Nawakubali sana Weusi. Pia hongera SnS kwa Studio kali, muonekano na sound imeongezeka quality. Nasubiria kwa hamu uchambuzi wa GPS katika Studio mpya Inshallah
bonge moja la interview joh mtulivu sana Gnako anajitahidi sana kutoa darasa haswa miwishoni hapo Lord eyes mniga hip hop kabisaa yupo very free yani, i know hao wawili walidoubt kuhusu dizasta mark this najua dizasta atawaonyesha kitu swala la muda tu ataruka nao tuuuu atawaambia kwa vitendo
Sky , umeshacheck Album ya rema ? Album ya Rema imebuma 😂 , ndani ya ma 10 Akuna ata song Moja imefikisha 60K , streaming Iko very slow 😂😂😂😂. Yeye na Harmo ni Sawasawa tu😂😂😂😂😂
Basi 😂😂😂 tufanye Jz aimbe piano au did au Rick Ross afu hip hop sio mziki WA watz , wabongo nyimbo zetu tunazijua basi nawachina wachane au wahindi wachane😂😂😂 Nikitu ambacho hakiwezakani
joh makini aliwahi kumtosa diamond platnumz collabo katika enzi anajitafuta,, lkn pia alipopata nafasi ya kwenda mjini aliwahi kusema moja kati ya imterviews zake b4 so nahisi hy joh hakuichukulia positive ndiomana anapongolewa diamond akiwepo joh basi mrejesho wa joh unakua sio nyoofu
Sns rotation yako ya kuuliza watu maswali sio fair.How come Gnako unamwuliza mara 2 Joh mara mbili hukumuuliza Lord eyes. Hata watoto hujamuuliza lordeyes kuhusu watoto. Next time jiboreshe kwa hilo
WEUSI = Pure Talents + Love + Discipline
G nako huyu atabaki kuwa juu sana, sikudhani kama anamsikiliza ata NASH MC! One love walawala 🎉🎉
Sio "wala wala" ni "wara wara" kangkara finest wa R
Labda kama umemjua G Nako baada Ya weusi Na Sio Nako 2 Nako.
hata wanavozungumza ni kama familia 💪
Love+ respect+ desclipine= weusi family
Oya bro nakubali kazi yako,🔥🔥🔥🔥
Napenda G anavyokuwa Flexible kuwaongelea wasanii wengine.
Studio ya kimataifa. Hongera Sky👏
Nawakubali sana Weusi. Pia hongera SnS kwa Studio kali, muonekano na sound imeongezeka quality. Nasubiria kwa hamu uchambuzi wa GPS katika Studio mpya Inshallah
SnS bonge moja ya studio HONGERENI SANA 🔥🔥❣️
bonge moja la interview joh mtulivu sana Gnako anajitahidi sana kutoa darasa haswa miwishoni hapo Lord eyes mniga hip hop kabisaa yupo very free yani, i know hao wawili walidoubt kuhusu dizasta mark this najua dizasta atawaonyesha kitu swala la muda tu ataruka nao tuuuu atawaambia kwa vitendo
One love from south Africa
Big up brother G nako nimekuelewa
Sns mmetisha san studio kali,sound kali,video kali hongera san
SKY WE NEED DIZASTA VINA TULISHE UBONGO
🙌🙌🙌
Kaka sky naona office imependeza Sana Yan.. hongera..
Zee speaking good
Sound ipo so quality sn aiseee, safiiii
Sns ❤❤❤❤
Unyama uo 🔥🔥🔥
Weuuusii
Family
WEUSI on FIre
Hawa wanifanya nipende hiphop,,,soon natoa yangu kali
HIZI MAIC NDO ZENYEWE KAKA SKY ZINAKUPA SAUTI NZURI SANA HONGERA KWA STUDIO KALI ZA ONLINE BONGO
Shukrani sana Villy
Lord anatakiwa asuburi swali lake anadandia sana majibu ya wenzake😂
Ye hana Solo trending hits song Ndomaana😂
Weusi wana jua saana biashara ya muziki
Weusiii nyie wana noma since day 1. Nawakubali endeleeni hapo hapo.. kazi juu kazi.. endeleeni kubalisha lock.. shamba la kahawa wale tuu makofiii 😄😄😄
Comedians wamekuwa km wanasiasa. Lkn Sky, kuna fursa kwenye (PR, public speaking, ethics, nk
Fid q bora kuliko jo makin hiyo ni fact, wala chid hamuwezi
Msanii mkubwa wa bongo diamond wasafi simba
Miamba ya kaskazini
Unaishi mwembe chai haujanywa chai😅😅😅😅😅😅
jamaa wanang'aa sana dats Hip Hop
Pigeni Bongo flavour acha kung'ang'ania piano tu
Mbona kama lord askilizwi .
basata pia ni tatizo wakiguswa ccm tu wimbo hautoki ,uchawa unaaribu hiphop bongo
DIZASTA VINA aje siku moja
DIAMOND PLATNUMZ 25:04"
Dizasta vina kk pls
Weusi
Kula piano kula michano,acha upanganga☠️🙌😂
Sky mlete Vina Basi
Kaka tuletee kichwa chochote kutoka kikosi kazi....nikki mbishi,dizasta vina,one the incredible au stereo,songa,p the mc
Huyo wa kati kati si jay melody
G nako
kama hip vs piano so rnb iko wapi,, barnaba, marioo, fobby, belle, mirror, diamond, kiba, harmo, jmerod, au nani?? hajatajwa
1:10:29 lord 😂
Weusi wakiimba piano wataua Sana...ila lod aiz anasauti nzuri akiongea ...awo jamaa wakiimba piano wataua sana
DIZASTA VINA
Sky , umeshacheck Album ya rema ? Album ya Rema imebuma 😂 , ndani ya ma 10 Akuna ata song Moja imefikisha 60K , streaming Iko very slow 😂😂😂😂. Yeye na Harmo ni Sawasawa tu😂😂😂😂😂
We akili huna, acha kuendeshwa na mihemko
Wale Hawana time ma CZcams
Lod mbona ampii nafasi ya kuongea
alafu mwambien joh makini aache kula ugolo
😂😂
😂😂umejuaje
Sasa ugoro unashida gani na ww😂embu testi uone kama utamjudge mtu
😂
1:07:32 samper the great
Basi 😂😂😂 tufanye Jz aimbe piano au did au Rick Ross afu hip hop sio mziki WA watz , wabongo nyimbo zetu tunazijua basi nawachina wachane au wahindi wachane😂😂😂 Nikitu ambacho hakiwezakani
DiZasTa ViNa
Identity yenu ni ipi?
Brother tafuta siku utuletee kichwa chochote kutokea TAMADUNI MUZIK au kundi zima kwa ujumla la KIKOSI KAZI please please please
joh makini aliwahi kumtosa diamond platnumz collabo katika enzi anajitafuta,, lkn pia alipopata nafasi ya kwenda mjini aliwahi kusema moja kati ya imterviews zake b4 so nahisi hy joh hakuichukulia positive ndiomana anapongolewa diamond akiwepo joh basi mrejesho wa joh unakua sio nyoofu
Joh huwaga ni boya tu yeye ndio alifanya hip hop ya bongo isiende mbele
Sasa kama yy aliifanya usiende mbele ipeleke ww broo, kwan mwana hip hop n yy tu? .......... Stupd
😂😂
Sns rotation yako ya kuuliza watu maswali sio fair.How come Gnako unamwuliza mara 2 Joh mara mbili hukumuuliza Lord eyes.
Hata watoto hujamuuliza lordeyes kuhusu watoto.
Next time jiboreshe kwa hilo
DIZASTA VINA aje siku moja