USHAURI KWA WAFUMU NA WALIOKO NYUMBANI @Mmunga ML TV

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 20. 08. 2024

Komentáře • 24

  • @malekanithomas
    @malekanithomas Před rokem +2

    Excellent 👍🏾

  • @bitalucidetanganika9089
    @bitalucidetanganika9089 Před rokem +1

    Excellent message

  • @MMUNGAMLMUSIC
    @MMUNGAMLMUSIC Před rokem +1

    Asante sana kwa ushauri nzuri.

  • @mwajumatanganyika7840
    @mwajumatanganyika7840 Před rokem +2

    Kweli kabisa.

  • @mamafi70
    @mamafi70 Před rokem +2

    Je ne connais pas la langue mais j'ai l'impression de comprendre dans mon esprit. Ni kueli kaka. Uko na raison kabisa.

  • @reginaobysobys7881
    @reginaobysobys7881 Před rokem +2

    Good 👍

  • @sadockfamilytv4973
    @sadockfamilytv4973 Před rokem +1

    Nikweli kabisa.

  • @shukurukilima3760
    @shukurukilima3760 Před rokem +2

    Wabembe wamemuhasi Mungu tangu mbango wa kuwapeleka baadhi yao inchi ya tatu.

  • @enockabumba7513
    @enockabumba7513 Před rokem +1

    Yamenikuta Sana
    Tena mzee wangu ndio kaniangamiza utazani niko mtoto wake wa Kambo,
    Sasa ivi sitaki kusikia Tena kauli za makelelosho ombele. Maana hatuezi kubadirisha tabia za nduguzetu.
    From Jerusalem Israel

  • @jeunnemmunga821
    @jeunnemmunga821 Před rokem +1

    Unasema kweli ndguyangu John.
    Wakiendelea na hiyo hali, waache kulaumu watu wanaoenda inje ya kwetu.
    Kwakweli wao wamekuwa pingamizi ya maendeleo ya vijiji vyetu .
    Walioko nyumbani wabadirike

  • @lumanyaenyonyi98
    @lumanyaenyonyi98 Před rokem +2

    Hiyo ni kweli, ila mahoni yangu hata wazungu walipo hendelea kunavipingamizi mingi vyenye walikutana na vyo ila walihunda njia za mahendeleo hadi leo wangali na buni njia za kuhendelea , na hakuna kitu kinacho kosa challenge na changamoto huhongeza mtu Akili ndugu ,kama hiyo njia ya kutuma hela kuwa ndugu inakwamisha mtu basi kutafutiwe njia hingine ili tufike kwenye mahono ,. Hilo ni wazo langu kila kitu ndugu zangu hakikose changamoto. Hiyo hahiwezi tuma watu wasisonge mbele
    Mahoni yangu wa diaspora wote wahunde shirika za mahendeleo

  • @MwajumaTanganyika
    @MwajumaTanganyika Před rokem +1

    Kweli kabisa.