May Online Tv
May Online Tv
  • 54
  • 63 494
MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA AJINYONGA NEWALA
Mwanafunzi wa darasa la Saba katika shule ya msingi Nachitulo halmashauri ya mji Newala Halima Shaban ,(12) amefariki dunia baada ya kujinyonga akiwa chumbani kwake mtaa wa Nangwala wilayani Newala Mkoani Mtwara
Akithibitisha kupokea mwili wa mtoto huyo June 2, 2024 mganga mfawidhi hospitali ya mji Newala Dr kideyi Mzelela amesema walipokea mwili wa mtoto huyo majira ya mchana na walipompima walibaini kuwepo kwa alama ya mchubuko wa mfereji shingoni na kuthibitisha kuwa kifo chake kimetokana na ubongo kukosa hewa kutokana na mgandamizo shingoni hivyo mwili wa marehemu umehifadhiwa mochwari kusubiri taratibu za familia
Baba mlezi wa mtoto huyo Khalifa Halbea Chakupewa amesema siku ya tukio binti yake aliingia chumbani na kutekeleza jambo Hilo baada ya baba huyo kumpa maelekezo ya kutoa vyombo vilivyotumika kulia chakula Huku wao wakidhani amekwenda kulala na kuongeza kuwa wamegundua kifo chake baada ya siku ya pili kugonga mlango wa chumba chake bila mafanikio
Kwa upande wake mama mzazi wa mtoto huyo amesema mtoto wake alikuwa ni mtu wa hasira za mara kwa mara na kwamba aliwahi kutamka kuhusu kujinyonga wakati wa uhai wake
Aidha kwa upande wa majirani wa familia hiyo wameeleza namna wanavyomfahamu na tukio Hilo lilivotokea
Kamanda wa polisi Mkoani Mtwara Issa Suleiman amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa wanaendelea na uchunguzi huku akieleza taarifa za awali zinasema ni kutokana na Mtoto huyo kukemewa.
Endelea kufuatilia channel yetu kwa taarifa zaidi ,
Pia usisahau ku - subscribe CZcams channel yetu #mayonlinetv
zhlédnutí: 2 021

Video

MKOA WA MTWARA WAKAMILISHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024
zhlédnutí 122Před 21 dnem
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal Patrick Sawala leo June 08, 2024 amekabidhi mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanal Ahamed Abasi baada ya kukamilisha kuukimbiza mwenge huo katika Halmashauri zote za Mkoa wa Mtwara Akizungumza wakati akiwa katika eneo la makabidhiano Kijiji cha Sauti moja wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma Kanal Sawala amesema mwenge ukiwa Mkoani Mtwara umekimbizwa katika umba...
MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MUUNGANO YAMEKAMILIKA" WAZIRI MHAGAMA
zhlédnutí 25Před 2 měsíci
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe.Jenista Mhagama, amesema kuwa maandalizi ya sharehe za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinazotarajiwa kufanyika Aprili 26,2024 yamekamilika. Mhe.Jenista Mhagama amesema hayo leo Aprili 25,2024 Jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukagua maandalizi uwanja ...
UENDESHAJI WA BAISKELI WATAJWA KUWA MCHEZO USIO ATHIRI HALI YA HEWA.
zhlédnutí 105Před 2 měsíci
katika kuazimisha siku ya michezo duniani shirika la SDA limeangazia namna ambavyo hali ya hewa inavyo asili ushiriki wa wanamichezo hasa katika Kipindi cha mvua nyingi na jua Kali
SKAUTI NEWALA WAJIPANGA KUVUNJA REKODI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2024
zhlédnutí 243Před 2 měsíci
Katika Kuelekea kuupokea mwenge wa uhuru 2024 Chama cha skauti Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara wameahidi kufanya vizuri katika mapokezi hayo. @mayonlinetv imetembelea katika viwanja vya shule ya sekondari ya kutwa Newala Halmashauri ya mji Newala yanako fanyika Mazoezi hayo na kuzungumza na kamishna wa skauti wilaya ya Newala Mwalimu Richard James ambapo amesema wanafanya Mazoezi ya Nguvu na wam...
MHE. MTANDA AGAWA UNIFORM NA VIFAA VYA SHULE KWA WANAFUNZI WENYE MAZINGIRA MAGUMU
zhlédnutí 124Před 3 měsíci
Mbunge wa Jimbo la Newala Vijijini Mhe. Maimuna Mtanda ametoa vifaa vya shule na sare kwa wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza kutoka kata tofauti za sekondari katika jimbo hilo. Hafla hiyo imefanyika leo march 30, 2024 katika shule ya sekondari ya kutwa lengo kata ya Mchemo ambapo amewapatia jumla ya wanafunzi 70 sare za shule na daftari ili wahudhurie shuleni vizuri kwa furaha kama wenz...
TAZAMA VIBE LA KWAYA YA MT. FRANSISCO JUMAPILI YA PASAKA
zhlédnutí 97Před 3 měsíci
Wanakwaya ya Mt. Fransisco Kutoka parokia ya Mt. Joseph Newala Mkoani Mtwara wakiimba kwa furaha baada ya kukamilika kwa ibada ya sikukuu ya pasaka leo March 31, 2024.
SDA YATOA MAFUNZO YA SHERIA YA MPIRA WA PETE ( NETBALL) NEWALA MJI
zhlédnutí 426Před 3 měsíci
Shirika lisilo la kiserikali la Sports Development Aid (SDA) March 23, 2024 limeendesha mafunzo ya mchezo wa mpira wa Pete (Netball) kwa wanafunzi, walimu, na viongozi wa serikali kutoka katika kata tano za Halmashauri ya mji Newala zilizopo Kwenye Mradi ili kuwajengea wanafunzi uwezo wa kuzitambua Sheria za mchezo huo ili wajiamini na kupelekea kufanya vizuri kwenye masomo yao. Akizungumza kat...
WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MPANGO WA MATUMIZI YA ARDHI WILANI RUANGWA
zhlédnutí 95Před 3 měsíci
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa leo Machi 22, 2024 amaezindua ripoti ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi ya Vijiji Wilaya ya Ruangwa mkoni Lindi na kutoa vyeti 18 vya ardhi ya kijiji. Waziri Mkuu amefanya uzinduzi huo katika Mkutano wa wadau wa kujadili utekelezaji mradi wa uboreshaji usalama wa milki za ardhi, uliohusisha wadau wa masuala ya ardhi kutoka maeneo mb...
NEWALA DAY YAFANYA VIZURI MATOKEO KIDATO CHA NNE 2023
zhlédnutí 41Před 5 měsíci
Shule ya sekondari ya kutwa Newala Halmashauri ya mji Newala Mkoani Mtwara, imefanya vizuri kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2023 ambapo watoto Nane wamepata daraja la kwanza, daraja la pili watoto 30 , daraja la tatu watoto 39 , daraja la nne na 125 na zero nane pekee Akizungumza na MayOnlineTv Mkuu wa shule hiyo Mwalimu brayton Limbe ameshukuru kwa matokea hayo huku akisema l...
Wanafunzi wajitokeza kwa wingi Karume
zhlédnutí 38Před 5 měsíci
Baada ya likizo ndefu ya mwezi wa 12 Idadi kubwa ya wanafunzi katika shule ya msingi karume Halmashauri ya wilaya ya Newala Mkoani Mtwara wameripoti shuleni ambapo kila darasa linaupungufu usiozidi watoto watatu hadi wanne.
UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI MUUNGANO
zhlédnutí 51Před 5 měsíci
Halmashauri ya wilaya ya Newala inatekeleza Ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Muungano katika kijiji cha Nanda ili kuwapunguzia umbali watoto wanaoisha katika maeneo hayo akisoma taarifa kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara afisa Elimu sekondari Halmashauri ya wilaya Newala Mwalimu Friday Sondasi amesmea ujenzi huo upo katika hatua ya umaliziaji kwa upandewake Mkuu wa mkoa wa Mtwara kanali Ahmed Abasi...
KITUO CHA POLISI KIUTA KUKAMILIKA JANUARY 02, 2024.
zhlédnutí 123Před 6 měsíci
Mbunge wa jimbo la Newala mjini Mhe George Huruma Mkuchika na waziri wa nchi ofisi ya Rais kazi maalum amelidhishwa na hatua iliyofikia ujenzi wa kituo cha polisi Kiuta tarafa ya mkunya Halmashauri ya mji Newala Mhe Mkuchika ameyasema hayo Dec 30, 2023 mara baada ya kufika kituoni hapo na kujionea mwenendo wa mradi huo ukiwa umefikia hatua ya ukamilishaji Awali akisoma taarifa ya mradi huo mkuu...
MHE. DUDU AKABIDHI VIFAA VYA KUJIFUNGULIA KATA YA JULIA
zhlédnutí 31Před 6 měsíci
Diwani wa kata ya Julia Halmashauri ya mji Newala Mkoani Mtwara Mhe. Abdul Hakika Katani (DUDU) Kupitia kikao cha Halmashauri kuu kata ya Julia kilichofanyika Alhamisi Dec 28, 2023 baada ya uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kuanzia mwaka 2020 na kupokelewa na wajumbe Mhe Dudu amekabidhi vifaa vinavyotumika wakati wa kujifungua, Hati ya kiwanja kwaajili ya ujenzi wa o...
WACHUKUZI NEWALA WAKABIDHI MSAADA KWA AJILI YA WAHITAJI
zhlédnutí 36Před 6 měsíci
Umoja wa wachukuzi wilaya ya Newala wanaofanya kazi katika maghala ya korosho ya TANECU Newala mjini leo Dec 22 wamekabidhi Sabuni ya unga viloba sita , Tshirt 19 za chama chao , Taulo za kike box 15 na Sabuni za mche box sita kwa mkuu wa wilaya ya Newala ili azikabidhi kwa wahitaji Akizungumza wakati akikabidhi vifaa hivyo katibu wa umoja huo Kasimu Nandule amesema lengo la kukabidhi vifaa hiv...
CHANGAMOTO YA UMEME NEWALA INAVYOATHIRI WAFANYABIASHARA
zhlédnutí 21Před 7 měsíci
CHANGAMOTO YA UMEME NEWALA INAVYOATHIRI WAFANYABIASHARA
Baraka ya Newala - Dar es salaam yapata ajali 14 wafariki
zhlédnutí 704Před 7 měsíci
Baraka ya Newala - Dar es salaam yapata ajali 14 wafariki
Vibe la Wahitimu kidato cha nne ushirika sekondari
zhlédnutí 39Před 7 měsíci
Vibe la Wahitimu kidato cha nne ushirika sekondari
Usilolijua kuhusu Nyangumi
zhlédnutí 29KPřed 7 měsíci
Usilolijua kuhusu Nyangumi
MTOTO WA MIEZI SABA AULIWA KWA KUZAMISHWA KWENYE NDOO YA MAJI
zhlédnutí 69Před 7 měsíci
MTOTO WA MIEZI SABA AULIWA KWA KUZAMISHWA KWENYE NDOO YA MAJI
JUKWAA LA HABARI NA MAWASILIANO LAZINDULIWA MTWARA
zhlédnutí 35Před 7 měsíci
JUKWAA LA HABARI NA MAWASILIANO LAZINDULIWA MTWARA
MUENDELEZO ALIPO MTUHUMIWA ALIYEMKATA KOROMEO MTOTO NEWALA
zhlédnutí 1,7KPřed 7 měsíci
MUENDELEZO ALIPO MTUHUMIWA ALIYEMKATA KOROMEO MTOTO NEWALA
MWENYEKITI WA MTAA AUSISHA TUKIO LA MTOTO NA KUPOTEA KWA MTU KATIKA MTAA HUO HUO
zhlédnutí 2,2KPřed 7 měsíci
MWENYEKITI WA MTAA AUSISHA TUKIO LA MTOTO NA KUPOTEA KWA MTU KATIKA MTAA HUO HUO
MAJIRANI WAELEZEA TUKIO LA MTOTO KUKATWA KOROMEO
zhlédnutí 20KPřed 7 měsíci
MAJIRANI WAELEZEA TUKIO LA MTOTO KUKATWA KOROMEO
MTOTO AKATWA KOROMEO NEWALA
zhlédnutí 2,1KPřed 7 měsíci
MTOTO AKATWA KOROMEO NEWALA
NEWALA KUCHELE, WANANCHI WASEMA CCM IMEWALIPA
zhlédnutí 106Před 8 měsíci
NEWALA KUCHELE, WANANCHI WASEMA CCM IMEWALIPA
COMRED MUDDY RAY AWAPATIA VITI VYA KISASA NA MEZA WALIMU WOTE MTANGALANGA SEKONDARI
zhlédnutí 112Před 8 měsíci
COMRED MUDDY RAY AWAPATIA VITI VYA KISASA NA MEZA WALIMU WOTE MTANGALANGA SEKONDARI
TAZAMA RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA NZEGA
zhlédnutí 204Před 8 měsíci
TAZAMA RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA NZEGA
MTOTO MWENYE ULEMAVU WA MIGUU NA NDOTO YA KUWA RAIS APATIWA WHEEL CHAIR.
zhlédnutí 471Před 8 měsíci
MTOTO MWENYE ULEMAVU WA MIGUU NA NDOTO YA KUWA RAIS APATIWA WHEEL CHAIR.
WALIOSOMA NEWALA DAY WAOMBWA KUCHANGIA UJENZI WA BWENI
zhlédnutí 137Před 8 měsíci
WALIOSOMA NEWALA DAY WAOMBWA KUCHANGIA UJENZI WA BWENI

Komentáře