Evangelist Ezekiel - Natamani Kuomba

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 14. 04. 2024
  • Join this channel to get access to perks:
    / @ezekielev
    Praise and Worship, Preacher, Teacher

Komentáře • 1K

  • @mohammedhamisi7028
    @mohammedhamisi7028 Před 2 měsíci +175

    Powerful worship...pastor wewe ndio ulifanya ni karudi mungu tena nmebarikiwa kwa maishana yangu sana may God bless you...likes za pastor wetu ckam❤

  • @AlindaCarolyn-uv4gt
    @AlindaCarolyn-uv4gt Před 2 měsíci +67

    After listening this five songs may all singles get their partners and make wonderful weddings in Jesus name i claim it amen 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @JanaJaneUAE
    @JanaJaneUAE Před měsícem +7

    This worship songs always makes me strong and believe in God icant sleep without them they are so powerful

  • @faithjosephjoseph2728
    @faithjosephjoseph2728 Před měsícem +29

    My sister and l tulikuwa walevi ,jaba,smoking but kupitia mungu wa newlife tuko free from all...after kuacha ulevi all my friends waliniacha nimebaki na wewe yesu 😢😢😢 nishike mkono yesu...

    • @Brendanimos
      @Brendanimos Před měsícem +1

      Usijali dada bora ubaki na mungu same thing happened to me

    • @faithjosephjoseph2728
      @faithjosephjoseph2728 Před měsícem

      ​@@Brendanimoskabisa

    • @alicenalulwe84
      @alicenalulwe84 Před 12 dny

      I need such testimony of Alcohol to help me carry on ,may my.sons get delivered from this demon of.Alcohol😢

    • @scolasticaemaase1079
      @scolasticaemaase1079 Před 4 hodinami

      Amen 🙏 glory be to God

  • @oliviaakinyi7236
    @oliviaakinyi7236 Před 19 dny +5

    Mungu atufungulie njia tufanikiwe kifedha, aibu zote za kila aina zituondokee kwa jina la Yesu Kristo Amen

  • @faithvuhya
    @faithvuhya Před měsícem +34

    Through this altar my marriage was healed after being separated for 5yrs, now marriage is sweet to us n am expecting another child hoping to be twins.Mipango ya kando yote waliachwa kama radi *thanks new life GOD 🙏 madhabao yangu milele.

  • @zawadimasha5823
    @zawadimasha5823 Před 2 měsíci +38

    Wangapi wanataka mix ya hizi worship songs za our spritual Dad aky itakuwa vizuri imjn ndio kanashika kidogo zimeisha😢 plz do something tupate mix yenye itaimba kama masaa matatu tutashkru saana❤❤🙏🙏🙏

    • @aboudicell7838
      @aboudicell7838 Před 2 měsíci +2

      Kama pia ingelikuwa audio ingelikuwa poa hii inashusha roho wakati wa maombi🙏

    • @TeresiahWakahi
      @TeresiahWakahi Před 21 dnem +1

      May God add other worship and powerful songs like this

    • @jylee55
      @jylee55 Před 5 dny

      How can I 👇 download

  • @naomielibariki9747
    @naomielibariki9747 Před 19 dny +4

    Kupitia nyimbo nimebarikiwa hivyo naomba juu ya mtoto wangu ajue kusoma pastor Ezekiel

  • @luciabihashikine8378
    @luciabihashikine8378 Před 2 měsíci +31

    People of God let's gather here and tap in this annoiting in Jesus Christ name 🇨🇩

  • @RoseNdoni
    @RoseNdoni Před 2 měsíci +21

    Kupitia kwa hizi nyimbo nimebarikiwa sana na pia imebadilisha maisha yangu,may God bless u our spiritual father pastor Ezekiel

    • @enockmoindi2291
      @enockmoindi2291 Před 2 měsíci

      Mungu na aendelee Baba wetu wa kiroho,twashukuru kwa nyumbo nzuri asante sana .

  • @coletmueni3350
    @coletmueni3350 Před 2 měsíci +17

    natamani kuomba,nimepanda milima..roho wa bwana nijaze natamani kuomba 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻 cleanse my sins Adonai ..make me reign in your kingdom.

    • @leahwanjala4284
      @leahwanjala4284 Před 2 měsíci +2

      My all time worship...hapa nakwambia hata kama ulikuwa umegive up lazima upate tena tumaini moyoni🙌🙌🙌🙌😥

  • @dianakoskei51koskei96
    @dianakoskei51koskei96 Před 2 měsíci +24

    This Worship songs has changed many lifes.Like me I'm orphan after I listen I came to know God is More than Able and God will never forsake us when we turn to Jesus.It real heal my soul I don't see myself as orphan because of Jesus through this songs.God bless you abundantly Daddy na Mummy.

  • @pam8964
    @pam8964 Před 2 měsíci +14

    Mimi na nyumba yangu tunatamami kuomba,na kuomba zaidi Yesu wangu. Don't forget us Lord.

  • @emilyachieng1239
    @emilyachieng1239 Před měsícem +7

    Pastor ulifanya nikiachana na wanaume wa wenyewe mungu akupe maisha marefu sana, na Nina amini ipo siku nitapata ndoa yangu🙏🙏 God bless you so much 🙏🙏

    • @stellachepkoechkipkurui8711
      @stellachepkoechkipkurui8711 Před měsícem

      Ask God the same

    • @millyjepkosgei8943
      @millyjepkosgei8943 Před měsícem

      God has untied you from that captivity sister, you are ordained to more grace in Jesus name.God is a God of fame not shame.Hw Rahab in the Bible was changed of her story,we are not exceptional sister,we are not short of his glory.I love you my sister & God loves you that much.This salvation is fullness of joy, mercies & love.May you receive in abundance in Jesus name

  • @lucywambui7386
    @lucywambui7386 Před 2 měsíci +148

    Oh my God finally the worship is here ... Divinely composed songs born in prayer room sang in spirit..long live my spiritual father 🙏

  • @ElijahNjenga-op6hj
    @ElijahNjenga-op6hj Před 2 měsíci +20

    Ooh Kenya umetubariki kupitia mtumishi wako pastor Ezekiel na nyimbo zake

  • @LilianKariuki-fe6nc
    @LilianKariuki-fe6nc Před 2 měsíci +17

    Amen Amen Powerful Anointed worship song asante our spiritual father kupitia kwa nyimbo na mafundisho yako maisha yangu imechange Sana thanku hio kisima cha injiri Mungu ameweka ndani yako injae zaidi na zaidi watu wa Mungu wazidi kukombolewa,kupona,na kufunguria kupitia kwako

  • @MarvinOmondi-ze8uq
    @MarvinOmondi-ze8uq Před 2 měsíci +12

    Natamani kuomba, roho wa bwana Yesu unijaze, forgive me all my sins, restore my marriage and purpose of me living not my will Lord but let your will be done in my life, marriage, finances, peace, Joy and protection in Jesus Christ name Amen Amen Amen

  • @CleopusKhaembah
    @CleopusKhaembah Před 20 dny +1

    Kupitia kwa hizi nyimbo naitaji unisamehe Dhabi zangu na uniondowe kwa kitabu cha mauti na unitie kwa kitabu cha uzima na milele,,tazama maisha yangu sina kazi ,,magonjwa tele roho ya umaskini imeandama boma letu naomba tu ukombozi kutoka kwako mchungaji wa mungu 😭😭

  • @user-yn8bk9hq3e
    @user-yn8bk9hq3e Před 21 dnem +2

    Nikufananishe na nini bwana hakuna .....nimekukimnia eeh bwana nisiaibike milele kwa Jina la Yesu Kristo. I'm blessed this worship song. Man of God pastor Ezekiel may God bless you bless you with long life health wealth and honor and glory you your wife and your children and your ministry in Jesus name. Ameeen

  • @bettyomondi4004
    @bettyomondi4004 Před 2 měsíci +11

    PASTOR EZEKIEL AND ROSEMARY GOD BLESS YOU FOR SUCH A WONDERFUL WORSHIP🎉🎉

  • @HillaryKirui-bw1gy
    @HillaryKirui-bw1gy Před měsícem +4

    I was daily drunkard officer,but through newlife altar Iam born again,thank you lord

  • @nancymidikaelamuka264
    @nancymidikaelamuka264 Před měsícem +2

    John 4:23-24. He said, the hour cometh and now is, when the true worshippers shall worship the Father in spirit and in truth, for the Father seeketh such to worship Him. How sweet it is to worship God in spirit and in truth. In love with this worship ❤ be blessed my spiritual daddy

  • @Lydiabwenye
    @Lydiabwenye Před 24 dny +2

    Baada ya hizi nyimbo tano kuisha mume wangu mgute rajab na mtoto wetu yusrah watakua wamefunguliwa kwa imani yangu in Jesus's name amen

  • @MaryMwanesi
    @MaryMwanesi Před 2 měsíci +5

    Kupitia huu wimbo mungu sikia kilio changu nimechoka😭😭😭💔

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 Před 2 měsíci +8

    Amen, natamn kuomba , roho wa bwana nijaze tena 🙏🏼😭, maana bila maombi mimi c kitu , sikia maombi yg Jehovah, jibu maombi yg, maombi yg iwe manukato machoni pako Jehovah 🙏🏼

  • @millied.2047
    @millied.2047 Před 2 měsíci +8

    Thank you so much Pastor Ezekiel,you really give me strength when my body is getting tired. Welcome in Germany.

  • @faithjosephjoseph2728
    @faithjosephjoseph2728 Před 2 měsíci +38

    Niliacha ulevi na smoking kupitia huyu mungu wa newlife😊😊 natamani kuomba

  • @TruphenaOtwori
    @TruphenaOtwori Před 2 měsíci +9

    After kitengela i searched a million times na sikupata hizi nyimbo.. finally its out

    • @supermom3728
      @supermom3728 Před 2 měsíci

      I did the same until one day I asked where to get the songs I heard at Kitengela crusade when pastor was live on Utube.

    • @josphatnguli8219
      @josphatnguli8219 Před 2 měsíci

      even me I searched it every where finally it's here wow ❤ what a powerful worship full of God's spirit ❤❤❤❤ I can't stop listening 🎧

  • @zawadimasha5823
    @zawadimasha5823 Před 2 měsíci +10

    Nikufananishe na nini Bwanaa nakumbe ww haufananishwii😭😭🙏🙏🙏

  • @evansmoimbo6467
    @evansmoimbo6467 Před 2 dny +1

    Amen Amen Amen....... Maisha ikiwa ngumu kila kitu unafanya hamna mafanikio...... Mungu naomba pia mimi Unitendee

  • @VerolineAtieno-qk1jw
    @VerolineAtieno-qk1jw Před 28 dny +1

    Mungu wangu naomba ubadilishe historia yangu....unifungulie njia niende shule🙏🙏🙏🙏🙏

  • @markkelvin1638
    @markkelvin1638 Před 2 měsíci +8

    Wash hizi nyimbo they blessed me crusade kitengela .....nimekua nikizitafuta kwa mtandao ...waoh ...Lord jesus may this songs minister to me nd bring healing in my life family ..healing financially nd healing in my music ministry Amen Mark Kelvin

  • @sarahoguta555
    @sarahoguta555 Před 2 měsíci +8

    Pastor be blessed daddy umefanya makuu kwa nyumba yangu kutokana na mafunzo yako nyumba yangu imepona. Amen

  • @praisesoundsonline
    @praisesoundsonline Před 24 dny +1

    Amen. Kweli mungu haachi watoto wake. Channel yangu ilinyakuliwa last year. I lost all income. Nimelilia mungu kwa wimbo na maombi kwa mwaka mzima. Finally channel imerudi this month. Sasa tumepewa fursa nyingine kumusifu mungu. Shukrani sana kwa kuomba na sisi pastor.

  • @RossNaliaka
    @RossNaliaka Před 2 dny +1

    Pst God bless you so much, roho yangu imekuwa na ujungu, but hii song lme ni bless sana, mtu wa mungu be blessed and God remember you forever amen ❤

  • @supermom3728
    @supermom3728 Před 2 měsíci +22

    Am on my tears, this songs have reminded me the night vigil at Kitengela crusade 😢. Am so blessed today.

    • @cherotichloice6534
      @cherotichloice6534 Před 2 měsíci +2

      Kwanza tukitembea kwa matobe.

    • @supermom3728
      @supermom3728 Před 2 měsíci +1

      Mungu ni mkubwa,I will never forget that experience. Until todate I can't explain how I reached there,tunangoja sasa Kitengela episode 2 😊.Tutazidi kutafuta uso wa bwana. May God bless our spiritual father.

    • @cherotichloice6534
      @cherotichloice6534 Před 2 měsíci +1

      Tupate kitale

    • @supermom3728
      @supermom3728 Před 2 měsíci +1

      Amen!

    • @MercySangura-dr7us
      @MercySangura-dr7us Před 2 měsíci +1

      Wilderness annoting Kitengela Hadi Kitale 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @blessedone3702
    @blessedone3702 Před 2 měsíci +7

    The one who is deeply despised, who is hated by nations and the servant of rulers; kings will see you released princess will also see it, they will bow low to honor you. THE LORD has chosen His servant, THE HOLY GOD of Israel keeps His promises 🙏🙏🙏

  • @sheilavalent6393
    @sheilavalent6393 Před 2 měsíci +6

    Amen Amen God bless my family through this song in Jesus name 🙏

  • @MILDREDALIGO
    @MILDREDALIGO Před 2 měsíci +4

    THANK YOU LORD FOR THIS POWERFUL WORSHIP ❤❤❤

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 Před 2 měsíci +6

    Ameeeen Ameeeen Ameeeen Hakika bila yeye kristo kunishika mkono siwezi kabisa😢😢😢😢 Asante Mungu aliye hai mbinguni unaefanya kazi madhabahu ya NEW LIFE Hakika nimekuona ukinitendea kwenye maisha yangu hakuna wakukufananisha🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kevinwawire9475
    @kevinwawire9475 Před 2 měsíci +8

    These worships reminds of Bahfra crusade, that morning worship before mama Sarah takes stage🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏

  • @bettyomondi4004
    @bettyomondi4004 Před 2 měsíci +6

    Eeeh baba asante kwa shuda ambazo umenipa kupitia haya madhibau 😢😢😢nina machozi ya furaha asante kumtumia my spiritual father pastor Ezekiel

  • @JoyKathoni
    @JoyKathoni Před 21 dnem +1

    Mungu ponya ndoa yangu kupitia huu wimbo in Jesus name 🙏🙏

  • @joykendi5666
    @joykendi5666 Před 2 měsíci +9

    Ee yesu natamani,niwe rafiki yako, natamani nikujue zaisi umenitendea mengi na Nina Imani utatenda zaidi.Thumbs up pastor Ezekiel

  • @bettyomondi4004
    @bettyomondi4004 Před 2 měsíci +4

    Ooooh powerful worship songs i never knew i cld be this spiritually attached to GOD 😢😢😢

  • @linetbabu-el8jj
    @linetbabu-el8jj Před 2 měsíci +1

    MIMI LINET ANYANGO Namshukuru Mungu Wangu Sanaa Kunipea Baba Yangu Wa Roho Na Mama Yangu Wa Roho Pastor Ezekiel Na Pastor Sarah Kwa Maombi Yenu Na Kupitia Hii Madhabahu Ilionanguvu Nimebarikiwa Sanaa Na Watoto Wangu Wamebarikiwa❤🎉💯 Kwa Jina La Yesu Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen

  • @MivanuelSwizer
    @MivanuelSwizer Před 2 měsíci +2

    Finally the Lord has done it the best worship have been waiting God may you continue giving you servant new star day and night

  • @collyboy2936
    @collyboy2936 Před 2 měsíci +6

    When we were lucking pure gospel,,pure worship to listen to you brought one for us ,,be blessed man of God 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏 we love you ❤️🙏

  • @NgonyoMutua
    @NgonyoMutua Před 2 měsíci +4

    Kupitia hiii wimbo ..biashara yangu ipone damu ya yesu ifanye kazi

  • @Maurinenyambura-lg8lc
    @Maurinenyambura-lg8lc Před 24 dny +1

    Naomba uponyaji kufunguliwa na kuondolewa roho ya kuonewa pamoja na familiar yangu

  • @emilychichi7517
    @emilychichi7517 Před 8 dny +1

    Hakika bwana wangu umenitoa mbali yesu 🙏🏾

  • @janekimani1170
    @janekimani1170 Před 2 měsíci +3

    Halleluyah! I love Pastor Ezekiels worship! It blessed my soul so much❤❤

  • @wilkisterekesa3885
    @wilkisterekesa3885 Před 2 měsíci +3

    I will love the light for it shows me the way, yet I will endure the darkness because it shows me the stars.
    Thank you pastor Ezekiel you're a blessing to my life 🙏🙌❤

  • @shelmithwanjiku613
    @shelmithwanjiku613 Před 3 dny +1

    May God forgive me my signs and save my soul from the punishment of graveyard or burning in hell

  • @AshtonBaya
    @AshtonBaya Před 3 dny +1

    Natamani kuomba nijaze naroho wako ee Mungu naomba

  • @jacquilinewanga259
    @jacquilinewanga259 Před měsícem +2

    Nimekukimbilia ewe yesu wangu nisiabike milele ooh.😢😢😢😢.Baba niondolee aibu bila wewe siwezi lolote ,nitangulie jehova .

  • @Emmyronoh-cm1sv
    @Emmyronoh-cm1sv Před 2 měsíci +3

    nikufananishe.na.nini bwana.wangu nasematu as ante umenitoa mbali asante kwa.mtumishi wako🎉

  • @MweresahShaban
    @MweresahShaban Před 17 dny +1

    May the almighty God continue to magnify himself through you Pastor Ezekiel all the way down to us.

  • @winnieadhiambo6082
    @winnieadhiambo6082 Před 12 dny +1

    Glory to God,worship from the heart. Lord hear me out, wipe my tears and take away the pain in my heart Jehova.

  • @user-dw2yq9wq6v
    @user-dw2yq9wq6v Před 2 měsíci +2

    Asante yesu Kwa Neema na utukufu kwako kupitia Kwa hizi nyimbo tunaoshwa kiroho amen.

  • @estherwamalabe56
    @estherwamalabe56 Před 2 měsíci +4

    2024 the year of blessing sitaki kusumbuliwa na mtu yeyote natamani kuomba mimi

    • @denniswaiswa
      @denniswaiswa Před 2 měsíci

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @estherwamalabe56
      @estherwamalabe56 Před 2 měsíci +1

      @@denniswaiswa kipi kinakufurahisha ata mimi nifurahi

  • @dorothykatharimi9305
    @dorothykatharimi9305 Před 6 dny +2

    May you God change my family

  • @ChristabelShumira
    @ChristabelShumira Před 27 dny +1

    Amen 🙏 nikufananishe na nini Bwana na kumbe wewe haufananishwii 😢😢😢🙏🙏🙌🙌🙌🙌

  • @emmamueni5004
    @emmamueni5004 Před 2 měsíci +3

    That's my pastor, u always bless me. God aendelee kukutumia wengi wabadilike kama Mimi. Ameen 4:21

    • @fedricknyagawa9650
      @fedricknyagawa9650 Před 2 měsíci

      hakika MUNGU kajifunua kwa mtumish wake huyu nakatushuudia GOD bless you wherever you are

  • @mercyBB
    @mercyBB Před 2 měsíci +2

    Natamani yesu katika maisha yangu,nikumbuke mungu niwe na wimbo mpya katika maisha yangu.

  • @gracealuoch9957
    @gracealuoch9957 Před 2 měsíci +2

    Asante baba kwa kubadilisha maisha yangu mungu azidi kukulinda na kukubariki kukomboa wengi🙏🙏🙏🔥🔥

  • @eve3894
    @eve3894 Před 2 měsíci +2

    WOW THANK YOU GOD I WAS WAITING FOR THIS SONG . NATAMANI KUOMBA, TANZANIA 🇹🇿. ASANTE YESU ,SANTE BABA YANGU WA KIROHO EZEKIEL ASANTE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @LydiahMogoi
    @LydiahMogoi Před 2 měsíci +2

    God forgive me wherever i have wronged you and teach me to trust in you😢😢

  • @NabuufuHadija
    @NabuufuHadija Před 2 měsíci +2

    Eee Yesu badirisha historia ya maisha yangu🙏

  • @Sherlynnashipainashipai-wk8lz
    @Sherlynnashipainashipai-wk8lz Před měsícem +1

    Natamani kuomba , roho wa bwana yesu unijase forgive me all my sins restore my marriage and purpose of me living not

    • @Obukosia
      @Obukosia Před 6 dny

      Amen 🙏 God is faithful 🙏

  • @EzekielBosire
    @EzekielBosire Před 17 dny +1

    Hii song inanikumbusha kitale crusade vile tulinyeshewa lakini mungu ametuonekania

  • @liliandeborah9582
    @liliandeborah9582 Před 2 měsíci +3

    Bwana yesu kupitia hii worship fungulisha vipawa vyangu na unipe neema ya kipekee nahitaji kukujua zaidi kusoma na kufahamu neno lako

  • @user-tb1uy3xj3t
    @user-tb1uy3xj3t Před 2 měsíci +4

    Pastor Ezekiel made me know and love God,na nimemshikilia sina machungu nilikua nayoo!!..my life has changed God is providing everything 😢na I wish pia watu walikua wamepotea kama Mimi wajue utamu wa kumjua yesuu!!

    • @carenchepkemoi3421
      @carenchepkemoi3421 Před 2 měsíci

      Ndio mimi apa,cant explain the freedom that comes when you know and and a connection with God.

    • @linetbabu-el8jj
      @linetbabu-el8jj Před 2 dny +1

      Natamani kuomba♥️🙌🙏

  • @KalendaDoreen-mb1fl
    @KalendaDoreen-mb1fl Před 24 dny +1

    Amen and Amen 🙏🙏🙏🙏 no one is like you father remember my marriage and my family but I believe u will do it again thank u God

  • @josephinemusindayi7023

    Mungu niregeshee kipawa cha kuomba na vyote ambavyo nmepoteza kwa maisha yangu

  • @EstherWangui-gf6fk
    @EstherWangui-gf6fk Před měsícem +3

    My everyday songs

  • @IreneNthenya-of5bn
    @IreneNthenya-of5bn Před měsícem +1

    Im in tough time ,hizi nyimbo zinaninguza sana na kunitia moyo huyu mungu nitazidi kumuamini hata kama kazo iliisha

  • @JacklineOsoro
    @JacklineOsoro Před 2 měsíci +2

    Sema nami baba natamani kuomba 😭😭🙌🙌😭 wewe baba yangu 🙌😭🙌🙏 teda Amen 🙏🙏

  • @WinniefridahMoraa-pe7uq
    @WinniefridahMoraa-pe7uq Před měsícem +2

    Natamani kuomba mungu wangu ,naomba unijaze na roho yesu😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @user-lf6tk6xr4o
    @user-lf6tk6xr4o Před 2 měsíci +2

    Natamani kuomba yesu wangu nishike mkono usiniache ❤

  • @carolineNdegwa-xt6gm
    @carolineNdegwa-xt6gm Před 2 měsíci +2

    Yesu hata nami unijaze na roho wako Natamani kuomba baba yangu

  • @makenalydia6177
    @makenalydia6177 Před 2 měsíci +2

    Natamani kuomba,nijaze na roho wa Bwana 🙌🏻🙌🏻🎉

  • @lorna4512
    @lorna4512 Před 29 dny +1

    Wonderful worship I love listening to when I feel down. Its been a great up lifter of my soul. Also helps me to get to prayer. God bless you pastor and team on the great Job on teaching us and keep opening our eyes. God bless and extend your territories in Jesus name.

  • @alexinamoraa-ut7pb
    @alexinamoraa-ut7pb Před 2 měsíci +2

    Asante baba Ezekiel 🙏nimebarikiwa sana long waiting for the song Daddy🙏🛐

  • @user-iu2me7nu2g
    @user-iu2me7nu2g Před 2 měsíci +2

    Mimi na watoto wangu na familia yangu tunatamani kuomba , na kuomba mungu atusaidie .....Amen

  • @millyanyango4222
    @millyanyango4222 Před 2 měsíci +2

    3:04 wewe ni Mungu wa kweli si kama Wanadamu,ulinipa jina mpya,hadi Wanadamu walinyamaza ,nimejua kweli wewe hufananishwi

  • @zmonyancha
    @zmonyancha Před 5 dny +1

    God bless ma spiritual father n newlife ministry.

  • @alicealicekathambi
    @alicealicekathambi Před měsícem +1

    Than God for giving us such a wonderful man of God..Ametutoa mbali mimi na familia yote..mungu amulinde siku sote❤

  • @josephmuse6211
    @josephmuse6211 Před 2 měsíci +2

    Roho wa Bwana nijaze... Nataka nitembee na wewe maishani mwangu... God bless you.

  • @moniquenono3853
    @moniquenono3853 Před měsícem +1

    Naomba nikuulize swali wewe yesu wangu kule walikoniweka wanadamu ulinitoa vipi baba mipango yao isiwahi toka nje tena baba.. Na kumbe si kama wanadamu... So powerful

  • @PHINET005
    @PHINET005 Před měsícem +1

    God has used you to save me from my witfull acts now i preach the word of God

  • @user-hc4dw9jf7r
    @user-hc4dw9jf7r Před měsícem +1

    Hizo nyimbo zimenibariki sana,God please come through for me ,am passing through alot,natamani kuomba Yesu,nijaze Roho wa Bwana,ni wewe nangojea, Amen

  • @miriamndunda4459
    @miriamndunda4459 Před měsícem +1

    Thank you God for your love.We give God All the Glory 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @magdalinecheptooketer6374
    @magdalinecheptooketer6374 Před měsícem +1

    This songs takes you to another level in prayer and seeking God

  • @christinekadenge5282
    @christinekadenge5282 Před 2 měsíci +2

    Thank you Pàstor you àre really touching many sóuls thróugh thís worship songs 🙏,tangú ñizaliwe sijawai pata Muhubiri akanifanya ni mpeñde Yesu hivi😢

  • @abigailleirr7898
    @abigailleirr7898 Před 11 dny +1

    GOD of peace I connect myself to this higher altar and greater anointing 🙏I receive my star

  • @jackoginga7735
    @jackoginga7735 Před 23 dny +1

    Amen Amen powerful anointed worship songs asante sana spiritual father 🙏🙏

  • @linetbabu-el8jj
    @linetbabu-el8jj Před 2 dny +2

    Natamani kuomba ♥️🙌🙏🙏

  • @scolasticaemaase1079
    @scolasticaemaase1079 Před 2 měsíci +2

    Wow thank you 🙏 Jesus for this powerful worship,,more grace man of God I love this kind of worship 😊🙏🙏🙏