FEI TOTO AFUNGUKA - "SIWEZI KURUDISHA PESA"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 06. 2023
  • FEI TOTO AFUNGUKA - "SIWEZI KURUDISHA PESA"
    Mchezaji mpya wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amewasili visiwani Zanzibar muda mchache baada ya kusainiwa na timu ya Azam Fc ambapo amesema amekuja Zanzibar kwa mapumziko
    Fei Toto ambae sasa ni mchezaji rasmi wa Timu hiyo mara baada ya kuwasili ametoa kauli juu ya utaratibu wa kurudisha fedha alizochangasha kwa watu wenye uhitaji
    Amesema anaamini huo ndo utakua utaratibu mzuri juu ya fedha zilizochangishwa awali kwaajili ya kumsadia kufungua kesi CAS
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 10

  • @captainlii2351
    @captainlii2351 Před rokem +3

    Hvi kwa akili ya kawaida ni uwezekano upi wa kurudisha pesa kwa kila alietuma? Bila ya Shaka kabisa ni ngumu that y ameamua kuzipeleka kwa wenye uhitaji Zaid kma mtu ulituma pesa kwa ajili ya kumsaidia feisal why isiwezekane pesa hzo kusaidiwa wale wenye uhitaji? Kwa hili feisal yupo sahihi kabisa hawa waanfishi na wachambuzi wetu wenye vijiba kisa fei kuondoka yanga Basi waendelee tu kuuza habari

  • @ahmedysaidy9874
    @ahmedysaidy9874 Před rokem

    Tunataka pesa zetu turudishiwe

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia Před rokem

    Wasafi wanapingana Sana na Fei. Hii taarifa ingekuwa chombo kingine, isingepewa headline hiyo

    • @Dadboy.
      @Dadboy. Před rokem

      Kwel broo m nilikua nawaona wasafi wanabezi upande wa yanga icho kitawaharibia San maan watu hatupo saw waangalie clouds hawajabezi upande wowte ndo maan fei akakubali kufanya interview pale licha ya ingenia heris kwenda palepal

    • @titus_maridhia
      @titus_maridhia Před rokem

      @@Dadboy. na Yanga wamejua ndo kituo chao hicho. kila Jambo lao wanalizungumzia pale

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding Před rokem +1

      Punguza kukurupusha matako ayo nakuropoka ujinga unakalia akili unaongelea mavi

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding Před rokem

      @@Dadboy. Kuma la mama ako hadharani usiupaishe ujinga wako kwa kuukandamiz ukwel wasaf hawan mapresenter machoko km masoud kipany ambao kabl ya kumfanyia entervieuws mchezaj mnampanga yakusema na kuikandamiz club unatombwa nn

    • @bigjizee4130
      @bigjizee4130 Před rokem +1

      Wewe una shida zako binafsi na wasafi, mbona hii taarifa kwa Millard Ayo imeruka, kwa hiyo Millard naye ana shida na Feisal?