaenda sambamba na mapinduzi ya nne maendeleo ya viwanda
zhlédnutí 52Před 7 měsíci
Tanzania inaenda sambamba na mapinduzi ya nne maendeleo ya viwanda
KIJAJI:WAMILIKI WA VIWANDA ENDELEENI KUFURAHIA MAZINGIRA BORA YA UFANYAJI BIASHARA NDANI YA TAIFA
zhlédnutí 67Před 8 měsíci
KIJAJI:WAMILIKI WA VIWANDA ENDELEENI KUFURAHIA MAZINGIRA BORA YA UFANYAJI BIASHARA NDANI YA TAIFA
Wananchi wa Kyela watakiwa kulima kilimo cha kakao kibiashara
zhlédnutí 171Před 8 měsíci
Wananchi wa Kyela watakiwa kulima kilimo cha kakao kibiashara
WAZIRI KIJAJI: SERIKALI INAWEKA MAZINGIRA BORA KWA WAZALISHAJI VIWANDANI - PMAYA 17/12/2023
zhlédnutí 23Před 8 měsíci
WAZIRI KIJAJI: SERIKALI INAWEKA MAZINGIRA BORA KWA WAZALISHAJI VIWANDANI - PMAYA 17/12/2023
LENGO LA SERIKALI NI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA VIWANDA NA WAFANYA BIASHARA
zhlédnutí 39Před 8 měsíci
LENGO LA SERIKALI NI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA VIWANDA NA WAFANYA BIASHARA
Vijana watakiwa kuchangamkia ajira katika iwanda kipya cha kuunganisha magari
zhlédnutí 342Před 8 měsíci
Vijana watakiwa kuchangamkia ajira katika iwanda kipya cha kuunganisha magari
Tanzania Mwenyeji wa Kongamano la Pili la AfCFTA la Wanawake katika Biashara
zhlédnutí 24Před 8 měsíci
Tanzania Mwenyeji wa Kongamano la Pili la AfCFTA la Wanawake katika Biashara
Wazalishaji wa Saruji watakiwa kuongeza uzalishaji wa Saruji yenye ubora kwa wingi
zhlédnutí 41Před 8 měsíci
Wazalishaji wa Saruji watakiwa kuongeza uzalishaji wa Saruji yenye ubora kwa wingi

Komentáře

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Před 20 dny

    Hilo ni wazo zuri kwani watu watajufunza mbinu za biashara hakika zamani kulikuwa na wafanya biashara wa kihindi tu yani biashara kubwa leo wabongo wote wanafanya biashara kubwa lazima watu wajifunze kwa wengine

  • @maggie658
    @maggie658 Před 27 dny

    Hongereni sana

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt Před měsícem

    Oooh allah jaalia amani na ulinzi na usiri wa hali ua juu kwa waumini😅

  • @rehemaothuman3764
    @rehemaothuman3764 Před měsícem

    🎉❤

  • @user-pk3lr3ny5j
    @user-pk3lr3ny5j Před měsícem

    mko wapi

  • @rubenlengai7195
    @rubenlengai7195 Před 2 měsíci

    Jina la kiwanda linatisha ikiwezeka wabadilishe jina

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Před 3 měsíci

    Machinga tatizo majiko matilie ovyo kabisa nchi inaendeshwa na sela sela zitu ni tatu wakulima wafanyakazi wafanya biashara Siya machinga machinga ni sela ipi

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b Před 3 měsíci

    Wanaopanda biashara barabarani kaliakoo watoke machinga watafutiwe pakwenda

  • @abdonrichard3055
    @abdonrichard3055 Před 3 měsíci

    Serikali yetu nia yake ni njema kabisa katika kukuza maendeleo ya biashara, viwanda na uwekezaji ndani ya nchi. Lakini ikumbukwe mji haujengwi na wazawa tyu. Lazima turuhusu lakini uku tukiangalie namna nzuri ya kunufaika na huu mwingiliano wa watu kutoka nje katika nyanja hii ya biashara, viwanda na uwekezaji.

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 Před 3 měsíci

    Usumbufu mkubwa hamkuugusa ni kero ya tra kukamata kusumbua mitaani na kutaka rushwaaaaa

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 Před 3 měsíci

    Wizara isaidie wafanyabiashara kunyanyaswa na tra na police hasa kariakoo ni kero na rushwa hurrasment Kwa wadau wake

  • @user-bu5ob9ok1r
    @user-bu5ob9ok1r Před 6 měsíci

    Asante sana

  • @user-bu5ob9ok1r
    @user-bu5ob9ok1r Před 6 měsíci

    Asante sana mama

  • @issajuma8791
    @issajuma8791 Před 10 měsíci

    Naam Mazingira Rafiki kwa Wafanya Biashara Kazi Kazi Mhe. Waziri Sis Tunakuelewa

  • @mkayamkaya9257
    @mkayamkaya9257 Před rokem

    czcams.com/video/JvuWgeCwbbA/video.html

  • @cornelmassawe856
    @cornelmassawe856 Před rokem

    Mimi ni mfanya biashara wa kariakoo Hili suala la wawekezaji kuondoka ni kweli. Na Wala tusiunde tume Tafadhali wafanyabiashara tupo tyari kuwaambia tunayo pitia, changamoto zimekuwa nyingi sana 1. Kamata kamata ya TRA Hii ndio kero namba Moja unakuta mteja katoka nchi jirani kanunua mzigo mkubwa alafu anakamatwa eti kwamba risiti hazijitoshelezi wanawapeleka kwenye vituo vya polisi wanawapiga fine ya 3-6M Nimepoteza potential customers Tunapoteza mitaji Tunauza bidhaa zetu kwa Bei ya hasara maana mizigo tuliyo nayo inakuwa outdated, bidhaa nyingine Zina expire Ukweli ni kwamba serikali haiwezi kutanuaa wigo wa kukusanya Kodi kwa kukamata na kusumbua wafanyabiashara haswa wateja. Mkitaka kujua angalieni mzunguko wa biashara kabla na baada ya kuanzishwa hii operation ya kukamata watu. Biashara inakufa mnajitahidi kututangaza huko nje na kuhamasisha wageni waje kuwekeza Ila Sheria zenu na strategies Zina warudisha nyuma sana. Mnawaza kuchukua Hela za wafanyabiashara na mnasahau kwamba mnatakiwa kuwa Linda Ili kesho na kesho kutwa mpate Kodi nzuri. Ushauri wangu ni mmoja tuu. Acheni kukamata wateja. Mizigo inavo ingia bandarini inalipiwa Kodi zote. Watu wenye maduka pia Wana makadirio walio fanyiwa wanalipa Kodi. Angalieni mizigo ikisha ingia sokoni acheni wafanyabiashara waenjoy acheni tufanye kazi. Tunahangaika kutafuta wateja tunawapata alafu nyie mnakuja kuwakera. Mf. Mmewahi sikia mzigo wa mtanzania umekamatwa china??

  • @eliasmollel8017
    @eliasmollel8017 Před rokem

    Yes we can, Wizara ya Uwekezaji hoyee.

  • @mehboobkarmali5211
    @mehboobkarmali5211 Před rokem

    Well done

  • @hidayabomani401
    @hidayabomani401 Před rokem

    Napenda Kukupa Hongera Waziri ila tuna changa Moto Kubwa Huku Kwetu Kurasini Mivinjeni Kinajengwa Viwanda Na Bado Kuna Makazi ya Watu Je Waziri Mnatutendea Haki Wakazi Wa Mivinjeni Tunakuomba Waziri Kutembelea Uje Uone Mazingira Yalivyo Tunakuomba Sana Wakazi Wa Mivinjeni

  • @hidayabomani401
    @hidayabomani401 Před rokem

    Nakuomba Waziri waweke Wazi Wawekezaji wa Kurasini Mivinjeni Wanakosa ushirikiano na Watendaji tupo Hatarini Matank ya Mafuta tunayo jirani sana ni Hatari sana Mfikishie Taarifa Hizi Rais Wetu Mpendwa Mama Yetu Mama Zakia Suluhu Vikwanzo ni vingi Sana Hapa Kurasini Mivinjeni

  • @adelickinyasi8972
    @adelickinyasi8972 Před rokem

    Ongera sana Tanzania juu juu sana

  • @sakinachamshama1398

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @charlesishara7083
    @charlesishara7083 Před rokem

    Hongera kwa hatua nzuri wizara ya UWEKEZAJI viwanda na biashara

  • @guzomc255
    @guzomc255 Před 2 lety

    Ninachokipenda mimi na watanzania walio wengi ni kuona serikali yetu au watanzania wenzetu kuwekeza katka secta ya viwanda na sio kusikia watu wa nje kuja kuwekeza kwa sababu walio wengi huja kutunyonya na si kingine wanakuja na zaidi ya malengo serikali yetu inabidi kuwa makini sana na hili tunao umia ni sisi wananchi..

  • @guzomc255
    @guzomc255 Před 2 lety

    Mashine zina umuhimu mkubwa sana kwa taifa letu ningeshauri serikali iweke mkazo katika maswala haya na ningependa kuona wamiliki wawe ni watanzania ama serikali yetu . upande wa bei ya mashine hizi kwetu sio rafiki Ila natamani kuona watanzania wakimiliki na kuzifanyia kazi ipasavyo ninaimani tutajiweka katika nafasi nzuri na kupunguza gharama .. Yote kwa yote Hongereni sana Hivi ndo vitu tunavyotaka kuviona katika nchi yetu ila inabidi mtengeneze mazingira kwetu vijana pwent yangu kubwa nalenga kwetu watanzania tuwe ndo wamiliki

  • @EngBaravugaTV
    @EngBaravugaTV Před 2 lety

    Hongera sana kwa kipindi hicho cha Uwekezaji. Asante kwa ujumbe, nimependa maelezo ya Business Clinic

  • @romastasenterprises4447

    Hongera sana Mh waziri. Jambo muhimu hapo ni kuhakikisha kipuri kitakachozalishwa na kmtc kiwe na ubora sawa kabisa na kama kingeagizwa nje ya nchi. Hicho ni kiwanda kikubwa kabisa huko china kuna wazalishaji wadogo ukiangalia mpaka unashangaa na wanazalisha bidhaa safi. Big up

  • @hassanalihassan5073
    @hassanalihassan5073 Před 2 lety

    tunawapaje hawa watu tunaombeni namba zao.

  • @yahayaallytv2852
    @yahayaallytv2852 Před 2 lety

    Vitu kama HIV ndo vinatakiwa kua n taarifa ya habar Kila siku

  • @abdulchacha7279
    @abdulchacha7279 Před 2 lety

    Well organized.

  • @hassanmustapha6980
    @hassanmustapha6980 Před 2 lety

    Umependeza kiongoz 💕 You deserve

  • @davidluangisa4515
    @davidluangisa4515 Před 2 lety

    kazi iendelee...izo industrial parks are gonna take us into an upper middle income status...Mama anaupiga mwingi..m

  • @MuslimSingagae
    @MuslimSingagae Před 2 lety

    Mnaupiga mwingi kwa kweli, Kazi iendelee

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Před 2 lety

    Kama tusipoangalia wakoloni wetu watarudi kama Wawekezaji. Hapa tunadanganywa kama dili ya Kigamboni. Nchi haina hata umeme wa kutosha. Wizi kila kona, sheria hazifuwatwi, ufisadi na rushwa kwenye viongozi. Tunauzwa muchana kweupe. Hata muchina kaisha fundishwa kuimba serikari awamu ya sita. Mama Ana kiu ya sifa. Bila kupigana na ufisadi ni watu wachache tu watajirika kwa jasho la wengi.

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Před 2 lety

    Uwekeni mukataba huwo wazi Watanzania wauone. Kuna uwekezaji wa Kigamboni uliughalimu Watanzania fedha nyingi na ukafa. Mpaka tuone kwa macho yetu.

  • @benjaminjoseph1747
    @benjaminjoseph1747 Před 2 lety

    Hii mikataba hii tutakukaja kulia. We ngoja tu. Wachiinaaaa we ngoja madhara yakija tokea itakuwa too late, too late.

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 Před 2 lety

    Nina imani binge litahusika kujadili na kuafiki mikataba hii! Hatukatai maendeleo; tunakataa upigaji na ubabaishaji na hatimaye kuangamiza nchi na watu wake

  • @mawazoselemani614
    @mawazoselemani614 Před 2 lety

    wapi hapo tena,,mji gani

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Před 2 lety

    habari nzuri viwanda ndiyo mpango wa kupatia ajira vijana

  • @aganolamotoeliya2027
    @aganolamotoeliya2027 Před 2 lety

    Muwe makini mnapofanya mikataba na hawa watu msije mkauza nchi.

  • @diwanikatayaipande5704

    🔥🔥🔥🔥

  • @ngwanafabian4612
    @ngwanafabian4612 Před 2 lety

    Mikataba hewa inachosha sana ni afadhali mkishakamilisha miradi ndipo mzungumze

  • @kipigapasilisungu2581

    .

  • @hasaabdi7199
    @hasaabdi7199 Před 2 lety

    Hongera waziri kazi iendelee

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 Před 2 lety

    Umeme unakatika Mara kwa Mara kwanini wakati wa Magu haikuwa hivyo? siwaelewi hawa wanasiasa wa nyakati hizi waziri wa nishati ni nani?

  • @j.c.maxima816
    @j.c.maxima816 Před 2 lety

    Hongera Waziri wetu ! Kwa nini sehemu ndogo ya hotuba yako isiwe kwa Kiingereza ili Wawekezaji wakuelewe vizuri ?! Pia ni alama ya heshima kwao! Inaonyesha kuwa unawathamini!

  • @mohamedasaid7910
    @mohamedasaid7910 Před 2 lety

    Kijaji anaweza kuwa Rais Allah akamjaalie.Mama makini sana.

  • @kutokaughaibuni
    @kutokaughaibuni Před 2 lety

    5:47 all this video suppose to have subtitles

  • @ahmedibrahim2127
    @ahmedibrahim2127 Před 2 lety

    Ahsanten sana viongoz wetu kwa jithada zenu ALLAH(S.W) awape nguvu zaid ili ajira zipatkane...