Patrick na Rehema - song by Confuser Jay
Vložit
- čas přidán 4. 03. 2022
- #bango
Msabaha
siku ya kuhaswa Pendo na Patrick
wakicheza nyimbo ya Patrick na Rehema yake Confuser Jay
Blessed Melodies Band
#zegede
Bango music song
Traditional wedding
Masha Video Production
For booking or Support
0740547412
Good song
Kazi safi confuser jay
Pendooooo somo yangu aaaaa haswa Dede,unakipaji dadangu confuser j,Mungu aibariki kazi yako kipenzi.💃💃💃
🔥, haswaaaan
Kazi safi, pongezi sana.
Melody iko cute
Be blessed our sisters nice songs.👏👏
Mungu awabariki jamani wasichana wanaimba vizuri sauti zilizoundwa zikapanginga.. I like this.. Nikipata wa harusi nitawaita tufurahi pamoja
Mungu akubarik na kipaji chako dada
Great talent mezee, wimbo fit kbx
Pia mm ni mmwamweni Kaloleni.. Kwademu. Masha ni baba.. I love. you baba..
Wah thank you 🥰
Wah thank you 🥰
Wimbo mzurisaaana! Ila lugha ya pili yatuchanganya. Je, kunatafsiri kwa kiswahili pekee?
Ikiwako, basi iposti mtandaoni, happy tujiinge na tovuti yako. Ubarikiwe na Bwana.
Asante, ni msanii mwenyewe aliimba kwa lugha hio kwa sababu aliimbia Wagiriama lakini kuna nyengine za kiswahili na tutajitahidi kueka tafsiri/ lyrics chini ya video
Safi sana
Wow beautiful song and wedding ❤❤
Thanks, then subscribe
Hongera dada rehema
🔥
Sn
❤
Mimi nawaitajia Tanzania kwenye arusi ya mwanangu nawapataje mimi nimdigo
Unahitaji msanii, mapambo au videographers?
I love so much this song 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Muombaji namtaka aitwa nani
Confuser J
❤❤❤🎉 nataka hii nyimbo
Search kwa mdundo Rehema na Patrick
Pendeza
Bevinafahaaaa
Mmmh Rehema?!!!,Not pendo anyway congratulations 🎉👏💐
Hamaani huyu mweye anaolewa anamaanisha huyo mweye yuaimba mweyewe
Mdundo, una ni maliza huku.
Cheza kabisa
@@samuelmasha1739 wwe masha, huenda ikawa ni wa kwetu. Mm pia ni wa masha kutoka majaoni, kwa kenga masha.
@@samuelmasha1739 sawa kabisa. Inapiga kwa ngapi hio. Nmependa sana.
Hahaa kuja WhatsApp tujuane 0740547412
Eeh hiyo bandi iko juu and the soloist waaaa supa