Kocha Juma mgunda afunguka alivyopokea taarifa kuinoa Simba SC

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 09. 2022
  • Msikie kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda akifichua siri namna alivyopokea taarifa ya kwenda kuifundisha timu hiyo ya mitaa ya Msimbazi.
  • Sport

Komentáře • 24

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia Před rokem +6

    Nikwambie kitu? Hata asipofanya vizuri kama kocha mkuu, atabakishwa kama kocha msaidizi. Shika Neno langu na tarehe ya leo

  • @Ram_1893
    @Ram_1893 Před rokem +2

    Kila la khair kwako Juma Mgunda
    Kila la khair kwa Simba SC
    ❤🇹🇿

    • @aminasongoroka7475
      @aminasongoroka7475 Před rokem +1

      Washauri vijana wajitumeee uwanjani wapapanie nembo

    • @Ram_1893
      @Ram_1893 Před rokem

      @@aminasongoroka7475 Alhamdulillahi wametekeleza hilo

  • @mrmea1935
    @mrmea1935 Před rokem +1

    Cjui ni kwa nini lkn nimehamasika sana na huyu jamaa kuwa coach.

  • @yasintasamson9178
    @yasintasamson9178 Před rokem +1

    Ata kama utakuwa kocha mkuu uwe msaidizi nguvu moja

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 Před rokem

    Karibu Sana juma mgunda jisikie uko nyumbani

  • @mjukuuwamuuzatogwa6512
    @mjukuuwamuuzatogwa6512 Před rokem +1

    Kila la kheri mgunda naamini utafanya vizuri

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 Před rokem

    Piga kazi Kaka Juma unaweza.

  • @FRANSKALITUSI4937
    @FRANSKALITUSI4937 Před rokem +1

    Very nice

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 Před rokem

    Pep Guardiola Tanga Karbu Sana SIMBA SPORTS CLUB

  • @yusuphsanga860
    @yusuphsanga860 Před rokem +1

    Tunakuamn san

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Před rokem

    Uongo unapanda lift ukweli waja na ngazi☺️💪

  • @goodlucksteven6377
    @goodlucksteven6377 Před rokem

    Thanks coach 🙏

  • @suleimanhamza9014
    @suleimanhamza9014 Před rokem

    The first 💪

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu Před rokem

    Hapo anaweza kuchukua nafasi ya matola baadae, ni suala la muda tu. Pia, ana rekodi ya kufunga hat trick fainali

  • @kastomwaipopo1763
    @kastomwaipopo1763 Před rokem

    🦁💪

  • @rashidiathumani1268
    @rashidiathumani1268 Před rokem

    Kweli

  • @sportsbiotz
    @sportsbiotz Před rokem

    Mchambuzi wa kitaifa Micky Jr akichambua Mechi za awali Simba v/s Nyasa bigbullet na Zalan v/s Yanga.
    Tazama hapa Uchambuzi yakinifu Toka kwa MuanSports kupitia link hii apa chini
    👇🏾. 👇🏾. 👇🏾
    czcams.com/video/V81jGG8_dyc/video.html
    czcams.com/video/V81jGG8_dyc/video.html

  • @yasintasamson9178
    @yasintasamson9178 Před rokem

    Ata kama utakuwa kocha mkuu uwe msaidizi nguvu moja

  • @yasintasamson9178
    @yasintasamson9178 Před rokem

    Ata kama utakuwa kocha mkuu uwe msaidizi nguvu moja