ALI KAMWE AFUNGUKA MIPANGO ILIVYOSUKWA KUWA MSEMAJI WA YANGA SC/WALIMFUATA MAMA YANGU MOSHI.

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 28. 09. 2022

Komentáře • 8

  • @kamuchidyblez2136
    @kamuchidyblez2136 Před rokem +4

    Alikamwe mtu makin Sana aiseee nilitaman aje Simba lakn ,,,,bas tu all the,, best mwamba

  • @kgmparalegalmedia9194
    @kgmparalegalmedia9194 Před rokem +3

    All the best

  • @sharlynshabani6815
    @sharlynshabani6815 Před rokem +1

    Braza makin sana nakupenda bure tu....unayo akili

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Před rokem +2

    Ulisema Bumbuli kaachwe hujakosea kwa vile kulikuwa na Nafasi ya kumuongezea Muda na Haikuwa!

  • @yusuphsammysammy7424
    @yusuphsammysammy7424 Před rokem +2

    kiukwel kwa sasa yanga wamekuwa sana

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 Před rokem +2

    Kama angepata nafasi asome nampa ushauri binadamu tunakuwaga smart sana tunapopita ktk maisha duni lakini pia binadamu tunabadilishwaga kiasi kikubwa sana na mafanikio kama maelezo hayaeleweki asome Kumbukumbu la Torati 8:12-16 ushauri wng kwake kile alichonacho ally kisipotee kwa presure ya mazingira.