Velikost videa: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Zobrazit ovladače přehrávání
Automatické přehrávání
Přehrát
Napenda saaanaa Kaz hiii uku kwetu tunaita malai
Ni rahis tu kufunga 😊
elimu nzuri kweli,,,swali ni hivyo vya viji akienda kuuza nje atahifadhi vipi ili zisilowe maji njiani ama baada ya muda
Saw byasawa hiyo n frij aina gan inagandisha vzr
Nimeipenda kazi Yako.
Habari dada mafunzoooo mazuri sanaaaa,nKuomba unieleze zaidi hizo juice cola ni flavor gani ametumia
Mashaallah ❤❤❤
Tuonyoshe nayavijiti my dear
Naomba unionyeshe unavyoweka barafu zavijiti
Linapatikana wap ilo fliza
Nice
Litre 10 unaweza kutoa barafu ngapi?
Ninashida ya freeji zuri
mafundisho muhimu sana. fan from kenya here. your content is tops
Asante
Jamani nimependa sana nilikuwa naomba atuambie izo juice cola nifleva inafleva gani
Napia kama anauza hamsini zinafaida nzuri?? Naizo zavijiti anauza bei gani
@@ikamalleHi dear where can I get that fridge please help
😋😋😋😋😋
Naomba unielekeze namuna ya kutengeneza barafu za vijiti
Hatumii sukari
Kindly show how to seal the ice
Mafunzo mazuri ya kutengeneza barafu
Kumbe hata ukiloweka ukwaju unafaa kutengeza askim ?
tangu lini umeanza kusema ok,,kwa hyo umemgeza yule mama wa aroma of zanzibar mh hupendezi ika
Embu growup uko
Nzuri
Asante dear
Atuonyeshe baleful za kwenye kikombe
Tunaomba na izo za kijiti
Dada nimepanda naomba namba Yako uzid kunifundixha zaidi plz
Naomba unifunze please
Lita10za maji mbuyu kilo ngapi???
Huo ukwaju ni kiasi Gani?
Kati ya maji moto na baridi ni yapi yanatengeneza barafu laini
Asante sana kwa hii video.Naweza nunua hizo karatasi za kufunga barafu wapi?
Maduka ya viungo au vifungashio mbona vingi
Asante, ila je unaweza fanya za matunda tofauti tofauti? Asante 😋
Ni lazima kutumia maji yaliyochemshwa? Au maji ya kawaida tu ya bomba yanafaa?
Mbna ladha yako ni ya unga
Dada Niko nje ya mada ivi ile kata ya biscut nitapata wapi naomba unisaidie
Maduka ya vyombo ama vifaa vya keki
Ilo flaza gan
Ukwaju na ubuyu kiasi gani?
Kwamfano ukitaka kufunga ndoo moja kubwa je unaweka ukwaju kiasi gani naubuyu unga wake kiasi gani
Ilo fliza linatikana wap
Kwenye maduka ya mafriza na mafriji
Huku Zanzibar yamejaa Mafriza na mafriji yanayo uzwa